TIKTOKER BRIAN CHIRA IN COURT! • (FULL CASE) • RELEASED ON A CASH BAIL OF 50k

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 июл 2023
  • #vincentmboya #trending #azziadnasenya

Комментарии • 128

  • @sarahakinyi724
    @sarahakinyi724 10 месяцев назад +11

    Mashalla 🥰 , Wacha aende sasa atafutie watu wao. And he needs to change. Am Brian chira , Brian chira am happy for him 🙏🥰

  • @phancykwanjala4311
    @phancykwanjala4311 2 месяца назад +10

    Naimagine kama angekua ametei
    Angeuliza mnanishow ma what 🤣😂hamna maisha😂🤣

  • @judywambuikagwaci523
    @judywambuikagwaci523 10 месяцев назад +4

    😂😂😂 imenikumbuza my late brother alitusi mtu ati amemea mboga kwa tumbo akafiwa 10k

  • @DOREENCHARLES1995
    @DOREENCHARLES1995 2 месяца назад +5

    Babagu akona anaelekea 70 na aliniambia hajawai shikwa hadi na kanju 😢😢😢aki Chira ata kama ulikuwa mlevi ama gay ama nini I don't know God knows but you suffered alot kuna madhabahu mbaya sana ilikuwa inakuandama ya kukuangamiza juu watu utusiana social media sana kwanza hapa kwetu Ukambani wanatusiana kaa kitu ingine na hawapelekani kotini😢😢😢pple are wicked waliona utaguruma dunia mzima wakaamua kutumia mbinu zote kukuangamiza but is okay Mungu akusamehe mtoto yatima and RIP😭😭😭😭NO ONE IS PERFECT,NA HATUNA RIGHT YA KUJUDGE MTU LEAVE THAT TO GOD

  • @GraceGrace-sk5ru
    @GraceGrace-sk5ru 2 месяца назад +3

    Ata mkijudge mtu you don't know your day chira ameenda sasa mtajudge nani mnabehave kama hamna Dhabi.

  • @leonardadd
    @leonardadd 10 месяцев назад +8

    Chira husema kama wewe si pesa huwezi mshtuwa lakini Leo COURT imemramba na repetition 😂😂MAKOSA INASOMWA LIFE AND CASH,NA MBONA SIJASIKIA ABABU AKITAJWA 😂😂

  • @joymarian2104
    @joymarian2104 10 месяцев назад +12

    My name is Brian chira ❤kama wewe si pesa usinipe stress 😂😂 free finally our beautiful boy..

  • @metforreal5219
    @metforreal5219 6 месяцев назад +3

    Dr. Ofweneke interview with Obinna brought me here , how did he finish reading the charges without laughing?.,,i see Demas Kiprono of Article 19

  • @bantkmaca5756
    @bantkmaca5756 2 месяца назад +2

    Sasa ataendelea na yupi kwenye iyo kesi rip chira mungu akurehemu

  • @alextwiri
    @alextwiri 10 месяцев назад +11

    Not me waiting for Chira to shout am Brian Chiraaa🤣🤣🤣

  • @user-hl8vm1iw6t
    @user-hl8vm1iw6t 9 месяцев назад +5

    Maskini brian wetu ametuliaaa😢

  • @lydiaodero-8878
    @lydiaodero-8878 10 месяцев назад +4

    Iwe funzo kwake na kwa watu wengine pia. Kupanua tu mdomo ovyo ovyo si mzuri

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 Месяц назад

    Jamaniiiiiiiiii, ni afadhali angebakia jela pengine maisha yake yangekuwapo hai. Mungu alikuwa amuepushe kupitia kesi ya Azziad. oh! my God😭😭😭😭

