This GSU missed maandamano just to deal with this Guy who hand over munched his wife within a month🔥

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 604

  • @Canyiva
    @Canyiva 7 месяцев назад +103

    He should stop saying he can kill him without consequences. That's not true by law, and this is the type of impunity we marched against. Cheating is not a crime. No one should be arrested for philandering, especially if the act occured between adults.

    • @kalossissi
      @kalossissi 7 месяцев назад +12

      Mutual agreement can never be handled in court,especially when the individuals are grown ups

    • @Sylvia-sd4mf
      @Sylvia-sd4mf 7 месяцев назад +4

      That the Impunity in this country...he has a gun and he can misuse it and then say he was a suspect😢And in any case, was the wife raped?

    • @hillarycheruiyot5103
      @hillarycheruiyot5103 7 месяцев назад

      Very true,huyu anatuchocha hapa tu​@@kalossissi

    • @christinekraus121
      @christinekraus121 7 месяцев назад +3

      I concur totally, the woman was not coerced into have sexual relations with this young man.

    • @MwendaMwiti-o5o
      @MwendaMwiti-o5o 7 месяцев назад +6

      Wewe umewahi sikia bibi ya mtu ni sumu? Go cheat on a psycho then let's see you teach him the law as he tears a piece of you each day and you breath your last after an year of agony. Will the law bring you back?

  • @mulijoe872
    @mulijoe872 7 месяцев назад +37

    Huyu soldier fala sana. The mndinyo was conseual

    • @GabrielJuma-h2d
      @GabrielJuma-h2d 2 месяца назад

      If he was a kikuyu solder he could be a good solder right

  • @cleodeprince2547
    @cleodeprince2547 7 месяцев назад +25

    The zuku guy was zukud yaani kusalimiwa proper Stevo give us that gist

  • @albertnyabwa2592
    @albertnyabwa2592 7 месяцев назад +23

    This man is abusing his authority. He doesn’t have a right to do what he is doing. He can’t purport to arrest this young man. For what offense?? Kama Ali kuliwa bibi he should deal with it, more importantly deal with his wife. Whatever happened was between consenting adults

    • @thukusimon
      @thukusimon 7 месяцев назад

      You talked very well that he should deal with him.just leave it to him

    • @ronaldetyang1321
      @ronaldetyang1321 7 месяцев назад

      Tumbavu

    • @JOSPHATODHIAMBO-m7u
      @JOSPHATODHIAMBO-m7u 6 месяцев назад

      Huu jamaa ni mahenzi he should solve things like a grown man..

  • @januartechno9311
    @januartechno9311 7 месяцев назад +29

    Work ethics. Customers sio wa kukula. Let pple respect their jobs.

    • @christinenkuene4055
      @christinenkuene4055 7 месяцев назад

      it was consensual, if am the boss i will not fire the boy, let the man deal with her cheating disrespectful wife.

    • @januartechno9311
      @januartechno9311 7 месяцев назад

      @@christinenkuene4055 zuku kazi yao ni kuinstall tv na net kwa manyumba ya watu. Kama hana labia atafute kazi ingine. Kuharibua kampuni jina..

    • @High58
      @High58 7 месяцев назад

      This is very wrong why treat this young man in this manner. This man should deal with his wife. And again was it necessary to bring the young man into the show.

    • @bellaolum9768
      @bellaolum9768 7 месяцев назад +1

      Exactly

  • @janefferkatuku
    @janefferkatuku 7 месяцев назад +14

    Huyu kijana hatawai chenza na mabibi ya mwenyewe tena .lesson learned

  • @avrilsalim895
    @avrilsalim895 7 месяцев назад +33

    Na uchunge mtu asiwai beba gun or anything harmful during follow up

    • @pamelanamayi3064
      @pamelanamayi3064 7 месяцев назад

      GSU knows how to shoot but deno anajua kugonga kila kona😂😂😂

  • @fanmuthura4844
    @fanmuthura4844 7 месяцев назад +33

    Wanawake wanakuliwa na vitoto kwa nini shually 😢😢😢😢....mtu ameharibu ndoa yake juu ya upuzi

    • @galaxyqwer7438
      @galaxyqwer7438 7 месяцев назад

      Imagine ujinga wacha ziwache ndio wajuwe huku inje siyo mchezo😢

    • @maryannetwili63
      @maryannetwili63 7 месяцев назад +1

      I'm not supporting cheating but this man looks cruel clearly the lady isn't comfortable or safe around him. She should just have left

    • @thukusimon
      @thukusimon 7 месяцев назад

      ​@@maryannetwili63thats according to you. Umeskia wako na watoto 2 na hadi wife anampea plan za biz

    • @lorraineay
      @lorraineay 6 месяцев назад

      Juu ya upuzi!!!

