BREAKING: Waislamu wavamia ofisi ya DC Hai, tunataka haki!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • BREAKING: Waislamu wavamia ofisi ya DC Hai, tunataka haki!!
    Waislamu wa Misikiti ya kata tatu tofauti katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Wameandamana kuelekea katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya Ya Hai, Lengai ole Sabaya, kupeleka mashtaka yao ya kuporwa shule walioyoijenga kwa michango yao.
    #DCSABAYA #DCHAI
    SUBSCRIBE: Global TV Online: goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook:
    globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global

Комментарии •

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 6 лет назад +8

    Kama unakubali Masai wanaheshimu wazee gonga like hapa kwa ole sabaya

  • @destiny4life439
    @destiny4life439 6 лет назад +19

    watu wanadhulumu haq za waislamu bila ya was was subhanallahi allah yupo kwake ni hakimu wa kweli na haqi inshallahi

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 лет назад

      Destiny 4life nakuona mK'NJARO na huku upo au mpenda haki au ndo mfuatiliaji wa global imekubamba tu!
      Ila vzr kuwa na ya nchi yako katk kona mbalimbali wafuatilia 👌🏿👏🏿👍🏿

  • @zinbormdan9813
    @zinbormdan9813 6 лет назад +20

    Allah kareem atawasimamia innsha allah

  • @zenaabdallah3797
    @zenaabdallah3797 3 года назад

    HAO HAO WAICLAM WATAKUOMBEA DUA UTOKE KWANI UMEWAJALI NAO WAMERIDHIKA INSHAALLAH MUNGU YUPO

  • @nishujamal6800
    @nishujamal6800 6 лет назад +3

    MashAllah Allah awasimamie ili mpate hakhi zenu In shaAllah

  • @amanidaima6587
    @amanidaima6587 6 лет назад +1

    Poleni sana ndugu zangu.Busara na Allah atusimamie kwenye hili

  • @destiny4life439
    @destiny4life439 6 лет назад +21

    waislam waskivu ssana bila fujo wallahi huu ndio uislam saf sana jazakumu llahu khayral jazaaaaa

  • @georgewamel8358
    @georgewamel8358 6 лет назад +6

    mm siyo muislam,, lakini nimewapenda bure waislamu kwa unyenyekevu wao.. Mungu awabariki.

  • @abubakaribakari7941
    @abubakaribakari7941 6 лет назад

    Duuuuu busara nzuriiiii saaaana big up mkuu wa wilaya

  • @aliarkam1413
    @aliarkam1413 6 лет назад +3

    Allah akufanyie wepes

  • @yusuphramadhan2713
    @yusuphramadhan2713 5 лет назад +2

    DC mstalabu sana hongela

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 6 лет назад +1

    In shaa Allah mutapata haki yenu kwa uwezo wake Allah

  • @julianamasunga4147
    @julianamasunga4147 6 лет назад

    devid wambura mungu anakuona ....waombe msamaha waisalamu wotee...

  • @stn4873
    @stn4873 3 года назад

    POWER SABAYA.

  • @fatumafatumadullah5530
    @fatumafatumadullah5530 6 лет назад

    subhanna Allah david mbarua mungu akusamehe hujui ilisemalo

  • @idayakey6886
    @idayakey6886 6 лет назад

    Mungu awajalie mpate haki ishallah

  • @abuyabally7091
    @abuyabally7091 6 лет назад +15

    kwa serikali hii naamini Haki wataipata hapa kazi tu

  • @rukwangarimoses5980
    @rukwangarimoses5980 3 года назад

    Sasa hayo ndio mambo hayohayo wanayomfanyiya DC wenu sabaya kila anapo wakabili hao wanao zulumu haki zenu wanainci huwa anakabiliwa na upande mwingine wakizua mambo ya kumpakaa matope tu na kumzalilisha.lakini anacyo kifanyaDc sabaya nisahihi asaidiwe badala ya kumtengenezea mashtaki hovyo tu ya Wana siasa hongera dc sabaya usi babaike ukweli nihuu kuhudumia wanyonge. Na mungu atakulinda

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 6 лет назад

    Inshaallaah hii inapendeza hakuna fujo ni lakha ya kusikilizana inaleta aman zaid mungu aipe upendo wa kweli tanzania

