Kauli zake rais wa kwanza Tanzania, Mwalimu Julias Nyerere akihudhuria mkutano wa chama cha CCM 1995

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 146

  • @tabuabdallah1908
    @tabuabdallah1908 4 года назад +8

    Mungu akubaliki sans

  • @miltonm.muriungi203
    @miltonm.muriungi203 3 года назад +5

    I wish we had visionary leader like Nyerere in Kenya as the first President

  • @muttae2
    @muttae2 Год назад

    We were very Lucky to have this man at the biginning. What a leader..

  • @allyjuma1707
    @allyjuma1707 4 года назад +1

    Mungu akurehemu baba taifa latanzania daima tutakukumbuka, kauli kauli zako zinafanya kazi hadi sasa kwa uzuri ulikuwa ukizungumza kipindi chasasa na kijacho

  • @40kstore
    @40kstore 4 года назад +14

    nakuombea Mungu Upumzike kwa Amani Kiongozi.

  • @rajabkisebengo9406
    @rajabkisebengo9406 4 года назад +3

    Kwa kumbukumbu zangu kwenye hotuba hii alisema watanzania wanaitaji mabadiliko wasipoyapata ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm aliona mbali sana Baba wa taifa letu

  • @gizakazeno1688
    @gizakazeno1688 4 года назад +24

    R.I.P nyerere....baba yetu mwenye maono kwa sasa tz hatuna ukabila ila tuna kirusi kinaitwa chadema hicho ni zaidi ya ukabila

  • @jacksonmkwashapi3872
    @jacksonmkwashapi3872 4 года назад +14

    I love this man

  • @alfrednavigator2288
    @alfrednavigator2288 4 года назад +4

    Big up Sana nakuombea maisah marefu

  • @josephyango7078
    @josephyango7078 4 года назад +25

    Ulifanya Kaz kubwa baba yetu mungu akupumzishe kwa Aman ,mh Julius kambarage nyerere

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 4 года назад +5

    Allah akupe kauli thabiti

  • @kibaopipa3474
    @kibaopipa3474 4 года назад +12

    ONE OF THE AFRIKAN HERO MJKN

  • @ernestsinje8693
    @ernestsinje8693 4 года назад +9

    I LOVE HIM AND I MISS HIM SO MUCH

    • @amiryhamza1984
      @amiryhamza1984 4 года назад

      baba yetu tunakushukulu sana mwenyezi mungu akuweke mahalapema peponi

    • @cannoncohen7038
      @cannoncohen7038 3 года назад

      you prolly dont give a damn but does someone know a trick to log back into an instagram account?
      I somehow lost the login password. I would love any help you can offer me!

  • @stephenf.sikolia7588
    @stephenf.sikolia7588 2 года назад

    Asante God.

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 4 года назад +8

    Leo tu naona MTU Fulani mkubwa anadai anamuenzi Nyerere ila mkabila wa kufa mtu

  • @davidomari8660
    @davidomari8660 4 года назад +5

    Very intelligent

  • @karanijunior1257
    @karanijunior1257 4 года назад +5

    Kweiii. Sana.

  • @umulithokyarema6491
    @umulithokyarema6491 4 года назад +2

    Safi mwalimu

  • @mwakyusahealthylifestyle4621
    @mwakyusahealthylifestyle4621 4 года назад +21

    Uliondoka mapem sana baba

  • @mafulikoofficial5818
    @mafulikoofficial5818 4 года назад +4

    Ulifanya kazi ngumu sana

  • @greygrad9296
    @greygrad9296 4 года назад +2

    Our icon bravo soldier

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 4 года назад

    Asante mtoa post

  • @anthonymatiko6122
    @anthonymatiko6122 4 года назад +1

    No one like you in Tanzania country I miss you too daddy.