  • @Bree.2547
    @Bree.2547 7 месяцев назад +81

    Uyu dem amedharau bwanake sana. What is this???

    • @Hadijah-ro9lo
      @Hadijah-ro9lo 7 месяцев назад +4

      Ni kama kuwacha embe ule cucumber......

    • @Wambo-yz9ek
      @Wambo-yz9ek 7 месяцев назад +3

      Haha walah nn hii sasa

    • @asikointl5059
      @asikointl5059 7 месяцев назад +2

      Kukosa akili ,vile kinakaa tu vile kinataka 🤮🤮🤮🤮

    • @fridahndungenzaumi6591
      @fridahndungenzaumi6591 7 месяцев назад +1

      Aki 😂😂😂

    • @HarisonKangethe
      @HarisonKangethe 7 месяцев назад +2

      Kwanza sura 😂😂😂

  • @Sylvia-sd4mf
    @Sylvia-sd4mf 7 месяцев назад +6

    Ai na wewe Bigman keep quiet huyu mzee akiuliwa you will have his blood on your hands. Hawa watu wa royal tests are all the same...no mercy

  • @zenjibar64
    @zenjibar64 7 месяцев назад +24

    Lakini. Huyu jamaa anampanulia. huyu kijana wakati mke wake ana makosa. Kwani alibakwa ? mjinga tu hii kumuharibia kazi . Ataka kumuonea tu huyu kijana .

    • @jacklineadhiamboowino964
      @jacklineadhiamboowino964 7 месяцев назад

      He made his choice choices have consequences

    • @jenifferKimeu
      @jenifferKimeu 7 месяцев назад +1

      Kijana alijua ni bibi ya wenyewe why accept?

    • @zenjibar64
      @zenjibar64 7 месяцев назад

      Wewe mwanamke ni kuliko shetani akitaka lake . Amemseduce kwa kujua atafika mahala atakubali . Km ni makosa ni wote kwani alimrape ? Naye km alikua kua ni bibi ya wenyewe kwa nini asijiheshimu ?

    • @larcoviaridgesrealtors2677
      @larcoviaridgesrealtors2677 7 месяцев назад

      Imagine, kinyanjui should keep this hard working young man. Huyu aende huko. Bibi ni kifagio ya kila mtu🙄🙄

  • @beningtonowinoooko7915
    @beningtonowinoooko7915 7 месяцев назад +8

    Jamaa hakuna crime amefanya..this GSU man is living in the Nyayo error.
    2010 constitution will set the guy Free....two adults of sound mind...

  • @mosiaralucy6980
    @mosiaralucy6980 7 месяцев назад +22

    Yaani watu ucheat na vitu sinakaa aje surely madem wengine weeh uyu ata nipewe free siezi😂😂😂

    • @gilbertrotich3966
      @gilbertrotich3966 7 месяцев назад +2

      Mwili haijalishi jameni

    • @mosiaralucy6980
      @mosiaralucy6980 7 месяцев назад

      @@gilbertrotich3966 ata kama uyo siesi

    • @marywairimu-v2e
      @marywairimu-v2e 7 месяцев назад +2

      Hawaangalii sura, bora chuma ya doshi iwe sawa😅😅

    • @magerorobert4098
      @magerorobert4098 7 месяцев назад +2

      Huyo ni ww but yy pia ni mtu so stop the understatement huyu ni kiumbe wa mungu

    • @bikoflavious2903
      @bikoflavious2903 7 месяцев назад

      That boy is handsome home and away 😅😅😅😅😅
      Tena anafanya kwa zuku

  • @hawababy120
    @hawababy120 7 месяцев назад +6

    Sasa boss wake anahusika nanini hapo!!siwapambane wenyew😮🧚‍♂️🇨🇦

  • @okolafrancisokola
    @okolafrancisokola 7 месяцев назад +72

    Gsu man plz deal with your wife wachana hii kijana. Kwanza nyiyi Gsu ndio worse mukienda operation uku inje.Ala!!!!!

