THE SECRET OF WINNING IS "START WITH THE FIRE". .. before you finish with cutting onions and the pan is hot u will be ahead of the person who 1st prepares everything as she will need EXTRA time for the pan to get HOT... and checking with what happened here, its evident that they WON according to how they LIT their gas ..
This happens to be one of the few contents av seen Kennar acting normal haha, izo zingine kijana akiskia camera, lights, action waaaah...love your work bro
Things I’ve noticed 1. Yvonne is reliable with situations that need quick and random decision making 2. Shiro is super relaxed which inspires confidence in decision making. If she had 5 more mins that would have been the best. 3. Bushra is careful and accurate though a-bit slower than the rest. Also the whole video was unscripted
Shiro had the potential to be fisrt but aliwaste minutes zake venye aliona ako mbele ya wengine, her strategy ya kuchanganya tomatoes na vitunguu was lit. Still naona mmemuonea 🎸😩
🤣🤣 siwafaham Kwa majina hao ladies lkn wanatofaut kubwa Sana 1.Girl mwenye sweta ya njano ni cool Sana na anaweza lead katika tough situation she's not doing kumaliza but she's doing things kuwa good and perfect 2.Middle one, anafight kumaliza though Naye yupo cool 3. Anacheza na time, anaweka things kulingana na mda that's why alikua tiar kuwasha Moto before kuweka mafuta. My opinion ilike them all Wanabenefit ktk situations tofaut Ila from the bottom of my heart nimempenda mwenye Sweta even though hakumaliza kupika
1. Shiro is on another level cutting the royco with knife. Yours was the best 2. Yvonne you did it quicker than all. So you can save a dying man. 3. Bushra slow but sure. You perform better than all
Shiro's calmness... Something to take notes on. Well, I felt like you wouldn't have given marks but instead mungeweka iwe ni kama nyinyi wanaume wote mlikula mayai mkamaliza ndio mkakumbuka mlifaa kupeana marks then finish by saying cha muhimu ni Knor has been used.
Wangeanza na kuheat mafuta ingekuwa faster 😂🤣🤣unakatia kitunguu kwa heating oil sio must iturn brown ,unaweka mayai so long as mafuta Imeheat then tomatoes coz hazifai kuiva hata🤣🤣😂😂
Shiro has just justified the Mashakura Stereotype 😂😂. Nyanya na vitunguu zinatupwa haoo ndani pamoja na Moto inawashwa. Alikosa tu waru na maji😂😂
True
The fact that they are cooking on a bed just AUTHENTICATES the whole "Bedsitter chronicles" theme!! Very Unique, Authentic and Genuine..
🤣🤣🤣
hatukua tumeona kitanda
Najua hamjanotice wanapikia juu ya kitanda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Content iko sawa
Bana jooh
Hahaha ndio nimeona😂😂😂
Alafu kila mutu aonjee wake🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Si unajua kitanda ndio jiko ya hio chakula ingine😂😂😂
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html 💰💰
Shiro is awesome. Keeping calm while under pressure is so underrated. A survival & life trait!!
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html 💰
Yeeeeees 🔝🔝🔝
@@chenalus-theafricanprince9000 wewewe
i suspect kitunguu ya shiro haikuiva
THE SECRET OF WINNING IS "START WITH THE FIRE". .. before you finish with cutting onions and the pan is hot u will be ahead of the person who 1st prepares everything as she will need EXTRA time for the pan to get HOT... and checking with what happened here, its evident that they WON according to how they LIT their gas ..
Perfecto👌🏾
True
True
Thank you this the only trick
Exactly
Sijui mbona nmependa ivyonne💝❤❤👌kanapika with passion💟💟❤
Manze hyu dem in yellow I like her so much waaaaaaaah......alitumia time yake poa wow hyo ndie mke mwema straight from God ❤❤❤❤❤❤❤🤔
The way shiro is handling pressure is on another level.
@AUBAZETTES ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html
Kupika nayo tumebarikiwa 😍👌🏿 ata mukituenjoy we are kikuyus tunapikanga mashakura 😂😂😂
@AUBAZETTES Maze🤣🤣🤣🤣. Mpaka unajiuliza "Kwani nafanya mutihani kwa inchi igine?"
