Wito wangu naomba vyama vyote na wasio navyama kulaani nakukataa uharamu unaoendelea nchi hii. Kuna jambo baya kabisa CCM yaani uvccm kuwa juu ya polisi wanadiliki hata kulikataza Jeshi la polisi kufanya uchunguzi ila polisi wanajua wanachokiandaa? Kama uvccm kuwa juu kuliko polisi je tutakuwa na usalama kiasi gani? Mimi nashauri viongozi WOTE wenye dhamana wajiuzulu haraka kwenye nafasi walizonazo
Nchi kwa sasa inamilikiwa na kikundi kidogo cha wanaokusanya Kodi zetu, wanaoamua wazitumieje, wasiotaka kuhojiwa,, waamuzi wa hatma ya maisha yetu, wenye kuamua raia ufe lini. TUPANGE WATANZANIA KUKATAA UJINGA HUU.
Madhala ya bunge la chama kimoja ndo hayo, wanapitisha Sheria za kuwaumiza wananchi kwa maksudi. Baadae watapitisha Sheria ya kumwongeza Rais awam nyingne
It is only the natural laws that are true laws. Those words termed 'laws' are nothing but rulers' defences against citizens. They can be manipulated anyhow anytime to suit the desires of the Rulers'.
HIYO NI KUWAWEKA WATU JUU YA SHERIA JAMBO AMBALO NI HATARI SANA WATU WABAYA WANAWEZA KUTUMIA NAFASI HIYO KUTEKA NA KUUA WATU OVYO MITAANI!!! BUNGE LA CCM HILO HUWEZI KUWAELEWA KABISA
Mh mchinjita you are the best of the best 🔥🔥🔥
Asante sana kwa ukweli huo
SAFI SANA ASANTE NI KWELI KABISA ULICHOSEMA ; HUYO NDIYE SSH.
Wito wangu naomba vyama vyote na wasio navyama kulaani nakukataa uharamu unaoendelea nchi hii. Kuna jambo baya kabisa CCM yaani uvccm kuwa juu ya polisi wanadiliki hata kulikataza Jeshi la polisi kufanya uchunguzi ila polisi wanajua wanachokiandaa? Kama uvccm kuwa juu kuliko polisi je tutakuwa na usalama kiasi gani? Mimi nashauri viongozi WOTE wenye dhamana wajiuzulu haraka kwenye nafasi walizonazo
Nchi kwa sasa inamilikiwa na kikundi kidogo cha wanaokusanya Kodi zetu, wanaoamua wazitumieje, wasiotaka kuhojiwa,, waamuzi wa hatma ya maisha yetu, wenye kuamua raia ufe lini. TUPANGE WATANZANIA KUKATAA UJINGA HUU.
Lowasa alijiuzulu na nchi ikawa sawa.
Tanzania future polititian full of potentials. Big up and keep it up young man.
Madhala ya bunge la chama kimoja ndo hayo, wanapitisha Sheria za kuwaumiza wananchi kwa maksudi. Baadae watapitisha Sheria ya kumwongeza Rais awam nyingne
Shida sana inch hii
Sisi ni marehem watarajiwa😢
Nikweli ccm wamearibu jeshilapolis kwa nn wanaruusu mauaji ? Kwaileshelia aliopitishwa natulia yausalama imefunga mikono ya polis
Badala mshangilie mnabwabwaja. Na nyie CCM tu. Hamjui ni sera ya CCM kuteka
It is only the natural laws that are true laws. Those words termed 'laws' are nothing but rulers' defences against citizens. They can be manipulated anyhow anytime to suit the desires of the Rulers'.
Jeshi lapolis niwauwaji tu nahayote yamesababiswa na ccm
Halafu tunasema tunawabunge! Wabungeccm,masirahi ya ccm,maendeleo ya ccm,sio wananchi wote
preach the truth brother, tell them coz they act as if they don't see and they don't look even they don't hear,
HIYO NI KUWAWEKA WATU JUU YA SHERIA JAMBO AMBALO NI HATARI SANA
WATU WABAYA WANAWEZA KUTUMIA NAFASI HIYO KUTEKA NA KUUA WATU OVYO MITAANI!!!
BUNGE LA CCM HILO
HUWEZI KUWAELEWA KABISA
Shia viongozi wengi kuanzia juu mpaka chini hawana uwezo wa uongozi
Wapo tu kwa vigezo vingine na sio uwezo wa kiuongozi
Kwani wao usalama wa Taifa wana miili ya mawe isiyokufa?Hivyo nao watakufa tu ni swala la muda.