    • @jacobmusembi7529
      @jacobmusembi7529 7 месяцев назад +1

      Correct 💯 percent

    • @jamesmigowe1585
      @jamesmigowe1585 7 месяцев назад +2

      The kijana is very innocent yawa,,hata mimi singewacha, ni kulamba lamba lolo

    • @roserono4542
      @roserono4542 7 месяцев назад +1

      I know right, makosa ya kijana ni gani

    • @FelistasKieya-wp9dh
      @FelistasKieya-wp9dh 7 месяцев назад

      Shindwe wewe 😂😂😂​@@jamesmigowe1585

    • @rogerslubanga5955
      @rogerslubanga5955 7 месяцев назад +2

      Mko na upuzi nyinyi wote na ni ni kama hamna mabibi do you how it hurts kukuliwa bibi

  • @claudianaomi2252
    @claudianaomi2252 7 месяцев назад +17

    Ambia uyo gsu aende aulize bibi yake mbna alimcheat na aache the boy alone.....eti atamuua what the heck!!!!!

    • @DorcasBosuben
      @DorcasBosuben 7 месяцев назад

      Labda ata awesani kwa kitanda anatuletea

    • @philipmwendo9331
      @philipmwendo9331 7 месяцев назад

      ​@@DorcasBosubenacha nicheke tu😂😂😂 ati hawezani

    • @DorcasBosuben
      @DorcasBosuben 7 месяцев назад

      @@philipmwendo9331 eeh ndio anasaidiwa na vijana barubaru badala ablame bibi wake alikua anapendwa na akaenda kubanulia mwingine

    • @philipmwendo9331
      @philipmwendo9331 7 месяцев назад

      @@DorcasBosuben hata mm nkimpata nita staha kwanza curved

    • @DorcasBosuben
      @DorcasBosuben 7 месяцев назад

      @@philipmwendo9331 😂😂😂😂

  • @alicewangui3252
    @alicewangui3252 7 месяцев назад +14

    Man stevo please do the follow up for the guys safety
    He didn't sin alone

    • @catherinethou
      @catherinethou 7 месяцев назад +1

      Stevo vile anapenda Kuka hapo kwa hiyo kiti atasaindia huyu boychild no follow up

  • @jakestonny7990
    @jakestonny7990 7 месяцев назад +4

    Mimi hapa ningetoka mbio. Ningesuspect kitu😂

  • @hellenNzilani-dk1sn
    @hellenNzilani-dk1sn 7 месяцев назад +38

    Mbona anataka kumuaribia job😢😢😢aaaai ata hao ma GSU ni malaya sana

    • @DorcasBosuben
      @DorcasBosuben 7 месяцев назад +4

      Mtu ashibishi bibi wake ndio anakuja kuteta ablame bibi wake

    • @hellenNzilani-dk1sn
      @hellenNzilani-dk1sn 7 месяцев назад

      @@DorcasBosuben huyo bibi angekataa infact hautakosa kuitishwa juu umeoleka jukumu ni kwa mtu akatae ama apeane

    • @philipmwendo9331
      @philipmwendo9331 7 месяцев назад +3

      ​@@hellenNzilani-dk1sn. yes uamuzi hua niwa mtu binafsi kupeana au la

    • @annciakarimi8715
      @annciakarimi8715 7 месяцев назад +1

      Istoche bibi dye Malaya, huyu kijana ni mdogo sana

    • @edithkirui13
      @edithkirui13 7 месяцев назад +1

      Nashangaa kwani was it rape??😢😢

  • @gladyskemunto6152
    @gladyskemunto6152 7 месяцев назад +6

    Arrest him for what? GSU guy trying to save face and his big ego 😂 that a young man pepetad his woman 😂.. kizungu mingi bure… and why is Steve allowing this man harass that young man like that? Bs.. leave that young man alone.. solve your issues with your woman

  • @faithhenry5369
    @faithhenry5369 7 месяцев назад +13

    This man and the kisii guy that was dealing with Fidel.... integrity on top notch their 🤬 anger.....

