shukran ya ustadh ALLAH akulipe kheri nyingi pia akuongeze umri watu wazidi kufaidika na uwepo wako duniani kupitiya da'wa na mengineyo mazuri na kwa mabaya ALLAH akusameh mana hakuna aliye kamilika ila yeye peke yake
Allah akulipe malipo makubwa kwa kuutoa moyo wako katika kusaidia ummah Sheikh wetu, kipenzi cha Allah vilevile kipenzi chetu kwa ajli yake tunakupenda sanaaaa. Kila la kheir.
maa sha allah Allah akuzidishie kher inshaallah natamani saaana nipate darasa zako liv shekh maana itakuwa Ni tofaut na online sijui wafanyia wap darasa sheikh nihudhulie nifahamishe
Shekhe naomba msada wako ndugu yangu Ana majini Anatakiwa Awe mganga mama hajaafiki hili swala je yawezeka yatolewe Au ndio lazma Awe mgqnga pia umri wake Nimdogo Naomba msaada wako 🙏
Masha Allah sheikh Othman kwa kisomo kikali umetusomea online and sasa mafuta zaitul Mubarak haya bei yake ngapi?? Mungu akupe umry mwema,emaan,furaha and Amman Ameen yarab...lnshallah ukipata wasaa tupe hizi tiba na dawa kwani watu wengi sana wanajifunza First Aid ⛑ kwani darsa zako ni nzuri sana...Ma Salam
Maa shaa allah sheikh, inaonyesha una msaada mkubwa kwa jamii ya Kiislam, Allah akulipe kila la kheir ila mawasiliano yako magumu sana. tuelekeze tufanyeje ili lengo na faida ya elimu yako itimie?
waalaikum salam warahmatullah wabarakatu shekh naomba msaada mm naumwa na mgongo sn pia kifuani nahiic pana kitu kizito na mbavu zote mbili zinanibana. nikienda sptli tatizo halionekani naomba ushaur wako na dua zako nini nifanye angalau nipate nafuu nimalize muda wangu nirud nyumbani,plz nijibu lln usikae kimya InshaLLAH na ww pia nakuombea duaa..
i have jinn on my head 2years now what can I do plzzz pray for me....people are hating me everyday even my family because of jinn on my head i need help...Allah I need u
@@salimmohamed694kama uko mombasa mwambie huyo rafiki yako aende kwa sheikh Adam Bondeni nyuma ya Masjdi noor kwa sheikh Adam Bila shaka kwa uwezo wa Allah atapona
Assalaam alaykum, ndugu zangu muliouliza maswali kwenye hii clip sheikh ameweka namba zake kwa nini musiulize maswali kupitia namba zake? Mimi namjua shekh yupo bize sana, na sio mnavyomdhania. Kama una nia ya tiba wasiliana nae au nenda ukamuone Inshaallaah
Suala la kusahau mie limekuwa sugu kwangu lkn nilijaribu kuongea na doctor akaniambia labda nina mawazo nikamuambia sina stress I’m ok Lkn akaniuliza kuhus ndoa nikamuambia bado akasema niolewe hili litaniondokea je ni kweli au nitumie mafuta ilifika wakataka nipeleka kwa sheikh hapa oman nikasomewe kisa nasahau saana sasa sijui nifanye nn 😌😌😌😌lkn nilikataa
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Bora uolewe kweli lakin ikiwezekana ufanyiwe ruqyah na hayo mafuta ukiyapata itakuwa vizuri. Na usome sana Qur-an.
Aliyepost hii video alipost kwanini kama hawezi kujibu watu maswali yao au ndio unawazidhia mawazo.. maana mm nimeona watu wanauliza maswali tena muhimu lakini hawajibiwi. !! Assalam aleikum
@@othmanmichael4241 jazzakkallah kheir sheikh mm napenda darsa zako sana na mm ni mfuatiliaji wa darsa zako sana ila uwa tunachelewa kupata majibu pindi tuulizapo maswali. Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah mombasa kenya huku
Mie nauliza Sheikh kuhusu kuingia choon tujifinike kichwa lkn si husoma duaa?? Au hii duaa haiwaathir hawa shetan? Na je nikiwa nenda oga hap inakuwa je Sheikh 😒
Sasa Shekh unatoa mafuta ya kufuza majin. Wakat majin kwa mujibu wa Quran 72 Walisimu na wakawa waislam. Je Wew unafukuz majini gan ikiwa hao ni waislam wenzenu?
