AKINA NANI WANASHIRIKIANA NA MAJINI?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 572

  • @andersonwaweru8482
    @andersonwaweru8482 6 месяцев назад

    Ndacha! kweli wewe ni mwalimu,may God protect you

  • @mozesdaniel7484
    @mozesdaniel7484 Год назад +2

    Fantastic sana ndacha songambele tume elewa vuzuri sana...

  • @abeidmohamed2100
    @abeidmohamed2100 Год назад +7

    Mazinge mashallah Allah akubariki eti masheitan wanalala kwenye pua za waislam.mtume s.w ndie mjumbe ambae anapokea ujumbe kutokankwa Allah akatufundisha kwamba tabia za Majin hupenda kulala kwenye pua so ukiamka akatufundisha kwamba upenge kama mafua ..huwa anatoka na ukiangalia ni kweli yule ambae atalala akiamka apenge kama mafua bas atajiona mwepes kwa sabaubu masheitani huwa wanaziba njia za hewa hakika dini ya kweli mbele ya mungu ni uislam ,

    • @janenjeri9750
      @janenjeri9750 Год назад

      allah ni lucifer,itakuaje tena dini aloanzisha ni ya Mungu?
      Dini ya kiislamu ni uongo,mmepotea

  • @PatrickBandamba-le9kt
    @PatrickBandamba-le9kt Год назад +2

    Mimi nipo Congo mchungaji Ndacha mungu akulinde akuongezeye mwika duniani ya kuishi ni mimi bukili Léonard toka Congo Lubumbashi

  • @michelshemikalamo2537
    @michelshemikalamo2537 Год назад +2

    Baba Ndacha Tunakuombea Mungu amekupa hekima kabisa katika kuongea nahao ma adui yetu wa Imani, nimeona wengi wao wameshindwa kujibu maswali Yako hata Mazinge kashindwa !!! Inasikitisha.
    Mungu aendelee kukujaza Roho wake n'a hekima kubwa ili uendelee kutetea Imani ilio ya kweli.
    Najiuliza umefanyaje Ku kariri maandiko Ayo yote maana sijakuona ukisimama n'a karatasi, hata Mazinge hawezi ilo!!! Anacho fanya ni Ku igiza nakuchekesha watu kama muigizaji ila maswali mengi majibu hayakupatikana upande wao. Ubarikiwe

  • @ngomafrancis1659
    @ngomafrancis1659 Год назад +6

    Pole sana wa islam kwa majini alakini simuachane nayo pole sana alakini Pastor Ndacha ajadanganya nikitabu cha Koroani kinasema tusikatae nikweli tusiwe wajanja tukubali ukweli majini wamelaaniwa na Mungu.

    • @salumsodangu1372
      @salumsodangu1372 Год назад

      Inallilah waina ilaih rajaun
      Msiba mkubwa
      Wasristo somen kitabu chenu
      Msimpende kusomewa tu kanisan au kwa miazara
      Fanyen akilizenu zikubari fikra mpya

    • @rajabnyoka-vv5vh
      @rajabnyoka-vv5vh Год назад

      Atakaye silimu ni kheri na yake abakiaye kwa ukrixto xiku yakiama akiingia motoni aximlaumu mtu ila nafsi yake

  • @AlainKakudji
    @AlainKakudji 8 месяцев назад

    Nakupenda Sana Pasteur mpiga wa islamu mimi Niko DR.Congo .

  • @raphaelsiarahera7
    @raphaelsiarahera7 Год назад

    Kazi nzuri sana. Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo awabariki sana kwa kuihubiri kweli ya injili.

  • @JuniorMahamoudkyabila
    @JuniorMahamoudkyabila Год назад

    Shukran Sana mwalim mjinga Ndacha kwa Weye kuwa tiya ujinga wa kristo wenzako 😂😂😂😂 wallahi msiba mtupu / mashallah Amin Rabbi Allahouma Amin walim WETU wa ki Islam ALLAH wenye kuwa na ujudhi wa kufunza jamiiii takbir ...........