    • @levinemuhanji3881
      @levinemuhanji3881 7 месяцев назад +2

      Fidel practising infedility with my wife it was funny and at the same time it was sad

  • @janetchirchir5764
    @janetchirchir5764 7 месяцев назад +7

    Kama mwanaume analala na mwendazimu sembuse huyo wako shighulikia mwanamke kwa kitanda bwana sometimes nyinyi mapolisi mko busy Hadi hamjui mwanamke anafeel aje

    • @asikointl5059
      @asikointl5059 7 месяцев назад

      K

    • @GeraldChege
      @GeraldChege 7 месяцев назад

      Ss mtu akitumwa kazi mbali ataenda na wyf ndo asikose kukuliwa?

  • @bae-evva
    @bae-evva 7 месяцев назад +1

    Stevo at times pia wewe reason, si anything occurring you comfortable, apana Stevo hii tumekataa

  • @ruthmbinya5219
    @ruthmbinya5219 7 месяцев назад +1

    Congrats gal🎉😅ukipata chance ya kuvunja watu roho vunja kabisa....they deserve it😏

  • @HannahNgigiStella
    @HannahNgigiStella 7 месяцев назад +7

    Sasa apa sini bibi ako namakosa guok achana na kijana bibi aligurwoo kasusu🤭🤭🤭GSU watch your game😋😋😋🤣🤣

    • @BrianChitiavi-dv9kg
      @BrianChitiavi-dv9kg 7 месяцев назад +1

      Alipata munyonge

    • @catherinethou
      @catherinethou 7 месяцев назад +1

      Eti Gsu akubali game yake iko chini apambane na bibi yake awachane na boychild alisadia tu

    • @HannahNgigiStella
      @HannahNgigiStella 7 месяцев назад +1

      @@catherinethou say that again 🫵🫵🫵👊👊👊👊

    • @HannahNgigiStella
      @HannahNgigiStella 7 месяцев назад

      @@BrianChitiavi-dv9kg walai tena 🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @theeogaranya1124
      @theeogaranya1124 7 месяцев назад

      😂😂😂

  • @tabithaotieno7521
    @tabithaotieno7521 7 месяцев назад +2

    Wakuu mmesema huyu ndo aligula vitu😂 wueeeh giiiiiiiiiiiiiiiiirls🙆

  • @thukusimon
    @thukusimon 7 месяцев назад +21

    🤣🤣kwani huyu jamaa ako na kichwa funny aje mi hata nilidhani ni dem amenyoa

  • @HENRYNJOROGE-h2h
    @HENRYNJOROGE-h2h 7 месяцев назад +1

    Stevo hatutaki seat down zenye you are favouring one party, this is not fare, kaa huyu jamaa angekua harmed!!

  • @sandraawour
    @sandraawour 7 месяцев назад +4

    aki some women cheats with ugongo ppl,, cheat with someone who is cute n wealthy than ur hubby atlst u will give 100 reason 😅😅but boy sura ka bastola ya reject bill

  • @simonmutua8024
    @simonmutua8024 7 месяцев назад +10

    Its a shame the boy being harassed in front of u stevo,ati he call kill him ,what is that!!!
    He should deal with his wife in the 1st place

    • @WezzieChimuzi-ek7bk
      @WezzieChimuzi-ek7bk 7 месяцев назад

      The boy is not wrong... but the wife is stupid it seems she's not enjoying with the husband

    • @aquillajudie2243
      @aquillajudie2243 7 месяцев назад

      Halafu Stevo pia wewe inafaa situations zingine you intervene.....ss Eves did it from the start.....

