'Ligi hii ni kama NBA, si mpira tu kuna muziki, mitindo, tamaduni, watu maarufu'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 май 2024
  • Ligi ya Mpira wa Kikapu Afrika inayojulikana zaidi kama BAL itapata bingwa mpya Jumamosi ambapo washindi wa kwanza Al Ahly Benghazi ya Libya itachuana Petro de Luanda ya Angola katika fainali ya mchujo msimu huu.
    Licha ya michuano hiyo kile ambacho kimekuwa kikifanyika nje ya uwanja kimeleta hamasa kubwa kwa mashabiki.
    #bbcswahili #rwanda #michezo
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Комментарии •