Leonard kaza mwaya ata ao wengine walianza km ww yan mi nimecheka sana upigi mikelele mifujo kutembea mimwendo flan mara kuruka mara kukaa kifup hutumii nguvu tucheke km uyo....kila la kher na Mungu akupiganie sana
Hakuna sehem mnayo boa kamakwenye sauti ya jingo ya cheka tu kubwa lakini sauti ya mic mnazotumia hovyo kabisa sauti mnasikika kwa mbali kelele tupu mnaboa bwana kampuni kubwa ila mnazingua sana
Tatizo storylines za standup comedians wetu huwa sio consistent. Mambo mengi wakati mmoja, vitu kibao wakati mmoja bila muunganiko. Kuchekesha kunawezekana kwenye story moja tu yenye vituko vingi ndani yake...
Anafel kuish na attention za watu, a real comedian , every step every move is a laughter pia ni unpredictable wapi utacheka, but ana fail ku maintain interval iko very regular audience washamsoma wapi watacheka wapi hawatocheka, kimsingi anaenda kuboa, ajifunze kwa Mpoki au Basket Mouth..All in all ako na something extra.. akizingatia ni mtu hatari sana coz comedy yake imekomaa sio ya kitoto
Mm leonardo nishabik wko wakwanza yaan km siww nisingepoteza mda kuwaangalia awo wengne nakukubali sana yaan sichoshwi na vitu vyako dah Allah azid kukusimamia kaza but uzid zaid nakukubal sn
😢HAKUNA MUNGU WA DUNIAN ACHA KUPOTOSHA WATU WAZIMA. SOMA DINI KIJANA. MUNGU NI MMOJA TUUUUU HANA MSHIRIKA ,HAJAZAA NA WALA HAJAZALIWA NA HAFANANI NA KITU WALA KIUMBE CHOCHOTE.
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 💥🇹🇿🇰🇪💥*
Hongera sana Kaka ila ningekushauri kutokuwa unaliza ulimi kwenye Microphone kisha kumaliza kusema jambo kwakuwa iko inasikilikana vibaya kwenye sikio.asante.
Leonardo is a genius❤️
Leonardo your the best comedian ni Tz am Joe Mose from Kenya Nakuru
Tuweke na said said. Nawengineo pia shukran sn coy mana tulisubir sn hizi
Huyu mwamba kumuelewa unahitaji uwe na akili kubwa.....ila mwamba anacomed flan ya kinyamwezi na yakiakili saaana
Kwl man
Comedy zake kama za idris ili ucheke inadi utumie akili,
Bila D mbili hutoboi🤣🤣
Kabisa🎉🎉🎉
Yan mm Sijawah kuwaelewa kabisa mnachomaanisha akili akili akili Kwan wengine wanatumia ? 😅
AINA YA STAND UP COMEDIAN AMBAYE MIMI NAWEZA KUMSIKILIZA.
💥💥💥
😅
Leonard kaza mwaya ata ao wengine walianza km ww yan mi nimecheka sana upigi mikelele mifujo kutembea mimwendo flan mara kuruka mara kukaa kifup hutumii nguvu tucheke km uyo....kila la kher na Mungu akupiganie sana
daaah eliza umeongea point ila apo kwenye yanga sasa mwe hahahahahahah!!!!!!.
Kila mtu ana upekee wake....
Am your namba one fan you make my day always
Leo Leonardo hajajiandaa kabisa asijisahau anakae chini aweke content nzuri leo nampa 5/10
Leo hajafanya vzuri kwakweli
4 out of 10
Msapoti kwanza mnakuwa wakosoaji kwa kila kitu ebu tuonesheni nyie kha mnaniboa sana
Comedy yako ni nzuri, akili nyingi.lakni jitahidi kupanga content zako.Big up sana leonardo
😂unazingua
You are the best💪💪🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Apo Amna wakulingalishwa lionado na eliud
Good commedian napenda sanaaa
Hakuna sehem mnayo boa kamakwenye sauti ya jingo ya cheka tu kubwa lakini sauti ya mic mnazotumia hovyo kabisa sauti mnasikika kwa mbali kelele tupu mnaboa bwana kampuni kubwa ila mnazingua sana
Leonard unajua unatumia akili sana usikate tamaa sikuzote mti wenye matunda upigwa mawe pambana
Huyu ndo mwamb anaefanya ninunue bando kila mda....respect brother Leonardo.....
