ALLAH ATUONGOZE HAKIKA YA WATU SIKU HIZI WALICHOWEKA MBELE NI MTU MWENYE PESA NA HATA WAZAZI WENGINE WAMEKUBALI KUWAFUNGISHA HATA WATOTO WAO NDOA ZA SERIKALINI NA KILA MMOJA ABAKI NA DINI YAKE ILI MRADI TU KIJANA AWE MTU MWENYE PESA ALLAH ATUEPUSHE NA HAYO TUMUOMBE ALLAH ATUONGOZEE KATIKA NJIA ILIONYOOKA KWA UWEZO WAKE.
Allah akupe kila aina ya kheri katika maisha yako amin 🎁
Barakh Allah fikh
Napenda mawaidha yko sheikh lazima utoe qisa . Inapendeza sannna 💯❤️
Mashallah
Allah atujaalie tuwe wenye kupend Allah na sio tamaa ya Mali amiiin yaarabbali ghalamiina nashukuru Sana ustadh wangu ❤️
Jazaakallah Khair Allah atuongoze katika njia nyoofu na a2jalie mwisho mwem Amin
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin
Jazakumllahu khayra 🙏 Allah akuzidishie elimu na upeo wa wa kuuiendeleza dini yetu liislamu alhamndulillah 🙏❤❤
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin
ALLAH ATUONGOZE HAKIKA YA WATU SIKU HIZI WALICHOWEKA MBELE NI MTU MWENYE PESA NA HATA WAZAZI WENGINE WAMEKUBALI KUWAFUNGISHA HATA WATOTO WAO NDOA ZA SERIKALINI NA KILA MMOJA ABAKI NA DINI YAKE ILI MRADI TU KIJANA AWE MTU MWENYE PESA ALLAH ATUEPUSHE NA HAYO TUMUOMBE ALLAH ATUONGOZEE KATIKA NJIA ILIONYOOKA KWA UWEZO WAKE.
Ameen
Ammina ya rabbill unayoingea ni kwl kabisa mtihani mkubwa ktk zama ya shz
Aamiyn yaa Raabbal alamiyn
🎉🎉🎉
Nauliza uyu sheikh hassani anapatikana wap natamani kumuona
Shk anapatikana Nchii ya kenye huko Mombasa Malindi,
@@WazirJuma-gd5oombn Ivo mm nilijua anaishi Tanzania 😢
Hapana makazi yake ni Mombasa@@asilahassan9965
🙏
Sh naomba kuuliza mume unaruhusiwa kumtumia mwanamke sauti yake wakati siyo wa familia inafaa?!