  • @doctormbaruku8081
    @doctormbaruku8081 6 лет назад +1

    In shaa Allah

  • @thomaskeya4092
    @thomaskeya4092 5 лет назад

    Mungu akubari mkuuu

  • @mkwamahassan5549
    @mkwamahassan5549 6 лет назад

    allah atatuongoza kwa kheri waislam,mudio ilianza kwa mikono ya waislam wa mudio,kalimani,korongoni,kware,kwa sadala,kibohehe,ajabu hao wanaotaka kuanzisha vurugu,wakati wao wana taasis zao arusha,ole sabaya homgera sana kwa kuwasikiliza waislam waliokuja kwako kwa amani

  • @davidnyambuche352
    @davidnyambuche352 5 лет назад +1

    Kikubwa ni watu wapate haki yao, na wanaotaka kupora haki ya watu washughulikiwe wasiachwe hivi hivi

  • @jamesm.darnes640
    @jamesm.darnes640 6 лет назад

    Waislamu wote duniani wangekuwa hivi dunia ingekuwa paradiso leo

  • @abubakarmzee3374
    @abubakarmzee3374 3 года назад

    Msiba mambo ya waislam kwa D C mtihana

  • @ummesaniyah
    @ummesaniyah 3 года назад

    Waislamu wa ukweli hawakimbilii kwa ma twaghut kuamuliwa mambo yao... Ipo wapi Qur-an na sunnah yake Rasulullah?... Inna lillahi

  • @emanueluledi5616
    @emanueluledi5616 5 лет назад +1

    Nakwelewe sana lais wetu akukosea kukuchagu nimependa busala za na viongozi wengine waige mfano wako

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 3 года назад +1

    Huyu ndio sabaya mwenye roho ya sokoine ,in Comrade sokoine's second chance

  • @mwanaidihussein1462
    @mwanaidihussein1462 6 лет назад +1

    Allah Akbar

  • @daud405
    @daud405 2 года назад

    Mbona Sabaya alikuwa saw

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 лет назад

    safi kabsa
    ila vijana hawapo weng n wazee tu kweli wazee pia wakiamuaa wanawezaaa

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 6 лет назад

    IN SHAA ALLAH

  • @kadozawakadoza5955
    @kadozawakadoza5955 6 лет назад

    ALLAH.atajua chakuwafanya wanaodhurum.haq.zawaislam

  • @salmaabdillah1617
    @salmaabdillah1617 6 лет назад +12

    huo ndio uislam Amani manshala Allah azidi kutupa subra ndio silaha yetu Alsamir jamilll manshala

  • @abelymaking652
    @abelymaking652 3 года назад

    Duuu eti Leo yupo mahabusu😂😅😂 so sad

  • @hasanalihasani3236
    @hasanalihasani3236 6 лет назад +5

    kumbe Shekh wangu Tauratha mwafanyiwa hivyo Allah yu pamoja nanyi atawafanyia wepes

  • @innocentjay5844
    @innocentjay5844 6 лет назад

    SubhanahAllah

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 лет назад

    devidi pole sana hujijui ila mungu atakuonyesha jambo usilolijua

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 лет назад +1

    wallah sabaya utafika mbali sana anahekima sana na anaujua uongozi raisi huyu jamaa anastahili kuwa rc

    • @erickmapunda4231
      @erickmapunda4231 3 года назад

      Sasa c unaona muislamu mwenzenu amemtoa, nyie waislamu nchi hamuwezi kuiongoza

  • @ggjghh6245
    @ggjghh6245 6 лет назад

    Huyu kaka nimempenda mstaarabu sana

  • @joycekarim9184
    @joycekarim9184 3 года назад

    Huyu haoni haya ndoomaana hata magufuli anatukanwa bila kujari watanzania ametufanyia nn? Binadam bwana hovyo ndoo sababu mungu alijificha mpooo

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 6 лет назад +1

    Mheshimiwa Ole ulichelewa kuwepo upande huu hakika ni kiongozi muadilifu tena mwenye hekima

  • @alexmamti5022
    @alexmamti5022 6 лет назад

    Mm mwenyewe lichanilikuwa na umri wa miaka 14 watu walijitole kwa nguvu na mali kujengashule ya kiislam modio wengine walitoa hatampaka ng'ombe za ndani

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 6 лет назад +3

    Global TV kuweni na makini mnapotoa vichwa vya habar ...wamevamia Kwan hao majambaz ?

