🅻🅸🆅🅴 KINACHOENDELEA MUDA HUU KARIAKOO BAADA YA JENGO LA GHOROFA KUANGUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 42

  • @MzeewaslowHusseinAndrew
    @MzeewaslowHusseinAndrew 3 часа назад +5

    Mwenyezi mungu atulinde jamani mbona TZ majanga yamezidi sana jamani mwenyezi mungu ingilia kati hii nchi yetu tunapoenda hatujui.

  • @lazarotluway5881
    @lazarotluway5881 2 часа назад +2

    Poleni sana wana Dar es salaam kwa ajali, Mungu Mwenyezi awape moyo wa subira jamani.

  • @RebeccaEnock
    @RebeccaEnock 2 часа назад +4

    Poleni sana ndugu zetu mungu atatusaidia hata kwa hili😢

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s Час назад

    Subhana Allah... Yarrab atawafanyia wepes ln shaa Allah

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 2 часа назад +1

    Daaaa Poleni sana Kwa kweli.

  • @asifiweminja9071
    @asifiweminja9071 2 часа назад +1

    Mungu muamifu sana okay watu wako bwana yesu

  • @Tabu-k2u
    @Tabu-k2u 18 минут назад

    Daaaaa, Mungu tusaidie janga hili

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 часа назад +1

    WaTANZANIA wenzangu tumulilie mungu sana haya ni majalibu mungu tunusulu na haya mabalaa kwenye TAIFA letu

  • @kakuruchiganga507
    @kakuruchiganga507 3 часа назад +1

    Poleni sana Wahanga, ila ni ukweli uliyo dhahiri kama wewe ni Mhandisi Ujenzi ukipita Kariakoo utasikitika namna ujenzi usivyozingatia matakwa ya kitaalam. Ujenzi wa majengo mapya hauzingtii usalama wa majengo yaliyokwisha kuwepo.

  • @ibrahimuakwilombe
    @ibrahimuakwilombe 2 часа назад +1

    Mungu awanusuru waja wake

  • @GabrielOmassawe
    @GabrielOmassawe 2 часа назад

    Dah!😂 Poleni Sana ndugu Mungu yupo kikubwa tuendelee kumshukuru Mungu kipekee namshukuru Mungu kuona wale ambao wanaokolewa na wako hai. Poleni Sana jamani.

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 Час назад

    Uaibike shetani umeshindwa kwa jina la YESU

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 часа назад

    Mungu ni mwema wote watatoka salama

  • @bettyisaack209
    @bettyisaack209 2 часа назад

    Mungu awatunze watanzania wenzangu na kuwaokoa hawa wapendwa

  • @MaritinMereka
    @MaritinMereka 2 часа назад

    jamani tuombe mungu sana awasadie

  • @ibrahimuakwilombe
    @ibrahimuakwilombe 3 часа назад

    Mungu awanusuru

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 Час назад

    Police basi lazima mtoe kauli za kutisha baada ya maafa afazali huyo mku wa mkowa anaongea na raiya kwa upole ma watanzania nao umbea tu sasa si mtowe nafasi wenzenu wapewe msadaaa

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 3 часа назад

    Poleni jamani🤲🤲

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 2 часа назад

    Jamani mie auliza kwani foko lift zikuwapi? Ili zisaidie kutoa hayo mapande ya ukuta watu kabla hawajaathirika Sana chini humo ndani

  • @PetersmjeniMjeni
    @PetersmjeniMjeni 3 часа назад

    Poleni jamani wahanga

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 2 часа назад

    Jamani hawa viongizi siwaelewi ilitakuwa jeshi wote wawe hapo na foko lifting sio mtu atoe hayo magunia yasije kumdondokekea Bure yaani watu hawajikngezi polisi wako wapi? Ilitakiwa vikosi vote viwe hapo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 часа назад

    👊👍✌️.

  • @FarahaOthman
    @FarahaOthman 3 часа назад

    Mungu awasimamiye katika janga hii

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 3 часа назад

    Watu wamekosa utu walitakiwa wafunge shuhuki zote za biashara kuelekeza nguvu apo na kuokoa watu sio kuwacha na kuendelea kuuza.

  • @PetersmjeniMjeni
    @PetersmjeniMjeni 3 часа назад

    Poleni jamani wahanga wa ajali.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 часа назад

    Kumbe kuishi kwenye maghorofa siyo salama sana kama ndo hivi hapana asee

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 2 часа назад

    Shetani mjinga wewe, tunaomba watu wote watoke salama, Mungu wa mbinguni nusuru watu wako shetani aaibike

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o 3 часа назад

    Mungu atoe salama jaman

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s Час назад

    Sasa jaman Tanzania..tulivo kuwa wajinga.. baada ya kuwa tuwape nafasi waokoaji... watu ndio wamefurika ...kufanya vurugu..c muwape nafas..waweze kuokowa watu jaman..

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 3 часа назад

    Yaani watanzania ni wajinga sana sasa wanaona janga limetokea na wao wamejazana kwenye ngazi za chuma bila kutahadhari hizo ngazi zinawezaje kuvumilia uzito mkubwa

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 3 часа назад

    Uokoaji na zima moto kwetu bado sanna sanna sanna.Tupo nyuma mno yaani ata utu tu wakufunga duka hatuna.

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 3 часа назад

    Mungu wassidie watu walioko uko

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 2 часа назад

    Hao wajinga badala ya kuokoa wanapiga picha, akili mbovu kabisa.

  • @imakitori399
    @imakitori399 2 часа назад

    Engineer atafutwe popote alipo

  • @RebeccaEnock
    @RebeccaEnock 2 часа назад

    😢

  • @Yussuf-b3b
    @Yussuf-b3b 3 часа назад

    Vijiko viko wapi

  • @JahilShaka-s1mXhaka
    @JahilShaka-s1mXhaka 3 часа назад

    😢😢

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 2 часа назад

    Kuna wanaume wana tumbo kubwa uko

  • @InnocentAlachi
    @InnocentAlachi 3 часа назад

    Duuuuuu

  • @StopperNjuta
    @StopperNjuta 3 часа назад

    Duuh

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 часа назад

    😢😢😢