Kanisa la kweli la Mingu lipo Duniani na litakuwepo hadi mwisho wa Dunia,Waefeso 3:10 Vigezo vilivyotumika katika kanisa pale Edeni, kanisa pale Jangwani na hata kanisa wakati wa Yesu ni lilelile, vigezo vyake ni hivi 1. LAZIMA LIWE NA IMANI YA YESU 2.LAZIMA LISHIKE AMRI ZA MUNGU.Kabla ya Yesu kuja watu walielekezwa kuwa na imani kwa Mungu Yohana14:1, Wakati wa siku za mwisho upendo wa Mungu na ndugu upo hapa Ufunuo14:12. Upendo unaelezewa na amri za MUNGU Mathayo 22:37-40. Kama una upendo kwelili kweli hutavunja amri zinazomuhusu Mungu Kutoka 20:1-11, kama una upendo kwelikweli hutavunja amri za mahusiano na wanadamu Kutoka 20:12-17,. hata hivyo kwa asili mwanadamu hawezi kuwa na upendo bila kuwa na imani ya Yesu Waruni 8:3-4 NENO KUU Yohana 14:15
mkinipenda mtazishika amri zangu. Yohana 14:15 Saidia wahitaji Matayo 25:31-46 Tunza Sabato uwe wa Mungu Ebrania 4:8,9,10 Inamaana bila hivyo huwezi kuwa wa Mubgu Mbinguni watakaoenda ni wale walioandaliwa watunzao amri kumi za Mungu sio kupiga chenga. Hatuendi Kumtii Mungu mbinguni, tutaenda kufurahi na kutawala Naya, kutii ni hapa duniani ili tufae kwenda. Mkinipenda mtazishika amri zangu, hamtaabudu sanamu, mtawajali wa Kwenu, mtawajali wahitaji, mtawaheshimu wazazi wenu, hamtalitaja jina la Bwana bure, hamtaua, hamtazini, hamtaiba, hamtasema uongo, hamtatamani, mtaitunza SABATO, nambinguni ni sabato kwenda mbele na hii Ndiyo amri Pekee ya milele na haitaisha milele.
Kwaiyo hatiuabudu siku yaani jumamosi Yelemia 31:31-33 Mungu amefanya agano jipya na ameweka sheria zake mioyoni mwetu tulio wake Bwana Yesu . wagalatia 4:3-7 1wakoritho 16:1- hapo Mungu anathibitisha siku nyingine ambayo ameichagua ambayo ni jumapili.
Pia Mungu Yesu Kiristo anajidihilisha kwao walio wake Marko 16:15-18 Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubili injiri kwa kila kiumbe na ishara hizi zitafuatana nao waniaminio kwajina langu YESU watatoa pepo, wataweka mikono yao juu ya wagonjwa nao watapata afya... Yohana 17:6 jina lako nimewadhihilishia wao ulionipa na ulimwengu umewachukia. ukiangalia hapo kati ya dini zote ni walokole wanaubili injiri na kupoza magojwa pia ndio wanaochukiwa kwaiyo makanisa yoote ya kiroho yaani ya kipentekoste ndiyo dini ya kweli yamejaa roho wa Mungu.
Biblia iko wazi,acha kutumia maneno mengi kuaminisha watu kuwa kanisa la Mungu lazma et mtumishi wake asiugue,anaweza kujiponya na magonjwa mbali,lah!.hata paulo aliugua lakini pamoja na kuomba sana aliambiwa ,neema yangu yakutosha.Kanisa la kweli lililobaki duniani linapatikana ufunuo 12:17,soma utaelewa na sio hayo maelezo yenu
Dunia imetiwa giza na wawaongozao, siku hizi kuna biblia zenye maneno ya wanadamu na sio zilizoandikwa kutoka kwa watiwa mafuta wa bwana. Naogopa sana kuendelea kusikiliza. Kwa anayetaka ukweli wa Mungu asome biblia tu. Mungu hajipingi kwenye agano la kale wala jipya msipoteze watu Mungu anawaona na hata nyie mnajua ukweli nyuma ya pazia. Mungu awabariki.
Kuwajali wajane na yatima sio dini bali ni mionhoni mwa matendo mema (ibada) anauoyaridhia Allah (Mungu Mola Muumba) kuwajali wajane na yatima kunaweza kufanywa hata na asokuwa na dini (Mpagani/Kafiri), jambazi, mziniifu, mchawi nk. Dini ya kweli kumuabudu Allah (Mungu Mola Muumba), ibada , tegemezi namaombi yote/Sala zote yamweleke Mungu Mola Muumba tu sio kuabudu viumbe. Yesu na Maria ni viumbe hivyo hawapasewi kutuzwa , kumbwa na kuabudiwa kuliko Mungu Mola Muumba. Wacheni kufuuru/shirki
Ukiristo umenzishwa na Paulo (matendo 11:24-27) Hakuna mtume wa Mungu aliye tumwa kuhubiri ukiristo,Yesu hatambui ukiristo wala hana habar nao bora nilisilimu ili kuepuka Moto
ni vyema kusimama ktk imani maana hata mhubiri huyu nae hana ukweli bali nae yupo ktk mawindo tu. sio wote wasemao bwana bwana. hawa ni manabii WA uongo Tu.