  • @EmmaShirima-d9l
    @EmmaShirima-d9l Год назад +3

    God bless you pastor Ndacha

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 Год назад

    Mungu akubaliki sana Ndacha ...naona hapa uliibiwa mda sana...ila wakristo tunakuelewa sana

  • @JohnKirema-fc6sn
    @JohnKirema-fc6sn Год назад +2

    Mungu akubariki sana ndacha pamja Poul n awaongese miaka mingi

  • @johannesmusa1393
    @johannesmusa1393 8 месяцев назад

    Wa fundishe hao wasio juwa ukweli, Na Mungu hakubariki Paster Ngacha

  • @wizzahgfalme3874
    @wizzahgfalme3874 Год назад +11

    Mwalimu ndacha na team hongereni sana watching from Qatar

  • @wizzahgfalme3874
    @wizzahgfalme3874 Год назад +6

    Huyu chairman wetu Bahebe Mungu ambariki sana kwa kuandaa huu mkutano, yani waislamu wamejaa na ujumbe wameupokea. Aminaaa

    • @i.dclassic116
      @i.dclassic116 Год назад

      Yani waislamu kujaa kawaida yao kwani wanapenda kheli

  • @thomasbjr2
    @thomasbjr2 Год назад +5

    Ndacha kawamaliza kabisa mungu akubariki mtumishi ndacha🙏🏿

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 Год назад +4

    Ndacha anafundisha mpaka unaelewa,safi sana Mwalimu Ndacha

    • @neptuneplutonium86
      @neptuneplutonium86 Год назад

      Ni Kwa sababu akili yenu na ya ndacha ni sawa,na elimu yake ndacha na nyinyi wakristo ni sawa ndio maana mnaelewana

    • @enockkibona7522
      @enockkibona7522 Год назад

      Hapana ndugu mbona anasoma vitabu vyenu ndivyo vinaongea,si kitabu cha qurani kinasema majini yalisilimi na yanapenda Qurani sio bibilia

  • @JuliasRanga-dd8zn
    @JuliasRanga-dd8zn Год назад +2

    Pastor ndacha mungu akuongesee miaka

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius Год назад +4

    Tunakuombea ndacha Mungu akutie nguvu Sana kwa kazi njema

  • @junicnamuwenge6957
    @junicnamuwenge6957 Год назад +8

    Ni gazi kuumu warilmu ragini mungu awabariki sana warilmu wakiristo 😭😭😭🤔🤔💯💯🇸🇦💪

  • @felicienshela4932
    @felicienshela4932 Год назад +14

    Mungu akubariki sana mwalimu ndacha, pia tuko pamoja mwalimu wangu 🌹❤️ , Hongera sana 👏👏👏👏👏👏 🇨🇩 watching From CONGO

  • @NadiaJuma-cp7vr
    @NadiaJuma-cp7vr Год назад +1

    Mazinge Allah akutuifadhie nakulinde

  • @MilcahMuema-n3p
    @MilcahMuema-n3p Год назад +1

    Bwana asifiwe ni milcah kutoka voo SDA nakumbaliana na maubiri yako you are the Paul today may Almighty God bless you with holy spirit to guide you all through .na tunakuitaji huku kitui .

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 Год назад +5

    Pastor Ndacha...Mm ni Roman Catholic natamani sn Sikumoja uje Kanisani Kwetu kututembelea na Kusali Pamoja.... Ubarikiwe Saana Mchungaji 👏👏👏👏👏

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 Год назад +4

    Ubarikiwe Saana,,, tena Saana Pastor Ndacha hakika Wewe ni hodari wa Kusoma na kutafsiri sn Biblia takatifu.... Tumsifu Yesu Kristo 😃😃🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 Год назад +6

    Waislamu haki Mungu awafumbue macho mjue mlipo sio sahihi mda ni huu mnaskia mkiambiwa sikieni mponye nafsi zenu

