Hebu ondoa ujinga wako hapa yaan una chuki na Abuu Muawiyah hali ya kuwa amekufa na mtu ambae alikua tyari kufanya mjadala kwa ajili ya Sulhu!! Wewe ni jaahil murakkab na Abuu Muawiyah Allah amrehemu
@AlmasAbdallah-r3g amedhurumika bila hojja,na kwa vile darsa zake zipo mumtakase ili watu wastafid ktk durs zake,kwan kuna wajinga wamebeba baadhi ya mismamo yenu
Ni yazamani sana miaka 5 iliyopita
Kumbe kwa mashia inawezekana,BASI TULITAKA NIQASH NA HZB ABU MU'AWIYA, ILA KWA VILE KESHA FARIKI, TUNATAKA NIQASH NA MROPOKAJI MUHAMMD BACHU,
Hebu ondoa ujinga wako hapa yaan una chuki na Abuu Muawiyah hali ya kuwa amekufa na mtu ambae alikua tyari kufanya mjadala kwa ajili ya Sulhu!! Wewe ni jaahil murakkab na Abuu Muawiyah Allah amrehemu
Sasa bachu ana athari gani mpaka masheikh wapoteze wakt wao kufanya niqashi nae ..?
@ABUUJAAFAR92 Huyu nae anazingua kadhia ya Abuu Muawiyah imeisha anaanza kuleta mambo ya ajabu badala ya kumuombea maghfirah kwa Allah.
@AlmasAbdallah-r3g amedhurumika bila hojja,na kwa vile darsa zake zipo mumtakase ili watu wastafid ktk durs zake,kwan kuna wajinga wamebeba baadhi ya mismamo yenu
@@hafidhwajina6718 amedhulumika kivipi?
Na nani kamdhulumu?
Ebu eleza ?
Hii ni ya lini??
@@AlmasAbdallah-r3g
Zamani kidogo
@@UsalafiniKWETU01sio kidogo zamani sana mafuta linalamusha mambo tuuu😂😂😂😂
@@MohammedSaid-zk7yg
Ukiona kauli kama hizi, ujue dawa ilifika mahala pake penyewe kidonda kilipo
2014 hiyo
@aliyabasi2058 Subhaanallah! Kumbe ni kitambo kipindi hicho ambacho walimpiga Bomu.