  • @clintonotieno3605
    @clintonotieno3605 2 месяца назад +4

    😢😢😢😢😢i have left alcohol completely

  • @user-uq7mr7oo3p
    @user-uq7mr7oo3p 10 месяцев назад +2

    Nimeona sura personal hiyo azziad

  • @mildredndinda2160
    @mildredndinda2160 2 месяца назад +2

    Aki manzi wa mombasa ni rafiki sana ya brian

  • @baibe...rino..
    @baibe...rino.. 10 месяцев назад +10

    😂😂😂😂saaa hata nasenya ajafaidika kitu 50k ni jao ma judges tuu yy ametoka kutu 😂😂😂this life wachana nayo bana....pia kimemuramba nasenya alidhani chira ataitishwa doo mob ndio zingine abaki nazo lakini who is God chira to the world

  • @Theaeastafricaninterest
    @Theaeastafricaninterest 10 месяцев назад +2

    Hii ndio news ambayo hatupendi Kukosa.😂😂😂😂

  • @mikijuma5893
    @mikijuma5893 10 месяцев назад +2

    Hahahahha FALSE walai lawyers mungu ana waona

  • @flovianodongo5877
    @flovianodongo5877 2 месяца назад +3

    Now bcz chira is no more utaendelea na nani kwa hiyo case

  • @DomePetalsComedy
    @DomePetalsComedy 10 месяцев назад +8

    Akii...just leave chira..alone accept the fact that online bully sio ya Kuweka kwa roho ...azziad please I plead on his behalf... forgive the young boy..

    • @lizkarimi2094
      @lizkarimi2094 10 месяцев назад +1

      azziad ni wale wototo walikuwa wanakimbilia mode wakiibiwa pencil

    • @sylviahkinyangi9892
      @sylviahkinyangi9892 10 месяцев назад +2

      He was given time to make a video apologizing,i think he didn't

  • @levisopata4716
    @levisopata4716 10 месяцев назад +1

    Leo si aongee hizo mbwe mbwe zake atajitambua leo yeye ni mwanaume sio shoga tena

  • @MercyHadija-qh1tp
    @MercyHadija-qh1tp Месяц назад

    Dead is acruel surely 😭😭😭😭chira alikuwa a good listener bt rip

  • @christineliam2899
    @christineliam2899 10 месяцев назад

    Mnaona matusi vile inaeza peleka mtu.? Mtaachana na matusi nilikuwa najua tu azziad lazima atasikia vimbaya hiyo matusi mbaya

  • @jacklinenyaboke-dt2uw
    @jacklinenyaboke-dt2uw 2 месяца назад

    Hizi n mawhat! Hizi n manin😂😂😂 rip chira

  • @jackyjacky5966
    @jackyjacky5966 2 месяца назад

    Am here😢

  • @abbssy567
    @abbssy567 10 месяцев назад +5

    Na hivyo ndio ameomoka

  • @frednjogu7845
    @frednjogu7845 10 месяцев назад +10

    Weh!hivyo ndio tutasomewa vitu tulipost uko mbinguni😂😂

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 10 месяцев назад +1

    It is what is it she’s just the way chira said

  • @georgekathurima4053
    @georgekathurima4053 7 месяцев назад

    Kwanini mnaleta issues za media court inn

  • @ericnyabochoa8896
    @ericnyabochoa8896 2 месяца назад

    Sae atakesi n nan bona watu uwa wanatusiwa n walevi n uwa watu awashtaki nyinyi wanadamu tukon mambo sana alf sae do mwajifny mlikuwa mwampeda mkiogea hvo mwaogea

  • @timothyrioba8033
    @timothyrioba8033 10 месяцев назад +6

    Hahaha vile prosecutor anasema matako soft soft inasound soft kweli kweli

  • @Rozzie22
    @Rozzie22 10 месяцев назад +4

    But l thing hii wamemuhurumia tuu then chira na yeye wamuongeleshe whatever content atakuwa anafanya akuwe careful na pombe awache😥🤔 juu whatever chira start to talk shit on social media anakuwanga mlevi