Pitia kwangu
I'm just asking myself hiyo mafuta yote
Mathew 6:33 But seek yee first the kingdom of heaven and His righteousness and all this things shall be added to you.
Shalom.
Natetea number 3.ju ametumia progas wengine wakitumia kgas😂😂🔥
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html 💰💰
😂😂Hii pro gas inakuanga mbaya,inawika tu bure😂🚮
ruclips.net/video/FAYpNmjjsEA/видео.html
Gas ni gas Bora fud iive 🤣🤣🤣
This happens to be one of the few contents av seen Kennar acting normal haha, izo zingine kijana akiskia camera, lights, action waaaah...love your work bro
Walaiii😂😂😂
Hyvonne carried the day well composed indeeed wahu i love it
Things I’ve noticed
1. Yvonne is reliable with situations that need quick and random decision making
2. Shiro is super relaxed which inspires confidence in decision making. If she had 5 more mins that would have been the best.
3. Bushra is careful and accurate though a-bit slower than the rest.
Also the whole video was unscripted
i love the analysis
The analysis is on point.. wewe unaeza saidia mtu kupata bibi 😂
@Blessed Halima ama niaje sistaa 😜
True
How can one script 🔥
huyu jamaa ako na kitenge ya red anakuanga na sura ya ucomedy kabisa. Even hajaongea na mtu ashaanza kucheka🤣🤣🤣🤣
When it comes to cooking,luhya ladies never disappoint.goodwork Yvonne haujatuangusha..stano uliangukia wife material 👏
Mmefanya nikumbuke home science paper 3 pale high school it was interesting
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html 💰.
Kennar n bongi yake mmeaza kupotea jia... C ucheze zile zako budah saa Kupika aii
Yvonne: Nyanya zimekataa kuiva
Kennar: Hiyo ni shida yako na Nyanya
Me: Gai, hajamwambia poa haki🤣🤣
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html💰💰
ruclips.net/video/OrFSXLDJkww/видео.html
😂😂😂😂😂
@@chenalus-theafricanprince9000 pitia
🤣🤣🤣🤣🤣
ruclips.net/video/FAYpNmjjsEA/видео.html
Huyu shee sisi kama. Wakikuyu tunamkana kama haeki supu mtungi mzima 😂
Alafu sikujua bushra ni leftie🔥lol
🤣🤣🤣
my kiberiti is not waking😀😀........ bushra, anaongeza royco kwa mayai grrrrr!! 💥,,,, kennar stay out of frustration,,, this was hot🔥🔥🔥🔥
Yvonne has the capability of thinking first and she can solve a problem in quick way
I like how this lady with pro gas,,she is damn neat in handling feeds and how she cuts this sort of tomatoes ❣️
Fisi
I like the way the lady in yellow is cooking. Very relaxed, iive isiive sitambui. Kitungu, nyanya na mafuta at once and that is how i cook
shiro anapika na mwiko .....mayai😂😂😂😂hii ni comedy tu😂💯
Me nampenda sana huyo Dada alievaa Jacket la Pink 😍💥🥰
Hawa walitaka kupikwa 😂😂😂mbona time inashinda ikiongezwa😂
No matter the mood that anyone must be in, whenever i see Kennar i know it's just an awesome creativity that gonna come out na lazma nitacheka.. 🤣🤣
Shiro started cooking onions and tomatoes at the same time 😂🤣🤣🤣.....sijawahi ona hiyo 🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
Weird
When you need your onion to smell/taste fresh, you can actually do that.