    • @Ripcord254
      @Ripcord254 7 месяцев назад

      unaongea nkama wwe pia unakulianga mabibi watu

    • @gibsonbarine9113
      @gibsonbarine9113 7 месяцев назад

      Stevo has no room for cheaters always

  • @kenyanqueen88
    @kenyanqueen88 7 месяцев назад +2

    Aende adeal na milaya wake😂kijana maybe alikuwa dryspell na hangeacha rosecoco ya free 🤣🤣

    • @annntinyari
      @annntinyari 7 месяцев назад

      Wewe ni student wa wakaniaru, milayas for milayas

  • @bizimoska8546
    @bizimoska8546 7 месяцев назад +4

    huyo boy hana kosa bibi ndio akona taama

  • @MiriamOtundo-h4b
    @MiriamOtundo-h4b 7 месяцев назад +6

    Huyu dame alikua na UKAME because sioni kile Alina kwa huyu boy child 😮😮

  • @celestineallen5148
    @celestineallen5148 7 месяцев назад +22

    Stevo this is not necessary this GSU man is stupid. You should have protected this man.He didn't do anything in fact the woman was the one who wanted the guy because this GSU guy is starving her. She looks young and wants it daily yawa tho. Now what is he going to gain by calling his boss and interfering with his work.lord have mercy. He should go and arrest RUTO.

    • @Sylvia-sd4mf
      @Sylvia-sd4mf 7 месяцев назад

      I'm think so too...when it is uniformed guys....achana

    • @rogerslubanga5955
      @rogerslubanga5955 7 месяцев назад

      Were you there what if it was your wife ama wewe ni gay

  • @annmaina4268
    @annmaina4268 7 месяцев назад +7

    Misuse of power.....This is among the reasons we are out here in the streets. Will you arrest or threaten your wife as well? Coz I don't recall her saying she was raped. Two people were involved. No crime was committed by either so accept you were played and move the fuck on ama forgive if you love her so much.

  • @VictorKiplagat-wn4mw
    @VictorKiplagat-wn4mw 7 месяцев назад +4

    Young next ukipata job aacha ufisi ingine inaeza kua trap ufungwe Focus with work 💪 still young 💪

    • @jemimahndibaym3xp
      @jemimahndibaym3xp 7 месяцев назад

      Kabisa ju akisema n kumaliza mwaka si atakua amelala na wengi😂😂😂a focus

  • @TabbyCheres
    @TabbyCheres 7 месяцев назад +12

    This karao anafaa kujua sweetheart wake choose ,this boy over him😂 ,so awache ,huyu boy alone

  • @StevenOnyango-d4x
    @StevenOnyango-d4x 7 месяцев назад +1

    Stevo:nitoke hapa ndio utasema ukweli??😅😅
    Mbona unauzia huyo kijana uoga

  • @Chepmaraswo
    @Chepmaraswo 7 месяцев назад +1

    Aki Big man😂😂the way he was so comfortable at first,,,,,then boom!!alini sedusi😅s$x rest in peace hii inavunja ndoa mingi sana huku nje😢

  • @everlynegati6000
    @everlynegati6000 7 месяцев назад +2

    Baaas deno na Yule dem wanaendana😂😂😂

  • @CharlesKivuva-yo5lw
    @CharlesKivuva-yo5lw 7 месяцев назад +8

    Bibi angeitwa pia

  • @ericknyauchi1198
    @ericknyauchi1198 5 месяцев назад

    I respect this GSU gen z gentleman.bBig up

  • @DasMasters
    @DasMasters 7 месяцев назад +9

    GSU should make sure this Deno is fired from ZOOK Company!

    • @Oderorege
      @Oderorege 7 месяцев назад +2

      Na watu wa Kenya power wa kusoma bill pia wafutwe 😅😅😅

    • @shadrackamani7675
      @shadrackamani7675 7 месяцев назад +1

      😂😂😂😂. Fired..! 😅😅

    • @marywanjiku9342
      @marywanjiku9342 7 месяцев назад

      😂😂

  • @Mama-A
    @Mama-A 7 месяцев назад

    This one will help big man in many police cases that we always encounter in this show.....mie wa mtu sumu

  • @donmonda7150
    @donmonda7150 7 месяцев назад +1

    Ina onekana huyu kijana alimzangamua mwanadada kupitiliza,mwenye nyumba alishindwa na kazi ila aina haja ya yeye kuuwa mtu ilhali makubaliano yali kuwa ya wawili tena watu wazima.