    • @emmanuelmaige2212
      @emmanuelmaige2212 4 года назад

      Tukupate wapi Tena baba wawatnzania Tena mzalendo was kweli uliyeshindwa kujikusanyia mali badala yake ulitutunzia lasilimali za taifa kizazi ambacho hatukuwepo hakika nyerere wemawako kwa watanzania hautasahaulika, baba ulipinga ukabila duuh!! Pumzika kwa amani, amina

  • @mkoteaziz5238
    @mkoteaziz5238 4 года назад +4

    Ndg zetu jifunzeni namna nzr ya kuishi na majirani. Msijifiche kwenye kivuli cha mchicha wakati miili iko wazi. Mkiwa wakweli kila kitu kinakuwa rahisi, lakini mkiwa watu wa hila mtaishi kwa tabu sana.
    Hila zenu tumezivumilia kwa muda mrefu sana. Kwa kuwa mmekosa busara ya kuishi vema kiujirani, ssi tunachofanya ssa ni kulinda maslahi yetu bhaaas! Pale mtakapotuheshimu, tutawalipa heshima, mkitudharau ssi tutawapuuza, tutaendelea na mipango yetu bila kugusa ya kwenu.

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 4 года назад +11

    Great statesman of the century

  • @medardturunena305
    @medardturunena305 4 года назад +1

    Nice

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 3 года назад +1

    Ulitufanya tuwe wamoja bila kujali makabila yetu.Rest in power mntwama

  • @rajaburajabu1021
    @rajaburajabu1021 3 года назад +1

    Rest in peace

  • @MrNorthshoremc
    @MrNorthshoremc 3 года назад

    Omg why did the legacy die. That's the truth na unaona wegine wanasema sijui Naniii 😢😢

  • @twaenimtekele5408
    @twaenimtekele5408 3 года назад +1

    Tuendelee kushilik kama ndugu sis baba yeti ni mmoja tu sas so tunagpmban nn

  • @paschalkipeta2353
    @paschalkipeta2353 Год назад

    Mzee alikua kichwa kweli kweli apumzike kwa amani

  • @razaqrashid6172
    @razaqrashid6172 4 года назад +2

    Is true

  • @kingpharaoh6981
    @kingpharaoh6981 4 года назад +18

    UKIJA KENYA UTAFIKIRI DIPLOMATIC JOBS NI KABILA MOJA TU NDO IMESOMEA

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 4 года назад +15

    Tatizo uchoyo na ubinafsi wa Majirani zetu, chao chao , chetu chao ,wanajivika sifa Za Waingereza

    • @josephmnyika4668
      @josephmnyika4668 4 года назад +1

      ray mnasahau huwa mnaanza tukimaliza tunaonekana wakorofi mnatangaza kufungua anga ndege zetu haziruhusiwi kutua kwenu je ni vibaya nasi tukifunga za kwenu zisitue kwetu viva Tanzanian hakuna corona

    • @benjaminjoseph1747
      @benjaminjoseph1747 4 года назад

      Tumewanyima nini majirani kutuita wachoyo☹☹

    • @kingkibedui5091
      @kingkibedui5091 4 года назад

      Mpaka dada zenu wakenya tunawala sana tu Sasa unabaguliwa ww karibu tz

  • @zabronmasuna7670
    @zabronmasuna7670 4 года назад

    Dr mzur

  • @jayomarion8183
    @jayomarion8183 4 года назад +10

    Kenya imeenda mbali zaidi hadi leo kuna vyombo vya habar vya kikabila..then tunasema tutokomeze ukabila..it's only going to be worse trust me..

  • @ndegeyaernest3101
    @ndegeyaernest3101 4 года назад +2

    Msingi huo hivi SASA umeenda wapi ,Chama kinaposema ukanda nao je?

  • @ChingulaAcademy
    @ChingulaAcademy 4 года назад +3

    🔥🔥🔥

  • @fericksjacob7959
    @fericksjacob7959 4 года назад

    Ktn mwache unafiki tunawajua natushaju msiangaike sana mlichotumw na mabeber semeni msiaze kuzunguka

  • @danielkntimba4565
    @danielkntimba4565 2 года назад

    Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu

  • @rajabkisebengo9406
    @rajabkisebengo9406 4 года назад +1

    Sembuse sisi tunajitapa et mabeberu tujifungie wenyewe mipaka tutegemee vya kwetu wenyewe tusivuke nchi yoyote ya jilani maana ukishavuka unakutana vitu vya hao hao mnaosema mabeberu tunanunua bidhaa zao cm zinatoka kwao magari ndege kila k2 kwao yaan viburi vya ajabu kbs