    • @nadiyakisho2178
      @nadiyakisho2178 5 лет назад

      nashanga kaz kupak tope waisilam2 waonekane wabay sijuw haw wandishi wapoje mavi yao bhan wameniudhi

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 6 лет назад

    Inshallah

  • @dechaggagirl6173
    @dechaggagirl6173 5 лет назад

    Ooh my gaaaaad naona watu wa hom live home 😂😂😃😃😃😃

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 3 года назад

      Tujuaneeeee😁 na mimi nawaona, wa modio wamechoka. Mmbatiri fayda na shule foooo.

  • @husseinmohamed9365
    @husseinmohamed9365 6 лет назад

    Allah awape wepes

  • @eliasayasini1466
    @eliasayasini1466 6 лет назад +7

    Allah awasimamie

  • @khadijasaleh9653
    @khadijasaleh9653 6 лет назад

    Allah awasimamie ndugu zangu

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 5 лет назад

    Mbona heading ni tofauti na tuliyoyaona hapa hai Waislamu hatuna tabia ya uvamizi

  • @rizooboy4446
    @rizooboy4446 6 лет назад +2

    Mashallah

  • @nice5671
    @nice5671 6 лет назад +1

    wakrstu ni watu wa hekima na siwez dharau dini ya mwezang

  • @poolwiztz2950
    @poolwiztz2950 3 года назад

    Kwahyo leo hawayakumbuki mema yake duuuh Tanzania ni Giza kwel

  • @ibadiibadimp9870
    @ibadiibadimp9870 4 года назад

    Yan watu wa home nayajua hapo namwona baba chuwa baba twaa

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 6 лет назад +10

    Kama unaamini waislam wote ni viraza gonga like twende sawa.

    • @idrisasalum8013
      @idrisasalum8013 6 лет назад

      David Wambura mamaako ni kilaza, kichwamaji,mbulula ndio maana alikuzaa ww fala

    • @saydbarakismailiya1515
      @saydbarakismailiya1515 6 лет назад

      Baba yako na mama yako ndo vilaza mbwa wewe

    • @tausilekei8155
      @tausilekei8155 6 лет назад +1

      Sio adabu Wala ustaarabu kutusi dini ya mwenzio na Wala usijione kuwa uko sahihi saana kuwa katka dini uliyopo Lau Kama ungetambua uko katika hasara ungetoka ulipo kabla juahalijabadili mwelekeo kutoka magharib na kuelekea mashariki..... think twice about it then chukua hatua

    • @tausilekei8155
      @tausilekei8155 6 лет назад +1

      @@kassimjuma8713 ukimtusi hujamfundisha Kaka...uislam Ni mzuri💋💋💋hamna kitu umeacha hata kimoja hvyo siyo sifa ya muumin kutukana tumuogope Allah na kumcha ukwel wakumcha...by the way hukufanya vyema ndg yangu katika iman Rudi kwa Allah ukaombe radhi

    • @tausilekei8155
      @tausilekei8155 6 лет назад

      @@saydbarakismailiya1515 hapana Lau mtume Wetu Muhammad (s.a.w) angekuwa anafanya hivi hakika hii dini ya haki isingetufikia tuweni wachamungu jaman usisahau dunia mapito... NAKUPENDA kwa ajili ya Allah

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 6 лет назад

    ingekuwa zamani wazee hawa wangepigwa nakupewa kesi ya ugaidi ongera relikali sikivu

  • @jumakibauri479
    @jumakibauri479 6 лет назад

    Uongozi huu ndio tunaoutaka, watu wanapoandamana yapàswa kusikilizwa namna hii, sio kuwapiga mabomu

