@@laveritefilms5719 biti ambalo kaproduce s2kizzy utaskia "Sss2kiizy baby" ngoma ikianza na ukiskia mwanzo wa ngoma "ayo laizer" kama kwenye "achii" ya diamond jua hapo ka produce laizer... biti za S2kizzy nyingi hua anazipeleka kwa Laizer azipitie afanye mixing na kublend hivo ukiskia ngoma mwisho imeishia "kamix laizer" ujue hyo ngoma imeproduziwa na prod Mwingine lakini imepitwa kwa spund engineer mwenyewe ayo laizer ameimix na kuiwekea vikorombwezo vngine. Na sio s2kizzy tu maproducer wengi wanapeleka kazi zao kwa laizer.
TZ tu lakin SA ni wa kawaida sana yaani. unakumbuka ata mondi alikua na wale ngaz matosh wapo wapi leo. kuna wasanii SA uwagusi hao ndio wenye mziki wao amapiano
Pia nimeweka historia wakwanza kulike bonge la dude amu crazy
Tanzania s2kizzy zombi like here🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼
We Zombie...
Kwani zombi ndo Lizer ao lizer ni mwingine halafu s2killz naye pia mwingine mbona Lizer naisikia saaana kwenye nyimbo nyingi za tz vipi munieleweshe
@@laveritefilms5719lizer ni mwingine. But both lizer and s2kizzy ni best producers. Lizer is killing also kwenye mixing
@@laveritefilms5719 biti ambalo kaproduce s2kizzy utaskia "Sss2kiizy baby" ngoma ikianza na ukiskia mwanzo wa ngoma "ayo laizer" kama kwenye "achii" ya diamond jua hapo ka produce laizer... biti za S2kizzy nyingi hua anazipeleka kwa Laizer azipitie afanye mixing na kublend hivo ukiskia ngoma mwisho imeishia "kamix laizer" ujue hyo ngoma imeproduziwa na prod Mwingine lakini imepitwa kwa spund engineer mwenyewe ayo laizer ameimix na kuiwekea vikorombwezo vngine. Na sio s2kizzy tu maproducer wengi wanapeleka kazi zao kwa laizer.
Chley wewe ni msanii wa Tanzania 🇹🇿. Rudi nyumbani 🎉🎉🎉
Aisee kama kweli😅
🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Our Tanzanian Girl that living in ZA Again.🫡🫡🫡🫡🫡
Good music , good vibe, attractive music , unajua sana kuimba hii ni hit song bro .. blessup❤
Noma wazee respects 🙌 for Tanzania 🇹🇿 🎉 we are talented ❤
🎉🎉😢
Kwakweli lakini Nina swali
😮@@MirriamFaith
Chley nkosi she is among of favourite artists in ma life 😂😂 I appreciate every song that she sing that girl
Ngoma kari sana broo, angekua Diamond basi straight to international
Ila Chley wamuache asee maana sio kwa hizi Hits anazozimake 🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥🔥
TZ tu lakin SA ni wa kawaida sana yaani. unakumbuka ata mondi alikua na wale ngaz matosh wapo wapi leo. kuna wasanii SA uwagusi hao ndio wenye mziki wao amapiano
Waliyo kuja APA kwa sababu ya baba levo kaongeya tujuwane kwa like APA
Nomaaa
Unawezaaaa
Tishaaaa
Uhakaka
Mzigooo mkubwaaa
Good from Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Uyu demu anawezana na simba tuuu🙌
2
SIO KWEL ALIIMBA NA MONDI ALIMFUNIKA SANA, ILE YA SHUU MONDI ILIKUA KAMA SIO WIMBO WAKE TENA
Maua Ya matutu nipeni hapa
One of the best producer in Tanzania,we love you brother
Director 🇹🇿
Producer 🇹🇿
Tumekua sasa
Hata msanii ni mtanzania vile vile
You did a good sound and this woman is so nice I give you 100% of 👏👏 🎉 please drop another song boss 🇰🇪
Hii Ngoma ni 🔥🔥🔥
Simba anafaa aruke ndani a....
Ngoma gan
Coming to home🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Respect sana uyu moto uleuleee🎉❤❤❤
Chley kam chley sijajua kam unajua kiswahili lakin najua unaipenda san bongo so ngoj tuu niongee kiswahil wew unajua
Murah umeuaaaa ❤❤❤ hatari sana
Tanzania Amapiano is here to take over much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ankoo hii video nomaa 🔥🔥🔥🔥Folex kauaaa sanaaa
Tanzania director fire🎉🎉and zombie producer
The song is another level i respect this girl
My baby sisataa Chley the hidden gem 💎 of Amapiano ❤
Oyaweeeee sio poa ngoma kali sana afu uyu dada wa SA anabalaa Zito sana.