Comedy ya akili wala hatatariki kucekesha kibusara kabisa saluti sana Leonardo
Wamempa ushndi tu yulelkn umemgaragaza yule cjaskia ata punch kali Kama hzi unajua mzee yule hata nusu hakufkii
Yupii
S Joel et kwenye battle kamshnda mwan
@@kleofacejerome9025 ah
This guy is talented 🙌🙌🙌🙌😁😁😁😁
Show zako ni Ugenius kma babu yako Leonard Da'vinc wee jamaa unaeza piga izo standup NY + UK
Da vinci's demons moja hiyooo, naqbal pia kuna michael Scolfield
LEONARDO KAZA SANA STAND UP COMEDY NI NGUMU SANA TO MAINTAIN
Sana ana content ila ajipange sana.
Saa hivi wa moto sana
Jol master’s generation 🙌🏿❤️
Leonard is the price of comedy Kwan anatumiy akili kuliko kawaida
Cheka now mko juu sana mpka basi kwa huyu bro mmepata kifaa cha kutupa burudani
So talented
Ila mwamba ni super talented🤣🤣🤣🤣
Good work 👍👏🔥🔥
Kijana ana materials big up kwake
Anajua lakini navomsikiliza ni jolmaster mtupu big up kwake
Leonardo ur so funny crazy person never happen in this industry 🤓🤓🤓🤓🤓🤓 sharout sana
Shout out/ sharout😢😢
Jamaa anajua sana
Nakubl hautumii nguvuu kwanz😂😂😂
Yeah
Huyu jamaa@leonardo Mungu Baba ampe maisha marefu...anafanya ya wengi ya marefu
Huyu ni fire watu wanacheka balaa sio yule jamaa joemaster mbwembwe nyiiiingi
Nampenda Sana Joel master
uko vizur kak kama kuchekesha we noma broo
Anajua sana 😂😹
Katisha sana 💯
💥💥💖💖 GOOD WORK 💋
Kumuelewa akil kubwa inahitajika🔥🔥🔥❣❣
Eliud mpango mzima
Eliud baba yao anawakarisha wote humu cheka 2
Eliud Fundi
Balaaaa zitoooo😂😂😂😂🤙
Leonardo 🔥
First view
First viewer sio view
See you at the top man
Kwa akili ya kawaida leo ulitetemeka!!
Jamaa 😂😂umekuja moto
Bigapi sana 🤝
Tatizo storylines za standup comedians wetu huwa sio consistent. Mambo mengi wakati mmoja, vitu kibao wakati mmoja bila muunganiko. Kuchekesha kunawezekana kwenye story moja tu yenye vituko vingi ndani yake...
Sure
🤝🤝🤝🤝
Si uchekeshe na wewe kwani lazima afanye yeyee
Nmekupat as a future stand up comedy I will deal with it bro
NAWAKUBALIII sanaaaa wote kutoka Kenya
Joel Masta auawezi uu moto jamaa atumii nguvu uyu utacheka tuu na usipocheka ukapimwe mbavu utakua na matatizo.
Leo ame underperfom 50/100
Panda wewe kwa jukwaa watu wakuskize
Panda wewe kwa jukwaa watu wakuskize
Kabisaaaaaaa, Perfomance ya leo kawaida saanaaaaaaaaa
Absolutely..yule headmaster yuko form
Nikweli
Anafel kuish na attention za watu, a real comedian , every step every move is a laughter pia ni unpredictable wapi utacheka, but ana fail ku maintain interval iko very regular audience washamsoma wapi watacheka wapi hawatocheka, kimsingi anaenda kuboa, ajifunze kwa Mpoki au Basket Mouth..All in all ako na something extra.. akizingatia ni mtu hatari sana coz comedy yake imekomaa sio ya kitoto
Sure...
