Da! Iv nani kawaloga watanzania mbona awawazi mbali jmn mungu saidia sisi watu wako ona awa wamechoka awa wote ni maisha magumu kama mimi uyu wa kofia bonge bonge sheik nae watanzania jitambueni bc uyo mnaemshabikia hana muda na nyie hana kabisa
Wako kwenye chama cha siasa. Adhi za vyama Ziko sawa mbele ya katiba. Hakuna mjinga au mwerevu kwenye siasa CCM hakuna malaika kama ambavyo chadema hakuna malaika.
ndio ccm.hio vijana wenzangu tubadilikeni hebutubadilishe hiinchi isiweyawatu wacha cha ccm pekee
Upuuzi huu
Da! Iv nani kawaloga watanzania mbona awawazi mbali jmn mungu saidia sisi watu wako ona awa wamechoka awa wote ni maisha magumu kama mimi uyu wa kofia bonge bonge sheik nae watanzania jitambueni bc uyo mnaemshabikia hana muda na nyie hana kabisa
MH. RAIS SAMIA...MWENYEKITI WA CCM....HAYA NI MAMBO YA AIBU NA FEDHEHA KUBWA SANA KWA CCM....CCM INAKUFIA MIKONONI MWAKO.
😢😢 bado mnaitaka ccm maisha magumu ivi 😂😂
Vijana mbumbu uko ccm unaacha kazi zako unaenda kuchagua ccm
Wako kwenye chama cha siasa. Adhi za vyama Ziko sawa mbele ya katiba. Hakuna mjinga au mwerevu kwenye siasa CCM hakuna malaika kama ambavyo chadema hakuna malaika.
Lakini kura. Zamaoni huwa no za wajumbe
Wajumbe wenyewe ni wale wanachama hai nikimaanisha wenye kadi
Halafu kwa nini wapige wananchi wote.
Waakibiana wenyewe je, huko kwa wengine. Ni aibu tupu.
Izo ni kura za maoni za wanachama walio jiandikisha wenye kadi za Ccm na majina yawepo apo lazima mlilazimisha mpige kura wakati hampo ktk majina
mtajua amjui madhara wake ndio uwo
Machizi niwengi hapatanzania
Hama ccm hamtakiwi
Hata kukiwa na chama kimoja tu tafrani na vurugu zipo tu.dawa sion kuwa na chama kimoja.dawa ni katibà mpya tu.huo mfano hai.
Wahuni hawa
Duuuh Mungu ibariki Tanzania, kama Chama kimoja hivi, tutakapokwenda wa vyama vingi itakuwaje?
vijana njaa wote hawa boda boda,hajira hakuna,wanajua ccm Kuna 10k za bure
Bado mbelekoyamagufuli imechanika
Who is this guy🫠????
Sasa uyo choko anakwenda kupiga kura na kofia ya ccm ndo kanuni za uchaguzi zilivyo?
Kunawatu akili zao zishafyatuka unaemuona nimtu mzima ila kichwani bure
nyie vijana mbona nawahurumia hamnazo
Kwaanza ni kosa siku ya kupiga kuula mtu anavaa kofia anguo ya chama mbona hapo pana kofia za chama cha mapinduzi?
Ilikuwa ni kura za maoni sijui ni wanaita hivyo yaani kwenye chama mnapiga kura kuchagua nani sasa akagombee na wapinzani
Kumbe hata ccm wao KWA wao mnagombania kula nyie nihatari
Mwwesiga mshamba ww kwani ccm tupo vijana kibao