Kazi nzuri sana wapambanaji wangu chukua maua yako tanu🎉🎉🎉🎉dada wa halima unanikera kishenzi I say..... Kaka tanu yani unaamua kuchoma mkoba wa mama kweli unatoa wapi nguvu ama kweli mapenzi yana nguvu pole sana kwakilicho kukuta❤❤❤🎉🎉🎉
Uyu dadake halima ivi ajui km yuwafnya mambo yazidi kuwa magumu upande wa Tanu na Halima😢chawa wa mwinah naye kachangamka hatariiiii😂😂😂kipeleke tena ucku kikashulikiwe😂😂😂😂
@@tanuplus kazi nzuri mkuu sema timing ya kuwaweka busy wateja wenu ndo ilianza kua changamoto maana ushindani wa soko mkubwa mkiweza kutoa kazi Kwa uwiano saw wa mda itakua poa sana
Yaani mpaka kieleweke, Halima Usimpe Nafasi Huyo Mweni Akatuulia tanu..Halima Mtto Wakike Ww ndio mpango mzima mpaka Sasa..kitu Chengine jaribu tufike mpaka episodes ya 50
Mumetufurahisha Sana yaani mpaka Najiskia kama Nipo Bongo yaani Wa Canadian people Wanafurahi Sana pia pongezi nyingi tu kwa kamanda mbwela na Mzee tanu
Apa kwenye kumjua muhina kuwa mbaya wa tanu ilitakiwa waganga watumie uganga wao sio kam mulivo fanya mnaonyesha waganga awanauwezo wa kijua ata tego alilotegwa halima mda anakwenda kwenye kikao pia vile muhina anavo tumia kioo kuona jambo la mbali ndio sifa za uganga kwaiyo ongeza ubunifu kwenye awa waganga wengine pia uyu tanu anaitajika apokeee mkoba alafu zianze vita kati yake na muhina
Sibomana nakulaani sana pamoja na hiyo character unayowakilisha
tanu habri rejesha ulewimbo funga funga tuondoke mchawi hanahuruma🎉🎉🎉
😅😅😅😅😅😂😂😂umeupenda
Nimefurahishwa Leo kazi imewahi pongezi kwenu team👏👏
Kazi nzuri sana wapambanaji wangu chukua maua yako tanu🎉🎉🎉🎉dada wa halima unanikera kishenzi I say..... Kaka tanu yani unaamua kuchoma mkoba wa mama kweli unatoa wapi nguvu ama kweli mapenzi yana nguvu pole sana kwakilicho kukuta❤❤❤🎉🎉🎉
Kumbe kuna wakwe na wakweche😂😂😂...team tanu pamoja sana🎉🎉🎉
Mjulus😢unafany sibomana anakuw muuwaji
Hapo tunaenda sawa ..Asante kwa kufata ushauri
Unamfungua tanu nywele ngoja aamke akute usharobaro umeenda 😂😂any way mko vzurr 🥰💯💯
😁🙋
Team tanu nawapa Maya yenu, kazi nzuri na Leo mmjua kutufurahisha mashabiki zenu imewai, pongez kwenu nawapenda sana
wee mhina weeeeee sibomana kanogewa kapewa vya kiganga humoo tyuuu humoooo tyuuuuu😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Weka tuweke iyo mwanangu ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Haha sijachelewa pia leo nawapenda washiriki wote❤
Kazi nzuri snaa mungu awabariki kwa upambanaji wenu nawaangalia nikiwa 🇸🇦🇰🇪
Daaah brazen mzee,unatabu sana wewe
Kazi nzuri tanu Big up sana
nakubari ❤❤❤❤
Kazi nzuri sana 🎉 lakn muwa mnawahi kuleta movie
The creative in this movie is on another level
Daman tumewai uku team strog mpo😂❤❤❤ kazi nzur sana
Lazma turauka 😂😂😂
tyupooooo lazima tuwepo hao ndo wafariji wetu😂😂😂
Uyu dadake halima ivi ajui km yuwafnya mambo yazidi kuwa magumu upande wa Tanu na Halima😢chawa wa mwinah naye kachangamka hatariiiii😂😂😂kipeleke tena ucku kikashulikiwe😂😂😂😂
Muhina singamana na shosh n wasariti sanaaaa 😢😢😢😢
Mkwe kumbeh mkweche mmesikia wakuu😂😂😂😂
Kidali utatuzalilisha vidali wenzio
Wa kwanza from zanzibar
Uyu dadake na alima amenisinyaje, uso mzito mmbea kupindukia jipua tuu😂😂
Nami nimewahi ❤
MKOBA WA MAMA EPISODE YA 20, TUNAOMBA USHAURI WENU PAMOJA NA NGUVU YENU KU SUBSCRIBE CHANNEL YANGU, NAWAPENDA SANA, ENJOY.
