SANDA JUU YA KABURI EPISODE 5

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 205

  • @MnambengaJr
    @MnambengaJr Месяц назад +3

    Mwasi na kakoso heshima kwenu from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @OengaMildred
    @OengaMildred Месяц назад +2

    Hongera sana dada mwasi jukua maua 🌹🌹 nawapenda sana Dada zangu keep it up good work ❤️

  • @amayarwatv4562
    @amayarwatv4562 Месяц назад +4

    Mwasi napenda saana kazi zako, naomba muongeze sauti kwenye hii movie,asanta🇧🇮

  • @HawaBedui
    @HawaBedui Месяц назад +2

    Mmmh hili goma mbna Kali kumeanza kuchangamka ssa 😊😊😊

  • @IrakozeHami-t9m
    @IrakozeHami-t9m Месяц назад +2

    Jaman Mzidole msiwai muach nyuma ndo anafany kazi zenu ziwe juu zaidi

  • @Kaske-bleumartin
    @Kaske-bleumartin Месяц назад +2

    Mzidole kaja tena kazi inakua ya moto sasa

  • @MkayulaDavid
    @MkayulaDavid Месяц назад +2

    Watu kecha watu kocho mzidoleeeee penda sana we jamaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HUpendo
    @HUpendo Месяц назад +3

    Wewe jiniii tuliyaaa mapenziii ya meumbiwaa watu n majini😂😂😂😂

  • @LeonadMwanisawalautel-p7m
    @LeonadMwanisawalautel-p7m Месяц назад +2

    Mwasi hii lazima uze mama Kali sana

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje Месяц назад +1

    Nice work mwasi🎉🎉❤❤

  • @Mumfortune
    @Mumfortune Месяц назад +3

    ❤❤❤❤ mzidole uko vzr mpoa❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Aisha-ld3ol
    @Aisha-ld3ol Месяц назад +2

    Safi san mzidole ❤

  • @ixha706
    @ixha706 Месяц назад +1

    Kazi inazidi kua nzuri endelea kupambana da mwasi💪🙌❤️❤️🔥

  • @NathanMgina
    @NathanMgina Месяц назад +3

    Mzidole ni balaaa 💯

  • @jerlancekihemba7705
    @jerlancekihemba7705 Месяц назад +2

    Kazi nzuri da mwasi butembo Congo tunakupenda Sana

  • @ChidWambele
    @ChidWambele Месяц назад +1

    Napenda kazi zenu mpovizur nafuatia sn kazi zenu hongereni sn

  • @MwagadiJamilaAbdalla
    @MwagadiJamilaAbdalla Месяц назад +2

    Safi Mzidole washenyente aoooòò

  • @BrysonJohn-
    @BrysonJohn- Месяц назад +1

    Mzidole 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 unyamaaa nimwingi

  • @MagrethKacha
    @MagrethKacha 25 дней назад +1

    Kakoso hunielew c nimekuambia ninamatako nataka kuigiza bana😅

  • @MarcygloriaIbrahim
    @MarcygloriaIbrahim Месяц назад +2

    Nampenda mzidole ♥️♥️

  • @SihaSanyajuu
    @SihaSanyajuu Месяц назад +3

    Ila mzidole ❤❤❤❤❤

  • @Awoshy
    @Awoshy Месяц назад +2

    Mzidole Mzidole watu kechaa😂🔥🎉

  • @OengaMildred
    @OengaMildred Месяц назад +2

    Umeyatimba Mzee wa misenyetto Mr senko 😂😂😂but mzidole jmniiii I'm waiting for you 🙏

  • @anitakerubo-x7e
    @anitakerubo-x7e Месяц назад +3

    Hapo sasa mzidole 🎉🎉🎉🎉KAZI nzuri Sana mwasi

  • @lilianmutheki3077
    @lilianmutheki3077 Месяц назад +1

    Mzidole Kenya twakupenda sana

  • @MwanapiliSidi
    @MwanapiliSidi Месяц назад +1

    Hamna mbambambaaaa, congratulation 🎉🎉🎉🎉🎉❤for all❤❤❤

  • @GloireBanane
    @GloireBanane Месяц назад +2

    Jameni, mzidole noma

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v Месяц назад +3

    Term mzidole tufanye mchango tumununulie nguo maana anatufurahisha🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Mzidole
      @Mzidole Месяц назад +1

