Nyinyi nyote mumemugeuka Hayati Magufuli. Nenda salaama. Hukuwasaidia watanzania. Umewaacha na hawa mafisadi. Umoja hautapatikana kama wengine wanakula mpaka mwisho wa Kamba zawo, na wengine walala njaa. Hakuna usawa hapo. PENYE dhuluma hakuna amani. Ni Hayati Magufuli aliyekuwa anatupa hope. Kwa sasa nchi inayumba. Nenda ukaoumuzike na pensioni Nono, Umewaacha Watanzania wako hoi.
Kwakeli viongozi wa Tanzania ni watulivu mno na niwapenda amani MUNGU akulinde mzee ushauri wako natambua ni alama tosha katika nchi yako na umeacha wa kuiga mfano wako hua unasisitiza sana amani na upendo wetu sisi watanzania bila kijali rangi kabila wala dini sisi watanzania ni wamoja MUNGU ibariki Tanzania
Mungu akulinde ishalaaa Tanzania idumu milele🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mungu akusimamiye kiongozi wetu mabeyo hongera sana
Mungu akubariki na akulinde na azid kukupa afya njema
Nyinyi nyote mumemugeuka Hayati Magufuli. Nenda salaama. Hukuwasaidia watanzania. Umewaacha na hawa mafisadi. Umoja hautapatikana kama wengine wanakula mpaka mwisho wa Kamba zawo, na wengine walala njaa. Hakuna usawa hapo. PENYE dhuluma hakuna amani. Ni Hayati Magufuli aliyekuwa anatupa hope. Kwa sasa nchi inayumba. Nenda ukaoumuzike na pensioni Nono, Umewaacha Watanzania wako hoi.
Kwakeli viongozi wa Tanzania ni watulivu mno na niwapenda amani MUNGU akulinde mzee ushauri wako natambua ni alama tosha katika nchi yako na umeacha wa kuiga mfano wako hua unasisitiza sana amani na upendo wetu sisi watanzania bila kijali rangi kabila wala dini sisi watanzania ni wamoja MUNGU ibariki Tanzania
Utaratibu wa heshima na amani
Kila la heri CDF Mabeyo!!!
Piga kelele kwa Tina aaakeeeee, weeeeuweewee!!
Unashangilia usichojua pole
@@barakarobert1029 Asante.
Daah kiukweri natamani huyu kamanda angeongeza Muda kwakweri ni kamanda kweri
Hatamimi nilipenda hivoo
Tangazo lenu linanikera 😡
Unatucha.tkopoa ajae
Mitano tena 🇹🇿
Inatosha aje mwingine Yakobo
FAIDA 20 YA TUNDA LA PARACHICHI
ruclips.net/video/Ns2ilDjgyPI/видео.html
O