Mwl Emanuel Kibona TUMEOKOLEWA KWA NEEMA Official Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 11

  • @KUBELELA
    @KUBELELA 7 дней назад +2

    Nabalikiwa sana na huu wimbo huu mungu akubaliki na akuinue saana nakuombea

  • @josephmichael8438
    @josephmichael8438 7 дней назад +2

    Nyimbo hii ni ya Utukufu wa Mungu kabisa, imejaa mafuta ya Roho wa Mungu. Barikiwa Pastor.

  • @mafurumanyama2755
    @mafurumanyama2755 9 дней назад +3

    Huu wimbo niliusubilia sana

  • @akianambwilo7733
    @akianambwilo7733 9 дней назад +2

    Ubarikiwe sana baba angu, Mungu azidi kukupa neema kubwa mno kwa utukufu wake mkuu. Najivunia sana kuwa na baba

  • @MesseGidion
    @MesseGidion 9 дней назад +1

    Amina kwako mchungaji MUNGU azidi kukuinua na kukubariki kwa kazi yako nzuri unayozidi kuifanya

  • @DoryMkeya
    @DoryMkeya 9 дней назад +1

    Hongera kwa kazi yako baba tunabarikiwa zaidi

  • @Mtumishmisso8400
    @Mtumishmisso8400 9 дней назад +1

    Amen 🙏

  • @sengiyumvaZakaria
    @sengiyumvaZakaria 9 дней назад +1

    Ubarikiwe sana Baba yetu

  • @JosephObadia-kx1eo
    @JosephObadia-kx1eo 3 дня назад

    Sina Neno mimi🎉

  • @GracieErick
    @GracieErick 5 дней назад

    Amen jmn ubarikiwe sana

  • @AbigailAyubu
    @AbigailAyubu 7 дней назад

    Balikiwa sana mtu mishi