BABA KING KIKII ALIOGOPA KUONGEA MBELE YA MKEWE |ALITAKA SEMA JAMBO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 35

  • @songombingo108
    @songombingo108 2 месяца назад +3

    Tatizo la Ujana. Matokeo yake ni kama haya yanatokea Uzeeni. Ujana ulitumika kuwa na familia zaidi ya moja kwa kificho. All in all poleni sana

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 2 месяца назад

    Yule mama anaonekana mkaksi yule😢

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 2 месяца назад +1

    Nifundisho kwa sisi tulio hai maisha yako ya leo yana akisi maisha yako ya mwisho

  • @ibrahimmussa-e8l
    @ibrahimmussa-e8l 2 месяца назад

    I can feel your pain brother! I’m very sorry to hear that from your family my condolences to the families and friends

  • @shuweaidditorstensson536
    @shuweaidditorstensson536 2 месяца назад

    Kiki hana roho ya kukana yamemkuta Jama i Amen

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 2 месяца назад +2

    Kila familia inaguswa na janga la mchanganyiko wa familia jamani pole kaka kufiwa baba

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 2 месяца назад +1

    Mungu awaongoze watt wa mke mkubwa Mungu awafungue

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 месяца назад

    Katambo nyimbo yangu pendwa!!!

  • @janemwaipungu3189
    @janemwaipungu3189 2 месяца назад

    Joseph sio mtoto wa kiki

  • @leonardmsafiri2199
    @leonardmsafiri2199 2 месяца назад

    Mambo haya yapo sio unique kwa familia hii hakuna cha jana wala uzee afican culture kuna watu wana wake nane watoto 45 na wana elewana tu

  • @SophiaMrsgombo
    @SophiaMrsgombo 2 месяца назад

    Mzee alishikwa akashikika apumzike tu kwa amani yaani mtu unatoroka kwenda kuona wanao pu wanaume wa hivyo wapo wengi

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 2 месяца назад

      Alikuwa zuzu yaani kuma ikushike hivyo masikio mwanaume ni udhaifu mkubwa hata vitabu vya dini zimesema mwanamke atakuwa ni chini ya mwanaume kwa hiyo ni dhambi kushikwa na masikio Na kutawaliwa Na mwanamke

  • @nanyangeclara2222
    @nanyangeclara2222 2 месяца назад +1

    Omg. Anajua kuimba afanye remix ya nyimbo za baba yke

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 2 месяца назад

    Anajuakuimba

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 2 месяца назад

    Wanaume,mkiwa na watoto kwa wamama tofautitofauti...Mpange mambo yenu kwaajili watoto wako(damu yako) mapema kabla hamjafariki.Maana ukiondoka mnaacha vurumai,mkizingatia ni damu yako.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 2 месяца назад +2

    Kama mwanaume ni muhimu sana kuangalia mwanamke gani wa kuoa kamwe usioe mwanamke asiye wakubali watoto wako toka ndoa yako au mahusiano yako yaliyopita , wanawake wa kitanzania wengi wao uwa Na roho mbaya sana mno inaonekana huyo mama yake Jesca na Jesca ni mashetani na ukute sio watoto wa King Kiki maana hawana hata damu ya muziki !

    • @SophiaMrsgombo
      @SophiaMrsgombo 2 месяца назад

      Haswaaaa alipochemsha kikii ni hapo mama alimshikilia mzee ili amlelee wanae

    • @SophiaMrsgombo
      @SophiaMrsgombo 2 месяца назад

      Wazee wa hivyo wanatakiwa waende motoni moja kwa moja basi tu

    • @MikopoMtandaoni
      @MikopoMtandaoni 2 месяца назад

      ​@@SophiaMrsgombo yaani motoni moja kwa moja

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 2 месяца назад

      @@SophiaMrsgombo yaani ni maajabu sana kusahau watoto zake kwa ajili ya mwanamke tena inaonekana huyo mama Jesca ana roho mbaya sana sijui ni kabila Gani Na Jesca mwenye roho yake mbaya tu , ingekuwa Mimi eti kuma inajaribu kunitenganisha Na watoto wangu wa ndoa ingine ningefukuza hiyo kuma siku hiyo hiyo !!🤮🤮🤮

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 2 месяца назад

      @@SophiaMrsgombo kabisa hata Muumba hapendi

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 2 месяца назад +1

    Mama wa kambo ßawa,lakini pia kuna watoto wa kambo pia ni makaidi hatari

  • @nanyangeclara2222
    @nanyangeclara2222 2 месяца назад

    KM mediam5, mtafute tena katambo atuimbie live tumkumbu Mzee

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 2 месяца назад

    Angeingia kwenye muziki afanye maisha yake

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 2 месяца назад

    Baba ndiyo wa kulaumiwa sababu hakuiunganisha family mama huyo mnamlaumu. Bure tu tafuteni suluhu ili muungane kama ndugu ili maisha yaendelee baadae badala ya kulalamika tu kudai huruma kupitia kwa watu

  • @DaheerK
    @DaheerK 2 месяца назад

    Alienda kuoa mzaramo kikamramba baba sisi yalitukuta haya ila baba yetu aliachwa peke yake mama wakambo akaondoka kabisa akatuachia mwili wetu

  • @sabrinasabrina8395
    @sabrinasabrina8395 2 месяца назад

    Wanaume mjitathnin

  • @zainabuselemanimsalama2703
    @zainabuselemanimsalama2703 2 месяца назад

    Ujana maji ya moto

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 2 месяца назад

    Mbona yupo joseph bwanaa? Acha uzushi

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 2 месяца назад +4

      Yule ni wa mwanamke mwingine alimkuta naye

  • @DaheerK
    @DaheerK 2 месяца назад

    Alienda kuoa mzaramo kikamramba baba sisi yalitukuta haya ila baba yetu aliachwa peke yake mama wakambo akaondoka kabisa akatuachia mwili wetu