Who said erick omondi is a comedian when u have people like ondiek and makoha 😂😂 i stil cant forget the time makoha said sii afadhali mutu nyoge basi 😂😂😂
Kenyans need a chance to celebrate this comedians Cox they're really a national treasure... imagine that was odiek as mganga who could have thought... pure gold talent
😂 😂 😂 Eti magoti ya nyoka. 😂 that got me laughing all alone like crazy.. These two guys really compliment each other.. They deserve a million+ subscribers
Ondieki umechoma sana 😂😂😂😂 magoti ya nyoka😂😂😂😂 maziwa ya mende😂😂😂😂 meno sita inzi wah🤔🤔😂😂😂😂😂 😃😃😃😃😃😃 machozi ya ngiri 😂😂😂😂😂😂😂 magoti ya nyoka wah😂😂😂😂😂😂😂
Number One
Likes za Makokha na Ondiek ziko wapiii
Ppp
P
Ondieki 😂😂😂😂 unachanganya makokha😂😂😂😂😂 wapi likes za ondiek nyoka quota mang'ang'a😂😂😂😂😂
Makokha strong greets from djibouti na uko sawa kabisa na u are my number one favourite comedian in kenya.
number one in east Africa odieki na makokha matatumaliza......
Makokha😂😂😂😂😂😂😂 uyu mganga amekupata leo😂😂😂😂 mama yangu
Fika kwangu
Makoha is the village man who has a born town friend Ondiek.We know who benefits from the friendship
Kikuyu na mluhya...
i guess it is kind of off topic but do anyone know a good place to watch new series online ?
@Merrick Gustavo Flixportal xD
@Niko Aldo thanks, I signed up and it seems like they got a lot of movies there :D I really appreciate it!
@Merrick Gustavo No problem :)
Who said erick omondi is a comedian when u have people like ondiek and makoha 😂😂 i stil cant forget the time makoha said sii afadhali mutu nyoge basi 😂😂😂
Pwahaaa
Hahaaa
Very very true..
J
🤣🤣🤣 my poor ribs
Kenyans need a chance to celebrate this comedians Cox they're really a national treasure... imagine that was odiek as mganga who could have thought... pure gold talent
humor on another level, unaenda kwa sangoma alafu unaanza kuomba mungu🤣🤣🤣🤣
Makokha is my great comedian ever I didn't finish my homework when I was in primary just to tune your comedy guys
Maziwa y Mendez killed me 😂😂😂😂
🤣🤣🤣
I can't believe that ondiek is a kikuyu he is talented 😂
😂😂😂😂😂waaah ati magoti ya nyoka bana.........aki this guys are always the best in comedy. Big up aki 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hii iliwahi nipata... 😆😆 Kimbia kwa yesu my brother 🏃 kumbe alkua Ondieki
Fika kwangu bro u subscribe
😂 😂 😂 Eti magoti ya nyoka. 😂 that got me laughing all alone like crazy.. These two guys really compliment each other.. They deserve a million+ subscribers
Fika kwangu pia u subscribe
🤣🤣🤣🤣nimecheka yangu yote.
@@gloriousgal2001 very. CNN to
44
Ondiek na makokha, salute kwenu
FOR ONCE I HAVE HEARD ONDIEK WITH DIFFERENT VOICE....like since I was born wololo kinyume nyume mahokha na unadance hahahhaah
Ondieki umechoma sana 😂😂😂😂 magoti ya nyoka😂😂😂😂 maziwa ya mende😂😂😂😂 meno sita inzi wah🤔🤔😂😂😂😂😂 😃😃😃😃😃😃 machozi ya ngiri 😂😂😂😂😂😂😂 magoti ya nyoka wah😂😂😂😂😂😂😂
Hii nayo moto 🤣🤣🤣
Waaa umenyoa makokha muchana bwana
My goodness... somebody help ribs🤣🤣🤣am dying
Fika kwangu pia
From Texas waiting for my favorite Makoha and Ondieki
Eeeeee maziwa ya........... I am proud of you people you make my days
Mliahama vioja makamani sasa mumeunga yenu 2 brothers, iko poa comedy nawajua nyinyi wazee wa vichekesho kazi zenu safi sana hambatishi👍
I like the way these guys upgraded themselves!
L
@@yjvx sukima
Great..Brian Abok watching from Texas USA. keep on
Watching from Colorado USA,
Sijewahi ona magoti ya nyoka
Talented Kenyans, keep going guys
Fika kwangu pia u subscribe
hahahahaha ondiek played a nice one on makoha realy maziwa ya mende
Twaingoja sana
Waiting kama kawaida 🔥
Umeniuwa walai ati magoti ya nyoka 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣💕😂😂😂😂💯
Makokha leo apatikana! Ujanja wa nyani huishia .......
