Ni lazima muelewe yanga nilazima itumie pesa kubakisha nyota wake laa sivyo ita ingia sokoni kutafuta nyota wengine kwa gharama kubwa. Na pia watachukua muda kuzoeana na kuzoea mfumo na ligi yetu. So kumuuza mchezaji nilazima iwe imekuja ofa isiyoweza kukataliwa napia mkiwa mmeona mbadala kwani wakileta ofahiyo maanayake kumpata kamahuyo kwingine ni gharama zaidi ya hiyo. Wa Tz tuache mawazo yakijinga
Kama Mzize anabaki basi mshahara wake upande ufike kiwango ambacho wangemlipa
Aliomba aongezewe mshahara wakina licado momo wakaanza maneno ooh aheshimu timu awe mvumilivu haya sasa waheshimu wamuwekee mzigo
Tuache na timu yetu na MCHEZAJI wetu, hujui masuala ya ndani ya KLABU!
Madini ya nguvu sana fact tupu😊
Safi
Ni lazima muelewe yanga nilazima itumie pesa kubakisha nyota wake laa sivyo ita ingia sokoni kutafuta nyota wengine kwa gharama kubwa. Na pia watachukua muda kuzoeana na kuzoea mfumo na ligi yetu. So kumuuza mchezaji nilazima iwe imekuja ofa isiyoweza kukataliwa napia mkiwa mmeona mbadala kwani wakileta ofahiyo maanayake kumpata kamahuyo kwingine ni gharama zaidi ya hiyo.
Wa Tz tuache mawazo yakijinga
Wanamfelisha tyuu😂😂😂
Yanga hawakurupuki kama Simba!
Unge dadavua vizuri coz mpira wa miguu ulikuwepo kabla ya huo mwaka yaani ulianzia CHINA na huko magoli yalifungwa pia
Lakini yanga kumuachia mchezaji ngumu
Wana AKILI nyingi kuliko Simba
Wana akili ndogo kuliko simba sema wanauoga mwingi kuliko simba
Yanga waturuhusu aondoke kiwango kikishuka