Mnapika kwa kitanda 😃😂. Vile Stanley anapoesha hiyo chakula kwa mdomo is underrated 😂😂😂
😂😂shiro you had started well but iyo pan imekufail heat distribution was an issue.😂😂👍
Yvonne is confidently mixing raw nyanya na kitunguu pamoja😂😂😂😂
Sikatai hamuna meza kwa sasa😅😅 lakini mbona mupikie juu ya kitanda🛏️🤣🤣
I wish to join the team mehn🙏🙏nko na talent pia manzee but sijui kuifufua banaaa......Kenna u be my role model manze
Najua kesho ni Kennar, usefulidiotar na stano.. Cooking competition... ✌
ruclips.net/channel/UCe-bJI4FdzGUrRzMwGsEBmw🙏
@Allan Embaiza 😂😂😂😂😂
ruclips.net/video/FAYpNmjjsEA/видео.html
Mnapikia kitanda ....hiyo si ni meza ya chakula bwanaaa kennar
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html ✊💰
Hiyo ni gas mumeweka kwa kitanda juu😂😂😂😂😂mtalala wapi sasa😂😂😂😂
Hiyo ya kati kati inakaa tamu 😋😋😋 Na si chakula
iyo meza iyoo kennar na wasiwasi nayoo sio ile bed yako ya sita kwa sita 😂😂😂
The left handed gal,,, husna,,, concentration nayo... 😊
Yvonne anajua kupika🥰🥰🔥
Shi, ame try🤣🤣🤣
Bushra anaogopa kuchomeka😂😂
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html 💰💰
@@chenalus-theafricanprince9000 ✅✅✅
ruclips.net/video/FAYpNmjjsEA/видео.html
Shiro had the potential to be fisrt but aliwaste minutes zake venye aliona ako mbele ya wengine, her strategy ya kuchanganya tomatoes na vitunguu was lit. Still naona mmemuonea 🎸😩
Shiro banaa💔💔danger to humanity,,umesema nyanya na kitungu kuiva ni simultaneous😭😭😀😀😀
Shiro had no pressure during the contest✅, left handed bushra anafaa kuongoza but Yvonne nilikua na imani a yeye before ata aanze💯✅
😹😹😹our queen.
The lady in yellow she knows how to compose her self very well she knows what she is doing I Lyk that, others thankyu for accompanying her 💕💕
There's no lady in yellow.
@@oldbootstv9174 😂😂😂 I thought so too
@@oldbootstv9174 don't you know that men are colour blind?😂😂
Kennar: Bushra anawasha gas utadhani anapika na kuni😂😂this one I felt it
Wawawawa.....noma saana🔥🔥🔥🔥
Acha tusake izo ingredients 😂😂
Next time..hawa watu wapike..😂💔 alafu madem wa judge😂
Lakini..shiro tu❤
wha😂ngori juu ya bed 🙌💥😂😂
It's Shiro's composure for me😂😂....i loved the show anyway❤️❤️
Mimi am voting for shiro✅✅❤️
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html 💰💰
ruclips.net/video/FAYpNmjjsEA/видео.html
The winner cooked systematically to make it good.
Woii😂😂🤣🤣Chenye nimeona hapa aki. Please relearn Ladies.🤗
Uyo shiro ako sawa bana kenaa nipee namba anikatae bana😂😂😂
Kennar afikishiwe a million subscribers ama aje wakuu
Kabisa bro
🤣🤣 siwafaham Kwa majina hao ladies lkn wanatofaut kubwa Sana
1.Girl mwenye sweta ya njano ni cool Sana na anaweza lead katika tough situation she's not doing kumaliza but she's doing things kuwa good and perfect
2.Middle one, anafight kumaliza though Naye yupo cool
3. Anacheza na time, anaweka things kulingana na mda that's why alikua tiar kuwasha Moto before kuweka mafuta.
My opinion ilike them all Wanabenefit ktk situations tofaut Ila from the bottom of my heart nimempenda mwenye Sweta even though hakumaliza kupika
Crazy Kennar amegeuka Musician Bangers after bangers
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html 💰💰
ruclips.net/channel/UCe-bJI4FdzGUrRzMwGsEBmw🙏
Hata before nione mm hujua tu ujinga iko hapa ni reloaded.. keep it up manze
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html 💰💰.
Huyo wa katikati atatuuwa na mafuta yawaaaa😂😂😂😂
Wacha wivu
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html 💰
Languya ...talent kwa damu🎓📚✒📝
ruclips.net/channel/UCe-bJI4FdzGUrRzMwGsEBmw🙏
Shiro mnamuonea ...Anatumia pro gas na pia pan ni ile ya kienyeji hao wengine wanatumia kgas na nonstick pan😂😂😂
Kennar juu ya Kitanda suwally😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
ruclips.net/video/OrFSXLDJkww/видео.html
😂😂😂💯
Next tym maboy wapike😆😅😂😅😅😅
Remarks
Yvonne - wife material
Bushra- slay Queen
Shi- baby mama
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4v/видео.html💰💰
ruclips.net/video/OrFSXLDJkww/видео.html
😂😂😂😂💯💯💯 Kennar this reminds me alot.
