Huyu power namkumbuka miaka ya 80 alikua noma sana. Alikua ana ruka sarakasi Samasoti kama maninja wa kichina..Alinifanya nikapenda sana sarakasi huyu mwamba....lakini pia uwezo wake wa kuongea alikua alikua anaongea kwa pozi hivi hivi sijui alijifunzia wapi. Miaka ya 80 na 90 hiyo watoto wa 2000 hamuezi kumjua mwamba
Davistar jaribu kurefusha interviews zako at least saa moja na nusu au masaa mawil ..Hii ya 30 munites inakuwa haipendezi, jaribu kuapgrade ili kazi iwe ki professional Zaid.
Oya davista tulia kimya mwamba ahadithie. Unavyochomekea chomekea usidhani unapatia. Hawakuambii tu. Ni kwamba, '' UNAPUNGUZA UTAMU" wa story. Maana huyo jamaa anaehadithia yupo makini saaana. U don't need to interupt.. Kisa unaona watu wanaisifia story hii ndio unaanza kuiharibu, kumbuka kuna watu wanatoaga story zao za kifoo unakuaga kimya mixer kusinzia. Kwahiyo TULA davister ukipamba sana unaharibu. Muachie bwana clemence afanye yake.
Kwel davista story zako zinafundisha zinaelimisha Mungu akutunze❤
Kweli hii story nzuri sana na naamini kwa sababu badhi ya story ni yaki jeshi from u.s.a
Jamaa anaongea English nzuri sana
Stori 🔥🔥🔥🔥 twende mpaka 100
Kuwa na amani mtumishi....Mungu akusimamie maana hapa. Unatufu ndisha
Sehemu muhimu niliyokuwa naisubiri ni namna alivotoroka jeshini, halafu ndo sehemu pekee iliyoondolewa. Umenivurugia siku.😢😢
Mungu atusaidie!!!
Napendaga sana kudifunza kupitia Davister
Story nzuri na tamu kinoma
Hii story tamu sana
Following..very interesting story 🤔
Mtumishi tukuombe uwe una boost na Shebby yupo slow sana simulizi zake zina chelewa sana hasa hasa yule Dada watarakea
PRONOUNCIATION YA VIWANGO VYA JUU MNO🙌🙌🙌
Pamoja
Ana kizungu kizuri kweli
Story ❤❤❤kaliiiiiiiii walahi
Nice story
Huyu power namkumbuka miaka ya 80 alikua noma sana. Alikua ana ruka sarakasi Samasoti kama maninja wa kichina..Alinifanya nikapenda sana sarakasi huyu mwamba....lakini pia uwezo wake wa kuongea alikua alikua anaongea kwa pozi hivi hivi sijui alijifunzia wapi. Miaka ya 80 na 90 hiyo watoto wa 2000 hamuezi kumjua mwamba
Waah kua jambazi nikazi hatari sana
KADI ya umoja wa vijana ilikuwa na nguvu sana,umeongea ukweli
Kiukweli sauti yako nimeipenda ila siodhambi kupenda kitu kama sauti jamani
Hata kupenda kitu chochote sio dhambi.
Upendo ni hisia kwahyo kuonyesha upendo sio dhambi
✓ wanaũme wanaweza kupenda macho tuu
✓ kupenda miguu
✓ kupenda Kifua
✓ kupenda shape
✓ kupenda urefu
Next please
Davistar jaribu kurefusha interviews zako at least saa moja na nusu au masaa mawil ..Hii ya 30 munites inakuwa haipendezi, jaribu kuapgrade ili kazi iwe ki professional Zaid.
Kaburi wazi alieda wapi?
Kanali mjengwa namfahamu pia alikuwa mbeya
Bulombora kambi yngu hyo jkt 2014 821KJ hyoooo
Duuuuu atari
Davista Mata ,weka nyingine
Story tamu
Wadau wa movie.....mchukueni huyu jamaa mfanye kitu
JBOYS 1999
wanugu rasta wa tz lo!
Black September
Ally Hassan Salamehe, Palestine Mastermind
Story Ina mafunzo
BLACK SEPTEMBER 😅
Oya davista tulia kimya mwamba ahadithie.
Unavyochomekea chomekea usidhani unapatia. Hawakuambii tu.
Ni kwamba, '' UNAPUNGUZA UTAMU" wa story.
Maana huyo jamaa anaehadithia yupo makini saaana. U don't need to interupt..
Kisa unaona watu wanaisifia story hii ndio unaanza kuiharibu, kumbuka kuna watu wanatoaga story zao za kifoo unakuaga kimya mixer kusinzia.
Kwahiyo TULA davister ukipamba sana unaharibu.
Muachie bwana clemence afanye yake.
😂😂mixer kufanyaje jmn nimecheka😂😂