Hushpuppi apanda kizimbani Marekani, yabainika alitaka kuiba Bil.287 za klabu ya ligi kuu England

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии •

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 года назад +6

    Kabla ya kumpandisha kizimbani anastahili apewe tunzo kwanza mana wizi wake nitakatifu huyu ni super man 👏👍

  • @ashanalinga8719
    @ashanalinga8719 4 года назад +13

    Pesa kweli mwanaharamu yaani ele zote izo nabado alikuwa anaendelea kuiba 😂😂Yanii badala ya kuacha yeye ndo anazidisha 🙌🙌

  • @kingcole60
    @kingcole60 2 года назад +3

    Marekani wanataka watu kama hawa, huyu jamaa hata kama amefungwa lazima amepewa kitengo na FBI

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 4 года назад +8

    Huyu ndio tapeli wa kweli sio kama hawa wetu wa kariokoo.

  • @joyjacqueline4733
    @joyjacqueline4733 4 года назад +5

    This guy is Genius

    • @sgfwaja9970
      @sgfwaja9970 4 года назад

      Isn't genius,is an idiot

  • @alimaftah7640
    @alimaftah7640 4 года назад +5

    Yaan Huyo jamaa Hatofungwa Ila Watakachofanya Wamarekan nikimtumia Ktk Masuala ya IT, trust me mtu km huyo n muhimu sn Kua nae Coz Atawasaidia Mambo mengi😁

  • @dannyghost8883
    @dannyghost8883 4 года назад +2

    Nimeipenda hii post kwa7bu umeitaja ARSENAL 👌👌

  • @abajahnoonhamidbajahnoon3648
    @abajahnoonhamidbajahnoon3648 4 года назад +8

    Hapana Wala asifungwe, huyu jamaa Ni kichwa aise. Power to the black people.

    • @x7hia
      @x7hia 8 месяцев назад

      Angekua kichwa angetafuta vya kwake.

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 года назад +40

    Nafikiria marekani itakavyomtumia kudukua mambo yanavyoendelea Africa
    Mtu kama huyu ana umuhimu kwa mabeberu

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 года назад +3

      wana akili ati na wao mana miaka yote hawajamkamata saiv waraabu washamkamata mbio wamemtaka wao

    • @hongeramgaya714
      @hongeramgaya714 4 года назад +7

      Ila wanaigeria wezi jamani.kibuyu cha babu this time kimegoma maana wanatumia mauchawi sometim ya kukwepa kukamtwa

    • @babamarkom9881
      @babamarkom9881 4 года назад +3

      Yani katika watu waliyo ongeya pweti wwo moja wapo

    • @hamudseif
      @hamudseif 4 года назад +5

      Amerika wala hawatomfunga uyo, watampa kitengo kizur cha udukuzi

    • @simonmuchiri9894
      @simonmuchiri9894 4 года назад

      Kweli @mwanajuma O muhundumla

  • @zawadirashidi9517
    @zawadirashidi9517 4 года назад +3

    They will free tha Guy out America need ppl like this one

  • @matwerangulichedr3985
    @matwerangulichedr3985 4 года назад +1

    This is thé gréât mind, we need People like him. Thank u so much for bring our money back, africa nations, they need to proctect this Man. Its better hé went to still money from abroad where they always still our resources and money from us. So african thèse Guy and his fellows are, prouds african héros. They should teach us. Please, safi sana

    • @mussanassoro790
      @mussanassoro790 4 года назад

      Mmh alikuwa anapiga hata za Afrika ohooo

    • @santodelove4351
      @santodelove4351 4 года назад

      @@mussanassoro790 hana akili huyo na comment yake anatetea tapeli tapeli ana utu

  • @queenbaddestcuteemmy5430
    @queenbaddestcuteemmy5430 4 года назад +1

    Thank u sky for good new

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 года назад +3

    Hatari sana

  • @DMENDTVmusicMovie1
    @DMENDTVmusicMovie1 4 года назад +20

    Ila wezi wa bongo bana hawana akili Hadi wanakutwa wamelala ndani ya gari 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 wenye akili zao washa kula Bata ndo wana shikwa Tena unakuta Ni bahati mbaya . Sisi kuku 1 siku hiyo hiyo na kifo JUU 😂😂😂😂🤣🤣🤣. Pepo la wizi litoke kabisa amen🙏

