MCHEZAJI KADI NYEKUNDU (DOGOSELE &STEVE &MTUKUFU)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 411

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi  3 года назад +67

    USISAHAU KU SUBSCRIBE LIKE NA KU SHERE ASANTE KWA SUPPORT YAKO KWETU

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 года назад +1

    Sele umewakomoa sana walidhani wao wajanja kumbe akili ku kichwa hongereni sana munaweza hadi munakera👏👏

  • @hamoodhamood9241
    @hamoodhamood9241 3 года назад +1

    Steeve..Sele na Mtukufu mnafurhisha sana endeleeni hivyo hivyo.Mungu akubarikini.

  • @hajimohdali5112
    @hajimohdali5112 3 года назад +1

    Dah dogo katisha Sana hongereni mungu awasimamie kweny kazi zenu

  • @aliyfaki7502
    @aliyfaki7502 3 года назад +1

    Mmetisha Sana hongera dogo sele na Hongeren mtukufu na mwalim

  • @aljimmykabumbabinazam9904
    @aljimmykabumbabinazam9904 3 года назад +1

    Eti abaya mu amukiya eti amu amukiye stive wewe like zetu jamani 😃😃😃😃😃😃😃

  • @fidelismunywoki
    @fidelismunywoki 3 года назад +1

    hii nayo nimeipenda daah imenichekesha aje jamani....kazi zuri mnayoifanya.

  • @masalabitemo496
    @masalabitemo496 3 года назад

    Mmmm jamn mbona mpo vzur sana mungu awabariki sana

  • @saiditawani3698
    @saiditawani3698 3 года назад

    Mungu awabariki muendelee ivyoivyo a aisle mna chekeshasana

  • @riyadahmad8300
    @riyadahmad8300 3 года назад +3

    Pamoja sana term Steve tujuane kwa like

  • @bashrug4090
    @bashrug4090 3 года назад +3

    Kaziii nzuri sanaa brooo inatuondolea stress kwa kiwango kikubwa sanaa mungu abariki kazi yako hii

  • @chancemupanza8065
    @chancemupanza8065 3 года назад +1

    Vizuri kabisa mimi nafata sana vidéo zenu niko RDC Congo Goma tiwn

  • @hamidalucas7300
    @hamidalucas7300 3 года назад +1

    😂😂😂😂😂 dogo sele kazi nzuri Sana wote kwa pamja

  • @ommyhatungimana1457
    @ommyhatungimana1457 3 года назад

    Daaaaaah refer mzuri saaaana dogo sele umetisha

  • @emmanuelmwinzi1851
    @emmanuelmwinzi1851 Год назад

    Mumetisha xana dogo sele na mtukufu na mwalimu wenu hogera xna

  • @raymondimboywa9698
    @raymondimboywa9698 2 года назад

    Muko juu sana nafatilia kutoka Kenya naitwa Raymond

  • @jackwilsher8800
    @jackwilsher8800 3 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂One love sana kwenu steve mweusi dogo sele na mtukufu kazi safi sana

  • @mporanimanajuvenal7854
    @mporanimanajuvenal7854 3 года назад +1

    Nakukubali Steven dogo sele amekoma sana

  • @djbillionsafrica5837
    @djbillionsafrica5837 3 года назад +2

    Aki Amungu🤣🤣🤣 Steve mambo yenu yatanimaliza eti nyama unachukua taratibu, much love ktk Kenya 🇰🇪

  • @jimmychea6075
    @jimmychea6075 2 года назад

    Sele Bana we n champion dogo ... Mungu akujlie kipaji chako inshallh 🙏

  • @JamesCkjunior
    @JamesCkjunior 5 месяцев назад

    Cstive mm nimkenya upovizuri kaka walai upon juu Sana mkuu.

  • @kanyepakasongoyunus7230
    @kanyepakasongoyunus7230 3 года назад +1

    Naweye tuna kushukuru kwazi nzuri yenye kufarahisha 👌

  • @princefadhil4409
    @princefadhil4409 3 года назад +2

    Nawkubal Steve dogo sele na MTUKUFU nawapenda mm fadhil 🙏God willing anydays🥰🥰

  • @jumannesospeter7029
    @jumannesospeter7029 3 года назад +1

    Mmenifurahisha sana mungu awabaliki

  • @FinelandDavid
    @FinelandDavid 3 года назад +1

    Dogo sele mtu wangu na stive... Red card iko Sawa kwani ref hali 😂😂😂😂😂

  • @innocentmtama5512
    @innocentmtama5512 3 года назад +2

    Sele kawaweza kabisa!!kikikiki

  • @sergengongote5390
    @sergengongote5390 3 года назад +1

    Kwema kabisa!!
    Naipenda
    Ila sele ndo ka tisha kabisa🇨🇩
    Mpaka refer kacheza mpira mwenyewe