  • @imajymujukuu8001
    @imajymujukuu8001 4 года назад +1

    2zidikukuombea kwamwenyezi mungu baba yet kwamema uliyoyafanya

  • @benbuyabo7710
    @benbuyabo7710 3 года назад

    Alikuwa ni kiongozi maadili mema katika bara la Africa

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Год назад

    Remember here late Julia's kambarage nyerere was telling ccm member to be.vary careful on trablelizim told ccm member avoid stay away on trablelizim that was late Julia's kambarage nyerere hot speech was shecking meeting on ccm member

  • @samwelilaizer661
    @samwelilaizer661 2 года назад

    Kwa Kwel hatuna ukabila kwa sababu ya kiongozi huyu shupavu hodari mwenye maono

  • @mohamedimatete480
    @mohamedimatete480 4 года назад

    Mmmm

    • @AllyMchume
      @AllyMchume 4 года назад

      ruclips.net/video/95BZdSvOkSE/видео.html

  • @estermtitu7205
    @estermtitu7205 4 года назад +2

    Sasa tunabaguana kwa ubeberu baba

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 10 месяцев назад

      Msenge, kwani hujui maana ya ubeberu au akili imo mkunduni mwako

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 4 года назад +1

    Hata mkilialia uzi uleule tu. Wakenya nyinyi ni washenzi kabisa. Acha tunyoshane atakaekua anaumia ataomba poo. Ushenzi wenu wakenya ndio umewaponza.

  • @ramshomytv
    @ramshomytv 4 года назад +2

    ruclips.net/video/9wC0Fdd2AUY/видео.html
    Bonyeza link hi utazame tamthilia nzuli ya nyuma ya y

  • @ellyemily4234
    @ellyemily4234 4 года назад +1

    Hata haihusianii

  • @MohamedMachano
    @MohamedMachano 8 месяцев назад

    Nimoto tu ukuwakie

  • @jokertv3073
    @jokertv3073 4 года назад +1

    Wakenya hata mumposti NELSON MANDELA
    GADDAFI
    SANKARA
    LUMUMBA
    Tunaona kama MNATUFOKEA hivi mtuache kidogo tupo Bize twajenga Taifa
    Tukimaliza uchaguzi TWAZUIA NA MIPAKA YETU
    Kila mtu abaki kwao MPOSTINI KENYATA huko M2ACHE KWANZA
    UKIMWAGA MBOGA wahuni tunaondoka na ugali mboga tutapata mbele huko
    VIVA TANZANIA
    VIVA MAGUFULI
    VIVA NZIGE
    VIVA CORONA

  • @upendoboniface1857
    @upendoboniface1857 4 года назад +1

    Hao nyumbu kumbe wapo wanaotekwa na konyaj

  • @rajabumasud5190
    @rajabumasud5190 3 года назад

    Maximo ya mkapa

  • @danielkagoma2824
    @danielkagoma2824 4 года назад

    Duuu

  • @aminielkimo4220
    @aminielkimo4220 4 года назад +1

    Tume ya taifa ya unyakuzi!na Tume ya taifa ya ubaguzi!!Hii ni tume huru kabisa??!!tunaiamini sana!!?..haina mfanowe!!?....??

  • @edwardmbogera9382
    @edwardmbogera9382 4 года назад

    Leo ukifanya hvo unaitwa shoga

  • @antonnadenade4597
    @antonnadenade4597 2 года назад

    Mcho nyerere

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 года назад +5

    Huyu mzee alikua na maono ya mbali shida tu ali wazubaisha wa tz sana

    • @abdallatimimi8443
      @abdallatimimi8443 4 года назад +2

      BJzee 19 . Na ndio maana alipochukua utawala Ali hassan mwinyi na akaanza kuwachanua wabongo na kuleta maendeleo tz,nyerere hakufurahia hilo,yy alitaka amcontrol mwinyi na hilo halikuwezekana,mwinyi akachapa kazi na nchi ikasonga mbele,kwa hio nyerere alikua na mazuri yake,lkn aliilemaza nchi na mwinyi akaweka mambo sawa.