  • @anahna6788
    @anahna6788 4 года назад +6

    BAADA YA HAYA NI KIFO NA BAADA YA KIFO NI JEHANAMU

  • @beatrice3671
    @beatrice3671 4 года назад +22

    Watu wa Instagram wapumbavu so now wajifunze kuwa kila wakionacho Instagram kiking'aa wasidhani ni nguvu halali %99, huwa ni pretends

    • @teddyelizabeth9072
      @teddyelizabeth9072 4 года назад

      Wanakazi ya kuwacheka watu wa fb tu wanao ishi maisha yao org

    • @ozanee1739
      @ozanee1739 4 года назад

      Ata iyo kazi kama kazi nyingine

    • @santodelove4351
      @santodelove4351 4 года назад

      @@ozanee1739 unaita utapeli kazi kama kazi nyingine upo sawa kiakili kweli??

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 года назад +3

    😢😢😢😢😢😢masikin tufanyeni kazi vijata

  • @dejaybadell8543
    @dejaybadell8543 4 года назад +1

    Sema uyu jamaa kwa bata alilo kula ata akifungwa maisha bado tuu

  • @augustno3984
    @augustno3984 4 года назад

    Daaaah mbna watu wauni sana wangemwachia tu izo ela mbna alishatoka uyooo

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 4 года назад +2

    Kweli pesa haina mwisho kila ukipata unataka zaidi duh

  • @ozanee1739
    @ozanee1739 4 года назад +4

    Hushpup namkubali saana uyo genius,,, licha ya kunaswa ivo ila yote maisha

    • @munaibrahim8829
      @munaibrahim8829 4 года назад

      Naww ndio mwizi mwenzie wasapoti wizi ww

    • @ozanee1739
      @ozanee1739 4 года назад

      @@munaibrahim8829 wizi wakutumia akili huezi ufanya ikiwa huna akili

  • @alihaan7652
    @alihaan7652 4 года назад +1

    jumaa kichwa kweli marekani lzma wamtumie

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 года назад +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂hashpapi pole sana...
    Ungechill tu yote hayo yasingetokea...mwizi afu unajiachia kiasi hicho?

  • @zulekhaally3524
    @zulekhaally3524 4 года назад +6

    Ila wanaigeria mm🙌subir gig nae atavyo Lia siku moja

    • @faikamohamed3699
      @faikamohamed3699 4 года назад

      Alie mara ngapi na ss ivi maji yanamtoka kwa wingi kwa michezo michafu

    • @claudiangowi9585
      @claudiangowi9585 4 года назад

      @@faikamohamed3699 😂😂😂😂😂mnaigeria kumbe anazibua mitaro

  • @josephatjordan5560
    @josephatjordan5560 4 года назад +6

    Gigy money amrydishe mchumba wake!!!asije tuibia pesa za Toronto 😅😅😅😅

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 3 года назад +1

    Hili ni SOMO kwa wote wanao iga maisha ya kimtatandao SOMO hilo

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 года назад +2

    Yaani nikiiba pesa yote iyo naacha wizi 🙌🙌🤣🤣 ila pesa ni shetani jmn🙌🙌🙌 sasa mtu n rol model wake it's means nae n mwizi

  • @dr.kassimumtunguja6978
    @dr.kassimumtunguja6978 4 года назад +3

    This Man is Pablo Escobar of our Generation. He is very smart. even if they will send him to jail but he wont stay more than five years they will realise him. This is just a Game 🌍

    • @georgeburchard4872
      @georgeburchard4872 4 года назад +2

      Usimlinganishe huyu juha na kiumbe Kama Pablo Escobar!! Pablo alikuwa ni mafia, shughuli zake zilikuwa ni nzito na za kugofya!! Utamlinganisha na huyu mpaka poda anayeiba akiwa amekaa kwenye kiyoyozi huku akitumia kompyuta!! Hebu fatilia vizuri historia ya Pablo mpaka kufa kwake Kisha kaa uone Kama huyu tozi anaingia robo ya robo ya maisha ya Pablo!!