  • @Princem_15
    @Princem_15 Год назад +4

    Waislamu nawaombea mfunguke macho

  • @kenrongersmurithi
    @kenrongersmurithi Год назад +1

    Ndacha huko juu TU sana

  • @mwanyunimadee4157
    @mwanyunimadee4157 Год назад +24

    Naona ndacha umevuka viwango vingine ndugu Mungu akutie nguvu n akuongezee umri

  • @danielmchomeo-wd9sy
    @danielmchomeo-wd9sy Год назад

    Safi Sana mwl nakukubali ,nipe Siri ya kuhifadhi biblia

  • @motherteresa8314
    @motherteresa8314 Год назад +14

    Jesus Christ is powerful, imagine all the immams verses one man pastor Ndacha answering and teaching these people. Be blessed pastor Ndacha. Instead of them teaching they are refuting what Ndacha is teaching...... believe in the Gospel and be saved

  • @johnelisha6646
    @johnelisha6646 Год назад +2

    Waisilamu okokeni tena mu batiziwe katika jinala yesu kristo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @carolinekemunto2632
    @carolinekemunto2632 Год назад +6

    Mwalimu Ndacha kweli wewe n kiboko umenyorosha Mashehe hadi kidogo waebe ..umewalainisha kma pasi y stima nakuombea mungu akuongezee nguvu uhubilie waislam ili waokoke na Jina la Bwana Yesu Christo liinuliwe Happy sabbath

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 Год назад +2

    Acheni janja janja....waislamu muokoke. Yesu ndiye njia ya kwel na uzima .....humtafika kwa baba ila kwa njia yake.

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 Год назад

    Masha Allah DD Pro Mazinge Mungu akubariki Nafurahi sana

  • @davidwainaina3899
    @davidwainaina3899 Год назад +29

    Ndacha is the king of bible,east African Gospel teacher Proudly of being CHRISTIAN Amen 🇰🇪✝️✝️✝️✝️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @abdikadirabdulahi731
      @abdikadirabdulahi731 Год назад

      Ndacha kwisha6

    • @ismaelleloon2930
      @ismaelleloon2930 Год назад +3

      @@abdikadirabdulahi731 JESUS REIGNS...

    • @111dudi
      @111dudi Год назад

      Bible has been rewritten many times to suit the lies, most of it is not Jesus words.its just lies formulated by liars

    • @kajinjirashid5590
      @kajinjirashid5590 Год назад +1

      King of fake translation..king of lies...read your bible and learn the truth..ask yourself simple questions before listening to ndacha and other fake prophets,pastors.. bishops...

    • @111dudi
      @111dudi Год назад

      @@kajinjirashid5590 umemgundua uongo wake, wakristo wengi bado hawajatambua

  • @aminahgrace
    @aminahgrace Год назад +6

    Ndugu Mungu akupe nguvu,wakristo tunakemea manjini ,itoke ndani ya wanadamu,ndio watoke kwa utumwa,blessing brother ♥️

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 Год назад

      Na hawatoki kabisa, sababu kitu cha shetani kipo kanisani. Maandiko ya bibilia yamesema

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 Год назад +1

      ​@@luluamin1388 kitu gani hicho Cha Shetani kipo Kanisani?

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 Год назад +1

      ​@@luluamin1388 Na andiko gn limeandika hvyo?

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 Год назад

      @@yohanakiyumbi4795 please soma ufunuo 2:12:13

  • @mariajoymokeira4049
    @mariajoymokeira4049 Год назад +7

    Mazinge ana ya kusema kumaliza mda tu

  • @p.matabaro
    @p.matabaro Год назад +1

    9:14 Marko, 😂😂😂 bibiliya gani mna soma nyinyi? Mbona waongo watupu tu daaah!!!

    • @hassanhamad8723
      @hassanhamad8723 Год назад

      Hapo sasa 😂😂😂😂 aganojipya si jui agano la kale hapo ndio watu wanapochanganyikiwa vitabu viwili dini 1

  • @KelvinAlex-x2i
    @KelvinAlex-x2i 8 месяцев назад

    Kakristo munguh awabarikih sana

  • @ManassehNjogu
    @ManassehNjogu Год назад +1

    Mungu ajua

  • @dinahauka6004
    @dinahauka6004 Год назад +4

    Ndacha Mungu akubariki Kwa mafindizo hayo . Ndugu ZA Makini hope wamesikia 🤣🤣🤣🤣

  • @Gabriel-s1c2o
    @Gabriel-s1c2o Год назад

    Nawapenda sana Mimi Niko apa Congo R d c nawafata Tano juu yatano.