  • @okutebettina2509
    @okutebettina2509 7 месяцев назад +1

    Huyu karau ajuwe tu ameoea poko na aachane na huyu poko ingine 😂😂😂😂

  • @molynearan8673
    @molynearan8673 7 месяцев назад

    Very innocent boy,dem ndiyo mwenye makosa hapa

  • @JaneLigare
    @JaneLigare 7 месяцев назад +1

    Bibi Yako ndiyo mbaya, Wacha kutisha huyo kijana

  • @tashawambui7248
    @tashawambui7248 7 месяцев назад +3

    Sahii hata staki story za makarao what i saw kwa maandamano 😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @billywilz8753
      @billywilz8753 7 месяцев назад

      Tofautisha kuma na kazi nanii.

    • @tashawambui7248
      @tashawambui7248 7 месяцев назад

      @@billywilz8753 so you are ok fucking a person who is cold hearted

  • @josephmbatia8341
    @josephmbatia8341 7 месяцев назад +9

    Mimi hawezi ni harass ata Kama nlikula Bibi😡 yke kwni iko nn.tunapigana bana

  • @Mis_wangui
    @Mis_wangui 2 месяца назад

    Sijui kwa nini nimecheka vile Deno ameambiwa read my face😂😂😂

  • @emma-beauty
    @emma-beauty 7 месяцев назад

    Comrade nakupenda sana my guy at least you back 😂😂

  • @geoffreymanthi
    @geoffreymanthi 7 месяцев назад +1

    Stivo walienda wapi 😂😂huyo kijana hatawai jaribu tena😅

  • @peterogada
    @peterogada 7 месяцев назад +22

    Karau abebe bunduki awezi matako bibi ako na kutu

  • @janetchirchir5764
    @janetchirchir5764 7 месяцев назад +4

    Hapa Stivo hujafanya poa Askari wenyewe ni malaya halafu unatesa boychild ya nn

  • @dianahkebongo9345
    @dianahkebongo9345 7 месяцев назад +2

    Yaani mwenye ancheat naye ni sura personal 😂😂

    • @TeclaRutto
      @TeclaRutto 7 месяцев назад +1

      Yaani mambo imechemka, mambo ni deadly deadly....

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b 7 месяцев назад +1

    Deno kevo brayo ni jina ngumu sana ata kwa kina gidy na ghost patanisho

  • @marionmuturi5283
    @marionmuturi5283 7 месяцев назад +1

    Why is he interrogating the guy yet bibi ndio mwenye shida🤷🏾‍♀️🤣🤣🤣 yaani hata GSU anachapiwa ndani😂😂😂

  • @PhilomenaMwangi-k3t
    @PhilomenaMwangi-k3t 7 месяцев назад +2

    Bwanake amekawia😂but hafai kumharibia job hapo alisaidiwa huyo bibi ni maraya

    • @SamuelKabuku-fd1qs
      @SamuelKabuku-fd1qs 7 месяцев назад

      I think he should deal with her kienyeji aache ijinga

  • @veriverana882
    @veriverana882 7 месяцев назад +1

    Huyo mke wako ndio mbaya muache kijana wa watu jameni 😢😢😢

  • @charmoshotieno7878
    @charmoshotieno7878 7 месяцев назад +14

    Ka gsu kashenzi sana😂

  • @bikoflavious2903
    @bikoflavious2903 7 месяцев назад

    😅😅😅😅😅
    Stevo we need part 3 of that mzee from kissii and Fidel a boy from meru.. Fidel practicing infidelity 😅😅😅😅

  • @IvineAlumasa-oc8kf
    @IvineAlumasa-oc8kf 7 месяцев назад +1

    Wait, i just heard th GSU guy say i was just trusted her, na pia hatumii akili, anataka kuharibia mwenzake job na bibi yake waliagree wakakulana😂😂eiii

    • @januartechno9311
      @januartechno9311 7 месяцев назад

      Work ethics. Customers sio wa kukula. Let pple respect their jobs.

  • @leilamilaho4288
    @leilamilaho4288 7 месяцев назад

    Wanaenda Station kufanya?