From Google Translate: How we can recognize the Church of God in accordance with the teachings of the Bible . Not a secret that there are many churches in the world and all claim to be the true church of God though their teachings are still very different and inconsistent with the teachings of the Bible . Do we have the ability to find and know the true church of God ?
First of all a denomination is not a church of Christ and you can't organise a church which Christ is the head ,ndiposa ukisoma katika John 10,kisha kutakuako kikundi kimoja na mchungaji mmoja,He said,'destroy the temple and I'll make it in 3days ,He died and rose up on the third day to fulfill the scriptures of the new testament church ,if you read from the book of Ephesus 2 says,'Ye are the holy temple of God,sisi wenyewe ndio makuhani wa Mungu ,na tena sisi ndio Mawr yaliyo hai Bwana Yesu akiwa in jiwe kuu ka pembeni ..
Kama alivyokua anasema mtakatifu John Cardinal Henry Newman: "To be strong in history is to cease to be protestant"!! Watu wengi hawapendi historia kwa sababu hawataki kujua ukweli! Kanisa la kweli ni hili: Moja,Takatifu,Katoliki na la Mitume. Kanisa lililoanzishwa na Bwana wetu Yesu Kristu kupitia mitume wake. "Extra Ecclesiam [Catholicam],nula salus": Nje ya Kanisa [Katoliki],hakuna wokovu🇻🇦🇻🇦🇻🇦.Asanteni nyote.
Yesu (Issa) hakuwacha Ukristo wala Kanisa, Yesu alikuwa anasli ktk Sinagogu (Misikiti ya Wayahudi)na Wale Yesu hajawacha Biblia! Biblua imetungwa na watu (haikutngwa na Mungu/sikitabu cha Mungu) rejea Kitabu cha MIKA- 5 utawaona walotunga Biblia na wanasema "haikuwa kazi nyepesi kuandika Biblia hususan kubuni/kutunga majina ya vitu nk Hivi kweli Mungu anapoamuwa kutoa Wahyi/Ufunuo kwa mtume/nabii itakuwa kazi mpaka wafikirie na kutunga/muhimu watu wenyewe?! Yesu(Issa) kapewa Kitabu. Je Biblia kapewa mtume na nabii gani?!
Kanisa la kweli la Mingu lipo Duniani na litakuwepo hadi mwisho wa Dunia,Waefeso 3:10 Vigezo vilivyotumika katika kanisa pale Edeni, kanisa pale Jangwani na hata kanisa wakati wa Yesu ni lilelile, vigezo vyake ni hivi 1. LAZIMA LIWE NA IMANI YA YESU 2.LAZIMA LISHIKE AMRI ZA MUNGU.Kabla ya Yesu kuja watu walielekezwa kuwa na imani kwa Mungu Yohana14:1, Wakati wa siku za mwisho upendo wa Mungu na ndugu upo hapa Ufunuo14:12. Upendo unaelezewa na amri za MUNGU Mathayo 22:37-40. Kama una upendo kwelili kweli hutavunja amri zinazomuhusu Mungu Kutoka 20:1-11, kama una upendo kwelikweli hutavunja amri za mahusiano na wanadamu Kutoka 20:12-17,. hata hivyo kwa asili mwanadamu hawezi kuwa na upendo bila kuwa na imani ya Yesu Waruni 8:3-4 NENO KUU Yohana 14:15
mkinipenda mtazishika amri zangu. Yohana 14:15
Saidia wahitaji
Matayo 25:31-46
Tunza Sabato uwe wa Mungu
Ebrania 4:8,9,10 Inamaana bila hivyo huwezi kuwa wa Mubgu
Mbinguni watakaoenda ni wale walioandaliwa watunzao amri kumi za Mungu sio kupiga chenga. Hatuendi Kumtii Mungu mbinguni, tutaenda kufurahi na kutawala Naya, kutii ni hapa duniani ili tufae kwenda. Mkinipenda mtazishika amri zangu, hamtaabudu sanamu, mtawajali wa Kwenu, mtawajali wahitaji, mtawaheshimu wazazi wenu, hamtalitaja jina la Bwana bure, hamtaua, hamtazini, hamtaiba, hamtasema uongo, hamtatamani, mtaitunza SABATO, nambinguni ni sabato kwenda mbele na hii Ndiyo amri Pekee ya milele na haitaisha milele.
Kasome walumi 8:1 tulio ndani ya Yesu hatuukumiwi kwa sheria bali Kristo ametuweka huru
Kwaiyo hatiuabudu siku yaani jumamosi Yelemia 31:31-33 Mungu amefanya agano jipya na ameweka sheria zake mioyoni mwetu tulio wake Bwana Yesu . wagalatia 4:3-7 1wakoritho 16:1- hapo Mungu anathibitisha siku nyingine ambayo ameichagua ambayo ni jumapili.
