SARADINI: NIMEKULA NYAMA ZA WATU HADI NAJUTA,,,MUNGU ANISAMEHE SANA,,,NIMEOKOKA......

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 36

  • @johnbernad829
    @johnbernad829 2 года назад +3

    Halellujah hongera sana sara kwa kuchagua fungu bora Mungu azidi kukuongoza katika wokovu wako AMEN 🙏

  • @PaulDeus-p7l
    @PaulDeus-p7l 7 дней назад

    Wewe ulimtukuza sana shetani,kila mtu anae mwinua shetani hakika ni chukizo kwa ufalme wa Mungu,umaarufu na pesa zinawapoteza watu ,Wengi wanamtukuza shetani katika umaarufu wao na kugeuzwa kuwa chombo cha shetani badala ya Mungu.Hongera kwa kumfuata Yesu ,na kuachana na maigizo ya kutisha yaliyo kuwa yanamwinua shetani sasa umwinue Yesu na ufalme wa Mbinguni Amina.

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 3 года назад +5

    Dada Saraaaaaaa Nafurahi Kuona Unamtumikia Mungu.

  • @reyca_v.i.p
    @reyca_v.i.p Год назад +3

    Asante kwa kututishaa utotoni mwetu 😂😂😂😂😂😂

  • @kajembembwambo3087
    @kajembembwambo3087 3 года назад +3

    saradiñi dada umenikumbusha mbali sana rudi kazini tumemixi kazi zako

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 3 года назад +3

    Mungu akubariki dada yetu

  • @sarahfesto2103
    @sarahfesto2103 2 года назад +1

    Aiseee asante dada nakupenda sana wajina

  • @cikurumatabaro9708
    @cikurumatabaro9708 3 года назад +3

    Hogera sana dadangu na Mungu akutiye ngufu ni BM kutoka Congo

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 2 года назад +2

    Its woderful! Pole sana dada ake.

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 3 года назад +2

    Ulishakuwa ingizwa kwenye hayo mambo ya mapepo mungu akusaidie.

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 4 дня назад +1

    Yesu hajakuponya mana kanisani hakuna Yesu wala Wachungaji hawamfuati Yesu. Umeponywa na majini wa Wachungaji mana wachungaji wanaongoza kwa ushirikina na wanatumia majini wakubwa wakubwa makanisani.

  • @JumaHamza-ku8ew
    @JumaHamza-ku8ew 8 месяцев назад +1

    ❤sara nakubali sana

  • @stevedeus7870
    @stevedeus7870 3 года назад +2

    Movies nzr na yeye mzr hakika mungu ni mwema

  • @elesianakabuje5832
    @elesianakabuje5832 23 дня назад +1

    Mmmmh ila ulikua unatutisha jamani yani usiku kulala ilikua ni shida...duuuh

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 2 года назад +3

    Saradini ulishawai kuolewa kwa mkataba pale tunduma na jamaa anaitwa Sompora alishaakufa yule tajili alikuaga na pesa za mikataba nakumbuka mlikua mnakaa nyumba ya kule juu ya tunduma panaitwa mwaka uwanjani pale ila nyie watu bana tuu cjui kama unajua yule Tajili Sompora alishaakufa .

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Год назад

    Hongera sana dada

  • @raimundozacariasjonas7426
    @raimundozacariasjonas7426 3 года назад +1

    God bless you sister Sara

  • @mpulitv8011
    @mpulitv8011 3 года назад +2

    Kazi nzur kijana

  • @joycenicodemus.2232
    @joycenicodemus.2232 3 года назад +3

    Nakumbuka hiyo movie yasaladine uliigiza na h.baba.

  • @zachariasumisumi4907
    @zachariasumisumi4907 Год назад +1

    Hongera sana, ubarikiwe sana

  • @adamoantonio7893
    @adamoantonio7893 2 года назад +2

    Eu gosto de vc

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 3 года назад +2

    Naile muvi uliietendea kazi acha uumwe dada

  • @mahmoodalghefeili5370
    @mahmoodalghefeili5370 3 года назад +1

    Tuwekeen ile move kitambo sana

  • @theophileniyonkuru2116
    @theophileniyonkuru2116 3 года назад +2

    Ulisababisha nilale nakuote myaka ile

  • @joycenicodemus.2232
    @joycenicodemus.2232 3 года назад +2

    Pole Sana dada hata jini kabula nae aliigiza Kama jini hatimae majini yakamwingia akaanza kuchanganyikiwa

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 3 года назад +1

    Ulianza kusali siyo kuokoka Sara,

  • @omarykusah9719
    @omarykusah9719 3 года назад +1

    Woooga huooo

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 года назад +1

    Duuh 2mekuelewa saladini

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 года назад +2

    Duniani kuna kuokoka kweli nachojua kuokoka ni kufauli siku ya mwisho

    • @barakaelias5241
      @barakaelias5241 3 года назад +2

      Haaaaaaaaa subir sasa wew mpka SKU ya mwisho

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 3 месяца назад +1

    Uongo

  • @zinyegoah7244
    @zinyegoah7244 3 года назад +3

    namuogopa uyu dada

  • @jamomuthakacommedy5721
    @jamomuthakacommedy5721 3 года назад +1

    saradini alikunywa damu

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 2 года назад +1

    Hello