Mwanaidi Hamisi .mtupa Poole mwana jaribu kutafta mtu aleko africa akwende kuchukua akuletee mie ningeweza kumtuma aunty yanguu lkn ataanza kuniuliza maswali maana yy hakawii kuenda wala ndg zake hawakawii kuja oman Hivo tafta mtu anaekuja muagize in shaa Allah
Mwanaidi Hamisi .mtupa Mwana ttz sio hilo ttz aunty yangu hapend kuingiliana na watu ataniuliza maswali na atauliza mmefahamiana wapi mie nipo muscat alghubrah near by jamaa akbaru mie sitoki ila had nitoke nao sasa sijui ww ikitokea mtu kaleta waweza kuja chukua??
Mwanaidi Hamisi .mtupa Mwana tuma email yako nitakutafta huko au WhatsApp’s tuma number yako nikutafte tuchaty private’s mamy in shaa Allah na Allah ataleta wepes in shaa Allah utapata tibah habibaty
shukran ya ustadh ALLAH akulipe kheri nyingi pia akuongeze umri watu wazidi kufaidika na uwepo wako duniani kupitiya da'wa na mengineyo mazuri na kwa mabaya ALLAH akusameh mana hakuna aliye kamilika ila yeye peke yake
Shukran Sana sana, jazakallahulkheir.na inshalla mola akulinde na Kila la shari
Mke wangu anaumia inishalaa ukinisaindia mwenyenzi mungu atakujalia zaidi inshalah
Allah akulipe malipo makubwa kwa kuutoa moyo wako katika kusaidia ummah Sheikh wetu, kipenzi cha Allah vilevile kipenzi chetu kwa ajli yake tunakupenda sanaaaa. Kila la kheir.
Allah atuhifazie sheh wetu allah akuongeze umri naatupemwishomwem
Shukurn sheikh wang Allah akulinde akuzidishie umri mrefu na akujaalie mwisho mwem
Mashallah ya shekh akuppe jana
Masha Allah... Mungu akulinde ustadh
Jzaqllhu kheri akulinde mola inshallh
Alhamdulilahi allah akuepushe nao hawa masheitwani akujaalie umri mrefu uzidi kutowa msaada wako kwa ajili ya allah
Assalam aleykum warahmatullahi subhanallah allahu Akbar masha Allah shekh Othman Michael
maa sha allah Allah akuzidishie kher inshaallah
natamani saaana nipate darasa zako liv shekh maana itakuwa Ni tofaut na online sijui wafanyia wap darasa sheikh nihudhulie nifahamishe
Shukran jazakah Allahu kher sheikh
Shukran Shekh Mola akupe maisha marefu
Shukran anta kadhaalika
Naomba hayo mafuta tafadhali Sheikh Athuman
Assalam alaikum sheikh Othman hadith zako zina mafunzo insha'Allah Mwenyezi Mungu Akulipe wema Ameeen ameeen
MASHAALLAH SHEKH ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHER NA UMRI MREFU NA BARAKA PIA.
Shukran anta kadhaalika
Allahumma amiyn
Allah.akupe umri.mzidukuwatibu waumini tumesibitiwa.namashatwani
Assalaam haileikum sheikh Othman Michael Niko Mombasa hayo mafuta bei gani Nahitaji saanaa
Salàm alekum mashallaah mungu akupe umri na afia
Ameen
Shukran sheikh mm kipicha hicho kinanitisha. Shukran sheikh Allah akuzidishie ilimu
Sheikh nijuze mm na yataka hayo mafuta
Hahaa
Jazaqala kheri shekhe
Shukuran sheikh Allah akuripe kira raheri
Pati 2 shekhe tafadhar Allah akuhifadh akujaalie shahada siku yakadar insha'Allah 🌹
Inshaallah
Mungu azidi kukuongoza akupe kila la kheri akulinde na shari zote za majini na watu
Shukran anta kadhalika
Amiin
Ahsante japo nimechekewa lakini nimefaidika jazakallahkheyr 👏
Shukran
Shukran sheikh ntakupigia simu
Sawa karib
Mm nasumbuliwa na ayo matatizo Kuna wakati adi nakataa tamaa hakuna nzuri mbele yangu
Shekhe naomba msada wako ndugu yangu Ana majini Anatakiwa Awe mganga mama hajaafiki hili swala je yawezeka yatolewe Au ndio lazma Awe mgqnga pia umri wake Nimdogo Naomba msaada wako 🙏
audhubillahi minasheytwani
Mashaalah jazakaalahu
🙏🙏Jazaka Allahum here hiki Mola💖 akuongoze kwa kijambo 💞na akuruzuku akunemeshee na hekima 💝👑💪👍
Anta kadhaalik
@@othmanmichael4241 jamila abdalah kutoka kenya nakupongeza mashalaah mungu akujaze kheri kwa tiba yako.