    • @sylviahkinyangi9892
      @sylviahkinyangi9892 10 месяцев назад +1

      Pia na stress,hizi dawa I think pia zinamwafect,hivyo tu umesema ndio inafaa

    • @Rozzie22
      @Rozzie22 10 месяцев назад +1

      @@sylviahkinyangi9892 yeah do you know AIRV na pombe haziendani l think hat yeye anajua ni pre pressure tuu na bad company then ongezea pressure ya maisha at his age na kukimbizana na hii social media l think chira need to recall himself afucuse na maisha coz at the end of the day maisha ni yake

  • @elijahmwendwa8123
    @elijahmwendwa8123 2 месяца назад +3

    R I P boy

  • @magdalinekenneth7238
    @magdalinekenneth7238 2 месяца назад

    Na hapa alikua amefanya nn

  • @MGNTV90
    @MGNTV90 10 месяцев назад

    Alifanya nini

  • @gracewanjiru3593
    @gracewanjiru3593 10 месяцев назад

    But why was he not taken to Nakuru Aki pesa

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 10 месяцев назад +2

    This corruption he should have been judged in naikuru and not Nairobi mnasema uchumi ni mbaya and you are westing tax payers money

  • @Theaeastafricaninterest
    @Theaeastafricaninterest 10 месяцев назад +4

    Imekua kesi ya National Interest😂😂😂

  • @jackiesavatia5646
    @jackiesavatia5646 2 месяца назад +4

    Rest In Peace chira 😢

  • @deborahmoige2363
    @deborahmoige2363 2 месяца назад

    No more Brian Chira to stand before courts

  • @user-ms1du2bv4p
    @user-ms1du2bv4p 2 месяца назад

    Rest in Peace Brian Chira 😢😢😢😢😢😢😢. Am currently cutting some onions 🌰 😢

  • @annngigi2319
    @annngigi2319 2 месяца назад

    😂😂😂aki chira ati false na ilikua kweli na venye ako searious.
    Anyways rest in peace chira

  • @emmaculate3523
    @emmaculate3523 10 месяцев назад +2

    Tushaazoea maceleb wa kenia

  • @elizabethwanjiru3022
    @elizabethwanjiru3022 2 месяца назад +1

    😢😢😢😢rest in peace brian chira

  • @joanwanjiku3993
    @joanwanjiku3993 10 месяцев назад +9

    its good sometimes people should learn that there's law and order even on social media

    • @sylviahkinyangi9892
      @sylviahkinyangi9892 10 месяцев назад +2

      Exactly,he said very horrible things that day

    • @pichunakichuna2111
      @pichunakichuna2111 10 месяцев назад

      When you put your life in social media expect reaction matusi yote

    • @omosteve
      @omosteve 10 месяцев назад

      @@sylviahkinyangi9892lkok@

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 месяца назад +2

    REST IN PEACE 🙏 BRAYAN CHIRA

  • @user-xz1hc4ls3x
    @user-xz1hc4ls3x 2 месяца назад +2

    Mtoto yatima Hana mama wala baba wala ndugu maisha yake ya taabu unampeleka cotini.. Strees kill

  • @michaelkimeu448
    @michaelkimeu448 10 месяцев назад +3

    Kwani kotini watu uongea ukweli 🤣🤣😅😅🤣 ngai we

    • @Rozzie22
      @Rozzie22 10 месяцев назад +1

      Ahaaa yes someone need to carry a bible and swear whatever he or she is going to talk let it be the truth🤭😋🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @michaelkimeu448
      @michaelkimeu448 10 месяцев назад +2

      @@Rozzie22 weuh😅😅🤣 imenishtua vile uyo jamaa alikua akisona hio story hahahaha 😅 mi siezi mbele ya watu woooh

    • @sylviahkinyangi9892
      @sylviahkinyangi9892 10 месяцев назад +1

      Wee, l'm also surprised, facts tu ndio zinaongea,wooi Chira

    • @GladysKilaho
      @GladysKilaho 10 месяцев назад +1

      ​@@michaelkimeu448😹😹😹Kwanza Io part ya mat*a*co soft soft

  • @amoswaithakamaingi8945
    @amoswaithakamaingi8945 2 месяца назад

    Waiting for Brian chira to introduce himself

  • @bettygacheri3888
    @bettygacheri3888 10 месяцев назад +7

    God is with chira 😢

    • @nazlenewambui1104
      @nazlenewambui1104 10 месяцев назад +7

      The same God is with Azziad
      Let's not just normalize cyber bullying.
      He needs to learn to respect people bana.
      Iwe funzo Kwake na wenye tabia kama zake.