Pia Mungu Yesu Kiristo anajidihilisha kwao walio wake Marko 16:15-18 Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubili injiri kwa kila kiumbe na ishara hizi zitafuatana nao waniaminio kwajina langu YESU watatoa pepo, wataweka mikono yao juu ya wagonjwa nao watapata afya... Yohana 17:6 jina lako nimewadhihilishia wao ulionipa na ulimwengu umewachukia. ukiangalia hapo kati ya dini zote ni walokole wanaubili injiri na kupoza magojwa pia ndio wanaochukiwa kwaiyo makanisa yoote ya kiroho yaani ya kipentekoste ndiyo dini ya kweli yamejaa roho wa Mungu.
Biblia iko wazi,acha kutumia maneno mengi kuaminisha watu kuwa kanisa la Mungu lazma et mtumishi wake asiugue,anaweza kujiponya na magonjwa mbali,lah!.hata paulo aliugua lakini pamoja na kuomba sana aliambiwa ,neema yangu yakutosha.Kanisa la kweli lililobaki duniani linapatikana ufunuo 12:17,soma utaelewa na sio hayo maelezo yenu
Dunia imetiwa giza na wawaongozao, siku hizi kuna biblia zenye maneno ya wanadamu na sio zilizoandikwa kutoka kwa watiwa mafuta wa bwana. Naogopa sana kuendelea kusikiliza. Kwa anayetaka ukweli wa Mungu asome biblia tu. Mungu hajipingi kwenye agano la kale wala jipya msipoteze watu Mungu anawaona na hata nyie mnajua ukweli nyuma ya pazia. Mungu awabariki.
Dini ilyosafi ni kuwasaidia yatima, wajane na kujilinda usichafuliwe na dunia hii
be blessed those who hear these words.
Kuwajali wajane na yatima sio dini bali ni mionhoni mwa matendo mema (ibada) anauoyaridhia Allah (Mungu Mola Muumba) kuwajali wajane na yatima kunaweza kufanywa hata na asokuwa na dini (Mpagani/Kafiri), jambazi, mziniifu, mchawi nk.
Dini ya kweli kumuabudu Allah (Mungu Mola Muumba), ibada , tegemezi namaombi yote/Sala zote yamweleke Mungu Mola Muumba tu sio kuabudu viumbe.
Yesu na Maria ni viumbe hivyo hawapasewi kutuzwa , kumbwa na kuabudiwa kuliko Mungu Mola Muumba.
Wacheni kufuuru/shirki
Amena watumishi
Ukiristo umenzishwa na Paulo (matendo 11:24-27) Hakuna mtume wa Mungu aliye tumwa kuhubiri ukiristo,Yesu hatambui ukiristo wala hana habar nao bora nilisilimu ili kuepuka Moto
Umepotea
Kasome marko 16:15-18 Yesu alitwambia tukaihubili injiri kwa kila kiumbe uliesilimu umeenda jehanamu mapema
MUNGU AKUBARIKI SANA
Shukrani iwe kwa Mwenyezi Mungu. Mungu akubariki pia kaka
Hi
ni vyema kusimama ktk imani maana hata mhubiri huyu nae hana ukweli bali nae yupo ktk mawindo tu. sio wote wasemao bwana bwana. hawa ni manabii WA uongo Tu.
ukitaka kujua ukweli kasome mwenyewe Marko 15:42, Luka 23:50-56, Isaya 66:22-23, waebrania 4:8-11, kutoka 20- 8-11.
Asante
MM NIMEAMUA KUANZA KUSOMA BIBILIA KUANZIA PAGE ONE HADI MWISHO NENO KWA NENO
From Google Translate: How we can recognize the Church of God in accordance with the teachings of the Bible . Not a secret that there are many churches in the world and all claim to be the true church of God though their teachings are still very different and inconsistent with the teachings of the Bible . Do we have the ability to find and know the true church of God ?
First of all a denomination is not a church of Christ and you can't organise a church which Christ is the head ,ndiposa ukisoma katika John 10,kisha kutakuako kikundi kimoja na mchungaji mmoja,He said,'destroy the temple and I'll make it in 3days ,He died and rose up on the third day to fulfill the scriptures of the new testament church ,if you read from the book of Ephesus 2 says,'Ye are the holy temple of God,sisi wenyewe ndio makuhani wa Mungu ,na tena sisi ndio Mawr yaliyo hai Bwana Yesu akiwa in jiwe kuu ka pembeni ..
3333
Kama alivyokua anasema mtakatifu John Cardinal Henry Newman: "To be strong in history is to cease to be protestant"!!
Watu wengi hawapendi historia kwa sababu hawataki kujua ukweli!
Kanisa la kweli ni hili: Moja,Takatifu,Katoliki na la Mitume.
Kanisa lililoanzishwa na Bwana wetu Yesu Kristu kupitia mitume wake.
"Extra Ecclesiam [Catholicam],nula salus": Nje ya Kanisa [Katoliki],hakuna wokovu🇻🇦🇻🇦🇻🇦.Asanteni nyote.
kasome kuhusu habari za john wycliffe utapata jibu.
naomba namba za mawasiliano
Tafadhali wasiliana nami kupitia email hii: idhaayaukweli@gmail.com
Nisaidie address please!