VUGO MATONDONI LAMU SWAHILI CULTURE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 27

  • @SalimSalim-cx1og
    @SalimSalim-cx1og 4 года назад +7

    culture zetu ni nzuri sana lkn twaharibu kutia na wanaume kati kati ya wanawake.ALLAH awaongoze mama zetu na madada zetu

  • @mohammadabdulrehman4
    @mohammadabdulrehman4 4 года назад +5

    I love my home always mashaallah am happy kuwaona nyote and watching from Qatar 🇧🇭

  • @wildembrace6460
    @wildembrace6460 4 года назад +7

    Missing home. Watching from California USA!

  • @salumame4845
    @salumame4845 4 года назад +6

    Ladha ya pwani nzuri kabisa

  • @alisalim7446
    @alisalim7446 3 года назад

    missing home so much.watching from the states.

  • @djmakora0018
    @djmakora0018 4 года назад +5

    i love our culture bt i was born n raised in mombasa
    bajuni hoiyeee

  • @nagibsalim9120
    @nagibsalim9120 4 года назад +5

    I like the way that they dance

  • @tommillia7816
    @tommillia7816 4 года назад

    Such a Song has deep meaning..
    Ninge penda ku elewa..
    Nime ona Mali safi safi sana hapo..

  • @jomasdrmozela
    @jomasdrmozela 3 года назад

    Mali Safi jamani...wueeh 😍

  • @mualim3777
    @mualim3777 4 года назад +3

    Nyimbo tamu jamaniii

  • @TheDragoneire
    @TheDragoneire 2 года назад

    beautiful culture bajuni people !

  • @smantheafrican1406
    @smantheafrican1406 3 года назад

    Thanks for uploading. I miss Amu. In Shaa Allah I will take my dad's blood back to Amu to resettle.

  • @tymerswaleh1
    @tymerswaleh1 3 года назад

    Asantha madimera ...... wape vichuuu.... kiwa langu moya yako ww ni ma4

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 4 года назад

    Home sweet home nakumiss biladi wlhy

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 3 года назад

    Hangeren sana

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 4 года назад

    "Just see how rich and blessed the "Mijikeda culture is"!!!From "Vugo to Bango"!!

    • @ahmedsalim9283
      @ahmedsalim9283 4 года назад +1

      This is SWAHILI CULTURE.
      Different from the Mijikenda Culture.
      Mijikenda Community is made up of 9 nations.
      The Swahili Community is made up of 12 nations.
      Indeed, both communities really have a rich culture.

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 4 года назад

      ​@@ahmedsalim9283 "Just to refredsh your mind,the present Waswahili at the coast are Islam converted mijikendas and so are the "Bajunis"too! Think of the "Singwaya Oxodus".

    • @ahmedsalim9283
      @ahmedsalim9283 4 года назад +4

      @@kuschprince3216 you are totally wrong. The mythical Singwaya Exodus was btn 12 to 17 centuries. And before that time, Bajunis were already in Pate and Siyu. These are Swahilis remember. And by the way, Shungwayas were many. It was not the Mijikenda only. Even the Comoros, some Swahilis, Pokomos, Elwanas, all had some history from there.
      In fact, when the exodus happened in 12 to 17 centuries, there was already evidence of Arab presence back in 11 century. These Arabs were welcomed by the Swahilis in Mombasa, not Mijikenda. And they traded and intermarried. In fact, in 1151 before the Shungwaya exodus, a famous Arab geographer called Muhammad al-Idrisi already mentioned about the people of Mombasa in his writings.
      The Arabs found the Swahilis in East Coast of Africa and they counted them in 12 Nations under different tribes and clans. It is true that in one theory, some Swahilis are a product of inter marriage with Arabs. But it is also true that Wachangamwe, Wakilindini, Wajomvu, Wapate, Wakilifi, Wamvita and others (all Swahilis) were already in the shores of Lamu to Vanga before the Arabs came and before the Mijikendas descended from Shungwaya and later from the Nyika. One of the theories is that "Swahilis" was an expression by the Arabs defining the 12 Nations as the people on the Coastal islands or the sawahils. Meaning the Coastals. Heard of Shehe Mvita? Mwana Mkisi was a Mombasa Queen before Arabs and before Islam came. Pure Swahilis in Kongowea and Mvita.
      I can go on and on, but in short, Swahilis and Mijikendas may share some cultural similarities, but it is a lie to claim that Swahilis are Mijikenda. If anything, they are only cousins.

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 3 года назад

      @@ahmedsalim9283 bora umewaelezea wewe wankazana wamijikenda ndio waswahili kila wakiona mcoast wadhani ni mmijikenda tu ati wamijikenda waislamu ndio waswahili 🙄🙄

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 3 года назад

      @@kuschprince3216 uislamu na uswahili ni vitu tofauti japokuwa waswahili wote ni waislamu lkn hicho sio kipimo cha kusema kila muislamu ni mswahili hii mentality ndio imewafanya hata wabara wakislimu tu wanajiita waswahili na wamijikenda hivo hivo hata aloslimu jana leo ukikutana nae akwambia yeye ni mswahili na wamijikenda wanapenda uswahili wajitia tia tu kwenye uswahili but sio waswahili labda wale walioana na waswahili mwashindwa kuelewa kuwa sio kila mcoast ni mswahili kuna watu wako coast na hata kiswahili chenyewe hawakijui..mswahili hana lugha yengine isipokuwa kiswahili ndio mana kuna ki amu kimvita kivumba kiunguja kipemba vyote ni viswahili lkn vyatofautiana kilafdhi lkn watu wenye lugha zao personal kama wamijikenda sio waswahili wanaongea tu kiswahili wengine wanaiga culture au pengine zimefanana mahali coz tuko continent moja kuna vitu lazima vifanane lkn haimaanishi kuwa ni culture moja hapana

  • @abdillahismail8287
    @abdillahismail8287 3 года назад

    Haaaa yaaan napend watu walamubhata kiswahil chao kipo saw yaan visiwan kunaraha

  • @aishaali284
    @aishaali284 3 года назад

    Mwagarasi sio