Ukona pesa na ukuli umekondewa kama gasia kweli pesa za shetani hazina amani izo gari zako zmenona kushinda mwenyewe ambia iyo tumbili kuosha meno zote ni thao tatu mazee😅
Wewe hujui utamu ya ku own a vintage I have one na watu hutaka ata kunipa mita mbili ni wauzie wengine hua na kutana na wao kwa jam wakiwa lane ingine kando wanasema, *"siunizie hii gari Yako,"* but hua sitaki ile kazi nimeifanyia acha tu so for tumbili it's not about how expensive the car is, it's the vintageness in it
Gari inanuka mafuta taa🤣🤣😭
Watu huwa wanachachisha ndiyo hawananga any 2mbili ako na doo lakini anachezaa chini🎉🎉
Doo gani
Nilkua naonanga watu na simu mob naona ikiwa kitu noma and stylish sana until i tried it,wuueh ni show off tu but hectic mbaya
The level of friendship hapa 🤗🤗😂
ati 274 people wana ng'ethia tu kwa mfuko ya Kenyan prince 😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅mawazimu wawili wakipatanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ety simu zake nane. Mwambie vile KRG😂 amefanyiwa
You're looking smart in that haircut.... Hiyo ingine shagy unakaaga jambazi
Yoooh umeweza tumbili shikisha yeye moto Hadi anunue Gari ya adabu😂😂😂
Swag nayo ni gani 2mbili
@2mbili Ukifika Ethiopia since hupiti Uganda Nitafute hapo Addis nikujazie Tank
Uyo boiz amesota awache mdomo, 2mbili lazima tufike Cairo.
Wacha wivu
Nataka hio kiburi ya Prince pia😂😂😂
Nyoa makwapa😅😅😅😅😅
Wakenya tuliwaka gwai ady mnavaaa masuti hazina mkono moja 😂 ii kitu mkuwe mnatoa mbegu juu mahali wengine wetu tunaelekea ni mathare 😅
Fake life aki!!! Kumbe ni #kamKisii ... Kisiis we don't fake life that way... Huyo ni mda tu akuje kusema ilikua vipindi😅😅😅
Ati i want to be like you when i grow up enyewe tumbili ukivuta hewa tu unafyat😂
Hyo hair style ya 2 mbili iko top
Thanks alot G❤
Tumbili my friend. Ukibreathe hewa unafyatu😂😂😂
Ambia tumbili anyoe makwapa, bigfan😂😂😂
Hii gari imekuwa content. Heri mboya sasa
Its your time to unsubscribe 😂😂 Hii content huwezi elewa
@@2mbili1 I will never leave this channel bro. I love you sana
Hapokwa nwele 2mbili iko sawa
Hii kumbaff inashindaga na wise and genius guy Kenyan Prince most of the time lakini sielewi mbona hasaidiki...kazi ni kuomba tu pesa na kujiaibisha
Tumbili hiyo koti ni mastyle deadly deadly 😂😂😂😂
Today I love the show is tumbili guy ako na madharau is big mouth
I just love this guy
Wakisiiiiiiii ni ogopa, anything that a Kisii tries to make you to believe take it with lots of doubts, they they are the Nigerians of Kenya
2mbili ambiya ako kamkisii kaache madharau
😂😂😂 Hii imenibamba
Nani anakaa waruu
Ati ina vibrate kama Kiasiagi
I'm coming and vastly cominh
Ukona pesa na ukuli umekondewa kama gasia kweli pesa za shetani hazina amani izo gari zako zmenona kushinda mwenyewe ambia iyo tumbili kuosha meno zote ni thao tatu mazee😅
22 ukona mec mbaya Kam nukuundie gari
leo wamekupata kiwi kwa kichwa bro
so tumbili amenyoa😂😂😂😂
Nimeona ile audi ya kenyan prince ikiwa cramped na kanjo mahali
Ati watu 274 wameng'ethia kwa live... Ogopa..🤣🤣🤣
Wacheni kuhire gari for 50days ,just show off wengine tukona v8 na atushtuki😅😅😅
V8 ni gari gani hiyo ndugu🤔🤔🤔
@@danielbarasa3342 continue asking
@@danielbarasa3342 Kuna motors company enda uangalie uko
We uko na nyumba ya Toyota😂
3Tatu always funny😂
Enyewe hio blazzer unafaa tu kuvaa kama uko vitu
Tafta kazi ingine ufanye
8:19 😂😂😂😂😂 8:19
Badilishq kofia bro😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 young millionaire eti 2mbili achukue ndudhi
Nice interior
Huyu kijana nimwizi ati iko na trading accounts 😂❤😂😂
Hujachoka bro
Kenyan prince never fake life again.
Ati inavibrate kama kisyagi my lawd I wonder
😂
Nywele**
I wish ningekuwa na kama hii yako tumbili
Ipo Siku
Amina Mzee mzima #kanairotocairo
Eti engine ni 1000cc ama 200 cc bro.... Really now??? Hehehe
hiii lancer ikona shidaa daily
Mwanaume ni mashida 😂
Mnanibamba
Kumbe Tumbili pia wewe hu-shave nywele hahaha
Nyoa kwapa brother nimeona Kwa umbali
Mwanaume unaanza aje kunyoa makwapa??
@@2mbili1 haha nimekubali bro
Buda nimekuona hapo ambassador Court leo
Ooh nice was visitng my Girlfriend Awinja
😂😂@@2mbili1
TUMBILI ALWAYS TRYING TO PROVE PEOPLE HOW HE HAS EXPENSIVE AND CLASSY VEHICLE ITS LIKE HE IS ALWAYS AFRAID PLAYDOWN
Even If I Had Nothing To Show I still Cant Allow Any Man To Put Me Below Them!! Stay Gangstar!!
Yeah gangster,gangster😈
@@2mbili12mbili ni tumbili tu. I love you bro.. real comedian
@@2mbili1Hau sio 😂 yeahman
Wewe hujui utamu ya ku own a vintage I have one na watu hutaka ata kunipa mita mbili ni wauzie wengine hua na kutana na wao kwa jam wakiwa lane ingine kando wanasema, *"siunizie hii gari Yako,"* but hua sitaki ile kazi nimeifanyia acha tu so for tumbili it's not about how expensive the car is, it's the vintageness in it
This lancer is giving 2mbili more views
😂😂😂
kanyari alifanya huyu jamaa anyoe lakini bado anavaa kaa mwendawazimu
Kama mzae wako 😂😂
Huyu Ni chizi..!
BOOK ME FOR AN INTERVIEW,,,I WILL BE A MILLIONAIRE SOON
,,😂😂
Young Millioner of scammer
Nani anakaa waruu
😂😂😂😂