Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Sauti mnazengua
Maboresho yanatakiwa especially kwenye sound ya background iko juu, ila kipindi kiko poa sana
Maongezi kama haya hata yaende wiki nzima huwezi choka kusikiliza. BigTime kwenu Gego master, K Mapacha na Mgeni rasmi Stereo SingaSinga Oii
Mgosi from SA Pretoria this is amazing interview shout out sana but mapungufu ni back ground sound iko juu sana mazee 🎉
Tunataka vitu ka iz mazee, saf sana bro Gego na Mapacha,
Sound track iko juu vocal ya kay iko chini halafu ishu kama hii ni ndogo gego vipi man
Ukivaa head phone Beat lipo juu zaidi ya maongezi master
❤
Mdogo mdogo tutkuwa na radio yetu kwa ajili ya utamaduni wetu HIP HOP
Napenda sana maongezi yenu cz mm napenda sana hip hop
Akili 100 misichoke kufanya hizi content tutawasupport sana asili 100
Halafu pia kuna mwangwi (echo)ebu shughulikia mbona hii ishu ndogo tu rasta.
Enjoy