Leo nimeamini Chley nkos ni 🔥🔥
Wabongo Chley apatiwe ulinzi
Nomaa
Unajuaaaa
Fujooo
Unawezaaa
Matutu
Kama Sio baba levo nisingeiskiza hii ngoma
Love from 🇹🇿 zombies again let’s go 😂😂😂❤
I see people they coming because of CHLEY 😊❤❤
Me🥰
Much love from tanzania
I know you from Haujui Tanzania 🇹🇿 stand up
Amapiano sasa ni mziki wa Tanzania sio South Africa
Hii goma ilimisi tu sauti ya mwamba mmojatu ..mtoto wa madangote🧏🧏💯🔥🔥🔥
grammy award tutaiskia tu wasanii wetu TZ amna kitu
Matutu this is an astonishing stone right here, keep up the good vibes 💯 No bad vibes #Tz
Nice song just now speed from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥
Chley nkosi always delivers😅
The Hero B. hapa ☝️anakupongeza Dada Clara kwawimbo mzuri🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥🔥 FROM CONGO GOMA 🇨🇩🇨🇩🔥🇨🇩✔️
Hii nyimbo angepita diamond dah ingelìkua moto zaidi 🔥🔥🔥🔥
Chley njoo uishi Tanzania🎉🎉🎉
G unaweza sana🎉🎉
🔥🔥💥💥💥Nomaaaa kalii sanaaaa ilooo kakaa mkubwaaa una ujua una hatariii sanaaa hakuna wa kukufananisha nawe🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
CHLEY 🙌🏽
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Baaasi Tz... watching from Kesho naitolea short hapa❤❤❤
S2KIZZYzombieeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Am here for S2kizzy
Unatoshaaaawaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mmetisha..kotemmalizaaa.congratuation
Ngoma kali sanaa mzeebaba
Chley is dope❤🎉
Nomaawww
Unajuaaa❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😮
Zombie amepiga tena💥🇧🇮✌️
Respect sana. Wee zombii .....
Broooh unajua sanaawww❤❤❤❤😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
Duuuuh this chley nkos anajua 🔥🔥🔥
Umetisha🎉🎉
Nia tariiiiiiii tajir😂😂😮
Anko matutu #Juluka🔥🔥🔥🔥🔥
Noma sana
Khbl
Chap
Mnyama sana
Kimbizaaa
Noma sana
Naunali🔥🚀
Mnaizungumziaje hihi ngoma antena
Respect 🙌🙌 from 🇹🇿
Unatishaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hii imeendaaa 🙌🙌🙌🔥🔥
Hatari kabisa ❤
Juluka amapiano vibes
Balaaaaaaaaaa zitooooooooo nomaswww
Nimependa walaji bata 🔥🔥🔥
Kazi kubwa 👌
J'aime bien 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Chumaa la motoo🔥🔥🔥🔥
AMAZINGLY CRAFTED
Chley is multitalent
Nakubali kazi
Unawezaaa
Wakwanza kutoka 🇺🇬🤟🎤❤
Wewe Zombieeh😂😂😂
Zombie to the world 🌍💯💯🔥🔥🔥
I like chley's voice 😊😊
Waooo 🎉🎉🎉🎉 nice work
Ni fire 🔥 we chley haujui
Huyu chley ni moto wa kuotea mbali
Goma kali Sanaa💯
Tunaemkubali gonga like yako
Bro ulipata colabo nzuri na beat creator sasa uuuuiiiih
1:25 ezami ziyawina South Africa 😊❤
Chley nailed it
Uhuuuuuu nomaaaaa🎉🎉
Listening from Karen in Kenya 🇰🇪 🎉
Kazi nzuri 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
kaka nna chalkenge yako alert❤🇹🇿👊🏻👊🏻🙌
Matutu you nailed it
Duuhhh estukizi 🙌🏻
Fire base lets gerrrrrt
Njuluka nomaaaaa
From🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 🇨🇬🇨🇬🇨🇬🇨🇬
Gomaaaa. Kaliiiiilakima
Chiley diamond 🔥🎵🔥