Wimbo safi sana mpagilio wa voice na melody’s iko poa producer kasahau kutafasiria watu waelewe ili mpate viewers nyingi mwambie afanye hivyo mbarikiwe sana vijibweni SDA #choir🙏🏻🇹🇿
Thanks for watching, for more information and the best videos make sure u subscribe to this channel. Call us or whats-app through our studio official number +254 720 414 286
Kila ninapoingia online natamani kusikia na kujifunza kupitia ujumbe wenu mzito na mzuri kwa lugha ya nyumbani. Maneno ya matumaini yanayotia moyo. Nilifurahi kuwaona Kiyombo, Nawaombea mwendelee mbele zaidi na watu wakapokee ujumbe wa matumaini kupitia huduma yenu ya uimbaji.
Ngarahete ghonsweeee
Tetoraghahite hano turihika koryobha💃Mungu awabariki bado naendelea kubarikiwa na huu wimbo hadi leo💪💪💪
Hatimae nimeupata huu wimbo, Asante sana
asanteh kwa wimbo mzuri endeleeni KULETA na zingine abhamweito mbuya mole
Nakupenda sana wimbo wa kikurya unanibadilisha
Mbarikiwe Sana watu wa mungu kwa kazi ya bwana mungu wetu
Wimbo safi sana mpagilio wa voice na melody’s iko poa producer kasahau kutafasiria watu waelewe ili mpate viewers nyingi mwambie afanye hivyo mbarikiwe sana vijibweni SDA #choir🙏🏻🇹🇿
Wimbo mzuri sana.Mbarikiwe na Bwana 🙏
Wimbo mtamu may God bless u pple
Amina,,,,enokwi Abe na bainyo.......nimefurahia kunirudisha taarime
Thanks for watching, for more information and the best videos make sure u subscribe to this channel. Call us or whats-app through our studio official number +254 720 414 286
Nice message. Kilaghento nkerahete, tutighe amaragha ghonswi tuyi kuryubha.
Kulya na melody kali i love it sanaaaaaaaaaaa
iribhina iriyaa sana, b blessed
Iriyaa sanaaa
enokwe abhatangate bhanto baito mbalikiwe sana nimewapenda
Aisee wimbo mzuri sana...nimecheka hiyo sehem anaposema eti "ibiroi bino 😀😀"
Weka subtittle lakini
Ibiloi bino , ( magonjwa haya) hiyo ni kurya jomoni wakurya kuna Mungu jaman
Hahahahaaa
Bwana awatie nguvu mzidi kusonga mbele MUNGU KWANZA MENGINE BAADAE
Naomba like zenu mlio penda hiii nyimbo ✍️
Apan chezea kikurya
Mbarkiwe vijana vijibweni mzidi kumuinuwa Yesu ili awavute wengi waje kwake, kupitia uimbaji wenu.
Mungu awabariki sanaaaaaaaa, wimbo mzuri.
barikiwa watoto wetuu, nawpendaa💋
Awesome vijibweni.. .
Mwalimu mseti u r blessed
Melody nzur bt cjaelewa
Mungu awabariki sana vijibweni youth choir, kiukweli mnanibariki sana tena sana.
Kila ninapoingia online natamani kusikia na kujifunza kupitia ujumbe wenu mzito na mzuri kwa lugha ya nyumbani. Maneno ya matumaini yanayotia moyo. Nilifurahi kuwaona Kiyombo, Nawaombea mwendelee mbele zaidi na watu wakapokee ujumbe wa matumaini kupitia huduma yenu ya uimbaji.
Mbarikiweee!!!
wow a veeery nice song
nyimbo nzuri sana wapendwa
Melody nzuri lakini huyo video producer wenu angechapisha maneno ya wimbo huo siyo wote wanaelewa wapendwa ,anyway nice God bless you
Riphath Peterson Umeona Ee
Amina nice song.
Bwana awabariki kwa nyimbo nzuri
Wimbo nmeukubali
Mbarikiweee na Bwana.
Japo siielewi hii lugha, lakini kwa sauti tu, nabarikiwa
Njoo vijibweni kikurya hicho
Be blessed vijibweni youth choir
Hawa siyo wakurya??? okoorre bhuya...may tata enokwe bless you
Hatimaye leo nimeipata full
Kaka hongera
Jaman mbona nlimpenda huu wimbo unagoma??
❤❤❤
Mbarikiwe sana
Kwani hawawanakwaya ni wakurya ama ikkoje hii?
Be blessed guys
Ntorantighe amaragha tughende he nokwe weito
Groly to God
Mungu walinde
Nimependa sn
Ameeeeen
Title ya wimbo mbona iko tofauti na wimbo aisee.
Nkidownlod huu wimbo unagoma
Nice song
waaaaaaao,
Mwitambhirimbhwe
God bless you
enokwe agongwe
Yes
nice song, may i have your contacts
Bhamore tutatigha amaraghaa!.
Mwitambhiribwe abhanto bhenonkwe
Good song good vocals but am a luo sa c elewi at least mueke lyrics ya song kwa English ata kiswahili
Ekyaro keno nekebhebhe kemwe
Enokwe agongwe
Enokwe agongwe
Enokwe agongwe