This is good, aaah mmenibamba leteni zingine moto moto
Makoha mama yangu 😀😀 kizamzam ,sema sherehe na nderemo
From Nairobi shauri moyo good actor keep it up
Nawapenda sana nyie kaza mwendo.26.11.21.
I really enjoy watching this show
Makokha waniumiza mbavu sana.
Salaala! Fisi wawili wakikutana .....
😂😂😂😂 makokha bana kwenye masharti
the best of the best watching from alabama usa
Maziwa ya mende...meno sita ya panya..makooo
Show iko juu mbaya
Haki huyu mgaga wa Pemba amenifurahisha🤣🤣🤣love your content you never disappoint 😂😂😂your rebranding is on another level❤️
Watching from ethiopia n really enjoying
Mama yangu🤣🤣🤣🤣mganga akodigital anajua mbeksi🤣🤣🤣🤣,ni sherehe na nderemo kweli🤣🤣🤣
My all time favorite comedians. These guys deserve an award
Kumbe ondiek anaweza badilisha lahjayake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Makwapa ya panya machozi ya ngiri magoti ya nyoka maziwa ya nzi aki ondiek nimekurate 😂😂😂👍
Am Ismaël from Rwanda napendaga Makoha Sana how anacheza naomba if possible nipatane na yeye
They still doing great work.waganga wanatumia psychologist ya mtu na information gathering from those close to you.
Aki sio siri you guy nawapenda sana
Huyu mganga ni ondiek mwenyewe.
Nawapenda bure,,,,,,Nyambuto pia ni mnoma
Bado uko kwa arsenal makkoa
I give all the five 🌟 🌟 🌟 🌟 🌟 stars to these guys
Makwapa na goti la nyoka atatoa wapi🤣🤣🤣🤣
Makokha orio muno papa peter
Hullabaloo itarudi lini?
This is how many times makokha has said ni kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
❤❤😂😂 my bro makokha si ni kweli
Rafiki yako ndio adui yako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Rafiki yako ni Zainab Ali
Makokha apo kwa Arsenal tutakosana thats my club bwana..
Kishem shem..sherehe na nderemo😂😂😂😂😂😂😂😂
Ati makokha alikuwa mweupe 🤣🤣🤣
Wow! My always funny guys,, i appreciated your work guys.. i do normally tune maisha magic east-hullabalo estates.
Makwapa ya panya,machosi ya ngiriiiii😂😂😂😂😂 kiyana ya mluje🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂🎉🎉nimbwaxx++@ hakiamungu🎉🎉🎉😂😂😂
Mokokha achana na arsenal team kubwa
Waiting
Fika kwangu pia u subscribe
Love u guyssss jamani nimecheka mpka ..
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,,,,,,,, waaah mtaniua...magoti ya nyoka waah😂😂😂😂😂😂
You really make my day ,ulinifanya niaze channel yagu ,search peter kadiro and laugh also
Ati sherehe na nderemo😁😁
Wololo, this guys are very creative and entertaining
Is the last part dancing for me 😂😂😂😂😂😂😂
This one is hot,Iko na mafundisho kabsa esp wenye wanapenda waganga.
I always for makoha to say, kweli 😂😂😂😂😂
Ngumi ni ngapi? Ngumi ni mbweksi😂😂😂😂
Rip makokha 14 days😄😄😄😛😛😛🤕🤕🤕
Best one 👍👍👍
😂😂😂😂😂😂😂 haky ondiek your something else
Aiya aiya😂😂😂😂😂😂😂
Watching from qatar 🇧🇭🤣🤣🤣
Short and sweet 🥰🥰🥰
I watching from Germany 🇩🇪
Hannah tuambie status zako
Ukitoka usago ulikuwa mweupe🤣🤣🤣🤣🤣
Leta magoti ya nyoka na maziwa ya mende 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 can't stop laughing
Sande baba,sande mwami😅
kizamzam....... sherehe na nderemo!!!!! i kent
ngumi ni ngapi?......... ni mbwekese!! sijiwezi
Na manisha nini?
@@kwiriakimu4226 hata sijui
Magoti ya nyoka 🤣🤣🤣🤣🤣 makwapa ya panya 😂😂😂😂😂 maxiwa ya Mende 🤣🤣🤣🤣🤣🤣aiii baneee... Yaka taaa😂😂😂😂
Wah ii mpaka nimecheka hadi kusubscribe imebidi
Yes in gulf here just subscribed 🤣🤣🤣🤣
Huyo mganga ni ondiek😂😂
😂😂😂 moto kama pasi. Very educative
You guys mko juu
Ngumi ni ngapi!!!?...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni pwekzi😁😉😂😁😁
Much love from damam city