Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh sheikh shukran kwa kutupa zawadi lakin kichwa cha habar kinasema ukiswaki rakaa nne lakin hukutupa ufafanyzi juu ya hio swala unaiswali vipi. Shukran
Naaam rakaa ya kwanza baada Fatha utasoma Ayah hio x 111 ya pili x 112 ya tatu x 113 ya nne x 114 hapo utakua umepata idadi kamili ya 450 kwa haja yoyote ndani ya siku utaona maajabu
JazakaAllahu khair
Aaamin
Shukran sana Sharif wangu Baharil hurufi
Aaamin
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatu..Sheikh hiyo rakaa nne unaswali nne kwa pamoja ama mbili mbili?
Allah akubaariq shekhe wetu.
Aaamin kwa sote
jazakallahu Kheri shekh wetu
Afuan
Shukuran
Afuan
maasha Allah
Shukran sana
Shekh umeongea maďa tofauti na kichwa cha habari mbona
waaleikum salaam warahmatullahi wabarakatu..shukran sheikh ila kwa idadi yakuisoma hiyo Hasbunallah hujataja.
Mara 450 au 473
@@Shekhahmedbawazirsawa shukran jazakallah kheir
kwa muda gani ukifanya unapata majibu
Shukran sheikh nå Allah akujaze kheri, AMEEN!
Afuan habib