    • @georgeburchard4872
      @georgeburchard4872 4 года назад +2

      Pablo aliiweka serekali ya colombia Yote kiganjani! Pablo alimfanya kila raia wa eneo alikotoka amuone Kama ni mungu!! Serekali ya marekani ilimtaka kwa udi na uvumba kiasi ikaanza kuweka vitisho kwa serekali ya colombia na serekali ya colombia ikabidi wamuombe Pablo angalau wamkamate ili angalau watangaze kuwa wamemkamata ili wapumue kwa presha waliyokuwa wanaipata toka mataifa ya ughaibuni wakiongozwa na marekani na unajua Nini Pablo aliwaambia? Akawapangia sawa yupo tayari lakini kwa masharti na masharti hayo ni kuwa atakaa katika gereza analolitaka yeye (ambalo alilijenga Kama sikosei) na pia Askari watakaomlinda huko gerezani atawachagua yeye mwenyewe!! Na pia akawaambia sitaki kukabidhiwa kwa serekali ya marekani!! Na serekali ikakubali! Na wakatii na kukubali masharti hayo na wakayatii!! Na bado huko gerezani pakawa Kama nyumbani tu! Shughuli zake Kama kawa!! Na alifanya hivyo ili kuwa salama zaidi maana makundi pinzani yalikuwa yanamsaka kweli kweli!! Sasa ndugu yangu huyo hush puppy unayesema ni Pablo wa kizazi hiki kashindwa hata kuwapangia serekali ya dubai masharti yake, kashindwa hata kuwafanya raia wa eneo alilokuwa anakaa wamuone Kama mungu, mikono yake Safi laini haina hata hatia ya damu ya mtu unawezaji kutuambia ni Pablo wa kizazi hiki? Tapeli tu huyo!!

    • @ntirinigasenior7901
      @ntirinigasenior7901 4 года назад +1

      True, a very talented guy namkubali sana

    • @husseinissa4182
      @husseinissa4182 4 года назад +1

      acha kumfananisha pablo ma vitu vya ajabu uyo ata level za El Chapo bado hajafika ata kidogo

    • @halima23862
      @halima23862 4 года назад

      Kassimu Mtunguja very true , he won’t stay there too long.

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 4 года назад +5

    Mwizi mwenye akili zake... Huyu marekani watatumia izo akili zake. Corruption is everywhere

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 года назад +2

    Achana na wale
    Vibaka wetu wa tuma kwenye namba hii 😂😂😂😂 lkn miaka 20 so mingi kiviile

  • @hafsamaulid1256
    @hafsamaulid1256 4 года назад +1

    Duuuh huyu jamaa ni Khatari kweli Daaaah, yani hapa duniani Kuna watu Wana roho zao jamani kaaaah

  • @maulidiramadhan79
    @maulidiramadhan79 4 года назад +1

    Tuletee appdate zote za ashpap Kaka kingereza atuelewi

  • @vandross6674
    @vandross6674 4 года назад +7

    Hawa matapeli wa Nigeria miaka kadhaa iliyopita walikuwa wameingia pia hadi Kenya ili kufanya biashara zao haramu. Katika nyumba moja ungepata wanaishi wanaume zaidi ya 5 wakiwa na laptops na internet strong. Lakini serikali iliwafukuza wengi wao nyumbani kwao. Watanzania wenzangu pia chungeni hawa watu, wengine sio watu wazuri

  • @mjumbemwanda7123
    @mjumbemwanda7123 4 года назад +1

    We need that man

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza 4 года назад +1

    Haya mambo ya kuiba hela kwenye internet nayajuwa Sana Sema ukikamatwa unachezea kipigo noma duh bora niendelee na shuguri zangu za kawaida

  • @mariamnamwa188
    @mariamnamwa188 4 года назад

    Akili kichwani

  • @lubungaetienealmasi1059
    @lubungaetienealmasi1059 4 года назад +1

    Marecani wanga ahiwafungi watu hawa ata kidogo wataitumikia tahifa kwa uwelewa wake na ngereza atakalo wekwa litakua nzuri zahidi