  • @tzmny4909
    @tzmny4909 6 лет назад

    awa ndio viongozi wenye hekma .mungu akupe madaraka zaidi .mkuu wa wilaya

  • @kwezifundikira2072
    @kwezifundikira2072 6 лет назад

    jumatano ipi leo nimesubili weeee hakuna kitu

  • @samwellukumay5505
    @samwellukumay5505 6 лет назад

    Kwa.serikali.hii.lazima mpate haki

  • @dollyandthedoliganeloi3025
    @dollyandthedoliganeloi3025 5 лет назад

    Ata shikamoo hamna siku hizi

  • @sungitatv9887
    @sungitatv9887 6 лет назад

    😌😌😌

    • @nomamustapha8565
      @nomamustapha8565 6 лет назад

      hakuna ustaarabu hapo

    • @saudamunisi2328
      @saudamunisi2328 6 лет назад

      pole waislam WA Modio alikuwa WAP mkiporwaa shule kuweni na kauli za kislam ayo ni mambo ya kukaa chini nakuzungumza so mambo ya kuanika

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 6 лет назад +1

    nilichogundua rafudhi haina dini..

  • @aishamambo1072
    @aishamambo1072 6 лет назад

    Tunamuomba pia mueshimiwa rais wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kwa ujumla watusaidie kuangalia na waislam wasiokua na hatia walioekwa magerezan

    • @modestusndunguru4479
      @modestusndunguru4479 6 лет назад

      Aisha Mambo wawekwe ty.. kwenye sheria Hakuna cha dini... we Kama ni mvunja sheria za nchi.. uozee tu huko huko Mbona waache wafundishwe adabu... Mbona kuna waislam wengi tu ni watu wema.... Wale wajifunze.. waache ujinga ujinga

  • @ruaiyatruaiyat691
    @ruaiyatruaiyat691 5 лет назад

    Mashekhe watoweni ndani pia nao ni binaadamu.pia wanahaki

  • @roberttesha1484
    @roberttesha1484 5 лет назад

    Sabaya ametengeneza igizo

  • @lennygeorge9165
    @lennygeorge9165 5 лет назад

    Nasikia majina ya yahaya ndo yamewanyang'anya shule

  • @shanelisessoa7175
    @shanelisessoa7175 4 года назад

    KAJAMAA KANAVYO JIONA KANA KWAMBA NI KA MUNGU KADOGO HAI,KAPUMBAVU UKIKUTANANAKO PEPONI UNA KASUKUMIA KUZIM KAJINGA HAKA

  • @nice5671
    @nice5671 6 лет назад +3

    ww zacharia hujui tyu juzi kati ulipo tokea msiba wa Pancho Kuna mdada wa kiisilamu aliponda xana juu ya wakirstu tena bora angekuwa msitaarabu lkn alitumia mikiristu makafiri kwel sisi ni Binaadamu wote watoto wa mungu huyo huyo mmoja

    • @anozacha611
      @anozacha611 6 лет назад

      Ok

    • @sharifahsalum8304
      @sharifahsalum8304 6 лет назад +1

      Before you start complaining. .by the fact of being called a Kafiir you should go and do your homework , my dear. .the true definition of Kafiir is a Disbeliever,, since We Muslims have different points of view with other faiths including Christianity, Hinduism, Buddhism etc
      when it comes to belief we have the right to call you Kafiirs simply because you do not believe what we believe. .same goes for you if you like you could call us Kafiirs too since hatuamini mnachoamini. .Just Clearing The Air,, No Offense.. May Allah Almighty Bless You😊

    • @tausilekei8155
      @tausilekei8155 6 лет назад

      @@sharifahsalum8304 Maasha Allah be blessed alot my dear.....yeah that's definition of a kafiir😘😘😘

  • @sadickrajabu1191
    @sadickrajabu1191 6 лет назад

    Aisee raisi akiwa imala bas serikali yake itakuwa imala kote ongera magu

  • @lennygeorge9165
    @lennygeorge9165 5 лет назад

    Muslims are so divided among themselves ad mnadhurumiana

  • @bonabonala8253
    @bonabonala8253 5 лет назад

    Mtapotezwa nawatu wasiojurikana kama tundu lissu nyiie masheehee

  • @japhetleonard9224
    @japhetleonard9224 6 лет назад +2

    wewe unajua eti unachongea mbona kama umejaa sumu yahasila ndomaana nkasema niwatu washari tayali umeanza ayabana ngoja nifunge mdomo ukweli ndo huo baybay

  • @mohamedothman9769
    @mohamedothman9769 5 лет назад +1

    Halafu nyie global kusoma kwenu mnashindwa kuchagua maneno ya kutumia, eti "waislamu wavamia " mnataka waonekane wakorofi. Fanyeni kazi kwa weledi mkishindwa ulizeni

  • @emmanuelmkeba7901
    @emmanuelmkeba7901 6 лет назад

    Waliozurumu ni waislamu wenzao ama vipi mbona vuchwa vya habari vinajenga wananchi na madhehebu yake kujenga chuki kana kwamba wasiowasomea mapato na matumuzi kwani ni Wakristo ama wapi?