      😂😂 haya nasubr mchango Sasa 🎉🎉 ila zawad

    • @ZZawadi-s5v
      @ZZawadi-s5v Месяц назад

      @Mzidole nimefanya nn tena 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @adeboytv5945
      @adeboytv5945 Месяц назад

      ​@@Mzidoletunakukubali mwamba

    • @MasudiKoja
      @MasudiKoja 28 дней назад

      @@Mzidolewatu kecha nawasha gari akateleza nakufatilia sana man #Pl🇵🇱

  • @linusmassawe-f4p
    @linusmassawe-f4p Месяц назад +1

    Kazi nzuri sn shukran🎉

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ Месяц назад +2

    Eeebwanaeeee mzidole kiboko😂😂😂😂😂😂kiboko ya wanga na majinu pia????

  • @Aminamy-f6x
    @Aminamy-f6x Месяц назад +1

    Kazi zenu ni nzuri sana

  • @KoOmg-ui4xo
    @KoOmg-ui4xo Месяц назад +2

    Jamani watu wananiuga mukono mzidole nayeye ahagarie atupe kitu kikali kwenye Chanel yake twende kwenye like mzidole nakupenda sana from Burundi 🇧🇮

  • @ISSACKFRANK
    @ISSACKFRANK Месяц назад +1

    Mzidole hiyo scene unayoigiza inakufaa sana unajua

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so Месяц назад

    Mzidole mzidole 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤nawote mauwa yenu🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @halimaali8732
    @halimaali8732 Месяц назад +1

    Nice work keep 👌 the good work 👏 🙌

  • @MikodizzoOfficial
    @MikodizzoOfficial Месяц назад +1

    Mwasi niongezee sauti yenu Tu basi...kwingineko umeus nzuri Sana
    More love from kenya

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 Месяц назад +1

    Mzidole huu uhusika unakufaa sana 💐 🌹

  • @ZanaaIssaa
    @ZanaaIssaa Месяц назад +2

    Mzidole.noma😅😅

  • @TifaSaid
    @TifaSaid Месяц назад +2

    Mchezo mzr sana

  • @Bintsalum
    @Bintsalum Месяц назад +1

    Hii tam sana mzidole msaidie mwasi nimeipenda😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤

  • @Babyhuu-mg9mp
    @Babyhuu-mg9mp Месяц назад +1

    Chezea mzidole ww utanasa😂😂😂 nakupenda mzidole yan unankosha wallah

  • @Dreamcheaser_og
    @Dreamcheaser_og Месяц назад +2

    Kazi nzuri🎉🎉🎉

  • @RaimamomedSaide
    @RaimamomedSaide Месяц назад +1

    Mauwa yenu kazi nzur sana na inadakika nzuri unarizika kidogo 😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ValentineChepkemboi-jt7it
    @ValentineChepkemboi-jt7it Месяц назад +1

    Mzidole mzidole kazi nzuri

  • @Wardat-o3l
    @Wardat-o3l Месяц назад +1

    Mzidole oyeeeeee ❤❤

  • @NacirMendez-j5c
    @NacirMendez-j5c Месяц назад +1

    Waoo mwasi umenyoa umepemdezaaaaa

  • @RamadhaniOmary-e3d
    @RamadhaniOmary-e3d Месяц назад +2

    Sawa kazi nzur

  • @jasminejuma-s6r
    @jasminejuma-s6r Месяц назад +1

    nakupenda sana mzidole 🥰🥰🥰had napagawa

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂mzidole mzidole 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @ApansiaSwai
    @ApansiaSwai Месяц назад +1

    Mzidole siwez ishi bila wew nishakupenda ❤😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @EshaomarmfaumeMfaume
    @EshaomarmfaumeMfaume Месяц назад +1

    Wow mzidole pia huku upoo 😂😂nitafuatili hii movie hadi mwisho.... nakupenda bure mzidole chukua maua yako ❤❤❤❤