🎉🎉🎉❤🇧🇮
Safi, mnatoa haraka
Ongezeen dkk na msicheleweshe kaz
Kuomba tu kuombwa aaaaah
@@tanuplus kazi nzuri mkuu sema timing ya kuwaweka busy wateja wenu ndo ilianza kua changamoto maana ushindani wa soko mkubwa mkiweza kutoa kazi Kwa uwiano saw wa mda itakua poa sana
Nilijuwa Mkwe Kumbe Mkweche😂😂😂
Nilijua nimepata mkwe kumbe mkweche🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo muhaa nae umalaya2 😅😅😅
Leo tanu kimekuramba😂
Hapo penye wimbo wa kinyakyusa umenikosha kaka Tanu eee umetishaa bila kinyagoooo❤❤
Mbombo ngafu
@@tanuplus nimeipenda iyoo umeweza kaka
Kaz nzurii ila mjitaid kuwaii
Tanu mwendelezo kwa haraka plz kazi nzuri sana 😊
Mdogo ake Halima usikubali tena kupew scene y kulia maana huuum😂😂😂😂😂
Dada alima nakupenda adi nakupenda Tena jmn kazi nzuri 🎉🎉🎉
Kaz nzur brooh ushaur wang n kwamba badilishen vyanzo vya story co kila ck n uchawi uchawi na madaraka
Tanu wabomolew nywele ubadilishe stail nyngne 😂😂😂
Upo vizur tanu hucheleweshi❤
Yule mbea anaempelekeq taarifa sibomana natamani ahumbuke😂🎉
Mdg ake halima ndo anapelek umbea kwa yule dada ake ajui kam n mdg wak
Alima waye nishuja japokuwa unavita kali utashinda tu❤❤❤🌹🇧🇮
tanu unazinguwa mkoba usiuchome
Zidisha Uma kini kak kazi nzuri
Tanu tanu tanu nimekuita marangapi
God bless your work of hands 🙏🙏😊
Kazi nzuri Sana lakini vipande mwavifanya vifupi Sana jmn
Jamani mhina wewe. Watu wa aina yako hata motoni kumejaa cjui mtaenda wapi
Atachomewa duniani😂😂😂
Mtanikuta peponi
@@afrankmhinafilms 🤣🤣🤣
Huyo mdogowakee alima simpendi sula mbaya loho mbaya tu
😂😂😂😂
😂
😂😂😂
😂😂😂uogopi
Jamaaa anakipaji kikubwa sana kama stiven kanumba
MUHINA ALIVYOSWITCH TOKA roho mbaya HADI KWENYE MAPENZI BEST CHARACTER TUNAOMKUBALI TWENDE KAZI😂😂
Asante Sana 😂
Hivi kweli Waha mnakubaliana na hiki anachokifanya sibomana kuomba kwenda Kwa mwanaume
Toka Congo 🇨🇩 na salimia 👋✋
Yaani mpaka kieleweke, Halima Usimpe Nafasi Huyo Mweni Akatuulia tanu..Halima Mtto Wakike Ww ndio mpango mzima mpaka Sasa..kitu Chengine jaribu tufike mpaka episodes ya 50
Congrats tan 🎉🎉🎉🎉❤
Daah nimerara 04 kwasababu yahii movi kwakwe ninzuli ndomarayakwanza kuifatilia nikaimaliza ndomana nimecherewa kurra asante kwazinzuli tanu Tano5 au tanu😅😅sorry my bro najua nitanu😅😅😅
Honger kwa kuwaish movie
Jamani minaombatu muregeshe ule wimbo mm aliuwa babauyo aka uwa mama.........
