Sometimes i feel like leaving Qatar n go be with my kids....since wako kwa kina bby daddy n we aren't in good terms😢😢😢God protect every children in the mighty name of Jesus Christ 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼God for the sake of labour pain cover our kids whenever they go or play
😢Those of us who feel like u can touch anything n anyone else in our lives but NOT our kids, I won't ask 4 ua apology if u call us selfish,we r genuinely selfish on that. Anything else but not them plz. God protect our babies.
Alafu show ikianza sama akasema ameongea na bba mtoo na ako willing kuja kuongea then sho ikiisha anasema sikuweza kuchukua namba ya bwanako uneza nisaidia nayo?😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Huyo ni gaidi si uliona haliepa ni kazi ana fanya ya kuipa watoto mrembo ji shughuli uta kuwa uki zaa ana kuzia mtoto shaitani yeye ata mtoto wako suree
@@ganizanitembo1492naona anaongea kuhusu ex wa huyu dem ....vile sama anaongea nikama kulikua na kitu ...na ukweli n8 kwamba huyu dem alikua ana explain vizuri hawezi kua pamoja anatabua ndoa yake but sama he keep on insisting
God for the sake of labour pain protect our kids 😢😢
Justice for this woman's child
aliolewa na Gaidi. Pole sana
🏃🏃🏃🏃
Sometimes i feel like leaving Qatar n go be with my kids....since wako kwa kina bby daddy n we aren't in good terms😢😢😢God protect every children in the mighty name of Jesus Christ 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼God for the sake of labour pain cover our kids whenever they go or play
My dear just be strong we are in the same situation but God is in control
@AdouJoan Amen
Justice for the lady
Mbarara Uganda here we go to see nyabho
Balina okumanya ani alina omwana so that can ani alina omwana.
Justice for this lady n her kid
Na vile wewe n cutie ukaendea hiki kizee sura mbaya anyway justice for the lady
Good job too Samaritan Dou every thing possible bro uwasaidie sanasana mama coz ajuaye uchungu ni.....
Watu wanakaa na magaidi kwa nyumb wakidhani ni wapenzi
Justice for baby Alfa
😢Those of us who feel like u can touch anything n anyone else in our lives but NOT our kids, I won't ask 4 ua apology if u call us selfish,we r genuinely selfish on that. Anything else but not them plz. God protect our babies.
DCI Godfrey please chip in..
Jesus protect our kids out there coz kenya has become a business country
Unaskia anaitishwa wa 5 months 😮, what has become of humanity?
Problem is greed of money. Kenyans can do anything for money 💰
@@Oderoregeimgne
This too much lord please protect my daughter and other kids please
Woiyee justice for the baby😢
A wicked father indeed....selling your biological child Nkt!
Alafu show ikianza sama akasema ameongea na bba mtoo na ako willing kuja kuongea then sho ikiisha anasema sikuweza kuchukua namba ya bwanako uneza nisaidia nayo?😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Ukweli uchungu wa mwana ajuaye ni mama na utamu wa mwana ajuaye ni baba
In kenya today everything is business life health body parts Tama tama iliuwa fisi but in kenya tama inaziba mtu thuchlu thuchlu
Samaritan hananga uvivu na udaku. Sasa hapa ata insist kujua kama ex huwa bado anaramba asali.
So pain n sada sama gd job
Sama si usonge uache kukuliwa na siafu na ukiteseka bure songa ...
Yaani, you sell your child? People really value money these days, they donot care at all.
Huyu dame ni mjinga ulienda kuolewa na mluhya surely Yani hapo ndipo ujinga imekufikisha??
Wewe mwerevu sana umeoa malaika??
Hata jina yako inasema tu uko na ujinga na uko singo tu kama mimi
Ata kama Sina Mzee siezi oleka kwa mtu suraless kama bwanako
Mahali ex Yuko anafurahi sana alimkataza kuoa mluhya hakuskia I'm not saying waluya ni wabaya but Kuna vitu watu huona
Sasa vitu gani watu huona.
The ex was just talking out of jelousy
Kujua kujieleza ni kitu ya maana sana kwa hii dunia
Na vile ulimshifia kwa Ex wako😢
Ex Ali sense danger 😢
das kann nicht sein.kenyas like money easy people dont want to work hard am so sorry for kenya
Yaani mtoto anauzwa tu 60k kwani Hawa magaidi Hawana akili
Huyo ni gaidi si uliona haliepa ni kazi ana fanya ya kuipa watoto mrembo ji shughuli uta kuwa uki zaa ana kuzia mtoto shaitani yeye ata mtoto wako suree
Yaani unauza mtoto wako 70k. How foolish are you
Mungu saidia huyu mtoto awe salama 😢
Wallah wanawake ni wajinga san mtt wa 1 years unaacha aibiw wajinga san
Ex wako worned you kumbe alikuwa Ana sense kitu
Samaritan why do you look for problems where is none. You are pretty petty
Explain what you mean sir please
How miss perfect?
How?ama wewe unahusika ?😢
@@ganizanitembo1492naona anaongea kuhusu ex wa huyu dem ....vile sama anaongea nikama kulikua na kitu ...na ukweli n8 kwamba huyu dem alikua ana explain vizuri hawezi kua pamoja anatabua ndoa yake but sama he keep on insisting
@gakiimiriti9809 hamuelewi huyu chenye anamanisha ....ni juu sama ana insist huyu ako na relationship ns ex wake bado