Yeah
Mm leonardo nishabik wko wakwanza yaan km siww nisingepoteza mda kuwaangalia awo wengne nakukubali sana yaan sichoshwi na vitu vyako dah Allah azid kukusimamia kaza but uzid zaid nakukubal sn
😢HAKUNA MUNGU WA DUNIAN ACHA KUPOTOSHA WATU WAZIMA. SOMA DINI KIJANA. MUNGU NI MMOJA TUUUUU HANA MSHIRIKA ,HAJAZAA NA WALA HAJAZALIWA NA HAFANANI NA KITU WALA KIUMBE CHOCHOTE.
wewe ndo usome vizuri bible
Big up broo
Wakuu tunaomba spot zenu katika kikundi chetu cha sirori simba movie talents 🙏🙏🙏🙏🙏
Huyu jamaa anajua anahasira san na huu mchezo
Comedy + shule = Fireeeeee......🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 💥🇹🇿🇰🇪💥*
umejitahidi
Mnajuwa Sanaaa 👊👊👊
Nitumie number yko Leonard kuna issue ntaka kukuulizia plz
Bongo comedy tunajitahidi Ila vistory vyetu viko short short hakuna story muendelezo...mada kipisi,kipisi inaangukia kwengineko
King of young generation in stand up comedy 🎭
5 to m
Huyu jamaa anajua asee...comedy yake ina IQ kubwa mnaemponda sijui mnampondea nini kwangu mm ni 90/100
upo sahihi kabisa. Dogo yupo vizuri sana ana contents nyingi anajitahidi
Comedian ya Leonardo ni ya kufikirika sana
Noma xanaa kijan
Jmm mbona hatuwekewi show nzima
Yan wameniudhi
Bado zinakuja zingine
Ifike mahali mtuwekee show yote jaman msitukatili kiasi iko
Elizabeth Joseph show zingine zinakuja na kwasasa hizo ni show vipande vipande vya kila mmoja.
@@chekatu sasa mulishidwa nn kutuwekea wasafi tv mpk munakera watu kiasi hiki😒😒😒😒🤔🤔🤔
Huyu jamaa anajua kutumia akili sana
Ur the best leo...said said whre a u brothr
Nzuri bro
Kawaida sana leo
Jamn @leonardo n anajua sanaaaa
Imekaa poa sana
Aa yego wimanyile sana go
HJVI MSHINDI ALIIBUKA NANI JAMN???
Léonard
Leo umetokotesha,INAONEKANA Kweli umepanic na millioni kumi na kiwanja but, 50 enough for you.
Hongera sana Kaka ila ningekushauri kutokuwa unaliza ulimi kwenye Microphone kisha kumaliza kusema jambo kwakuwa iko inasikilikana vibaya kwenye sikio.asante.
Good work...
Mwamba noma mvkxo poa😂😂😂😂😂😂
Umetisha kaka
🤨🤨🤨daaaa kucheka kipajii aiseee mm najaribu lakini waapiii
Somehow work hard broooo😓😓
Huyu mshikaji anajua mpeni sifa zake
Morogoro stand up....!
Leo km hauko poa shenziii😂😂😂
ubatizo wa moto
Hakika kaka yetu uko safiii
Daahh umeuaaaaa
Audio zenu mbovu bhana mara msikike vzr mda mwingne mfifie aahh htr tu
Amazing
38/100
Video sauti ipo ila sio ya kutosha ni ndogo
Unajua kinoma broo leonardo natamani namm nijekuwa kama ww onday lakn nikijaribu naon ciwez
Leonardo kichwa sana 👏
Uwiii🔥🔥🙌
Dg yupo vizuri
😂😂Well Done 😂😂nakubali Sana Man
Mpaka uwe na D mbili ndo unamuelewa
Uyu jamaa ndio comedy bola tanzania
Ila kusema kweli wabongo kwa wakenya upande wa comedian tutasubiri saaana saana ....wenzetu Wala hawatumii nguvu kuchekesha
Nomaaa
Smart sana