  • @tracy7278
    @tracy7278 7 месяцев назад +3

    Why destroy his job while bibi yako ndio mariya wa miraya na mbona stivo ame nyamaza hukufanya poa stevo I ain't happy at all

    • @januartechno9311
      @januartechno9311 7 месяцев назад

      Work ethics. Customers sio wa kukula. Let pple respect their jobs.

    • @tracy7278
      @tracy7278 7 месяцев назад

      @@januartechno9311 i thougt the man should face the wife for Cheating how many women sleep out here for work for promotion

  • @everlynewanyama3804
    @everlynewanyama3804 7 месяцев назад

    Ona penye nyege imemfikisha sasa 😅😅mke wa mtu sumu .....bt mbona Kwa nyumba ya wenyewe na bed surely! Huyu hakuona Ile story ya priest alikatwa na GSU

  • @mathewchumba9414
    @mathewchumba9414 7 месяцев назад +11

    Unamadvert akuje anikulie bibi 😂😂

  • @MotondiSam
    @MotondiSam 7 месяцев назад +2

    Huyu GSU tulisoma na yeye pale kangeso boys rongo

  • @tonynjuguna9235
    @tonynjuguna9235 7 месяцев назад

    Kaa vizuri nione sura ya hii ghasia...😅😅😅

  • @MaryMutinda-x4b
    @MaryMutinda-x4b 7 месяцев назад

    Ladies,ladies,we agreed here if is a must to cheat, cheat with a person who has some dignity ..gal hapo umetuagusha..

  • @ruthongeri5115
    @ruthongeri5115 7 месяцев назад +1

    Watu hawaogopi magonjwa huku nje jamani!!! Loose women and men out here. Nkt

  • @zachariahgitari8849
    @zachariahgitari8849 7 месяцев назад

    😂😂😂😂mimi mtu awezi nitishia bana

  • @TabbyWangui-qd7ks
    @TabbyWangui-qd7ks 7 месяцев назад

    Nataka kuongea na yeye😂😂😂😂stevo holding his laughter

  • @LydiaWanjiru-x8q
    @LydiaWanjiru-x8q 7 месяцев назад +1

    Mbona Steve anakubali huyo boy to be harrused like that surely na makosa ni ya bibi ya huyu jamaa...Steve hapo umefanya vibaya

    • @jackiemish4082
      @jackiemish4082 7 месяцев назад

      Weuue sijui nini ili happen next

  • @ESTHERMBURUVLOGS
    @ESTHERMBURUVLOGS 7 месяцев назад +1

    Uyu mzee ameoa kijana ama Bibi yake si aulize Bibi yake nkt

    • @tida3727
      @tida3727 7 месяцев назад

      Namshangaa sana.hataki kukubali he had been cheated on.
      Alafu the gal.is still young.

  • @deekiki1924
    @deekiki1924 7 месяцев назад

    Boss Kinyash ni mwerevu hatastuliwa na huyu jeshi especially with what's happening now he can only trust this guy to work even harder as punishment. Cheating is not a crime

  • @billywilz8753
    @billywilz8753 7 месяцев назад +1

    Huyu karau na ruzungu😂😂😂ako fine🎉

  • @gracenzuki1298
    @gracenzuki1298 7 месяцев назад

    Suaaaaaly hii nini sasa mama ulienda kucheat nayo cheeei ...... Mr GSU sir deal with your wife hakubakwa period!!

    • @tida3727
      @tida3727 7 месяцев назад

      You can say that again....
      Kwani bibi hakujua ameolewa ama labda hata ni bibi alimfikisha zuku hoy hapo.kwa hiyo nyuba.

  • @marywaweru6049
    @marywaweru6049 7 месяцев назад +1

    steve you need to stop this otherwise you will be sued. I hope human rights are watching this

  • @annewambui1122
    @annewambui1122 7 месяцев назад

    She's of sound mind,alipeana bila kulazimishwa huyu askali Aache vitisho

  • @nyakunditruphena7433
    @nyakunditruphena7433 7 месяцев назад +4

    Hiyo basi kama ni script, charity anafanya side hustle ya kudate karau...