Je kama niko nje ya Tanzania dua na pataje asante
Ma shaa Allah shk hujaanza hata kusoma lakin mwili unanisisimka sana
Shukran
Masha Allah sheikh Othman kwa kisomo kikali umetusomea online and sasa mafuta zaitul Mubarak haya bei yake ngapi?? Mungu akupe umry mwema,emaan,furaha and Amman Ameen yarab...lnshallah ukipata wasaa tupe hizi tiba na dawa kwani watu wengi sana wanajifunza First Aid ⛑ kwani darsa zako ni nzuri sana...Ma Salam
Allah akuzidishie umri mrefu na hekma dawa zako ninzuri sana zimenisaidia jazakallah
Shukran sana shekh. Allah akuzidishir kila kheri shekh
mashallah mashallah
Mashaaala Shekhar mm naomba due y kujikinga n mashetani
Shukran jitahidi kudum na udhu pia sum na nyirad
Shukran dum na udh na nyirad
Shukran sana jazakallah kheir
Assalam aleikum .Mimi nataka mafuta beigani
Kabisa
Ahsante shekh
Na wewe pia
Waalykum msalaam shukran Sheikh mm ni kkangu Sheikh amepata maradhi ya kichwa hatueliwi nn alikua mzima kabisa je waweza kumtibu Sheikh
Naweza biidhn llah mleten
Part two tafadhar
Shukrani 🌹
Shukuran sana shehe
Haya mafuta yanaweza kutumika kwa kunywa Maalim wetu
MashaAllah sheikh waukwee mm nashukuru ALhamdhulilah Allah akupe kilalakher inshaAllah
maashaallah shekh wtu vp hayo mafuta nitayapataje
Emed Ibrahim nipigie 0652891126
@@othmanmichael1779 na yataka hayo mafuta
Kiwalani jiraninamarkaz
MashaAllah, jazakalah
i guess it's kinda off topic but does anyone know of a good site to watch new series online?
zsytul Mubarak yanauzwa sh.ngapi
10000
Asalam Alaykm kwayote.unayoyazungumziyaga mengininyo naitajitiba
MASHALA
😛😝😜
Inshaallaah shekhe mungu akujaliye kila lenye kheri hapa dunian na akhera
Amiyna
maashallah jazakallahu kheir
Shukran
Amin
Yanaitwa mafuta gani shee
Maa shaa allah sheikh, inaonyesha una msaada mkubwa kwa jamii ya Kiislam, Allah akulipe kila la kheir ila mawasiliano yako magumu sana. tuelekeze tufanyeje ili lengo na faida ya elimu yako itimie?
Anta kadhaalika shukran changamoto unakuta
Nipigie
Mie usingizi umenishika ajabu hapa
waalaikum salam warahmatullah wabarakatu shekh naomba msaada mm naumwa na mgongo sn pia kifuani nahiic pana kitu kizito na mbavu zote mbili zinanibana. nikienda sptli tatizo halionekani naomba ushaur wako na dua zako nini nifanye angalau nipate nafuu nimalize muda wangu nirud nyumbani,plz nijibu lln usikae kimya InshaLLAH na ww pia nakuombea duaa..
Pole chujua virunguu7kamuliandim3 pakamwilimzima cku7
rabbi alhamdulillahi
Amiin yaarab🤲🤲🤲🇰🇪
جزآك الله خير
Anta kadhaalika
Asalaam aleikum warahmatullah wabarakatu,Naitagi tiba bi ithnillah
Shukran sana sheikh mm nko.safar na ninamatatizo kma hayo jee ntapata VP hizo dawa
0652891126
Athuman Michael shekh naitaj iyo mafuta
Mashallah jazakallah
Shukran
Shekhe haya matatizo yako kwa mke wangu utanisaidia anje
Aa
Assalam Alaykum,Sheikh mafuta bei gani n nipo Pemba nayapataje.