  • @mussambilu229
    @mussambilu229 6 лет назад +1

    davidi wewe nimpuuzi Tu achaujinga kijana ukiulizwa ukilaza wao utawajibu kuwa nabusara huu mtandao niwakijamii ongea maneno mazuri yasije yakakugarim

    • @modestusndunguru4479
      @modestusndunguru4479 6 лет назад

      Mussa Mbilu Nyi mnavyowaita wenzenu makafir ni ustaarabu.... Nyi basi Nyi ni makafirwa

  • @danfordaugustino3461
    @danfordaugustino3461 6 лет назад +3

    Ayo mambo malizeni kwa taratibu za kidini .na makanisa yakianza kupeleka shida zao Kwa wakuu wa wilaya itakuwaje.

    • @tejawamapenzi1958
      @tejawamapenzi1958 6 лет назад

      Kwani Waona hapo Kuna Fujo?
      Wacha Kubobokwa Kijana

    • @mejubaraza9415
      @mejubaraza9415 6 лет назад

      Pengine labda umeona fujo hpo jirani au una shida ya macho

    • @anozacha611
      @anozacha611 6 лет назад

      Wewe anta usionge nyamaza

    • @zahararajabu4169
      @zahararajabu4169 6 лет назад

      Kwan hapo wamekuja kugombana

    • @kinglance6365
      @kinglance6365 6 лет назад

      Wakristo taifa kubwa wewe HAKUNA wa kutubabaisha duniani

  • @japhetleonard9224
    @japhetleonard9224 6 лет назад

    nilitarajia hayo kutoka kwa watu kama wewe sishangai Mimi sinachuki ndugu namimi siyo mpumbavu kama unavo zani wewe unavo onekana tu we we hapo ulipo umejaa chuki dhidi yawatu walio tofauti na imani yako ndomaana umeonyesha kujaa kifua mapema pole sana

  • @nice5671
    @nice5671 6 лет назад +1

    Angekuwa mkiristo mitusi kibao ira wanaoponda ukristo na kutukana mungu yu awaona

    • @zachariaissa.morogorotz2974
      @zachariaissa.morogorotz2974 6 лет назад

      Nice التوبي Sasa wewe wakristu wamefuata nini hapo Mbona unakosa hadabu Ndio mana tunahambiwaga kazi Kupenda dini za wenzetu Ivi umewai kusikia mkristu kamponda muislamu

  • @hemedizaniali4331
    @hemedizaniali4331 6 лет назад

    Allha awe nanyi

  • @sirajimsuyer4091
    @sirajimsuyer4091 5 лет назад

    Nyie n mawahabi tu

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 6 лет назад

    Nini kisa?

    • @adamyohana5749
      @adamyohana5749 6 лет назад +1

      Alhabsiya Zuweina walitoa ushilikiano wakujenga shule yapamoja namafunzo yakislam lakn wanashangaaa haijajengwa Co hawajui pasa zlienda wap ndomaana wanaulizaa.

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 6 лет назад

      @@adamyohana5749 aha OK 🆗. Asante kunifahamisha kaka

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 6 лет назад

    Watu wamejenga shule kwa nguvu zao vibaka wa nataka kiulaini

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 6 лет назад

    Hao na kapelo zao waweza kuwa magaidi.

