Nasema Asante by Dr Sarah ( Tanzania) Swahili song cover by Theophile ft Mugisha

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Nasema Asante kwangu wangu, nasema
    Asanti kwa wema wako
    kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
    Amina.
    Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
    Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
    kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
    Amina.
    Oooh nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
    Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
    kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
    Amina.
    Nasema asanti kwa Mungu wangu
    Nasema Asanti kwa wema wako
    kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
    Amina.
    Nasema asanti kwa Mungu wangu
    Nasema Asanti kwa wema wako
    kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
    Amina.
    Mungu nasema asanti Baba
    Nasema asanti kwa wema Wako
    Nakushukuru, nakushukuru Wewe
    Umenitendea makubwa
    Nainua Jina Lako, natukuza Jina Lako
    Unastahili Baba, Unastahili kuinuliwa
    Unastahili sifa na utukufu
    Wewe ni wa ajabu
    Umenilinda Baba, Umeniponya
    Umeniinua, Umenibariki
    Haleluya Jehova Jire
    Nakuinua, nasema asanti Baba, asanti kwa wema wako
    Nakushukuru, Wewe ni Alpha na Omega
    Wewe ni mwanzo na ni mwisho
    Hakuna mwingine Baba
    Haleluya nakupenda, nakuinua, nakutukuza
    Nasema asanti kwa Mungu wangu
    Nasema Asanti kwa wema wako
    kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
    Amina.
    Nasema asanti kwa Mungu wangu
    Nasema Asanti kwa wema wako
    kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
    Amina.
    Nasema asanti kwa Mungu wangu
    Nasema Asanti kwa wema wako
    kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
    Amina.
    Songwriters: Sarah Kiarie,

Комментарии • 6