KAKA dani , kaka dani, kaka dani nimekuita mara ngapi kaka unaimba to a point mtu anapokusikiliza lazima apate GOOSEBUMPS Unawazidi hata baadhi ya waimbaji wenye majina makubwa NATAMANI kuona collabo yako na KAKA JULIUS FANTA , WALTER CHILAMBO, GODFREY STEVEN, NA KAKA ELIA nabarikiwa sana huu uwimbaji wako🙏🏼🙏🏼🙏🏼
My role model tunakupenda sana danny vijana wengi tunatamani kuona ukifanya huduma hii Tunaomba pia hata uwe active katika mitandao ya kijamii ni weng sana tunahitj huduma yako ubarikiwe
Dad, natabiri huduma yako kukua nakuongezeka na kuvuka mipaka ya mabara, natabiri Uzima afya, Kibali na mafuta na roho wa MUNGU asipunguke kwako,Natabiri kuinuliwa kwako. AMEN.
My bro kaa ukijua kuwa unavijana wengi nyuma tunakutazama na kupenda kitu unafanya plz usipoe sana tunakupenda na kuifagilia sana huduma yako🎉🎉😂 keep it more aiseee we are thirty of your service... Mbingu ziko wazi and sasa nakutabiria kile ulipanda miaka ya nyuma hakitakuwa bure.
Woow woow woow woow! ❤🔥🔥 Bless you my brother kibambe, I'm so happy for the Grace of God at work in u...thank you for accepting the calling from God. More Grace to you bro.. GLORY TO GLORY 🔥 Let's go bro...❤
Pale ulipoimba NATABIRI MISHE MISHE ZANGU ZINAFANIKIWA NIMEDECLARE MARA 20 JAMANI NYIE KUNA WAIMBAJI ALAFU KUNA HUYU KAKA DANIEL KIBAMBE🙌🏼🙌🏼🙌🏼❤
Hallelujah,Natabiri Uhai Katika kila eneo La Maisha Yangu, Lazima nione mafanikio na matarajio Yangu Yakiwa Hai🥳🥳🥳Katika Jina La YESU🙌
Amen!!...
Kuna ule wimbo aliimba kwenye harusi yenu wakati unaingua ukumbjni, hebu aurekodi jamani..ni mzuri mnoo@@melissakibambe
KAKA dani , kaka dani, kaka dani nimekuita mara ngapi kaka unaimba to a point mtu anapokusikiliza lazima apate GOOSEBUMPS Unawazidi hata baadhi ya waimbaji wenye majina makubwa NATAMANI kuona collabo yako na KAKA JULIUS FANTA , WALTER CHILAMBO, GODFREY STEVEN, NA KAKA ELIA nabarikiwa sana huu uwimbaji wako🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Dear Danny, kama ikikupendeza..Ninaomba utuwekee Pambana na Natabiri kwenye spotify na audiomack🙏🏾 Blessed with such songs😊
My role model tunakupenda sana danny vijana wengi tunatamani kuona ukifanya huduma hii
Tunaomba pia hata uwe active katika mitandao ya kijamii ni weng sana tunahitj huduma yako ubarikiwe
Dad, natabiri huduma yako kukua nakuongezeka na kuvuka mipaka ya mabara, natabiri Uzima afya, Kibali na mafuta na roho wa MUNGU asipunguke kwako,Natabiri kuinuliwa kwako. AMEN.
Natabiri mpenyo katika kazi yangu kwa jina la yesu
Natabiri 1Million views
Hiyo touch apo 1:52 moto aisee 😍🙈
Shalom Brother, nimehudumiwa sana na huu wimbo... Nakukubali kitambo sana Kaka.... Love from Moro
MWALIMU WANGU MIMI
ROLE MODEL WANGU MIMI
MTU NINAEIGA HATA AKICHEKA❤️❤️❤️❤️❤️❤️
😂😂😂
Kwa jina la Yesu natabiri
Haleluya
Thank you Lord you to hear my pray,my brother back home,siku Moja tutaona dan
Mwanzo mpya, Mungu atimize kila kusudi aliloweka ndani yako. Nazisubiria na zile nyimbo zingine ni motooo
😊
Here is where you belong. Mungu ni mwema
Natabiri from the 254...🎉.. most love to you and Melissa ❤
Much love from Kenya🇰🇪...the voice is heavenly more Grace ❤
My inspiration brother ever🥺❤🎉 so blessed with this man of God
Welcome back to the industry bro
Keep it up my brother Daniel kibambe MUNGU akutumie Kwa viwango vikubwa ukafanyike baraka amina
My bro kaa ukijua kuwa unavijana wengi nyuma tunakutazama na kupenda kitu unafanya plz usipoe sana tunakupenda na kuifagilia sana huduma yako🎉🎉😂 keep it more aiseee we are thirty of your service...