  • @johannesnyabara2527
    @johannesnyabara2527 Месяц назад +11

    Hongereni kwa kazi nzuri, Mimi ni shabiki yenu wa muda mrefu

  • @sheilm819
    @sheilm819 Месяц назад +1

    Mzidole badili nguo tumechoka😂ila kazi nzuri🎉🎉🎉

    • @MohamedMbaruku-yl6dg
      @MohamedMbaruku-yl6dg Месяц назад

      Usilivue babaa endelea nalo hadi mwaka uishe😂😂😂😂

    • @Mzidole
      @Mzidole Месяц назад +1

      😂😂

    • @sheilm819
      @sheilm819 Месяц назад +1

      @@Mzidole mpaka profil pic ni ile ile nguo😂😂❤️❤️❤️

    • @Mzidole
      @Mzidole Месяц назад

      @@sheilm819 haaaah jmniiiiii hili lingine bhan 🥹

    • @sheilm819
      @sheilm819 Месяц назад

      @@Mzidole 😂😂😂

  • @RoseAchungo-lo9pn
    @RoseAchungo-lo9pn Месяц назад +1

    Hongera Kwa anae isoma message hii kaz Bora waingizaj wetu, mungu atusaidie tuvuke mwaka salama, 2025 uwe mwaka wa mafanikio😊🙏

  • @maurine3503
    @maurine3503 Месяц назад +1

    Mzidole nakupenda bure❤❤❤

  • @GeofreyModest-e3v
    @GeofreyModest-e3v Месяц назад +1

    Sawa imeenda hiyoooo

  • @dantemmojaTv9904
    @dantemmojaTv9904 14 дней назад +1

    Mafans wa mwasi tulitiane tugrow pamoja 🎉🎉

  • @amohmudy1521
    @amohmudy1521 Месяц назад +2

    Mzidole mzidole😅

  • @AnaAna-rc7mh
    @AnaAna-rc7mh Месяц назад +1

    Weee mzidole hongera zenu😂😂😂😂

  • @VasilinOmar-td7eg
    @VasilinOmar-td7eg Месяц назад +1

    Mzidole Mzidole Mzidole safi sana kaz nzuri

  • @Dianamkenda
    @Dianamkenda Месяц назад +1

    Mwasi na wenzako hongereni kwa kazi nzuri ❤

  • @ShafiiMahamoud
    @ShafiiMahamoud Месяц назад +1

    Ila mzidole 😂🙌

  • @JoyceJoseph-k8v
    @JoyceJoseph-k8v Месяц назад +1

    Mzidole uyooooooooo watu kecha ✌️😂😂😂😂😂😂

  • @chilomswazi3056
    @chilomswazi3056 Месяц назад +1

    As long as kuna mzidole, basi moto uwake 🔥🔥 😅😅

  •  Месяц назад

    Muko vzr san Mashallah sema badilisheni stor sio kila mamb y uchaw mtatuhamasisha nn watazamaj mbn ctor zipo nying t ss ndo mashabk wenyewe fanyieni kaz

  • @josephndunda-h7k
    @josephndunda-h7k 12 дней назад

    Hongera xna nkiona mbwela sengo na mwasi najua kazi ni poa🎉🎉

  • @joufflyngmutangaza306
    @joufflyngmutangaza306 Месяц назад +1

    Félicitations la dada 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ShabanJuma-ol1ud
    @ShabanJuma-ol1ud 28 дней назад

    Yaaaaan movie zetu zimekuwa Bora sana

  • @benardmukani902
    @benardmukani902 17 дней назад

    Jamani ii team mates sana ,,filamu zenu nzuri🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪

