Mtumishi kuhusu dar unabii wa mwezi wa tano kufeli Ni dhibitisho kua Justin yuko sahihi MUNGU amesema katika maandiko yake kwamba nabii yeyote akitabiri jambo lisitokee ni wa uongo hata wewe mwenyewe ulikiri ukatuambia kwamba lisipofanyika mwezi wa tano wewe hujatumwa na MUNGU basi tuambie iwapo ulijua hautatimia na wewe mwenyewe kutuambia lisipotimia ww hujatumwa , siwezi kukuhukumu Sababu sina kibali cha kukuita nabii wa uongo ila nitasikiliza kile ambacho mnahubiri kile cha uongo sitasikiliza lakini kile cha ukwl nitasikiliza ,kufeli kwa unabii wa mwezi wa tano kumenifanya nitetemeke na kujua kwamba siku ya BWANA itakuja kama mwizi na si kama ulivyotuambia ,mafundisho yako Ni ya ukwl + uongo
Nafikiri wewe utakuwa mdogo wake nabii tito maana mnafanana sana tofauti nabii Tito anaongea uongo uliokolea wewe unaongea uongo ambao haujakolea , cha kukushauri acha huo ujinga tengeneza na BWANA YESU bado mapema
Mambo Ya rohoni mutu WA rohoni ndiye atayeelewa asiye WA rohoni awezi kuhelewa ❤❤❤
Amen ubarikiwe nabii Musa amina
Acha kudanganyika hamna Cha nabii apa!!
Hili somo ni la nguvu sana ni kutoka kwa waziri mkuu wa mbinguni kweli
Pole sana !!adi ww unamuamini uyu tapeli
Msituchanganye hubirini injili
Ahahahaaa Musa umerudi usionekane mpaka mafuriko ya dar yatakapo onekana
Khaaaa umerudi 😂😂
Shalom Prophet
Ha ha ha haaa nafurahi sana
Mzee wa mafuliko ya dar umerudi tena
😂😂😂😂😂😂😂
Leo ghorofa limeanguka isije ikawa mambo ndo yanaanza pale kariakoo
❤
MUONGOO AMERUDI ON AIR
Mtumishi ghorofa iliyoanguka leo kariakoo ndo ile sunami au vipi?
Kwani unaamini tulichosema au ni bahati mbaya imetokea
Huyu ndie yule nabii alietabiri kuwa yesu atarudi jumamosi ya mwaka 2666
Wakristo kazi yenu kutabiri tabiri
Wewe mjamaa umeshindwa kuleta mafuriko....hunajipya unaongea ueleweki kauze nyanya maana umeumbuka vizuri 😅
Acha ujinga uwe unaona naaibu ulkua umefanya vizuri kutoweka maana Pepo za uongo zilizomo ndani yako ndizo zinazokusumbua Mungu akuponye maana shida yako naijua hivo wacha ibilisi azidi kukutumia katika upotevu wako
Nimefurahi kukuona, unaendeleaje ndugu
Mtumishi kuhusu dar unabii wa mwezi wa tano kufeli Ni dhibitisho kua Justin yuko sahihi MUNGU amesema katika maandiko yake kwamba nabii yeyote akitabiri jambo lisitokee ni wa uongo hata wewe mwenyewe ulikiri ukatuambia kwamba lisipofanyika mwezi wa tano wewe hujatumwa na MUNGU basi tuambie iwapo ulijua hautatimia na wewe mwenyewe kutuambia lisipotimia ww hujatumwa , siwezi kukuhukumu Sababu sina kibali cha kukuita nabii wa uongo ila nitasikiliza kile ambacho mnahubiri kile cha uongo sitasikiliza lakini kile cha ukwl nitasikiliza ,kufeli kwa unabii wa mwezi wa tano kumenifanya nitetemeke na kujua kwamba siku ya BWANA itakuja kama mwizi na si kama ulivyotuambia ,mafundisho yako Ni ya ukwl + uongo
Utoto unakusumbua ukikua utaacha.
ruclips.net/video/8phnVKNdZEU/видео.html
Nabii njaa tu ndio maana mwanzoni mwa video yako unaweka namba za m pesa na airtel money 😅😅😅
Ulitaka tuweke picha yako
@@unyakuotv.1391Punguza njaa wewe...😅😅 kaone kamekaa kitapeli tu....eti mimi ndio mti wa uzima😅😅😅 upelekwe milembe wewe....halafu Sema tukupe ugali ule maana njaa itakuua jizi wewe
😂😂😂😂😂😂😂
Unajibu kitapeli wewe waziri wa mbinguni...mbingu ya bibi yako🎉
wewe unatabiria hata vifo kwa viongozi. Ma haitokei
Hebu badili kwanza hilo jina la mwaipopo.wasijekukuita mwai pepo