  • @mollel
    @mollel Год назад +5

    ndo maan mohamed mungu aliamuru alongwe ave kwa sababu ya kushirikiana na majini

    • @mohamdmohamd4842
      @mohamdmohamd4842 Год назад +1

      Hilo jibu nakupa.. Mutamkuta Mtu Jina lake ni Bar Yesu ni Mchawi mkubwa.. Ongeza na hilo Andiko pia
      Comment.

    • @mollel
      @mollel Год назад

      ndo iliye mloga mohamed kwa sababu ya kushirikia na majini na uchawi

    • @neptuneplutonium86
      @neptuneplutonium86 Год назад

      @@mollel nenda kasome biblia Yako vizuri utapata hata yesu Mungu wako huyo alirogwa....kurogwa ni kawaida Kwa mwanadamu yeyote na Mungu alimpa Muhammad dawa ambayo ni Dua ya shifaa na huyo yesu aliyemtibu nani?

    • @mollel
      @mollel Год назад

      @@neptuneplutonium86mungu hat hana habari na mohamed ndo maana alikufa akiendaga yesu hakulongwa alikufa na kufufuka na akaacha mohamed uko maan ni mtume feki

    • @enockkibona7522
      @enockkibona7522 Год назад

      Baada ya kujibu swali,unasema Ndacha kaja na gari ya bei mbaya,mara maaskofu,tupe jibu mjini ni ndugu zenu tujibu unazunguka sana,mbona wakwepa sana

  • @humudmarhoon8044
    @humudmarhoon8044 Год назад +5

    Namkubali sana mazinge .. dah natamani siku nikutane nae..

  • @mamawamoya3344
    @mamawamoya3344 Год назад +5

    Maaa sha Allah,vidume vya Allah

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 Год назад

      Yaani vidume vya marehemu Muhammad, ndugu zao majini

    • @neptuneplutonium86
      @neptuneplutonium86 Год назад

      @@bustedislam3578 hapana sio hivyo ni vidume vya mwizi aliyelaaniwa yaani yesu na akapigwa kama nyoka na akasulubishwa na kufa kifi Cha aibu😂😂😂😂shetani ndiye kamsulubisha Mungu wenu yesu

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 Год назад

      @@neptuneplutonium86 Nipe andiko ya hayo maneno yako inayosema ndugu yenu muislamu shetani kamsulubisha Yesu Kristo

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 Год назад +1

      ​@@neptuneplutonium86 acha kuwapotosha Watu ngoja nikwambie ukweli kbs...Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliteswa Msalabani kwaajili ya kusamahewa Dhambi za Ulimwengu Mzima....ata nyie Waislaam wenye dhambi Yesu amewaokoa dhambi zenu

    • @samiramohd216
      @samiramohd216 Год назад

      @@bustedislam3578 muisalam ni ndugu wa muislam hivyo kama jini ni muislamu basi hao ninduguzetu waislamu

  • @monicahnguta135
    @monicahnguta135 Год назад +9

    Yaani waislamu wenye akili na maskio watatafakari sana.wamama lilieni wana wenu wacheni ushabiki.wababa wanatafakari jisomeeni vitabu wacheni kusomewa.

    • @abuuhassani497
      @abuuhassani497 Год назад +1

      We hunaakili sisi hatusomewi kwanza vitabu vyakutunga hatuvifati..tunafata muongoza wa Qur'an...

  • @benson4546
    @benson4546 Год назад +8

    Ndacha akika wewe ni mwalimu, Asante kwa kuwafundisha na kuwafunza waislam, wamkumbali Yesu na kumfuata yeye. Baraka tele wewe na familia yako......

