This is now what we call the manager...hakupi sifa hivi hivi..he talks facts.."prove your self"..wachana na Hawa manager wa kupaka watu mafuta..I like this guy ..he knows who exactly is a musician... rapper or singer..shida hatutaki kuambiwa ukweli
I think these TZ rappers trying to throw insults and vulgar with no basis should listen to manager Konde 🔥🔥🔥 He understands what the OG is trying to tell them but their thinking capacity shows them otherwise..👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Khaligraph Jones ni level nyengine tofauti sna yan atakae jaribu kumjibu uyu OG apo ni uwe hujakula kunde maana utabakia ukijiharia2 huyu mchizi apewe maua yake kma alivyo
To us as 'The Cool Rulers Clan' ,Kenyan artists, want to say this ,education plus music is of help .Kaligraph must address this matter to such Kenyan and Tanzanian guys . Msemo wa kaligraph ulikua ni wa kuamsha hip hop kwenye game , Wewe hapo unaimba bongo na still unaongea kuhusu hip hop . All musicians let's think as professionals and understand how our industry is operated ❤. Music is competition. There is a statement Alimalizia akasema ,hii kitu haitaki hasira .
😂😂😂 huyu jamaa anaelewa rap game. Hawa wana blogger wa TZ wanakurupuka na kuchanganya Hip hop na RnB. They is a big difference between Between singing and rapping
kenyan and in agreement with the guy... music is frequencies that are powerful enough to change your DNA and general mood, Kenya hatuna apo and its why we flood your country with views
We see why he is a manager he knows how to speak thats why harmonies is doinh great,,amesema ukweli big rappers and wenye akili timamu hawawezi kurudisha ju wanajua ni ukweli wale wanarudishia OG ni machizi wavutaji bangi na machokora moja ni mlevi muvuta bangi rosario anathania serious rapp ni kama kupikia bwana yake kwa nyumba😂😂😂sometimes nivizuri kuchosha ubongo kabila upeane jibu nice answer mr manager now they know..
Ako tu sawa new rappers hamna maybe Rosa ree atleast .but wakitambo kina prof J.FA,Ngwea #rip ,chidi Benz in tht order 🔥🔥 Anyway Kalighraph amejaribu tu kuamsha ma rapper wa East/central Africa wamekimya sana tu nothing personal
Baba huyu amezungumza kingwana sana. Salute 🫡 kwake
salute
I salute you manager, umeongea ka mtu Mia Much love from Malindi Kenya 🇰🇪
Sure all the way from Malindi City +254 wa Malindi tijuana apa
This is now what we call the manager...hakupi sifa hivi hivi..he talks facts.."prove your self"..wachana na Hawa manager wa kupaka watu mafuta..I like this guy ..he knows who exactly is a musician... rapper or singer..shida hatutaki kuambiwa ukweli
The OG must be respected 👑👑
I salute you manager you never dissapoint, let truth remain, tuache ubinafsi ukweli usemwe respect OG 💪🇰🇪
manager amesema ukweli...// much love from kenya
Big up khalgraph tuko nyuma yako hapa Kenya
I think these TZ rappers trying to throw insults and vulgar with no basis should listen to manager Konde 🔥🔥🔥
He understands what the OG is trying to tell them but their thinking capacity shows them otherwise..👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
This is what we call constructive criticism, manager Konde is spitting pure facts!! East Africa let's wake up!!
Awo wa Tanzania hawa muwezi wa Tanzania ni watoto achana Mzee khaligraphi awafunze rapper
Khaligraph Jones ni level nyengine tofauti sna yan atakae jaribu kumjibu uyu OG apo ni uwe hujakula kunde maana utabakia ukijiharia2 huyu mchizi apewe maua yake kma alivyo
Much respect from trukana ,wewe ni Manager waukweli ,kwa ajili ya soko la nje lazima tuweke kingereza, kichina na kijerumani kama tourist driver
Ndovu Bado ni kuu,OG to the world🙌🙌🥶🥶🥶
What world?😂😂😂
@@aloyceiluminata3650 if you know you know,😏
@@aloyceiluminata3650 BET is world, bruh. Afrimma, et al
Uyu ni more than a music manager...he understands what is music,akina rosaree, young killer,c jui lunya aaaagh! Khaligraph the OG
Kunya ama lunya
Huyu manager nimkweli.nakubali kauli yake ❤
Big up manager wa konde i salute you for speaking the truth ...ua thinking capacity is at a higher level👊👊👊
OG mwamba 🔥🔥🔥
The OG Shall Be Respected
Respect thee OG...🇰🇪🚀
The OG must be respected, period.
This guy is speaking facts for real🔥🔥 this is constructive criticism!
Respect to OG❤❤❤always the trueth must be followed!!.bigop khaligraph jones dah papa Og.
Manager wa hermo uko sahihi kbsa Og is another product
O G shall be respected
This guy is very mature 🎉 🎉 spitting the truth as it is waamke hakuna chuki O.G ti be respected
To us as 'The Cool Rulers Clan' ,Kenyan artists, want to say this ,education plus music is of help .Kaligraph must address this matter to such Kenyan and Tanzanian guys .
Msemo wa kaligraph ulikua ni wa kuamsha hip hop kwenye game ,
Wewe hapo unaimba bongo na still unaongea kuhusu hip hop .
All musicians let's think as professionals and understand how our industry is operated ❤.
Music is competition.
There is a statement Alimalizia akasema ,hii kitu haitaki hasira .
