𝖯𝖱𝖤𝖲𝖲 𝖢𝖮𝖭𝖥𝖤𝖱𝖤𝖭𝖢𝖤: KOCHA FADLU & AWESU AWESU KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA KENGOLD FC/"SIO MECHI RAHISI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 65

  • @MusaElias-c5p
    @MusaElias-c5p 10 часов назад +4

    Coach fdul Devis yuko katika hatua zake nzuri za kukamilisha team ❤ congratulations 🎉👏🏻 Devis

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta 7 часов назад +1

    ❤️🇹🇿🦁🔥

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn 7 часов назад +2

    Mtare atupishe kwa kweli

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 11 часов назад +1

    Simba nguvu moja 🦁♥️💪🙏

  • @mwandedigitalshow
    @mwandedigitalshow 11 часов назад +1

    🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  • @ezekielmlay8219
    @ezekielmlay8219 4 часа назад

    Wanasimba wenzangu tulieni acheni sajili kila wakati, vijana wetu walicheza vema sana fuatilia data za mchezo ule.
    Kocha pia alifanya sub vizuri sana. Kumbukeni hakuna timu kibonde angalia matokeo ya timu nyingine. Kocha bora kocha mahiri pambana kocha wangu.
    Wachezaji kazeni mpaka iishe hakuna kukata pumzi mpaka iishe. Simba nguvu moja

  • @PakatJames
    @PakatJames 6 часов назад +1

    Simba Nguvu moja. Our match up against Ken Gold is a very trick one. It is official that we are not going to play with Ken Gold alone in the pitch and outside the pitch as Yanga Singida black stars and Azam will surely participate on one way or another to make sure simba is dropping points on humiliated way if possible by loosing match from the tail holder of the table. I think from now on as simba we should treat every match with the caf confederation standard. We still have memory of low performance display against Pamba AFC..We have an advantage of staying on top of the table let's not take it for grants we need to work hard as if we are the bottom of the table.

  • @claraluoga6828
    @claraluoga6828 5 часов назад

    MwenyeziMungu tunakuomba tujalie ushindi timuyetu ya Simba wapewachezaji uwezowakupambana ili tupate ushindi

  • @georgeemmanuel3155
    @georgeemmanuel3155 8 часов назад

    Kila la kheri my team. Simba nguvu moja.

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 11 часов назад +1

    Kila la kheri Simba Sports Club kikubwa kumheshim mpinzani na kumtanguliza Mungu 🙏🙏🙏

  • @AbuuBakari-pe5lu
    @AbuuBakari-pe5lu 10 часов назад +2

    simba nguvu mmoja

  • @AminaSuleiman-q6k
    @AminaSuleiman-q6k 10 часов назад

    ❤❤❤❤❤❤❤
    🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 11 часов назад +1

    INSHALLAH Allah atujalie point3 MUHIMU kwetu

  • @chemalonehamzaspearzimbweshomy
    @chemalonehamzaspearzimbweshomy 10 часов назад +4

    Mwambie aachane na kulazimisha mutale tumkubali ohoua abadlishe uchezaj watu washaanza kumuona jau mpanzu aanze hiyo game che msimsumbue ni beki bora sana makosa yapo pote kwa watu wanaojua mpira kwa wapga kelele wataona jau

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 10 часов назад +2

      Naungana Na wewe , Che Ni mzuri Sana , anatakiwa atulizw wenge ,lakini pia Ni Jambo la kukaa Nae Na kumwelekeza ,Bora atoe Kuliko Kurudisha nyuma , Mutale Nae Sio mbaya , sema kelele zikizidi huwa zinawaathiri kiutendaji

    • @Gmedia_Africa
      @Gmedia_Africa 8 часов назад

      ​@@neemamasimba2981yeah ni bonge la beki sema kwenye kutuliza sometimes anatu cost 😅 kama yale magoli 2 yeye ndiye aliyetufunga

  • @StephenLuambano-ni4jb
    @StephenLuambano-ni4jb 10 часов назад

    Hongera Sana coach you improve day after a day

  • @SimbascTanzania-t8y
    @SimbascTanzania-t8y 11 часов назад +1

    Mwaka huuu niwetu wengine wanasindikiza tu🦁🦁🇹🇿💪🙏

  • @franccoz94
    @franccoz94 11 часов назад +14

    SAJILIN MAWINGA NA NAMBA 10 WENYEE UWEZO WA KUFUNGA NA KUTOA ASSIST, TULIONAO HAWATOSHI KWA KWELI

    • @HalimaKiboma
      @HalimaKiboma 10 часов назад +2

      Nakuunga mkono usemacho

    • @RoyalTv00
      @RoyalTv00 10 часов назад +1

      𝙎𝙪𝙧𝙚 𝙠𝙖𝙠𝙖

    • @careymariahhhh
      @careymariahhhh 10 часов назад +1

      Mpanzu ?