  • @rubyrung8808
    @rubyrung8808 Месяц назад +1

    Mzidole raise wawanyonge😂😂😂😂

  • @ashamohamed923
    @ashamohamed923 Месяц назад +2

    Mzidole Hilo shati tosha baba😂

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa Месяц назад

    Safi sana kwa kazi yenu nzuri sana 🎉🎉❤❤

  • @Official-naynah-tz
    @Official-naynah-tz Месяц назад +2

    🎉🎉🎉❤❤❤❤ no 1

  • @JAMEELAJAMEELA-u1l
    @JAMEELAJAMEELA-u1l Месяц назад +1

    mzidole hongela kakaangu kwakujituma

  • @AishaNdegwa-wo9ov
    @AishaNdegwa-wo9ov Месяц назад +1

    Ila mzindolee😂😂

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya Месяц назад +2

    Duuuh hii movie nikali kama Ile ya mpangaji😅

  • @Kaske-bleumartin
    @Kaske-bleumartin Месяц назад +2

    Kazi zuri

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh Месяц назад

    Mzidole unajuwa sana bro nilianza kukukubali kweny KUFULI

  • @FaridahAtieno
    @FaridahAtieno Месяц назад

    Mwasi,short hair looks good on u❤❤❤ unapendeza sana na nywele fupi

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 Месяц назад

    Kaz nzur ila mjitahid inapo ishia yianzie hapo hapo ❤❤🇰🇪

  • @oskasesekalemaofficiel
    @oskasesekalemaofficiel Месяц назад +1

    Muzidole muzidole muzidole naipenda iyi

  • @samiaabdilatif
    @samiaabdilatif Месяц назад +1

    Mzidole badilisha nguo basi😂

  • @issamtolwa
    @issamtolwa Месяц назад +1

    mzidole unajua sana brother

  • @JaphetKarisa-d4g
    @JaphetKarisa-d4g 26 дней назад

    😂😂😂😂umeona hawaa nguvu alizo nazo mzidole humuez hata kwa daw😂😂😂😂

  • @KevooMpl
    @KevooMpl Месяц назад +16

    Mdada akigusa hii comment namtongozah❤😂

    • @KhadijaNyawa
      @KhadijaNyawa Месяц назад

      😂😂😂Huyo

    • @KevooMpl
      @KevooMpl Месяц назад

      @KhadijaNyawa siwez ish bila ww

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m Месяц назад +1

      Sema ulikua wataka iguswe haya nitngoze nimefika😂😂😂

    • @KevooMpl
      @KevooMpl Месяц назад +1

      @MwanalimaMwalimu-c4m nakupenda siwez ish bila ww

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m Месяц назад +1

      @@KevooMpl saii unaishi na nani kama kutongozwa nihivyo acha ikae😂😂😂😂

  • @MshaniiKijicho
    @MshaniiKijicho Месяц назад +1

    Sawia na mpangaji naomba mbwela awe ndio master w uchawi lakini ameficha kucha kw sababu y mafunzo aliyo pewa ..itapendeza sana mbwela akiwashenyenta wachawi wote kama master aliye kuwa underated...hii n ubunifu nimewapa free of charge

  • @KidoaSammy
    @KidoaSammy Месяц назад

    Lkn mwasi ni cute gal mashallah 💖 😍

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa Месяц назад

    Mzidole hongera🎉🎉🎉❤

  • @CollinsOdhiambo-x9c
    @CollinsOdhiambo-x9c Месяц назад +3

    Mzidole kiboko za wachawi na majini

  • @BahatiAli-hl4je
    @BahatiAli-hl4je Месяц назад

    Hongereni Sanaa Kaz nzur team kakoso Og❤❤❤🎉

  • @salimchivunde2477
    @salimchivunde2477 Месяц назад

    Ila Mzidole bana,unaeza bba keep the 🔥 burning

  • @raymondimboywa9698
    @raymondimboywa9698 Месяц назад +1

    Mzidole kipaji unacho kaka wakati nliona team mbwela nkajuwa filamu itanoga mauwa nishawapea🎉254🇰🇪🙏

  • @Lastborn-o2u
    @Lastborn-o2u Месяц назад +1

    😂😂😂ivi hii shati ya mzidole mbona anaipenda ivi au ndo inampa nguvu za kichawi naulizia jirani yangu

  • @Ruqaiyaissa-g3x
    @Ruqaiyaissa-g3x Месяц назад

    Kazi nzur jaaman nawapenda wote

  • @butchaureprisioneiro5873
    @butchaureprisioneiro5873 Месяц назад +2

    Ndani ya dakika 7 niko pamoja nanyi, From Mozambique Terra de Boa g3nte

  • @anethkidai1060
    @anethkidai1060 Месяц назад +2

    Siku hizi imekuwa bongo wizad sio bongo movie tena 😅😅

  • @MariamMmm-t3d
    @MariamMmm-t3d Месяц назад +1

    🇧🇮mambo 🔥🔥

  • @JacobKithuka
    @JacobKithuka Месяц назад

    mzidole mzidole 🎉🎉❤❤❤

  • @TwalibuMohammed-pm2by
    @TwalibuMohammed-pm2by Месяц назад

    mmmmm mzidole mzidole mzidole watu kecha wakasafi 😂😂😂😂😂😂😂👋👋👋👋👋

  • @RuthKangaria
    @RuthKangaria Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉maua ya mzidoleee mpe Hawa anachotaka