'WAPENZI' WALIOPIGWA NA RADI WAKIWA 'KICHAKANI' SINGIDA, UKWELI ni HUU, NDUGU WAFUNGUKA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 84

  • @mohamnedsalum2150
    @mohamnedsalum2150 3 года назад +8

    Hayo mambo tumuachie mungu muhimu tuwaombee kwa mungu

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 3 года назад +8

    Mara ooh walikuwa wanazin kwenye pagama jmn hebu waandish warekebishe habar zao za kuzua 😢

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Год назад

    Subhana Allah Allah atuepushe na madhambi

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 года назад +1

    Mungu ndiye anaejua jiulize I nyiemlobaki je amzini nanyie msimseme Maiti kwa ubaya

  • @ahazinelson6351
    @ahazinelson6351 3 года назад +1

    Mnyaturu mwenye kipara ni mnafiki sana.

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 года назад +7

    Inaailah wainaailaih raaajiun allah amsamehe madhambi yake

  • @gililwise
    @gililwise 3 года назад

    Sasa kweli mzee kama huyo anaoaje msichana wa miaka 32.Mungu atusaidie

  • @neemacharles9848
    @neemacharles9848 3 года назад +1

    Mungu amurehem huko aliko

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 3 года назад +3

    Bwana mpole Sana 😢😢huruma kwakwel! Kwel malipo duniani

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 3 года назад +1

    Mzee mwenye kipara nimmbea hatariiiii

  • @pendocoster4170
    @pendocoster4170 3 года назад

    Kama ni kweli basi kavuna alicho panda lakin Kama ni uongo sijui ila nimeogopa sana sitaki tena zinaa kumbe mwisho ni wa aibu sana kwa mungu r.i.p dada

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 года назад +4

    Huyu mme wa marehem mmhhh .au ndo kaseti mitambo 🤔🤔wa mama jameni sa umshushe mmeo kisa hawala cheki Sasa mme anatabasamu tu

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 3 года назад +2

    Acheni uvumi wa uongo. Kafa yy nanyie TUBUNI dhambi zenu. Maana mna dhambi zenu

  • @frankmnale1900
    @frankmnale1900 3 года назад +1

    Hiyo amri ya sita haiko katika maandiko....hiyo ni ile amri ya shetani aliyowaletea Wakatoriki
    Amri halali ya (USIZINI)ni amri ya saba Kutoka 20:3-17

  • @josengumbi4029
    @josengumbi4029 3 года назад

    Daa pole,ila umesomeka hy.

  • @shuwehaomar1370
    @shuwehaomar1370 3 года назад

    Allah atuepushe na mwisho mbaya

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 3 года назад +2

    Kama kweli alipigwa na ladi ya jadi na mimi naitaka maana kuna mtu kanizurumu pesa zangu

  • @majalaworldwide
    @majalaworldwide 3 года назад

    Waandishi wa Habari wazalilishaji... Hamna Akili..Kama hili linalo tangaza Halina mvuto sauti mbaya linaongea ujinga bila kujali maadili

  • @edwardmagige874
    @edwardmagige874 3 года назад

    Huyo dominic ni kama jeluo vile mmbea kama nini

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 3 года назад

    Innalilahiwanlarajinn mtihani huu mungu awasamehe

  • @Awatee
    @Awatee 3 года назад +4

    Inna lilah wainna ilaih rajiuun Allah atupe mwisho mwema Amiin

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 года назад +1

    Poleni sana wafiwa mbele yake nasi tupo nyuma

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 3 года назад

    Mwanaume kizee mwanamke 32 😭

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 года назад +2

    Innalilah wainailah rajioon

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 3 года назад +1

    Polen familiya

  • @vesitinarevocatus7333
    @vesitinarevocatus7333 3 года назад +4

    Nimecheka jamani hayamaelezo tatizo mme nimzee mke bado binti😂😂😂 lakin mzee anajua kilakitu itakua kamfanyizia2

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 года назад

    Moris umenifurahisha kweli mzee wangu. Ngaa yukowapi kwanza?

  • @meryfrank5272
    @meryfrank5272 3 года назад

    Kaka usiongee mambo ambayo huna uhakika sana

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 года назад +4

    Au huyu mme pengne alimtegeshea radi

    • @AliMohamed-gv7nw
      @AliMohamed-gv7nw 3 года назад

      Fahamu Dada hiki nikipindi chamvua kwahiyo kupigwa naradi nisuala lakawida t hawajazini munaambiwa

  • @asiashaban5809
    @asiashaban5809 3 года назад +1

    Ongeeni kilugha bhs namiss tu

  • @edwardmagige874
    @edwardmagige874 3 года назад

    Mapenzi chini ya mti wakati mvua inanyesha ni sawa na kuchezea simu chini ya mti wakati mvua inanyesha so kuwa makin na mambo hayo

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 года назад +1

    Uyu kaka ana la kujib kwa Mungu. Mume anasema walikuwa wanaishi vizur. Iweje uyu kaka afukunyue mambo ya chumbani? Au alikuwa anapiga chabo kila cku?. Mdomo unaponza lkn.