Mbingu ziko wazi and sasa nakutabiria kile ulipanda miaka ya nyuma hakitakuwa bure.
Nmepona baada ya kusikiliza wimbo huu..una mguso ...mbingu ziko wazi
Singer ,,,, plays piano like a monster 😑🥹😭😭. Wow God bless u
UINULIWE MUNGU MWENYE UWEZA ,SIFA UTUKUFU NI ZAKO WEWE MUNGU WETU
❤ mbingu ziko wazi
This Guy is a super talented in Tanzania!!
My brother ❤
Hatari sana hongera mtu wa Mungu.
But I wish ningekuwa kweny hii team kaka why hujaniweka jmn😂😂😅 ila mbarimiwe sana the voice was super natural
MBINGU ZIKO WAZI SASA NINATABIRI❤
Kaka dany you're blessed ✨🙌🏽
Sasa tunaanza kupindua nchi kaka yangu kabisaa 🔥🔥🔥 #NATABIRI
❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kibambe wewe ni hazina kubwa sanaaa
Such an amazing brother with a huge treasure. Natabiri kwa huduma yako vijana wengi waokolewe
Blessed Brother
My God my God my God 🔥🔥🔥🔥🔥🔥this now is Gospel music
Y'all 🔥🔥🔥🔥
Mungu akutunze zaidi kaka nabarikiwa na nyimbo zako
brother mimi naomba.... kila siku kila saa...that used to be my fav song. kindly record again or that version to respost please.
Powerfull🙌🏼
Be blessed🙏
Natabari❤
Danny God bless you brother ❤
Those keyz 🎹are on point 🎉❤
powerful 🔥🔥🔥
Aminaaaa
Just matter of declaration and everything goes well
Sure
Beautiful & heavenly intro
Dany, I missed you. Thank you for this powerful song. Looking forward to more live performances from you.
My brother! Beautiful singing always. God bless you. I hope to minister alongside you someday.
Hallelujah Hallelujah Hongera san mtumishi wa MUNGU, kazi Nzuri
Nice 👍
Umetuinspire wengi kwa Miaka mingi wewe toa kazi you have my support bro💥
I wish nimpate mwenye amekufanyia Video slyvester
♥️♥️☕
Hallelujah!!!
Woow woow woow woow! ❤🔥🔥 Bless you my brother kibambe, I'm so happy for the Grace of God at work in u...thank you for accepting the calling from God. More Grace to you bro..
GLORY TO GLORY 🔥 Let's go bro...❤
Powerful song, keep coming strong sir
my brother God is gooddd
❤❤
Jamaa unagusa piano noma blessed
Grand Pretreee🎉🎉
PAPAAAAAAA
💪💪💪🙏🙏🙌
My brother Daniel mtumishi wa Mungu Mungu niwakati wako sasa wa kuinuliwa❤
Hongera sana sana mdogo wangu Mungu azidi kukuinua
Mfumo umezingatiwa👍
Kaka we ni balaaaaaaaaaa
My teacher D,Mungu azidi kukutumia🙏
Keep rising man!!! 🙌🏾🙌🏾
This is amaizing grace
My own brother 🔥🔥🔥 moto ni mkali
🔥🔥🔥hii song
Kaka Angu Mungu Akubariki Saana🙏
SHOW ME
BEAT KILLER thank youuuuu
brooo❤❤🔥🔥🔥
Hallelujah! 🙌🏾 🙌🏾 I
Wewe kaka kibambe bwanaaaa aaaaah sasa sisi tuimbe niniiiii🙌🙌🙌🙌
Jesus🙌🙌❤❤💃💃
Powerful Song!! God bless you Man of God.
Nilimis sana kazi zako brother, congratulations 🎉
❤Nduguuu yangu🎉
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Aiseeeeeeeee 🙆🙌 ubarikiwe sana , so powerful
💥💥💥🙌🙌🙌
Bless you
Nyimbo Niya🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
This song is just PERFECT ❤
blessings
More Grace & love from KENYA 🇰🇪. We missed your ministration
Wow Wow Just Wow...
My role model....
🔥🔥🔥🔥🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼powerful song🫡
I see Dr Msama K Msama
🔥🔥🔥🔥
Haleluya GLORY TO GOD
#KWAJINALAYESUNATABIRI
Nitakusadia kushare
Fundi mmoyaa
Glory be to God
Fireeeeeeee
Amen..
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana ila naomba jitahidi sana nipate namba yako