  • @kizaruhindiza5138
    @kizaruhindiza5138 2 года назад

    Mimi pasta kiza Ruhindiza ninawapenda sana Mubarikiwe

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 3 года назад

    Big up seteve sele na mtukufu hahaha uwa nafurah sana nikiwachrk

  • @selemanichijuni2716
    @selemanichijuni2716 3 года назад +3

    Mmetisha sana wazee, keep it up

  • @lekumolukumay6832
    @lekumolukumay6832 3 года назад

    Asantee sana kazi nzuri sana mnatupa raha sana

  • @thepowerband9892
    @thepowerband9892 3 года назад +2

    Nzuri sana iyo dhu😁😁😁😁😁

  • @priskilakaay3772
    @priskilakaay3772 3 года назад +2

    So very nice Steve and dogo sele go on....🥰🥰🥰

  • @hassanabuu6
    @hassanabuu6 3 года назад +2

    Big up sana from Zanzibar(unguja Island) Hassanol was Awesome show

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 года назад +2

    A boy from Iringa . Nawakubali sana

  • @iwacutalententertaiment8318
    @iwacutalententertaiment8318 2 года назад

    Munatufurahisha sana mzidi kusonga mbele

  • @World_news_USA
    @World_news_USA 3 года назад +1

    Steve mweusi comedy zako ninzuri sana nazipenda sana

  • @jimmymbebe
    @jimmymbebe 3 года назад

    Tunawapenda sana Kwa vicekesho kama ivyo

  • @blaisebanyene4946
    @blaisebanyene4946 3 года назад

    Powa sana kaka Blaise banyene toka DRC

  • @pesabakarimwambewe2793
    @pesabakarimwambewe2793 3 года назад +1

    Santa dogo sele umewachezesha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Steve na mtukufu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ivorimlonge6698
    @ivorimlonge6698 3 года назад

    Nakukubal mwanangu Stiv kazi zako n nzur

  • @samwelmusicministry.6348
    @samwelmusicministry.6348 3 года назад

    Jitahidini tunazipenda.... Mfike mbali anko Steve.

    • @francofrancis4188
      @francofrancis4188 Год назад

      Mnajitahid ase sele mjanja na mim nataka nijiunge na nyie

  • @heritierselemani5745
    @heritierselemani5745 3 года назад

    vizuli sana ,emman yoka drc Bukavu

  • @EmmanuelMkosa-xu9rj
    @EmmanuelMkosa-xu9rj Год назад

    Mpo vizur

  • @dorabayo5045
    @dorabayo5045 3 года назад

    Jaman nimewapenda bure jaman mko vzr sana

  • @sisal254
    @sisal254 2 года назад

    From Kenya I love you work steve

  • @aljimmykabumbabinazam9904
    @aljimmykabumbabinazam9904 3 года назад +1

    Awa kuzani kama chakula njo ita kuwepo

  • @zubemillionea1766
    @zubemillionea1766 3 года назад +3

    🤣🤣🤣 we Steve unajua kunivunja mbavu dadeeeeq 🤣🤣🤣🤣

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 3 года назад +2

    😂😂😂😂 umeshika nyama vibaya. Team Steve mweusi 🙌🙌🙌

  • @youngkillerjunior7545
    @youngkillerjunior7545 3 года назад +1

    Hii iko poa sanaa kwa refaa ety💖💖🤣🤣🤣

  • @sponsorboyofficialtz1191
    @sponsorboyofficialtz1191 3 года назад +1

    🤣🤣🤣 Steve we nimbunifu sana up wote bro

  • @mhaaboykigoma7211
    @mhaaboykigoma7211 3 года назад +1

    Nakubali sana Sele na Steve and mtukufu

  • @kambalembakulirahi1269
    @kambalembakulirahi1269 2 года назад

    😄😄😄😄😄😄😄😄😄 kazi njema kwakutufuraisha

  • @shekhaally2015
    @shekhaally2015 2 года назад

    Dogo sele king of the comedian

  • @abdallaaboud3818
    @abdallaaboud3818 3 года назад +1

    Dogosele ulichelewakutoa mapuziko

  • @jumajerald6186
    @jumajerald6186 3 года назад

    Nazipenda xana video zenu endeleeni kutupa vitu ivyo ivyo vitamu dah!! mnatixha xna

  • @richardmakene7780
    @richardmakene7780 3 года назад

    Mbav zetu jmn mtuuurumie kias fulan ingawa tnafrahia xn

  • @sharfshehe4454
    @sharfshehe4454 3 года назад

    Umetisha daaah selle noma

  • @mjsteven3297
    @mjsteven3297 3 года назад +1

    Wajina, dogo amewaweza...

