Tupongezane, tunahitaji pass accuracy namba 6,8,10,wapinzani walisoma kubwa watoa pasi wazuri ni zimbwe,kapombe,chemalone, na hamza wakaa nao kipindi Cha pili tulishindwa kufosi kama kipindi Cha kwanza ,engeliwezekana kama no. 6,8,10 wangelitumia mwanya huo nao Kwa kufosi bila kupoteza pasi ,naomba wafanyie mazoezi jambo Hilo, tutashinda ,ubaya ubwela
Mchezaji Aina ya Chama anahitajika Sana Simba,timu inapo approach kwenye zone ya 3 inakosa umakini kabisa,kifupi Simba bado.Sijui ingekuaje Club Bingwa..Ifikie magoli ya penati yawe ya ziada,hata kwenye ligi ya NBC.
Camara hana mpinzn wallah nimeshangilia mpk machoz jmn camara leo umetuokoa.umeipambania timu sana we kaka mungu akuepushe na majerah ,pamoj na wachezaji wote mumejua kutup raha Note:ww uliyochez vizur mbon umepigwa tobo😂😂
Mimi ni stability kindaki2 wa simba.sijafurahishwa na uchezaji wa simba.pasi hazifiki.wananyang'anywa mpira kirahisi .Simba Bado sana .kwa uchezaji huuu.????hivi tukienda kwao itakuwaje
Mimi nafikri simba tuna jambo la kufanya,ingawaje tumefunga ila tusipobadilika na kutumia nafasi vizuri tutateseka baadae,huyu jamaa siyo wa kudharau ukienda kichwa anakupasua aisee,hivyo wachezaji wetu hasa masitraika warekebishe mambo Fulani,
Fadru hatujapenda anavyofanya Chasambi na Kibu.Uchoyo hausaidii.Ushindi ni wanasimba wote.Waache tabia hiyo.Pili mbona unapanga list ya hovyoo.Chasambi akae nje .Unawaacha nje ateba na mavambo kipindi Cha kwanza.Tungefungwa Leo.Ungekula Cha mtema kuni
Uko vizuri sana semaji ulinzi wa mungu uwe juu yako muda wote
Hongera san semaji leo nimejua kufurah simba ubay ubwela ❤❤❤❤❤❤
Hongera Simba kazi nzuri.
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉kwa msemaji na simba yangu
Huyo ndo camara kipa bora ametuokoa wana simba mungu akupe afya tena na tena amina
❤❤❤❤❤❤
Yaan Simba sport club penda wew sana❤❤❤❤
Simba❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera sana semaji la CAF hakuna msemaji mwengine katika nchi hii anaeweza kusimama na Ahmed Aliy semaji la CAF Simba nguvu Moja ubaya ubwela
🎉🎉🎉🎉pokea maua yako wewe nimgeni rasmi wachezaji wamekuheshimisha changamka❤❤❤❤❤
Napenda sana unavyoongea auropoki, keep it up Ahmed
Mambo safi Asante Mungu🙏
Nimefurahi Sana Leo Simba Sports Club Tumeshinda Ubaya Ubwela 🦁🦁🦁
Penat ya bravos haikuwa sahihi bravos walipewa tu mungu ameonyesha haki yetu simba
Leo furaha tu wanasimba ooyyyyoooo❤❤❤❤❤❤
One love ❤️ 😍 💖 ❣️ 💕 simba
❤❤❤❤❤ nguvu moko unyamani