  • @sharifam3342
    @sharifam3342 Год назад

    Masha Allah awabariki Masheke

  • @jacklinenyangau3843
    @jacklinenyangau3843 Год назад +28

    Bwana wetu YESU Christo ainuliwe👆👆👆👆 amen 🙏

    • @biznaz3559
      @biznaz3559 Год назад

      Na shetani alimbeba nini boda boda au? Jibuni

    • @bakariomari3692
      @bakariomari3692 Год назад

      Ni kweli ni bwana wenu🤣😂

    • @jacklinenyangau3843
      @jacklinenyangau3843 Год назад +4

      @@bakariomari3692 hakuna kitu kitanitenge na bwana YESU Christo milele na milele 🙏🙏

    • @jacklinenyangau3843
      @jacklinenyangau3843 Год назад

      @@biznaz3559 shetani alimbeba ili ata sisi tujue kuwa shetani ako na majalibu kwetu, yaani tusimame imara kwa Jina la YESU Christo kwa imani na MUNGU hatakuwaja kamwe 🙏🙏

    • @ntawukirishigahidaya1527
      @ntawukirishigahidaya1527 Год назад

      @@jacklinenyangau3843 Allah akuongoze in sha Allah kwenye njia iliyo nyooka

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 Год назад +14

    yani huyu ndacha nikiboko anapambana nawalimu wannee kweli nihatari ndacha

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 Год назад +1

      Hajui lolote

    • @pizzo1morestart840
      @pizzo1morestart840 Год назад +1

      Ukosefu wa mawazo ndio shida yake

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 Год назад +1

      Hana lolote muongo mkubwa, ndacha ni mwalimu wa watu wasiojua dini

    • @RIO-jf9mo
      @RIO-jf9mo Год назад

      @@luluamin1388 hasa huyo Muhammad kuoa mtoto wa miaka sita ...mbona msimfwate mtume wenu nanyi msioe watoto wa miaka sita ...

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 Год назад

      ​@@RIO-jf9mo Mamaake mungu wenu (yesu) alizaa akiwa mdogo na wewe pia muige.
      Sasa ndoa ya Muhammad inakusumbuaje wakati wazazi wa mke waliridhika? Soma historia ya mtume uelewe, Muhammad (S.A.W) alimchukua kama mkewe wakati alipofikisha umri wa kuolewa.

  • @JuliusKinyua-vq8zj
    @JuliusKinyua-vq8zj 10 месяцев назад

    Pastor ndacha mungu awe pamoja nawe

  • @Aladeide
    @Aladeide 11 месяцев назад

    😂😂😂😂ati jini zinapenda kahawa😂😂😂😂thats funny....

  • @hanisahwasiche7541
    @hanisahwasiche7541 Год назад +1

    Hakika kweli uislamu ndio dini ya hakki......haikashifu kitu ama jambo mpaka ukueleze n nn kinacho kashifiwa......allah awaongoze walimu wetu wa kiislamu.....pamoja na mwalimu ndacha......mnasababisha watu kuijuwa uislamu

  • @theheraldbroadcastingnetwo4836
    @theheraldbroadcastingnetwo4836 Год назад +3

    Ndacha ubalikiwe.

  • @MrsmadoshiSalum-go9pe
    @MrsmadoshiSalum-go9pe Год назад

    dancha mungu akubariki

  • @mwoso
    @mwoso Год назад +5

    Hii mada ya majini Sioni sababu ya muisilamu kujitetea! Mwalimu Ndacha ameimaliza kupitia maandiko ya vitabu vyote viwili. Hata hapo Tanga angalieni kwa sign posts za waganga. Hakuna jina la Kristo linapatikana kwa hizo posters.

  • @maxyokeyo2835
    @maxyokeyo2835 Год назад +1

    To God be the glory
    Pastor Ndacha uzidi kubarikiwa🙏🙏

  • @philipwafula5296
    @philipwafula5296 Год назад

    Ndacha uko sawa

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel Год назад +2

    Huyu jamaa Ndacha Mungu azidi kumfanyia wepesi ni mkufunzi mzuli sana
    Maana ukitaka kufundishana anafundisha ,ukitaka kejeli kweli atakukejeli.
    Lakini pia Nyote Mungu awafanyie wepesi Hili muwe nanafasi ya kufundishana vyema na sio kukejiliana.
    Hila Ukweli ndio unatakiwa tusifiche Hilo.