On point,,rappers wa tz wamelala💯
Much love brooh😂😂👊👊🇰🇪siku zote
OG nambar one tena Asante Brother unaamsha waliolala wanaamka kwamatusi wenehekima wamtafute jhon awafunze aidia
😂😂😂 huyu jamaa anaelewa rap game. Hawa wana blogger wa TZ wanakurupuka na kuchanganya Hip hop na RnB. They is a big difference between Between singing and rapping
BIGGY we unaongea ukweli I respect you unaona🥰❤️🇰🇪🇰🇪💥💫❣️
Safi sana OG ni mwamba
kenyan and in agreement with the guy... music is frequencies that are powerful enough to change your DNA and general mood, Kenya hatuna apo and its why we flood your country with views
Thanks OG 4 keeping we Kenya rapperz top keep hope 4 thats the real hip hop good job
We see why he is a manager he knows how to speak thats why harmonies is doinh great,,amesema ukweli big rappers and wenye akili timamu hawawezi kurudisha ju wanajua ni ukweli wale wanarudishia OG ni machizi wavutaji bangi na machokora moja ni mlevi muvuta bangi rosario anathania serious rapp ni kama kupikia bwana yake kwa nyumba😂😂😂sometimes nivizuri kuchosha ubongo kabila upeane jibu nice answer mr manager now they know..
This guy speaks sense,,,, Truth is truth man.
Fact Og amesema rapper
@@SharonAkinyi-b6q Kabisa bro!
Asante manager tz like jitu
OG must be respected 💯 💯 💯
Huyu jamaa ako realistic na ameelewa OG.
OG alisema maRapper si vocalists.
OG alisema active rappers, si retired kama Prof. Jay.
From tz255 namkubali sana papa jones.jamaa anajua.... wa tz tuache unafiki.
This is a clever and honest manager
Kondeee... Tuko nyuma yakoo.. wewe ni wa kweli sio wa kiki👍👍👍👍
OG must be Respected🔥🔥
Papa jones❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jitu jeusi la ckizwa mpka na JAZ😂😂😂😂😂
🤣🤣
sio jaz ni jay z
Sierra Leone nenda 😅bonge la show
Kiukweli khaligraph jones ni mwamba tuache kusifia kitu ambacho hatu kama unabisha check Hiroshima na DAX
Umeongea ukweli
Mpe chaki 👑
Uyo tunampa mtoto wa HP HP kado
🎉😂😂😂
Hizoo bizaa bado hazija improve 😂😂😂😂
Hapo umegonga ndipo Manager Ding'ano 🙏🙏🙏🙏RESPECT THE OG
This guy...is sober and true to self the OG is on a different level. OG must be respected period!
Huyu jamaa alielewa chenye OG alimaanisha, (Rapper). OG must be respected.
Dogo ana mistari kweli....OG
Kweli mzeee
OG ametuheshimisha sana you should be respected 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Salute bro wambie wasikie
Salute to the OG my guys
Respect the OG all Time.. kaka huyu ana busara kweli
Dingano big up we Kenyans feel what you're saying it's plain fact
Kwisha I LOVE this GAME
Hakuna Kama OG APA Africa 🔥🔥🔥🔥
Great manager ❤
Only Mex Cortez can stand his ground against the OG. How his name is not coming up dumbfounds me!
His catalogue is still small and his marketing team is letting him down, But mex is a force
I support you,, Mex Cortez is the only big thing in TZ for now
Manager Ding'anoo big up
Ndo maana Kenya na Konde Gang ni kitu kimoja asante sana meneja kwa kuongea ukweli🔥👊🇰🇪
Respect the OG❤
Ebwana uyu jamaa ni mara ya kwanza kumsikia ila nimemkubali anafunguka ukwel 💯
Sasa huyu dio manager wa konde 😂😂😂😂
Daaah hii Sasa dharau,R.I.P NGWAIRE
Don't forget the Mombasa KENYA rapper....KAA LA MOTO
+254 🇰🇪on top respect the OGS
Papa Jones 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kabisa bro ukweli keshasemwa pia wakenya waskiza mziki wote kutoka Tanzania Sasa hivi Zablon singers wamerudi fashion 🇰🇪 gospel tanzania
R.i.p ngweya🎉🎉
Tuko tayari kubomoa rappers wa Tz kabisa.
Yes bro.. OG must be respected and that homoniz awache rapers wajitokeze for a. Battle sio kupiga midomo ni kuvuta bangi
Papa jone🎉🎉
Big manager rappers wa bongo wametuli khaligraph anaweza
Respected 🙏🙏🙏
UKWELI MTUPU AMESHAA SEMA BASI.....BIG UP BRO.
Hit em up Papa
We keep moving regardless
Respect to the OG
Anatafuna Tafuna Aje huyu 🤔😏🙄😒😬😬😬
Wabongo bila kufika Nairobi hawatambuliki
Marehemu Ngwair angeweza. Rip
OG amemtaja nakumpa heshma marehemu ngwea kwenye Ngoma yake ya diss
Ding'alo ni mmoja ya watz wenye akili xaxa
Umesema kweli, respect O.G
OG must be respected
Habari ndio iyo wameipata Kaligraph ni Kidume
U're right bro!!!
Ako tu sawa new rappers hamna maybe Rosa ree atleast .but wakitambo kina prof J.FA,Ngwea #rip ,chidi Benz in tht order 🔥🔥
Anyway Kalighraph amejaribu tu kuamsha ma rapper wa East/central Africa wamekimya sana tu nothing personal
Asante kwa kuongea ukweli.
True but I like Mex Cortez
The OG, let's go
Facts zisemwe🔥🔥
Surely manager tell them
Wooow .huyu jamaa hana wivu bro..
Khaligraphe ❤❤you reel
OG all the way
Big respect bro
OG is the beast buana.💯💯🔥🔥 Si rapper wa Tanzania na OG waenda batlle ya rap game tuone vile kutaenda
Top silii lapaaz 😂😂😂😂
Huyu nae manager