  • @paylwambui2362
    @paylwambui2362 7 месяцев назад +1

    Wewe GSU enda haiti wacha kulia juu ya kuma enda ukatafute pesa😢😢😢

    • @gladyskemunto6152
      @gladyskemunto6152 7 месяцев назад +1

      😂😂😂😂

    • @paylwambui2362
      @paylwambui2362 7 месяцев назад

      @@gladyskemunto6152 its true gladys

    • @Sharin-e5f
      @Sharin-e5f 2 месяца назад

      Anaenda kutaftia nan namwenye kutaftiwa hayuko😂😂

  • @vitalisawuor6155
    @vitalisawuor6155 7 месяцев назад

    Hiii GEN -Z WAME SEMA HAWATA OGOPA POLISI HATA KIDOGO🤣🤣🤣🤣

  • @BrianChitiavi-dv9kg
    @BrianChitiavi-dv9kg 7 месяцев назад +4

    Uyo Gsu ni bure mimi sies mpea number bana

  • @anneilado3352
    @anneilado3352 7 месяцев назад +2

    I love thise guy bana any connection for me

    • @TeclaRutto
      @TeclaRutto 7 месяцев назад

      Yupi sasa the cheater ama the husband

    • @chegemburu8249
      @chegemburu8249 7 месяцев назад

      Milayas

  • @irhamseif
    @irhamseif 7 месяцев назад

    Hv ni nan alisema huyu jamaa wa gsu anafanana na stevoo 😂😂 hyo upara au😂😂

  • @lucymwanyiga7133
    @lucymwanyiga7133 7 месяцев назад

    Wanawake mnataka nini😢😢

  • @ReginaMutua-ew8ub
    @ReginaMutua-ew8ub 7 месяцев назад +2

    Huyu GSU ako mkali na bibi yake ndiye bure sana

  • @edwardaron729
    @edwardaron729 7 месяцев назад

    Jamaa Ako na makosa Gani ???? Huyu mama ndio mwenye makosa ,,,mbona apanue miguu ovyo ovyo ???

  • @thukusimon
    @thukusimon 7 месяцев назад +1

    😂unategemewa kwenu alafu ukuje kulala na bibi za customer

    • @justusgwaromagangi7373
      @justusgwaromagangi7373 7 месяцев назад

      People are congratulating this young man, they are unwise. They don't know the jealous of having a wife done in the very house you thought was exclusive to you

  • @United7Bayerncom7International
    @United7Bayerncom7International 7 месяцев назад +2

    Rate of infidelity in Kenya💀.., even the forces are not spared🤣🤣🤣

  • @fanmuthura4844
    @fanmuthura4844 7 месяцев назад +3

    Bibi yako ako loose sana mkuu.....stop blaming the young boy

    • @alicegitau6896
      @alicegitau6896 7 месяцев назад

      He was supposed to deal with her wife...

    • @Sharin-e5f
      @Sharin-e5f 2 месяца назад

      ​@@alicegitau6896exactly

  • @ronaldakuku
    @ronaldakuku 7 месяцев назад

    Please wamekata miti ya follow up studio, vacate

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 7 месяцев назад +1

    Stevo umetufeli hapo

  • @muthokagregory6478
    @muthokagregory6478 7 месяцев назад +4

    Deno ako poa anajua kukinda vizuri deno hogera kazi kwako

  • @WinnyMchelsea
    @WinnyMchelsea 7 месяцев назад +4

    Ivo deno anajua game kuliko afande😂😂😂

  • @viral77395
    @viral77395 7 месяцев назад +2

    chapa iyo jangili kabisa, lazima ajuwe kuheshimu nyumba za watu

  • @MillicentAtieno-nx7fo
    @MillicentAtieno-nx7fo 7 месяцев назад +2

    Bibiyako ndioangaa achana nakijana

  • @andrewondara2788
    @andrewondara2788 5 месяцев назад

    Anaharibia zuku jina na anaharibia kampuni kazi . Action to be taken ...y mtu asikue na heshima ake kwa kazi , men tujiheshimu. Pata mmoja ama kama unataka wawili ridhika nao

  • @DorcasBosuben
    @DorcasBosuben 7 месяцев назад

    Mimi siwezi ukumia mtu wa nje kama bibi akibanua miguu na anajua ako na bwana 😂😂😂