  • @JojoKWOBIRI-pq6dy
    @JojoKWOBIRI-pq6dy Год назад

    Jambo baba ndacha. Mubarikiwe sana, ila tusaidoyeni kupata hivyo vitabu vya kislamu, kama ulimwengu wa majini na vingine

  • @wizzahgfalme3874
    @wizzahgfalme3874 Год назад +3

    waaah 😂😂mwalimu, yaani hii mada hatar sana, mmeipeleka vizuri imeeleweka... hatari sana hiyo haipingiki

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Год назад +4

    Mashallah Allah

  • @santawinny9946
    @santawinny9946 Год назад +6

    Mungu akubariki sana mwalimu wangu ndacha hawa watu huwa ni wangumu sana kuelewa ila leo umewanyosha kiswaswa 😂😂😂😂 God bless you

  • @newlightmoviesproduction3598
    @newlightmoviesproduction3598 Год назад +9

    Mazinge hamna kitu ni jini

    • @samiramohd216
      @samiramohd216 Год назад

      afadhali ya Mzinge kuwa jini sasa huyu Ndacha nishetani anaepoteza wenzake na sikwamba hajui ukweli anafanya kusudi tu

  • @frednyakundi2862
    @frednyakundi2862 Год назад +3

    Huyu Mzee mazinge sikuhixi ni comedian

  • @abibumbota5160
    @abibumbota5160 10 месяцев назад

    Mungu amuongezee miaka Ndacha

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola Год назад

    Hahahaha😂😂😂 ndacha na vitabu vyake vya chochoroni

  • @ibrahimhamza832
    @ibrahimhamza832 5 месяцев назад

    RAHA kua muislamu ☪️☝️

  • @davidwainaina3899
    @davidwainaina3899 Год назад +8

    Pastor ndacha,is one Man having holy spirit, imagine one pastor verse whole Tanzanian imams, Jesus is the king Amen 🙏🇰🇪✝️✝️✝️✝️ ndacha is with Jesus Christ, long life Amen Amen Amen

    • @kharoubomar3828
      @kharoubomar3828 Год назад

      Soma uelewe ufahamu uko chini xana Acha ushabiki ww

    • @ZawadMlewa-nn7hc
      @ZawadMlewa-nn7hc Год назад

      Poleni sana waislamu hamuelewi kabsa halafu kina mazinge wamejaa porojo tu hakuna wanalo lijua

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 Год назад +2

    Nawapenda mnavyovumiliana mwatusaidia kujua ukweli.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Год назад +2

    Ukiijua Kweli itakuweka Huru

  • @pazasautiusi
    @pazasautiusi Год назад +3

    Mazinge Hana point kabisa

  • @rosemaryemily311
    @rosemaryemily311 Год назад +1

    Nafurahia ndacha aujikoshi kwa watu kuwadanganya Lakini unawaambia ukweli tunashukuru Sana.Mungu azidi kukupa maono utufundishe.

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 Год назад

    Wewe ndasha uko mtu Waimana sana Mungu akurinde

  • @susanmwangi8748
    @susanmwangi8748 Год назад

    Waaah 😂😂😂 hii ni kali.ati shetani analala Kwa mapua ya??????

  • @samuellubunga
    @samuellubunga Год назад +4

    Mimi na fuatilia huu mkasa mwanzo mwisho ila kuna kitu sijaelewa maana alicho kataa mbogo mazinge anakubali hivi Hawa mbona Wanabishiana wenyewe watupe majibu kamili

  • @thomasshuhulichimbeja7441
    @thomasshuhulichimbeja7441 10 месяцев назад

    Ndacha wewe ni moto ndugu😀😀😀

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 Год назад +2

    Safi mbogo

  • @hassankajembe4118
    @hassankajembe4118 Год назад +2

    Ndacha anaujua ukweli ila njaa tu

  • @MariaWambugha-nh1wh
    @MariaWambugha-nh1wh Год назад

    Samwel Mwasi tuko wengi kumbe tufikisheni injli hii Taita 😮😮😮😮😮😮😮

  • @rossarutasha9391
    @rossarutasha9391 Год назад +2

    Ndacha kiboko yenu atawafundisha kweli mtajua koroani hamuijui nazima n'a simu yangu ñangoja Ndacha

  • @NadiaJuma-cp7vr
    @NadiaJuma-cp7vr Год назад

    Ndacha wew huzuniii wee

  • @RECOLONIZE_RIGHT
    @RECOLONIZE_RIGHT Год назад

    waislamu hasira ukiwapata...

