Matokeo: Ipswich 1-1 Man Utd | Onana katubeba | Amorim ana kitu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 9

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 16 дней назад +1

    Imani yangu iko kwa Van stro

  • @Avil_tz
    @Avil_tz 16 дней назад +2

    Wachezaji wa Manchester united wamedekezwa sana iyo ndio shida kubwa utoto mwingi

  • @nadirabdulrahman5400
    @nadirabdulrahman5400 16 дней назад +1

    Timu imecheza vzr snaa kipindi cha pili tafauti na kipindi cha mwanzo tatizo letu united hatuna finishing nzri kule mbele rashford anacheza kama anaumwa hajitoi kii timu

  • @jumakhamis4077
    @jumakhamis4077 16 дней назад +1

    Mbele kule hatuna wafungaji ni lazima sana atafutwe mtu sahihi ,Amad safi sana hata spidi yake ipo safi sana

  • @AlaitoreMollel
    @AlaitoreMollel 16 дней назад +1

    We still searching but at list now we have lights

  • @jumakhamis4077
    @jumakhamis4077 16 дней назад +1

    Ganarco angeondoa utoto wa kujiangusha tungepata ushindi pongezi kubwa sana Andre Onana alikuwa bingwa wa mchezo huo , pia tunapoteza sana mipira ,urgate na casmilo ndiyo wanafaa kuanza pale

  • @Abdulrahzan
    @Abdulrahzan 16 дней назад +1

    Hata afadhali Ruud angeendelea tu

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 16 дней назад +1

    Nina imani na amorin

  • @shijamohamed369
    @shijamohamed369 16 дней назад +1

    Wachambuzi wetu mko bias, hamuongelei kiufumdi wapinzani wetu, unachofanya nikutajataja majina tu, bila mbinu dhiidi ya wapinzani