Jazzakallah kheri sheikh
Anta kadhaalik
🙏🙏🙏
i have jinn on my head 2years now what can I do plzzz pray for me....people are hating me everyday even my family because of jinn on my head i need help...Allah I need u
Were you my sister i can show you someone who can help you
@@fauzishma8033 na mm nipo kenya mombasa kuna rafiki yangu ana tatizo ilo ilo
Soo sorry my sister Allah will give you shifaa in shaa Allah daaah😭😭😭😭😭😭😭
@@salimmohamed694kama uko mombasa mwambie huyo rafiki yako aende kwa sheikh Adam Bondeni nyuma ya Masjdi noor kwa sheikh Adam Bila shaka kwa uwezo wa Allah atapona
@@fauzishma8033 shukran jazzakhallah kheir
Asalam alykm shekhe , Asante kwa dharsa zuri
Shuk
Sheikh nahitaaji hiyo duaa no 2 sijui ipo tayari?
Shukran sana
Amiyn
MashaAllah ebu Sheih waweza nipa wtsapp yako tuongee. inbox
0652891126
Tafadhali naomba musaada wako
Shekhe mie naitaji ayo mafuta
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Naku pataaje
Ustadh nnnayahitaji ayo mafuta
Asallaam alykum, jisomee mwenyewe ruqiya ndiyo sunnah
@@gidaninga1740 @Ma shaa Allah hakikataan
Yanapatikana 0652891126
Nimependa kisomo hicho
Mashaallah
Walykum sallam.shekhe ofisi yako inapatikana wapi Mimi nataka nije ili nikupe Hali halis yamatatizo yangu Kisha wewe ndio utajua tiba yake
Assalam aleykum warahma tulahi wabarakatuh ya sheikh marekani hayo mafuta yata fikaje?
Utatumiwa
Nirahisiukiitaji
Assalaam alaykum, ndugu zangu muliouliza maswali kwenye hii clip sheikh ameweka namba zake kwa nini musiulize maswali kupitia namba zake? Mimi namjua shekh yupo bize sana, na sio mnavyomdhania. Kama una nia ya tiba wasiliana nae au nenda ukamuone Inshaallaah
Shukran said
Nakama sisi ambae siwaisilam muhalim unaeza kutasidiaje
Ubarikiwe muhalim kwa mahelezo lakini naomba usaidisi
Mashala muhalim nikiwa Kenya bomayetu ndio I meangami SWA ndunguzangu wote wako kwa sida
Ameeen
Niko kenya mafuta ntapata vipi shk
Niko saudia nitayapataje Niko na matatizo mojawapo uloyataja shukran sheikh
Kenya na Tz ni karibu waweza agiza kwa bus watu hutuma vitu na vinafika
bachilzamun sultan tutakutumia
A' aleikumu unapatikana wp ?
Shekhe nauliza unadawa za kutibu bawasiri
Ndio
Beigani
shekh naitaji hayo mafuta ntayapataje
0652891126
Mashallah
Sheikh natak ayo mafta ntayapta wpi
Pigs simu au fika kiwalan markaz km upon dar
Pg0652891126
Shekhe mm niko njee ya nchi nifanyaje ili niweze kuongea na Ww nikueleze tatizo langu
Shee mm niko mbal napataje
0652891126 nipigie sim
Suala la kusahau mie limekuwa sugu kwangu lkn nilijaribu kuongea na doctor akaniambia labda nina mawazo nikamuambia sina stress I’m ok
Lkn akaniuliza kuhus ndoa nikamuambia bado akasema niolewe hili litaniondokea je ni kweli au nitumie mafuta ilifika wakataka nipeleka kwa sheikh hapa oman nikasomewe kisa nasahau saana sasa sijui nifanye nn 😌😌😌😌lkn nilikataa
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Bora uolewe kweli lakin ikiwezekana ufanyiwe ruqyah na hayo mafuta ukiyapata itakuwa vizuri. Na usome sana Qur-an.
