Kuna tatizo kubwa hukusema mchango wa ibn wahab na ibn saud katika kuangusha Ottoman empire,baada sharif husen kukataa kuikabidhi palestina kwa wazayuni, Na ndio chanzo cha kuzaliwa uwahabi na utawala wa Saudi Arabia.
Makkah na Madina zimeshaenda kwani Uingereza aliwapa support mawahabi na ibn saud kushinda vita dhidi ya ottoman na kabila la Al Rashidiya ,kuweza kukamata Makka na Madina.
Mashaallah tabarakallah tunashukuru Kwa historia japo inasikitisha
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Nakukubali sheh
Kuna tatizo kubwa hukusema mchango wa ibn wahab na ibn saud katika kuangusha Ottoman empire,baada sharif husen kukataa kuikabidhi palestina kwa wazayuni,
Na ndio chanzo cha kuzaliwa uwahabi na utawala wa Saudi Arabia.
Makkah na Madina zimeshaenda kwani Uingereza aliwapa support mawahabi na ibn saud kushinda vita dhidi ya ottoman na kabila la Al Rashidiya ,kuweza kukamata Makka na Madina.
Duh
Akhuy Sado Faraji hawa mawahabi ni watu gani?