    • @johnjnr2
      @johnjnr2 4 года назад

      Duuuh!! Kiswahili ni kigumu hivi jamani

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 4 года назад +1

    Hawa ndio wizi,sio wale wanoiba masufuria na kuku wa mitaani

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 года назад +4

    Duuh huyu mwizi konki maana wizi wake ni wakimataifa 😁

    • @eddimalon6051
      @eddimalon6051 4 года назад +1

      Ehhh kiboko, halafu mtoto mdogo tu

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 года назад +1

    Duuh sjui anastahili adhabu gan uyu kaka mana mhmm

  • @shifamakame4622
    @shifamakame4622 4 года назад +2

    Wamarekani washapata kazi hiyo🤣🤣🤣

  • @allexlunny7795
    @allexlunny7795 4 года назад +1

    kumbe waafrika vichwa sema wakizipata wanakua vichaa na kuchanganyikiwa

  • @amoremimik5270
    @amoremimik5270 4 года назад +6

    Wanaigeria waogopesha lol. Some of them are good in defrauding others....

  • @ibrahsanga2899
    @ibrahsanga2899 4 года назад +1

    Ila kiukweliii watu wa 🇳🇪 sio kabisa akili zao ni kubwa mno

  • @hongeramgaya714
    @hongeramgaya714 4 года назад +2

    Maisha ya sio halali#fakelife# nothing comes for free

  • @marinamooh4055
    @marinamooh4055 4 года назад +3

    Utajiri wa halali na wa kweli huwa hauna kelele na ndio maana ata Bank ukiingia 🤣🤣🤣Miziki wake taratibu🤣🤣 unaweza lala kwenye foleni🤣🤣sasa wenye ku fake life uwiiii hizo Fujo inst ni balaa 🙆‍♂️. Nikifikiria jinsi walivyokuwa wana kula bata Hushpapi na Mr woodberi uwiii 🙆‍♂️ Yaani hiyo miaka 20 haiwatoshi kabisa

  • @hellenelias2668
    @hellenelias2668 4 года назад +1

    Aiseeeee 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 года назад +1

    This guy dangerous

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 года назад +2

    Yani mtu anaiba bila huruma wala uwoga........nashuku kuna walio kuwa wakimsaidia maana huu wizi wa hali ya juu mara nyingi huwa ni chain .......just my opinion 🤐🤐🤐

    • @Ashiprizeg
      @Ashiprizeg 4 года назад +1

      Ndio alikua anakundi lake wote walikamatwa

    • @juliaayieta2578
      @juliaayieta2578 4 года назад +1

      @Ashi Prize G shukran Ashi

    • @youngyayoo2805
      @youngyayoo2805 4 года назад +1

      Yap,Yahoo boys is a chain of internet scammers very rich big boys

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 4 года назад

    Mpigaji...

  • @marycelinapaschal9619
    @marycelinapaschal9619 4 года назад +1

    Za mwizi 40 huu msemo ndio naanza kuuwelewa hapa

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 4 года назад +1

    Marekani ndo inawataka watu kama hawa.

  • @gaudencemassawe3704
    @gaudencemassawe3704 4 года назад +1

    Huyu jamaa ni hatariii

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 4 года назад +1

    Yanii miaka 20 ukitoka umekuwa babu mbona utakufa kabla ya siku zako mana hujazoea shida.Ila wa Nigeria siwapendiii yanii kwanza n watemi mnoo mimi sitakagi hata mazoea nayo na hapa Dubai wamejaa kibao hata MOFA wamchunguze

  • @GraceMakenga-zd1vn
    @GraceMakenga-zd1vn 9 месяцев назад

    Ila wanaija ni hatariii

  • @Esty1248
    @Esty1248 4 года назад +13

    Miaka 20 ni michache mno afungwe miaka 105 liwe funzo kwa wengine wasiotaka kufanya kazi, kuishi starehe kwa jasho la wengine

    • @emilymula645
      @emilymula645 4 года назад

      I thought so too...

    • @eddimalon6051
      @eddimalon6051 4 года назад

      @@emilymula645 Kama kifungo miaka 20 ata mie kazi hiyo nitaifanya.