@Maqboul Al-Barwani
In shaa Allah
Kheri nikirud home nitakuja dar kuchukua na kwa ajil ya wengne
In shaa Allah
Maqboul Al-Barwani
Aamin
Maqboul Al-Barwani in shaa Allah
Hayo mjini wengine yasha tufanya wakezao na tumeyazoea maana kutoka hayataki tufanyaje Sasa mwenyezimngu at ufanyie wepes tu jamani
Ufanyiwe tiba ya uhakika
Shekh nlipo anza kusikiza hii nime khisi kichwa chanitoka moto upande wa kisogo
Ohpolle swafia
Mimi nnnaona nyingi nnnazo ila sijui
Pole
Mie lingne ttz nmekuwa natokewa majipu kwa sasa nmepasuliwa mara mbili mikono yote kwapani na bado yatokea sehem zingne pia inaisha teena inarudi
Usifanye tena upasuaji tafuta sheikh anaejua Ruqya vizuri akusomee
Karibu nitashughulika na tatizo lako bi idhn llah utalisahau (utapona)
Asante shee
Kama mimi nipo kenya ntapataje hayo mafuta
Naitaji mafuta hayo pia
Kabisaa
Utatumiwa 0652891126
hayo mafuta tukitaka kuyapata sheikh tutayapataje.
Piga 0652891126
Allah akupe umuri
Aliyepost hii video alipost kwanini kama hawezi kujibu watu maswali yao au ndio unawazidhia mawazo.. maana mm nimeona watu wanauliza maswali tena muhimu lakini hawajibiwi. !! Assalam aleikum
Pole shekh ndio ulidu
@@othmanmichael4241 jazzakkallah kheir sheikh mm napenda darsa zako sana na mm ni mfuatiliaji wa darsa zako sana ila uwa tunachelewa kupata majibu pindi tuulizapo maswali. Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah mombasa kenya huku
Pg0652891126
Assalamaleyhi warahmatullahi
aleyhi sallallahu
Mie nauliza Sheikh kuhusu kuingia choon tujifinike kichwa lkn si husoma duaa?? Au hii duaa haiwaathir hawa shetan?
Na je nikiwa nenda oga hap inakuwa je Sheikh 😒
Ufanye yote dua ni kbla ya kuingia nnje ya mlango kisha tanglz mguu was kushoto
Kuoga km choon ni dharura
Sasa Shekh unatoa mafuta ya kufuza majin. Wakat majin kwa mujibu wa Quran 72 Walisimu na wakawa waislam. Je Wew unafukuz majini gan ikiwa hao ni waislam wenzenu?
Ma👏👏👏
Ni kama wale wanaompinga rais magufuli na sauti zao tumezisikia akipendecho alhah daima huchukiwa kwa nini lakini??!!!
Famito magufuli anaingiaje na Mungu? Acha ushabiki uchwara
Mafuta shiling shekh na yanatumikaje
10000 kupaka jioninaasubhi
Shekhe siku mbili aw tatu zilizo pita Nime kutumia ujumbe wa kuuliza upande wa marekani huduma hizi zina fika vipi.
SAMUYA MGOYA zinatumwa hatahuko
Mimi ninataka dawa ya ile uvimbe tumboni nitaopataje mimi niko omani
Mwanaidi Hamisi .mtupa
Poole mwana jaribu kutafta mtu aleko africa akwende kuchukua akuletee mie ningeweza kumtuma aunty yanguu lkn ataanza kuniuliza maswali maana yy hakawii kuenda wala ndg zake hawakawii kuja oman
Hivo tafta mtu anaekuja muagize in shaa Allah
@@khadijaal6548 ndugu yangu kama unawajuwa watu wanao kuja uku Mara kwa Mara naomba msaada wako
Mwanaidi Hamisi .mtupa
Mwana ttz sio hilo ttz aunty yangu hapend kuingiliana na watu ataniuliza maswali na atauliza mmefahamiana wapi mie nipo muscat alghubrah near by jamaa akbaru mie sitoki ila had nitoke nao sasa sijui ww ikitokea mtu kaleta waweza kuja chukua??
@@khadijaal6548 Mimi natoka ata madamu wangu atanileta madamu wangu ana noma wajibu kumjulisha tu Mimi niko awab
Mwanaidi Hamisi .mtupa
Mwana tuma email yako nitakutafta huko au WhatsApp’s tuma number yako nikutafte tuchaty private’s mamy in shaa Allah na Allah ataleta wepes in shaa Allah utapata tibah habibaty