Huko Kwale wasichana walioolewa mapema wanapewa nguvu mpya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 7

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 3 месяца назад +1

    😢😢😢mbona mm hii. Kitu chauma sana ntasaahau lini

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 месяца назад +1

    Mbona kama yuko goita huyu mschana wa kwanza

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 3 месяца назад +1

    Mmbe mwanaisha tuko wengi hii kitu ya kuozwa mimi hata sikushika mimba iliyozwa mwaka 2008 class 1😢😢😢

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 3 месяца назад

      Mwanaisha hakuozeshwa alienda mwenyewe kutafuta mwanaume

  • @ShedrackTunje
    @ShedrackTunje 3 месяца назад

    ndio mna wafanya wazid

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 3 месяца назад +1

    Ati alishika uja uzito bahati mbaya hahaha 🤣🤣🤣

    • @aishasaidi1784
      @aishasaidi1784 3 месяца назад

      @@andallaathman3856 💔🙍🤣🤣 hakuna mimba ya bahati mabaya kama ulikua ume fika 18 alitaka we mi kilinramba 2008 nlitoroka 2004 nilikua naozwa mgema rabai na nilikuwa natokanasar naenda class one leo nilifanya class one term moja nikaonekana niko bright naweza class 2 kuanzia 2005 hadi 2006 maisha yangu yaliendelea kuwa hatarini nikawa nanyi mwakula nyumbani nimelala porini kwa ajili ya kutoroka nikapatana na mzee rabay alikuwa mtu wa kanisa ju alikuwa ni pasta alinisaidia nikakaa kwake nyumbani kiasi ya miezi mitatu mtoto wake akataka kunibaka na na mke ameoa na harusi nikasema akanipeleka kwa mtoto wake mikindani 2006 nikaishi huko so alitaka nisome but bahati mbaya walikuja wakaachana na bwanake maisha yangu yakarudi tena pale pale ninachoshukuru mungu siku wa chokoraa sikupatikana na kitu kibaya cha kubakwa mika survive mama mwingine mkamba mikakaa kwake 2006 hadi 2007 kulikuwa kuna mapigano ya kura nasikia sikuwa naweza kusafiri kwenda nyumbani nilikuwa nimemiss nyumbani akanikataza kwenda nakwambia na story ndefu ya maisha kurogwa na mzazi wangu wa kike ili niolewe katika dini tunaambiwa mzazi hakosei mwana lakini ninapofika hapo inaniuma kila siku, 💔