    • @wabrewamukenyi5246
      @wabrewamukenyi5246 10 месяцев назад +1

      @@nazlenewambui1104very true,,acha ata wengine wajifunze na yrye

  • @gabu_ke2545
    @gabu_ke2545 10 месяцев назад

    Tena naskia ati Nyako Pilot pia anakuja kenya august 4 tena afungue kesi na chira aki bro tunakuombea tu

    • @rosemanga2480
      @rosemanga2480 10 месяцев назад

      Nyako is in kenya 🇰🇪 since last week alikuwa dandora leo

  • @consolatamusilijoseph...
    @consolatamusilijoseph... 2 месяца назад

    The man is gone forever...I cant imagin...RIP chira

    • @peterkariuki9073
      @peterkariuki9073 2 месяца назад

      He was shot in the head two times. They lied to the public that it was accident.

  • @abbssy567
    @abbssy567 10 месяцев назад +2

    Thanks to God

  • @youngstateke
    @youngstateke 2 месяца назад

    And now He is gobe 😓😭😭

  • @jessy2404
    @jessy2404 2 месяца назад +1

    Rest in peace Brian chira 😢

  • @joyceodera7827
    @joyceodera7827 10 месяцев назад +3

    Hii kitu haiskiki bana

    • @Rozzie22
      @Rozzie22 10 месяцев назад +1

      Kumbe siko peke yg nimeweka volume yote bana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💔

    • @samwelonyangoonyango258
      @samwelonyangoonyango258 10 месяцев назад

      The sound is okay,unless your phone has a problem.

  • @sarahdalphine9000
    @sarahdalphine9000 10 месяцев назад +2

    Chira… Brian chira.I’m sure hutawahi fungua mdomo yako kutusi mtu haujui. Let his case be a lesson to others.Kila mtu amepigwa na Maisha ngumu so it should not be an excuse ya kutukana watu

  • @tabithatabith
    @tabithatabith 2 месяца назад

    Rest in peace chira 😢😢😢😢😢😢

  • @motungi5520
    @motungi5520 2 месяца назад

    I wish all these pipo knew wat this young man was going thru😢he needed therapy sad his gone

  • @donitotia151
    @donitotia151 10 месяцев назад +8

    The bible says the tongue is a blessing and a curse

    • @Rozzie22
      @Rozzie22 10 месяцев назад

      Sure😥

    • @beckyrebeccaawuor8470
      @beckyrebeccaawuor8470 10 месяцев назад

      No. The tongue is not a blessing and a curse. With your free will you can choose to bless or curse with your tongue but the tongue is a very good and powerful thing. Using it is what's the issue with people. The tongue is just chilling. It can't control itself.

  • @linetvike3941
    @linetvike3941 2 месяца назад

    May his soul rest in peace 😭

  • @GladysKilaho
    @GladysKilaho 10 месяцев назад

    Na sijui mbona hawashiki mwiti😹😹😹

  • @jannifermaroko3207
    @jannifermaroko3207 10 месяцев назад +1

    People should learn from this

  • @festusmwema92
    @festusmwema92 2 месяца назад

    Will miss u big,rip

  • @samwelonyangoonyango258
    @samwelonyangoonyango258 10 месяцев назад +1

    Surely ,those charges.I just felt like pausing for a while.