Haha!
Hawa waschana wanafaa kupelekwa kwa Mama Kenner kufundishwa kupika
kiongozi ushasema baby mama lazima akuwe dramatic na hananga mbio
Eating compe 2, guys wapike nyama na knorr madame wajudge😂😂😂
1. Shiro is on another level cutting the royco with knife.
Yours was the best
2. Yvonne you did it quicker than all.
So you can save a dying man.
3. Bushra slow but sure.
You perform better than all
😂😂😂 hadi mkapika kwa kitanda
crush wangu mzungu anajipanguza na mfuto ..suruali ndefu 😂😂😂😂😂😂
Hawaezi kushinda sura na wakushinde kupika 😅😂😂😂 easy though just for fun.
Yvonne anatumia a metal spoon kwa non-stick pan. Hiyo ni automatic disqualification
I'm sure the judges here are worse cooks and couldn't tell the difference in the taste 🤣🤣🤣
Yvonne mamacita eiyyy😂😂
Ah mnapikia kwa bed😂😂😂😂
shii hagongi mayai na fujoo kama kwa ile clip ya sleepover lol hahahahahahahahaha
Najua hamjanotice wanapikia kwa kitanda,mayai mbili for 1min and 45second...just like...
I vote for shiro handling expert 💥💥💥💥🥂🥂🥂🥂🥂
Boys Will always be boys 😂😂😂😂😂 wasichana wapike ndume zikule na kuonja
😂wooooow kama content iko sawa👍
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4b/видео.html💰💰💰
The Blessed Left handed bushrita🥰🥰🥰
Quite a keen eye brother
@@mwangimbugua87 fisi yeye
❤️❤️❤️
Shiro very calm when under pressure.. That's great
Wanapikia kwa kitanda juu😁😁😁😁😁
Nampenda sn shiro she so talented kwakweli aje huku tz jmn
Shiro's calmness... Something to take notes on. Well, I felt like you wouldn't have given marks but instead mungeweka iwe ni kama nyinyi wanaume wote mlikula mayai mkamaliza ndio mkakumbuka mlifaa kupeana marks then finish by saying cha muhimu ni Knor has been used.
Mimi mungeniita competition ya kukula after imeiva🤣🤣🤣🤣
I'm the first one. One love from Tanzania, nakukubali sana we jamaa
I've come to think of it,,,these dudes ni watatu so is the clandes......mnaona kama Mimi,hii kitu ni legitt🤔🤔💯😅
overthinking haha
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html 💰💰
@@babosprof2198 ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html
Wa kennar ndio mgani
@@philipmutua6643 Shiro 😂😂
😂😂😂😂hii mchezo huwa sipende wallai utafanya vituko
Mko vzr. Good Team work Bravo sana
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html💰💰
ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html 💰.
Busra anakata kitunguu vizuri she use left hand😂😄😄😄🤣
Wanashinda wameongeza time ndio wasiende hasara😅😅😅😅
Justice for this bed akii.. hii bed hufanya kazi mob
Sanaa aki 😆😆😆😆😆
Wapike ugali tukule twende bana😂😂😂😂😂
Ooops My fault,,, ni jacket la Orange 🍊😍
Yvonne pika tu na time yako mama...waluhya hatuharakishwi ikifika upande wa food
Wangeanza na kuheat mafuta ingekuwa faster 😂🤣🤣unakatia kitunguu kwa heating oil sio must iturn brown ,unaweka mayai so long as mafuta Imeheat then tomatoes coz hazifai kuiva hata🤣🤣😂😂
Achana na results.... Akiii shiro she is beautiful..ako very simple..one lv from tz
Vile hizo dakika zinaongezwa si mngesema tu 20 minutes mara moja😂😂😂😂
Watching from London yawaa
Wewe seconds haziendangi mbio hivo
Hiyo gas yenye Khisa anatumia i can guarantee hiyo ni yake. Only a Luhya aneza fungia gas yake kwa gunia ndio isimwagike chini.😂😂🤣🤣🤣🤣
Ambia ìvyone ndo wife material wangu 😋😂😂😘
If I were a man, I would marry contestant No 3-Shiro. She has less words even under pressure
I'm a man and I'd marry her too.You got the same qualities?