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 4 года назад

    Malalamiko kwani ww ni jaji

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 6 лет назад

    Sasa kama mtu kala kazulum pigeni dua kwa mungu mana yeye ndie mtaka aki kwa wote kwa waja wake mana sasaivi bwana mungu alisema mtu usiuwe mtu rakini utakuta muislam anashiliki kuuwa eti mwizi mwizi kata mkono kuua raana watu turudi kwa mungu

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 6 лет назад

    JPM NI MJUZI NA HODARI KATIKA TEUZI ZAKE...........GOD BLESS YOU DC

  • @abuumanmansour7204
    @abuumanmansour7204 5 лет назад

    Petro machanga we ni kafir utachomwa jahanamu milele

  • @japhetleonard9224
    @japhetleonard9224 6 лет назад

    eti MTU unaitwa teja Wa mapenzi hatajina lako linaonyesha huna maadili hata hofu yamungu huna siwezi kurumbana nawewe kwani we we siyo type yangu ninahitaji kuongea na mtumtu mwenye uwezo Wa kujenga hoja nasiyo matusi we we tafta mateja wenzio Wa mapenzi maana hao ndo type yako kwaheli

  • @seifseif5647
    @seifseif5647 5 лет назад

    Murtadini nyie haq ya waislam mnaenda kuiomba kwa makafiri wawashirikina, haq ya waislam ipo kwenye Quran na Sunna

  • @robbemanase9051
    @robbemanase9051 6 лет назад +1

    Mwislamu in a Chagga accent , sikuwahi isikia hahahahahaa

    • @emanuelminja8750
      @emanuelminja8750 6 лет назад

      Aika mmbee

    • @selemanichambo2944
      @selemanichambo2944 6 лет назад

      Wako wengi tena waislam wazuri unaishi wapi?

    • @kinglance6365
      @kinglance6365 6 лет назад

      Mimi mwenyewe nimeshangaa

    • @selemanichambo2944
      @selemanichambo2944 6 лет назад

      Kama ulaya wapo wazungu mashehe unashangaa Bwasheee kuwa Shehe ...kwenye internet mnaangalia vitu gani? Unaweza ku Google Islam in Europe ni dini inayokua kwa kasi yuropa nadhani inashika na 1

    • @khadijasaleh9653
      @khadijasaleh9653 6 лет назад

      @@selemanichambo2944 Kibosho wamachame Moshi Mjini ndio kumejaa Uislam. Masha Allah. Allah azidi kuiimarisha dini yake. Ukija Holili ndio usiseme Uislam ulivyoenea

  • @japhetleonard9224
    @japhetleonard9224 6 лет назад +5

    watuhao sio wapole sema tu nimadai yao kudaina wao kwa wao ingekua nimkristo wanae mdai wangekuja na panga made namatusi juu yakusrma makafili hawa kwaiyo sijaona ustaraba hapo

    • @mohassan1978
      @mohassan1978 6 лет назад +1

      Wacha chuki kwa waislamu ww

    • @flornce123oganda8
      @flornce123oganda8 6 лет назад

      @@mohassan1978 c fitna ila kunao wenye mawazo potovu na wenye itikadi za kujinga, mbona kusiwe na alkaida ya kundi la kikristu? Mbona alshababu wasiwe wakristu? Mwogopeni aliye waumba sbb yeye ndie mwenye adhabu kali

    • @mbwanarajab7238
      @mbwanarajab7238 6 лет назад

      Japhet Leonard ....Wewe hunaga akili, mpumbavu, peleka chuki zako kwa wenye akil pumba km zako

    • @sharifahsalum8304
      @sharifahsalum8304 6 лет назад

      Hello Brother. . Just to make everything clear being referred to as a Kafiir it does not represent anything that's abusive,, i always wonder as to why Christians complain sooo much regarding this matter🙄. .before you guys start spitting out non sense go and do your homework and researches well,, just to help you Kafiir means a Disbieliver. . as Muslims we can also be Kafiirs to Christians since we do not believe what you guys believe,, it is as simple as that. . May Allah Guide You Towards a Straight Path In Shaa Allah,, welcome to the Religion of Peace😊

    • @sharifahsalum8304
      @sharifahsalum8304 6 лет назад +1

      @@flornce123oganda8 Stop uttering non sense,, if Al Shabab and Al Qaeda represents Islam. .then ni rahisi KKK and LRA inapresent Christianity au sio? Acheni kumezeshwa stupidity,, go and do your homework properly. .no wonder your minds are exploited,, if you have no idea in what you are saying you better shut up🤦‍♀️😓

  • @modestusndunguru4479
    @modestusndunguru4479 6 лет назад

    ndio maana Roma aliwaita ni waislam uchwara.. unamuheshim ramathani unadhin mbele ya Shaban

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 лет назад

    Wamevamia hawa ni magaid tena wakolofi