Michuano ya Africa muimu points 3 na kuzitumia nafasi zinazo patikana, asante Mnyama #Nguvumoja
Wanaume wakweli simba nguvu moja ❤❤❤
Kama Kuna anaeumia goli la penati mbona wao Jana wameishia kumbiakimbia na kufungwa goli mbili saafi
Madunduka ovyo
ONGELENI WACHEZAJI PAMOJA NA BENCH LA UFUNDI BILA KUSAHAU VIONGOZO WOTE WA SIMBA SPORT CLUN
UBAYA UBWELA ❤❤❤ SIMBA SC
#NGUVUMOJA
Saf sana semajii af vp leo sauti kama homa inakusumbua semajii la dunia
Tupongezane, tunahitaji pass accuracy namba 6,8,10,wapinzani walisoma kubwa watoa pasi wazuri ni zimbwe,kapombe,chemalone, na hamza wakaa nao kipindi Cha pili tulishindwa kufosi kama kipindi Cha kwanza ,engeliwezekana kama no. 6,8,10 wangelitumia mwanya huo nao Kwa kufosi bila kupoteza pasi ,naomba wafanyie mazoezi jambo Hilo, tutashinda ,ubaya ubwela
❤️ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪 mgeni Rasmi kaja na bahati zake
❤❤❤❤ simba
Asante sana mungu
Hiz mechi kuna namna ya kuzicheza, ukiingia kimihemko unaweza ukalambwa vibaya kama watani jana😅 point 3 muhimu👏👏🔥🔥🔥🦁🦁💪
Kabisa aisee na hii Leo simba sc club imecheza kimkakati vibaya mno kwa kawaida tu hii game unafungwa au sare
Kweli kaka semajiii sisi tunataka ushid to ❤❤❤❤❤
Mgeni wetu una bayaaaa,, auna gundu baba ,SI wenzangu namie😂😂😂🤸🤸
Mnyamaa 🙌👌
Mhamasishaji Hapa pana mfaaa tuangalie HILO
Wafungaji wajitahidi kulenga lango . Kupiga mpira nje ya lango MPIGAJI KILAAIKU HAWAJILAU. NIKOSA KUBWA.
PASI HAIFIKI IWEKWE WAZI KWENYE MAZOEZI KOSA KUBWA
KUZIDI ( offside) haitakiwi. Inauwa mwenendo wa TIMU.
Ahhemed 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Ubaya Ubwelaaaaaaa
Nipate tu mkaka akanipelekee moto leo maana sio kwa raha hiz za Simba😀🙈 ubaya ubwelaaa🔥🔥🦁💪
Ubaya ubwela 🔥🔥🔥
Mchezaji Aina ya Chama anahitajika Sana Simba,timu inapo approach kwenye zone ya 3 inakosa umakini kabisa,kifupi Simba bado.Sijui ingekuaje Club Bingwa..Ifikie magoli ya penati yawe ya ziada,hata kwenye ligi ya NBC.
Mwlm wetu aache zalau ateba na awesome game ya Leo walistahili kuanza.hata Debora.
Camara hana mpinzn wallah nimeshangilia mpk machoz jmn camara leo umetuokoa.umeipambania timu sana we kaka mungu akuepushe na majerah ,pamoj na wachezaji wote mumejua kutup raha
Note:ww uliyochez vizur mbon umepigwa tobo😂😂
Camala bonge la kolikipa
Achaaaa tyuuuuuuu
ASANTENI SANA WANASIMBA HONGERENI WACHEZSJI WA SIMBA MUNGU AWAPE WEPESI KILA TIMU ISHINDE.
Tumefurahia ushindi.
Ila tuboreshe safu ya ushambuliaji.