  • @josephatmwangi5814
    @josephatmwangi5814 8 месяцев назад

    He deserves this ako Na characters mbaya ,,,,,infct anaencourage LGBTQ

    • @motungi5520
      @motungi5520 2 месяца назад

      He is resting in Peace away from u Jesusz assistant.

  • @carolinekamande8579
    @carolinekamande8579 10 месяцев назад +1

    Anaplead aje not guilty na kuna video evidence?

    • @leilakira
      @leilakira Месяц назад

      Ingekuwa wewe ungekubali lazima ajitete

  • @kellasomusugu5083
    @kellasomusugu5083 2 месяца назад +3

    Matako softsoft 😂😂😂

  • @emmaheladia3551
    @emmaheladia3551 10 месяцев назад

    Nashangaa

  • @jackokoth2859
    @jackokoth2859 10 месяцев назад +2

    It's what it's 😂😂😂 softsoft😂

    • @ramazan24217
      @ramazan24217 10 месяцев назад

      Weeee😝😝😝😝👍🏿👍🏿soft soft balaa hiii

  • @SharonCherotich-mx8bf
    @SharonCherotich-mx8bf 2 месяца назад

    rest easy brian😭😭😭😭

  • @lisperbonareri9602
    @lisperbonareri9602 2 месяца назад

    Go well Brian

  • @joydeprincess1289
    @joydeprincess1289 2 месяца назад

    Rip chira

  • @rakimrabar6634
    @rakimrabar6634 10 месяцев назад +2

    Free Chira Brian

  • @margaretmuriithi3898
    @margaretmuriithi3898 2 месяца назад

    Afhali chira angefungwa hangekufa.

    • @RiriwaNgai
      @RiriwaNgai 2 месяца назад

      If there is evil spirit running with you ,it's will left you in the grave,ata uko kwa jela watu hukufia uko ,unless you repent your sins you give your life to Jesus you will be saved from evils

  • @mildredndinda2160
    @mildredndinda2160 2 месяца назад

    Rip brian

  • @lucynjeri5447
    @lucynjeri5447 2 месяца назад

    RIP Chiira

  • @HenelyKinyanjui-dd8lb
    @HenelyKinyanjui-dd8lb 2 месяца назад

    Rip Brian chira

  • @maryoduor4944
    @maryoduor4944 2 месяца назад

    Rip chiraa

  • @losttribe007
    @losttribe007 10 месяцев назад +2

    Kesi gani hii na anaemshtaki hayupo?🤡

    • @remmyvlog8862
      @remmyvlog8862 10 месяцев назад +1

      Azziad Ako amevaa Marvin ya black

    • @rhodayvette5028
      @rhodayvette5028 10 месяцев назад

      Arocho check well amevaa marvin

  • @laurahevance4125
    @laurahevance4125 2 месяца назад

    Soft soft😂 true or false,chira ety false, anyway rip😢

  • @QueenTheGamer.
    @QueenTheGamer. 10 месяцев назад +3

    😂

  • @jamesmwangi5552
    @jamesmwangi5552 10 месяцев назад +2

    Afungwe mjinga yeye

    • @user-hk1pw5dm7c
      @user-hk1pw5dm7c 10 месяцев назад +1

      Coz jera ni kwa babako....jinga type....usiombe watu mabaya Kuna kitu Yako amekula....hata yy pia hio ni side hustle yake....tenar SI yy pekee hutusiana...nyako hio matusi hutusiana SI matusi Hadi alitusi kanze dina

    • @fidelismacharia6556
      @fidelismacharia6556 10 месяцев назад +2

      Usiwahi takia mtu mabaya aki unajua maisha ya jera venye ni ngumu then unasikia nimugonjwa

  • @jamesgitau3925
    @jamesgitau3925 10 месяцев назад +3

    Forgive that boy
    He is growing up and be friends
    Aziad

  • @petermwangi8057
    @petermwangi8057 10 месяцев назад +2

    His name is chira.briiiiiian chira

  • @Marymutheu-hg2ro
    @Marymutheu-hg2ro 2 месяца назад

    Rip chira