    • @ozanee1739
      @ozanee1739 4 года назад

      Uyo akili nyingi mzee

    • @ntirinigasenior7901
      @ntirinigasenior7901 4 года назад +2

      Utafaidika nin akifungwa miaka 105? Jamaa anaakili sana aachiwe huru tu

    • @khalifa_wayy1979
      @khalifa_wayy1979 4 года назад

      Wao wenyewe wamerekani wizi wanauwa watu duniani kote wapate kuiba, yeye hajauwa mtu,

  • @Aysha-ms3ln
    @Aysha-ms3ln 4 года назад

    SnS for life

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 4 года назад +1

    Yaan huyu jamaa lazma u.s imtumie km mtalam wao mkuu wa IT

  • @msakaramohamed4298
    @msakaramohamed4298 4 года назад +1

    ivi kwao kuna mtuhumiwa ambae alisha tolewa na kuja kuhukumiwa katika magereza ya afrika ?

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 4 года назад +3

    Hili jamaa lina akili sana ya kuchezea akili za watu

    • @youngyayoo2805
      @youngyayoo2805 4 года назад

      Ya sana,huwa namfollow Sana 419 scammer

  • @rahulstark2394
    @rahulstark2394 4 года назад

    Myaka 20 ..Dhuuh

  • @Cendrillon1417
    @Cendrillon1417 4 года назад +1

    His name Raymond as well. Abbas sio lake ni jina bandia la kuibiya tuu

  • @ahmedmahamudu4140
    @ahmedmahamudu4140 4 года назад +3

    Huko marekani hafungwi kamwe huyo watamuweka kitengo maalumu ili wapige nae pesa

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 года назад

      Ahsante sana kumbe wee unajua mipango

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 4 года назад +4

    *HUYU JAMAA KWA WABAOMFATILIA AILIKUWA ANAKULA BATA BALAA MZEE WA YAHOO BOYS*

  • @athumanhusen4558
    @athumanhusen4558 4 года назад +2

    huku bongo wana IT ni waweka muvi na muziki kwa flash hawajui chochote 0 brain

  • @thee_mutse1416
    @thee_mutse1416 4 года назад

    Angeiba he invest alafu aache kuiba 😂😂 Tamara mbaya

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 4 года назад +2

    Mie kuna mnaigeria aliwai kunidanganya eti yeye mmarekani. Nilimshtukia accent yake akaniambia atanikatia tiketi ya ndege kwa hela ya kununua nyanya mradi tu nitumie visa card yangu kumtumia ivo viela, nilitoka mbiooo🏃‍♀️🏃‍♀️mara nikaskiaga yuko jela.

    • @albs1448
      @albs1448 4 года назад +1

      Na uwe makini dada, siku hizi kuna sex trafficking yani utajikuta kwenye danguro na utatombwa mpaka utamani kujiua

    • @Lassana755
      @Lassana755 4 года назад

      Sex traffic kivipi mkulungwa hebu tufafanulie tuelewe

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 4 года назад

      ALB S 😁😁hilo nalijua, afu mie niko bara Europe na uyo mnaijeria nilimkuta uku uku, alikuwa anataka aniuzie tiketi ya kwenda bongo na kurudi kwa chini ya dola mia eti, so ukitoa nr za visa card ndio imekula kwako, utakombwa kila kitu adi mikopo anachukulia card yako, ukijashtuka too late

  • @hamisshabani3126
    @hamisshabani3126 4 года назад +1

    Wanaigeria ndio matapeli wakubwa wa mtandaoni duniani wakifaiwa na watanzania na wakongo

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 года назад +1

    Funzo kwa wengine

  • @mtupidy3033
    @mtupidy3033 4 года назад

    Wa kwanz hpa

  • @gucciwambura6468
    @gucciwambura6468 4 года назад

    Kujua zaidi subscribe RUclips channel GUCCI WAMBURA

  • @innocentssamuel4110
    @innocentssamuel4110 4 года назад +1

    😀😀😀😉😉 nomà

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 года назад

    Ila wanaija 🤔🤔🤔🙌🙌🙌

  • @martinnjogu7627
    @martinnjogu7627 4 года назад +1

    All will be well sonofthesoil we love you, you will be back

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 года назад

    Duh huyu jamaa ni zaidi ya beberu yaani jambazi konki kabisa akafie hukohuko jela