    • @devidpanja115
      @devidpanja115 4 года назад

      Hujui unalolisema ww..kazubaisha vp..hio aman ulionayo n zaidi ya utajir..unajua kafa ameacha vieanda na makampun mangap ambayo hayakuepo enz za mkoloni

    • @abdallatimimi8443
      @abdallatimimi8443 4 года назад +3

      @@devidpanja115 nafkiri wewe ndio hujielewi na ndio maana nyerere alitaka wajinga km wewe awatawale na ndio akawanyima elimu ili musierevuke mukaja mukamuondowa mamlakani,alafu ni viwanda vingapi unavodai aliviacha wakati wake tulikua tunatumia mafuta ya nazi kupikia chakula,wewe mshukuru sana bwana ruksa ndio amefanya sahi unavaa jeans japo ni ya mtumba.

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 4 года назад +2

      @@devidpanja115 una akili ndogo Sana,unasifia amani kwani hii nchi ilipewa Uhuru kwa njia ya damu? Wew ni mhanga wa kundi la wajinga ambao hawajui hata vipaumbele vya maendeleo ya nchi

    • @devidpanja115
      @devidpanja115 4 года назад +2

      @@abdallatimimi8443 uliza waliosoma kipind chake ww hata history ya nchi hujui et aliwanyima elim na huk wazee wet wamesoma bure mpaka poket money walipewa mtapata laana za bure nyie ulizen hii nchi mkolon kaiacha nchi ina hospital ngap..shule ngap..vyuo vngap mkolon alikua anafanya yake tu hapa mzee aliplay part yake kafa hana hata nyumba kuhakkisha wananchi wake wapo vzur

  • @xaxicomplex7616
    @xaxicomplex7616 4 года назад

    Kenya tuko Pamoja KTN mpo juu nawakubali kwakugundua vitu

  • @yessecharles3155
    @yessecharles3155 4 года назад +6

    Tunajua ndugu zetu mnaomba msamaha kiaina sasa nyie mlimwaga mboga tumebeba ugali wetu tunaenda endelea kujilia zetu huku edeni now hata anga letu hamruhusiwi kuruka na ndege zenu kuna CORONA

  • @babalababalao983
    @babalababalao983 4 года назад

    Mm

  • @khatibfaki343
    @khatibfaki343 4 года назад

    Azamtivi

  • @asadirashidi8712
    @asadirashidi8712 4 года назад

    @ gmail 3

  • @zabronmasuna7670
    @zabronmasuna7670 4 года назад

    D

  • @hasannomar9770
    @hasannomar9770 4 года назад

    Kazi yake ni udiktete

  • @barakaj.j.1976
    @barakaj.j.1976 4 года назад

    Acheni Unafiki mnaanzisha wenyewe halafu mnajifanya waungwana.

  • @samakasanghudi4948
    @samakasanghudi4948 4 года назад

    T

  • @hamidjuma2178
    @hamidjuma2178 4 года назад +1

    Kuungana sio tatitizo tatizo kudhulumu mnatudhulum zanzibar na haitoisha ukabila mpaka mtende haki

    • @edsonmtafya1871
      @edsonmtafya1871 4 года назад

      Nyerere alikuwa kiongozi wa ukweli, kiongozi wasasa anabagua anasema wengine wametumwa na mabeberu,

    • @selemanidigila8228
      @selemanidigila8228 4 года назад

      R.I.P mwalimu Julius nyerere,ulifanya kazi kubwa sana baba na leo hii tunafaidi matunda yako .

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 3 года назад

      Mapato ya uchumi ya zanzibari lnakwenda dar

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 10 месяцев назад

      Ushoga unakusumbuwa

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 4 года назад +3

    Makufuli ana akili kleko wewe miyaka hasi ni umeurdishs nyume tanzania

    • @surayakhan3955
      @surayakhan3955 4 года назад +3

      Jifunze kwanza kuandika alafu urudi tena 😏😏

    • @zuhurambonde6959
      @zuhurambonde6959 4 года назад

      Hukuwaza ulivokuwa unaandika hujaijua vizuri historia ya nchi ya Tanzania kama hujui usiandike chochote.

    • @michaelgeorge3483
      @michaelgeorge3483 4 года назад

      Magu nae mtu

    • @jamesamanimasalu503
      @jamesamanimasalu503 4 года назад +1

      @@surayakhan3955 au akasome kwanza huenda tatzo sio kuandika tatuzo ni elmu😀😀

    • @kingdavidmoto6149
      @kingdavidmoto6149 4 года назад

      Auna ufaamu au auna akili

  • @zabronmasuna7670
    @zabronmasuna7670 4 года назад +1

    Nice