🅻🅸🆅🅴 : MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA KUHAKIKI RASIMU YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 7

  • @joanitamedard5105
    @joanitamedard5105 Час назад

    Mbona wachumia tumbo ni wengi

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 49 минут назад

    Mavyama ya kwenye mafaili lakini yanakula mlungula ili yaonekane ni ya upinzani kumbe ni maccm b hayana wanachama Wala hayagombei ila yanasubili mialiko tu

  • @joanitamedard5105
    @joanitamedard5105 Час назад +1

    Mstuchanganye wazee wetu maana tunawajua nyie vyama ndugu na CCM. Hapo Chama langu ni Chadema 4 life, maana ukute CCM IMEWATU.A

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 24 минуты назад

    Vyama mfu fisiemu bplus

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Час назад +1

    Mikutano ta aina hii nikupakana mafuta kwa mgongo wa chupa !!

  • @joanitamedard5105
    @joanitamedard5105 Час назад +1

    Mstuchanganye wazee wetu maana tunawajua nyie vyama ndugu na CCM. Hapo Chama langu ni Chadema 4 life, maana ukute CCM IMEWATU.A