  • @vilaspatel8195
    @vilaspatel8195 2 года назад

    Hongera dogo sele tupo pamoja

  • @yeremiapaulo2950
    @yeremiapaulo2950 3 года назад +1

    Show kali wakali

  • @ezekielbayyo9489
    @ezekielbayyo9489 3 года назад

    Dogo sele umetisha kinoma

  • @rmsohasan9730
    @rmsohasan9730 3 года назад

    Haaaaaa umefaidi hay maminof Sele waooo

  • @kingoftzde_vi5253
    @kingoftzde_vi5253 3 года назад

    Brz hapo umetixha ile mbyaa kk big up xna kwako yan 👍👍👍👍👍

  • @emilywairimu1385
    @emilywairimu1385 3 года назад

    Sele wee ni mjaja sana

  • @phabianiwiliamumkuchu7078
    @phabianiwiliamumkuchu7078 3 года назад

    Jamani namimi nnacheza cripu nilitaka nifanye kazi nanyie mnasemaje

  • @bonifacejunior303
    @bonifacejunior303 3 года назад

    Dogo sele umetisha bwana

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 года назад +1

    Mumetisha xanaaaaaaaaaaa

  • @muhammadsilima9832
    @muhammadsilima9832 2 года назад

    Mmetisha sana madogo.

  • @princefadhil4409
    @princefadhil4409 3 года назад

    Hapo dogo sele umeweza

  • @philimondonard8508
    @philimondonard8508 3 года назад

    Dah! Nawakubari kinoma

  • @kakeileelias4235
    @kakeileelias4235 3 года назад

    Saf Sana jaman duh mnetisha Sana yan

  • @maishajuma6647
    @maishajuma6647 3 года назад

    😂😂😂 steve na dogo sele kazi safi sanaa

  • @ibrahimhassan2633
    @ibrahimhassan2633 3 года назад

    Steve nakupa kadi nyekundu😂😂dogo sele unatisha wallahi

  • @singumayilakuyela4203
    @singumayilakuyela4203 3 года назад

    Kumbe unapenda kusalimiwa steve

  • @kalumecharles9581
    @kalumecharles9581 2 года назад

    Kazi poa bro

  • @FTOtheGK
    @FTOtheGK 3 года назад +1

    refa anapaswa kuwa mjanja tu.

  • @ramadhanmambe5494
    @ramadhanmambe5494 3 года назад +3

    Refa kachezesha kwa Khaki 🔥🔥🔥

  • @Mathiasamani202
    @Mathiasamani202 3 года назад +2

    Ndani kabisa

  • @milajiibrahimramadhan255
    @milajiibrahimramadhan255 2 года назад

    Aaaa noma sele katisha sana

  • @bremiteef9221
    @bremiteef9221 3 года назад +1

    Love from Burundi

  • @jumamitango5189
    @jumamitango5189 3 года назад +1

    😂😂😂😂😂wewe tukutane finali umeshinda 😂😂😂love from 🙋‍♂️🇺🇬🇺🇬Ndugu zangu 😂

  • @jennyfumbo7364
    @jennyfumbo7364 3 года назад

    Wazeee mnanifanya nicheke kwa sauti nawakubar san

  • @sarafinasimbeye7764
    @sarafinasimbeye7764 3 года назад

    Haha unachkua nyama taratibu hahaha uwiiii

  • @emakadope5939
    @emakadope5939 3 года назад

    😂😂😂😂umeshika nyama vbayaa nimewakubali sana

  • @bmdino9774
    @bmdino9774 3 года назад +2

    One love from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @yassinm69
    @yassinm69 3 года назад

    Huyu dogo sele namkubali

  • @uiavajiwgav5441
    @uiavajiwgav5441 3 года назад +1

    Wow imeweza💪💪

  • @bonfilskashaba7381
    @bonfilskashaba7381 3 года назад

    Nafuatilia tokea kongo drc

  • @ناجمهحسن
    @ناجمهحسن 3 года назад

    hahahahahahahahaaaaaa dogo sele wewe ati umeshika nuama vibaya hahahaaaaa rifa jamani

  • @theophilytheophily4042
    @theophilytheophily4042 3 года назад

    Mmetisha sana

  • @lekumolukumay6832
    @lekumolukumay6832 3 года назад

    Yaan mko vizuri sana

  • @shabitiroza5683
    @shabitiroza5683 3 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂❤️😂😂😂😂😂😂 sele kwaleoo wame mkomowa jamani 😂😂😂😂😂

  • @hamidusule3128
    @hamidusule3128 2 года назад

    Stive na Sele nawakubali kioma

  • @aggreykombo4705
    @aggreykombo4705 3 года назад +1

    Good job seteve 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Josephsniperofficial2413
    @Josephsniperofficial2413 3 года назад

    😂😂😂😂😂dogo mjaja kabisaa jamani dah

  • @SureMbarak
    @SureMbarak Год назад

    Saw nakubali sana😅😅

  • @tommuhamad384
    @tommuhamad384 3 года назад

    Mmetisha kweli kweli

  • @manisobblowi8894
    @manisobblowi8894 3 года назад

    Nakupea salut steve i love all mwaàh

  • @onceinawhile9921
    @onceinawhile9921 3 года назад

    😂😂😂vocha lini bwana steve