    • @jumamirajimkumbo9416
      @jumamirajimkumbo9416 9 часов назад +2

      No 10 ni Elie Mpazu

    • @BADILIJUSTUS-fs3oo
      @BADILIJUSTUS-fs3oo 9 часов назад

      Kwanini kibu Denis prosper mwenye nguvu asihamishiwe namba 10 afu mkwala namba 7 huyu ahou nikama Ngoma wanaogopa migusano hawezi takoling Wala kungangana na mpira mi naona kibu Denis angechezeshwa namba 10 afu mpanzu acheze TU winga aliyozoea

  • @BADILIJUSTUS-fs3oo
    @BADILIJUSTUS-fs3oo 9 часов назад +2

    Good wards fadlu Davis, but can you try to have first eleven, so that players understand each other? Also you need to play Nouma as number 11 then play mkwala as number 7' kibu Denis prosper as number 10 then okjepha and kagoma as middles, try
    9 ateba
    10 kibu Denis
    11valentine Nouma
    7 mkwala
    I believe if you play them together more goals we can score

    • @johnmuro9915
      @johnmuro9915 9 часов назад +1

      UPO SAWA NA PIA AJARIBU KUCHEZESHA FOARD MBILI MKWARA NA ATEBA WINGA KIBU ATOKEE PEMBENI

    • @BADILIJUSTUS-fs3oo
      @BADILIJUSTUS-fs3oo 9 часов назад +1

      @@johnmuro9915 Mimi naona valentine Nouma anaweza kupiga cross akiwa kama namba 11 kuliko winga zote tulizonazo

    • @johnmuro9915
      @johnmuro9915 8 часов назад +1

      @@BADILIJUSTUS-fs3oo PIA ILE FOARD MGANDA ACHEZE NA ATEBA ,MMOJA AWE ANATULIA GORINI KAGOMA AWE ANAPELEKA VYOMBO

  • @manning979
    @manning979 11 часов назад +2

    Sawa sawa tunataka Ushindi alafu kocha anza na kikosi kilichomaliza na CS Faxien

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 10 часов назад

      Unamaanisha tshabalala asianze

    • @manning979
      @manning979 10 часов назад

      @MgazaMhina Ndio atokee benchi au apumzike kabisa

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 10 часов назад

      @ sawa

  • @OmbeniLorry
    @OmbeniLorry 10 часов назад +1

    Weka mpanzu ndan leo

  • @nasrialoyce4222
    @nasrialoyce4222 6 часов назад

    Nikweli namba 10 kwetu Bado sana

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta 7 часов назад +1

    JAMAN VALENTINO MASHAKA, APEWE MECHI ANAJUA KUFUNGA❤️🦁🇹🇿🔥

  • @AgnesMashaka-ph6uw
    @AgnesMashaka-ph6uw 4 часа назад

    Tunataka usajili saizi dirisha limefunguliwa hatuoni kutangazwa kwa mashine mpya

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn 7 часов назад

    Ubaya ubwela

  • @octaviansylivanus-y2d
    @octaviansylivanus-y2d 10 часов назад

    Vp mpanzu uko jaman

  • @Nuru8700
    @Nuru8700 11 часов назад +1

    Nawakumbusha tu viongozi kuweni makini na jirani zetu

  • @jumamirajimkumbo9416
    @jumamirajimkumbo9416 9 часов назад

    No 10 ni Elie mpazu

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 10 часов назад

    3point muhimu kwetu kesho tunazitaka

  • @NuruEria
    @NuruEria 11 часов назад

    Viongoz wa simba leten feitoto muache ubahili jaman maana namba kumi hamna

  • @JacksonJames-tj3hc
    @JacksonJames-tj3hc 10 часов назад

    Awesu napenda saana ukiwa fist eleven

  • @JamesMaiga-z1n
    @JamesMaiga-z1n 10 часов назад

    Awesu, mwambie Fadlu aache mfumo wa kurudisharudisha mpira nyuma maana wafungaji hawapati mpira

    • @zaynd5366
      @zaynd5366 10 часов назад

      Hakuna kocha anafundisha kupiga back passes

  • @KhanashyAlmassi
    @KhanashyAlmassi 10 часов назад +1

    Viongozi nadhani timu mnaiyona na kwamalengo yetu ya njee na ndani jee timu inakidhii??binasfi naona kunawatu wanatakiwa waingie na wengine watoke kwa masilahi mapana ya timu yetu ya SIMBASC.

  • @francoisnicodemas2963
    @francoisnicodemas2963 10 часов назад

    Mpanzu vp atacheza

  • @TNCSportsInternational
    @TNCSportsInternational 9 часов назад +1

    Tufuatilie @TNC Sports

  • @HalimaKiboma
    @HalimaKiboma 10 часов назад

    Kila la kheri chama langu

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 11 часов назад

    ALF uwanja wa mazoezi waongeze bidii jaman wape mazoezi ya kutosha pia huyu mutale jaman kha!

  • @EmanuelJuma-l6g
    @EmanuelJuma-l6g 10 часов назад

    mpanzu anze mbona wanamuchelewesha

  • @YamunguMatamya
    @YamunguMatamya 10 часов назад

    Kwanini wana share 🎤?

  • @chemalonehamzaspearzimbweshomy
    @chemalonehamzaspearzimbweshomy 10 часов назад

    Awese awesu fundi wa boli unaongea kwa akili rafiki yangu

  • @JamesMaiga-z1n
    @JamesMaiga-z1n 10 часов назад

    Mwambieni aache back passes ndo zinaiumuza Simba

    • @zaynd5366
      @zaynd5366 10 часов назад

      Back pass wanapiga wachezaji ,,,,kwan game ya juzi hukuona hata kocha alikuwa anafoka kwenye back pass

  • @JacksonJames-tj3hc
    @JacksonJames-tj3hc 10 часов назад

    Jitahidi kupanga vizul mfumo wako wachezaji wanaludishaludisha saaana mpila nyuma washambuliaji hawapati mipila pia na mkwala apunguze presha

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 11 часов назад +1

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪💪🙏🙏