Spider man Mussa Camara hakukosewa kupewa jina hilo ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤
Uwe msemaji wa taifa piah bruh
Sharout xanaah 😂😂😂
Well done my team ❤❤
Mimi ni stability kindaki2 wa simba.sijafurahishwa na uchezaji wa simba.pasi hazifiki.wananyang'anywa mpira kirahisi .Simba
Bado sana .kwa uchezaji huuu.????hivi tukienda kwao itakuwaje
Mnyamaaaaaaaaaa
Asante ata kidogo kinatosha japo kipindi cha pili 2mecheza chin sana simba nguvu moja
❤❤❤ubaya ubwele nguvu moja
Viva Kamara viva
Samba nguvu moja
Hatujivunii kushinda maana ndo kawaida yetu sisi wa ndo mabingwa,wa Africa mzimaaa.#UBAYA UBWELA.♥️♥️🔥
Wapi nyie amfiki mbali ngoja tuone
@@AgnesEphraim-jw6dvdua la kuku
Very nice
🎉🎉🎉ubaya ubwela ❤❤
Tushuku mungu.kwa.yote..simba.nguvu.moja
Hii ndio timu itakayobeba ubingwa hamtoamini❤❤❤
Simba big up saana
Semaji la Caf
Nyuma mwiko waliloga sana walitaka tufanane lakini ashukuliwe mungu ,na hao wakitumia uwanja Kisha nasi tucheze lazima mechi iwe ngumu
Ni kweli hata mimi nimeza vivyo hivyo
Safi sana unategemea USHINDI na siyo magoli
Semaj ra dunia
Ubaya ubwela ❤❤❤
wewe ndo semaji letu hapa bongo
Tunataka wajue kwamba sisi ndo tumeanza hivo
Kocha asijalibu wachezaji kwenye mechi muhimu nibora watokee benchi
ubaya ubwela ❤🎉🎉🎉🎉
No one like u I'm appreciate you
simba nguvu moja
❤❤❤❤simba
Ubaya ubwela Nguvu mojaaaaa
tumeshinda ila tumeonesha mazaifu ila yote kwa yote tumeshinda
KOCHA KAZINGUA SANA 😢😢😢KAIDHARAU MECHI
Kufunga goli la penalty cyo kitu rahisiiii😅👏👏👏👏🦁
Semaji letu 🎉🎉🎉🎉🎉
Points 3 muhimu sana kwasimba
Tanzania tunajivunia kuwa na semaji lenye akili ya hali yajuu simwingine ni Semaji la caf ahmed aly
Tumeshinda lakini kikosi hakikuwa vizuri Hali hii haitakiwi jamani
🎉
Mimi nafikri simba tuna jambo la kufanya,ingawaje tumefunga ila tusipobadilika na kutumia nafasi vizuri tutateseka baadae,huyu jamaa siyo wa kudharau ukienda kichwa anakupasua aisee,hivyo wachezaji wetu hasa masitraika warekebishe mambo Fulani,
Alhamdulilah
Semaji la Nchi,Semaji Pendwa,Semaji la MNYAMAA…Tunakupenda Sana.!
Guud
Tuendako Msemaji Mkuu awe KOCHA!
We should improve to play more than today ❤❤love Simba 🦁😊
Mostly striking force need to improve more
Lakini ni jambo muhimu tumeshinda hongera
Hivi kwa nini wasemaji wasiige kwa semaji la caf?
❤❤❤❤❤
Ongea kwa madaha tuko nyuma yako tunakulinda 😢😮🎉🎉😊
Fadru hatujapenda anavyofanya Chasambi na Kibu.Uchoyo hausaidii.Ushindi ni wanasimba wote.Waache tabia hiyo.Pili mbona unapanga list ya hovyoo.Chasambi akae nje .Unawaacha nje ateba na mavambo kipindi Cha kwanza.Tungefungwa Leo.Ungekula Cha mtema kuni
Yaan hayo ndo maneno
Camara mpizawadi kwa sababu asinge kuwa yeyey sijui
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
We Will Babaaaaa
🎉
Huna baya semaji la caf
Kiukweli kijana anajua kuongea sio km yule waupande wapili
Tunaendelea tulipo ishia
Jeahi la mtu mojà semaji letu
Utopolo wanasema bila Camara tusingetoboa. Wao na Diara wao wametobolewa? 😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
Kocha asijaribu wachezaji weka kikosi Cha nguvu mwanzo mwisho
wacheza hawana baya wen ye wivu watajua wenyewe
Hongera Bravos kazeni buti hawa makolo mkiweka jitihada mnawakata mkia na kuwanyonga kabisa.Yanga bingwa😂
Al ahly 2 - ngaya 0
Ubaya ubwela Kwa sanaa
Simba Ina inanguruma wanyonge tupisheni tuwape dz👹👹👹👹