  • @zainabjuma7460
    @zainabjuma7460 3 года назад

    Ww mzee tumia hekima na heshima unapoongea. Je ulishuhudia?

  • @captainmligotv3478
    @captainmligotv3478 3 года назад +1

    Sawa walikua wanapiga stori 😂

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 года назад

    Majirani wamepata kichwa cha habari ila radi ndo ina majibu wapi ilitokea

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 3 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣SIJAPENDA...huyu mzee namtetea jaman hafurahii ila ni anakenuaaa tuu

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 3 года назад +1

      😂😂😂😂 huwa sipendi watu wa sura ya ivo

    • @liciouscharles3370
      @liciouscharles3370 3 года назад

      @@estermathias8354 Kwann lkn baby yaan nimechekaa🤣🤣🤣🤣

  • @ramlaleila374
    @ramlaleila374 3 года назад

    Mume amestiri mkewe mwanamume Mzee mzima atoa aibu za watu Tena kwa kujichekesha chekesha sasa umepata Nini zee jinga

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw 3 года назад +2

    Acha kumzulia mtu Alie fariki ww para atakama nikweli usitoe aibu zamaiti

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 3 года назад +3

    Huyu mume sura yake ni ya tabasamu wala siyo kwamba kafurahia

  • @rashidally7908
    @rashidally7908 3 года назад

    P0

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 3 года назад +5

    Mi naamini huyu Dada alienda kuokota kuni

  • @dismaslaurent5758
    @dismaslaurent5758 3 года назад

    Kulikoni tena Singida yetu jamani...

  • @preciousjohn9405
    @preciousjohn9405 3 года назад

    Majiran Sasa duu

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 3 года назад +1

    Mashahidi huwa wanafungwa. Kwa sasabu hujui kama unasema ukweli au uwongo.

  • @rashidally7908
    @rashidally7908 3 года назад

    0

  • @kwadumasunga1980
    @kwadumasunga1980 2 года назад

    .

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 3 года назад +2

    Si mlisema kwenye nyumba ambayo haijamalizika mbona mna sema Tena habari za kukuokotaa Kuni daa poleni wote pumzika Kwa amani dada

  • @bafaello2619
    @bafaello2619 3 года назад

    Hehe

  • @gulfomanbb2119
    @gulfomanbb2119 3 года назад

    Um2 mzm lkn ujitambui mume amekana ww unaongea ujinga

  • @enockkachembeho7425
    @enockkachembeho7425 3 года назад

    Wapumzike vichakani acha ujinga

  • @sabrarak9989
    @sabrarak9989 3 года назад

    Muongo wewe baba muogope mungu

    • @salomeandrew4148
      @salomeandrew4148 3 года назад

      Anaongea kitu ambacho hakijui ange nyamaza libaba zima hovyo

  • @rashidally7908
    @rashidally7908 3 года назад

    00

  • @itsjkamolabeatz
    @itsjkamolabeatz 3 года назад +1

    😂😂Rayvanny chuii🐯 majibu yake ku husu Paula Wa kajala yana chekesha jionee apaaa utue maoni yako😂👀
    👇👇👇👇👇👇👇👇
    ruclips.net/video/OHTWe6oh4Qo/видео.html

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 3 года назад

    Mhhhhhhhhhh

  • @msuyatztv5201
    @msuyatztv5201 3 года назад +1

    ruclips.net/video/VST3A8uh87k/видео.html
    Utam video

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 3 года назад

    Huyu dominiki ni mbwa anamchafua marehem ya nn .ona li mdomo lake kama la punda

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 3 года назад

    😬🤓🤣

  • @khayrathahamadi8261
    @khayrathahamadi8261 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣

  • @priscacharlescharles9014
    @priscacharlescharles9014 3 года назад

    huyu Baba mnafiki kbx anaongea kama kafurahi hilo tukio

    • @omanphone3455
      @omanphone3455 3 года назад

      Jamani daaaaah mnatumbua sir zawatu ilihali kumewake kaamua kumfichia Madhaif yake mkewe

    • @rosenaheka7100
      @rosenaheka7100 3 года назад

      Labda aliweka mtego

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 года назад

    yaani watu wambea hadi anatoa ushahidi kwa mke wa mtu kuwa alikuwa na mpango wa kando . Sasa huko hospital wangethibisha km alikuwa kwenye kitendo hicho .
    siku zote kukianza mvua usikae chini ya miti randi inakimbilia sehemu hizo .