Wakenya hatuwaangushi jamani likes zangu Kama mkenya😊
11:47 Asante sana
Mkoba hauchomwi😂😂😂😂😂😂
much love 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kazi on time safi kaka
Nimewahi Leo jaman
Hongera sana tanu kwakuwahisha mzigo wetu ❤❤❤
Tunasubiri ya 21
Kazi mzur sana❤❤❤
Kazi nzur sana
Huyu dada domo kubwaaaa,, mda wte antoa taarif kwa sibomana
Kazi safii sana Tanu
kazi mnzuri
Ongera sana kazi nzuri nainatujia kwa waki mmi nangalia nikiwa kwa madiba
Mmh asante
Leo wa5
Huyo Muina leo musimwache.
Ukituliza kichwa kaka tanu hii movie itatisha sn maana mpk hp mulipo fikiy munaupiga mwingi sn
Pole sana Halima utapona tu
Muhina anafanyinini kwa Tanu Mungu wangu 😥
Asante leo huja tuweka sana Tanu ❤🎉
Leo nimekuwa wakwanza
Mwina 😂😂😂 unaachaje kuja sasa wakina sibo mnakitichenu 😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri sana❤❤
Ikuje mapema sana nataka kujua muina kamfanyaje tanu
Mumetufurahisha Sana yaani mpaka Najiskia kama Nipo Bongo yaani Wa Canadian people Wanafurahi Sana pia pongezi nyingi tu kwa kamanda mbwela na Mzee tanu
Sa mtu kazima na nguo kabadilisha Vp Sasa au umemvua ww dadaake🙄
Tanu naomba namba ya uyo mtu alie edit ulipo pigwa na kitu kizito namba yake imeyoka😂😂❤
😂😂😂
Muhina anasubiri ampe sibomana mimba akijifungua mtoto apeleke kafara
Apa kwenye kumjua muhina kuwa mbaya wa tanu ilitakiwa waganga watumie uganga wao sio kam mulivo fanya mnaonyesha waganga awanauwezo wa kijua ata tego alilotegwa halima mda anakwenda kwenye kikao pia vile muhina anavo tumia kioo kuona jambo la mbali ndio sifa za uganga kwaiyo ongeza ubunifu kwenye awa waganga wengine pia uyu tanu anaitajika apokeee mkoba alafu zianze vita kati yake na muhina
Kwa maana hiyo kusingekuw na maana ya movie dunian kote hakuna movie ambayo mganga au jini atakuw anafaham kila kitu
Vitu vingine ni sehem ya tamthilia Tanu ana muda wake wa kupokea mkoba
Unajua sana Tanu
𝑼𝒏𝒈𝒆𝒋𝒖𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒔𝒊 𝒎𝒖𝒎𝒆𝒐 𝒂𝒍𝒊𝒌𝒖𝒉𝒂𝒏𝒈𝒂𝒊𝒌𝒊𝒂 𝒘𝒂𝒍𝒂𝒉 𝒉𝒂𝒖𝒏𝒈𝒆𝒎𝒅𝒉𝒂𝒓𝒂𝒖 𝒊𝒗𝒐😢
umeonaeeeeh hapo somoooeeeh anazinguwa mwasi mbona mwanji hana sheeeda
natamani ajue ili amuelewe mumewe maisha yaendelee
Na akijua tuuu mapema movie ndo inaishia😂
Sikini mwanji😢😢😢
@@jamessamwel9456 weeeeee siyo kweli unaiyona snake boy tulivoona clam kammeza eakatobe tukasema zeendi kumbe mpaka leo ty
unatamba nayo😂😂😂
Tano umeyakanyaga Sandra atakufikisha pabaya weendeleya kunengeneka 😢utajuwa hujuwi
Sibomana chizi kwel ww yani unatoa siri halafu malipo yako kupigwa mshipa kaah!!😅😅
Halima nampenda jaman anatumia jina gan istaa
Back to back
Eleza kwanini imetokea mpaka sasa mdogo wako ana kawa kichaa
Kazi mzur
mkoba wa mama inako elekea hata siielewi
Umeona eee
Na ndo best movie inatkiwa iwe unpredictable😂
Mmmh
🔥🔥🔥🔥🇰🇪
Me namkubali sana uyo mganga madevu
anazngua t asiige uwongeaji
Mimi wa 7, nipeni like zangu
Like hupeleke wapi sasa
Sibomana Yann mujulus ya muchwai ya kufanya musalite😂😂😂
Mwina na sibomana sibabendi sababu yaubaya waho
Mmmmh