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 4 года назад +1

    Huyu jamaa ni mzembe Sana!! Hivi ni Nani alimdanganya kuwa unaweza kuwa tapeli na mwizi maisha yako yote bila kudakwa? Alipaswa kuiona siku hii kabla hayajamtokea!! Halafu kwa pesa aliyoingiza kipindi chote hicho si ilitosha kabisa kuachana na hiyo kazi na kuendelea na biashara zake!! Kazi yoyote isiyo halali huwa na mwisho mbaya ni vyema Kama unaifanya ujipange ili uachane nayo Kisha uendelee na maisha yako ya kawaida kuliko kuchonga mzinga!!

  • @jasmineshechambo3401
    @jasmineshechambo3401 4 года назад

    Atakoma👆

    • @eddimalon6051
      @eddimalon6051 4 года назад

      Mtu hakomi pesa. Engekoma hapo alipokuwa huru na anapesa.

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 4 года назад

    Kweli huyu ni tapeli sugu kuwahi kutokea duuh

  • @greatestdaniel7865
    @greatestdaniel7865 4 года назад

    Huyu balaaa

  • @giftmush5297
    @giftmush5297 4 года назад +1

    Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake ila usisahau hata kama unadokolea wenzako buku wewe ni mwizi

  • @hassandaintelligent6361
    @hassandaintelligent6361 4 года назад +3

    Huyu lazma watamtumia marekani katika mambo yao. Wenzetu watu kama hawa badala ya kuwafunga wanaamua kitumia akili zake kujifaidisha

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 4 года назад +1

    Wampige fimbonyingitu zamatakoni alafu wamuacie😆😆😆

  • @Daphne362
    @Daphne362 4 года назад +1

    Huyu afunge maisha no excuse

    • @youngyayoo2805
      @youngyayoo2805 4 года назад

      Nop,internet scam less than 15yrs only

  • @anahna6788
    @anahna6788 4 года назад +2

    HUYU KAKA NI WAKALA WA WANA FM YAANI MASOONIC COM

  • @mansooronlinetv535
    @mansooronlinetv535 4 года назад

    Inawezekn hyu hushpapi ikawa yupo pamoja na wale majamaa wa izoo pesa tuma kweny namba hii au vipi😂

  • @chundabadsingasinga3130
    @chundabadsingasinga3130 4 года назад +2

    This man used what we call #PARADOXPHILOSOPHY

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 4 года назад +1

    🤔🤔🤔

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 года назад

    Siku za mwizi ni40

  • @emilymula645
    @emilymula645 4 года назад +2

    "Up to 20yrs" in jail... He'll be 57 by then...😶🤔

  • @aminaally242
    @aminaally242 4 года назад +3

    Ile pesa tuma kwenye namba hii jina litatokea mwamvua sabago wezi wa bongo bwana

  • @manzitalks957
    @manzitalks957 4 года назад

    Angalia Njia ambazo Hush Puppy alikuwa akiwaibia watu pesa kwa njia ya mtandao kupitia hii Link: ruclips.net/video/MvxWY1YRXbU/видео.html

  • @is-hakayussuf9981
    @is-hakayussuf9981 4 года назад

    Sasa miaka 20 si ndo 20 tu iyo jamani

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 года назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 4 года назад

    Inamaana alitaka kuiba Tanzanite 41 za bwana laizer??!!!

  • @munaibrahim8829
    @munaibrahim8829 4 года назад

    Nasitolewe akafiembele

  • @mikarospius8084
    @mikarospius8084 4 года назад +1

    Izo ndo za mwizi ni 40 ,

    • @eddimalon6051
      @eddimalon6051 4 года назад

      yeye kapita 40 labda 80 kama si kidogo.

  • @sniperboy7098
    @sniperboy7098 4 года назад

    So poa

  • @sadiqiramadhani8613
    @sadiqiramadhani8613 4 года назад

    Ohhh nigerians😏

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 4 года назад

    WA kwanza nipeni like zangu

  • @annitabobo5438
    @annitabobo5438 4 года назад +2

    Lucky he is in US jail