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 Год назад +1

    Napenda sana hii midahalo 😂😂😂

  • @mjungatv8172
    @mjungatv8172 Год назад +1

    Prof DD Allah akupe afya njema na na umri zaid mrefu ili uzidi kuwanyoosha hao Makafiri wasiokua na muelekeo wowote🤣🤣🤣🤣

  • @mussadvd9847
    @mussadvd9847 Год назад +1

    Ndacha unajua kuwapa vitu vizuri

  • @juliuswaitathu8995
    @juliuswaitathu8995 Год назад

    Ndacha ni kidume Cha kweli katika imani

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Год назад +1

    Kwa kweli Kwa mada hii,Ndacha uko juu,watafute mada nyingine,

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Год назад +3

    Uislam ni kujisifia hakuna kitu kweli mnamaji

  • @elphasseurei
    @elphasseurei Год назад +4

    Ooh my....I wish to be there...be blessed pastor Francis Ndacha for the teachings,bt I wish u could teach more guys about this bible Mr Ndacha.....

    • @elphasseurei
      @elphasseurei Год назад

      Hao waislmu wamekua katika kurani so hakuna vnye utamchnge atakidogo.thy were born with the quran.....and thy don't have backyard for it,it's a law to their religion.my God change them.

  • @UkweliTopic
    @UkweliTopic Год назад +1

    Ndacha anaitaji camera hinayo honyesha Vizuri kwa sababu kazi hanayo fanya Sio kila mtu hana wenza. Kwa jina la Yesu huta pata camera nzuri mtumishi. 🙌🏾🙌🏾❤️

  • @mjbrother2023
    @mjbrother2023 Год назад +3

    Mungu akubariki Mwalimu Ndacha 👏🏻👏🏻

  • @abdulmosi8440
    @abdulmosi8440 Год назад

    God bless you guys

  • @StephenAkafwale-fi7qt
    @StephenAkafwale-fi7qt Год назад

    ndacha uko juu sana badilisha hawa wapendwa

  • @mwoso
    @mwoso Год назад +3

    Mbogo amechanganyikiwa. Badala ya kuelimisha watu , anajitetea.

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q Год назад +1

    1:Wakkiristo o hamuna kitabu cha kutegemea Kwanza toeni sababu ya kupoteza injili ya yesu mueke bibilia mbele.
    2:Kisha museme bibilia alipewa Nani ju yesu hajui bibilia.
    3:yesu hajui jengo la Janis's lina kaa vipi.
    4:yesu anasema ametumwa Kwa kondoo was Israeli Tu.
    Nyi nyi munasema hapana.yaani kila Jambo munampinga yesu alafu munadai munampinga
    5:je mume jiuliza wacristo
    Kwanini yesu Ali chagua jengo lake la Ibada ni msikitini.
    6:Kwa nini musimuamini alie zungumziwa Kwa bibilia. efeso 1. 13 Hadi 14 hicho kifunugu mulize paster yoyote kanisani akujibu.kamanimkweli

    • @Nim68182
      @Nim68182 11 месяцев назад

      😂😂😂😂😂eti arabuni ndo umeshtuka,

  • @mohamseyf6243
    @mohamseyf6243 Год назад +1

    Kinacho waponza wakristo ni kutotaka kukubaliana na ukweli na kufata wanavyo tamani.ukweli majini ni viumbe jamii nyingine na watu na malaika,ila shetani ni sifa ya uasi(Yani ukiasi mungu Kisha ukashawishi wengine waasi ndo unakua shetani hatakama ni binadabu).Sasa majini hawaruhusiwi kushirikiana na wanadamu, lakini wapo wema na wapo wabaya,Tena wakiwa waislamu hutakiwa kuwa ndugu wao kwa wao.

  • @FetyMbalale
    @FetyMbalale Год назад

    Wakristo hawana elimu yakumjua mungu, na kamwe hawatojua

  • @CanteloNorteCantelo
    @CanteloNorteCantelo 9 месяцев назад

    Kweli 😅