Mashairi ya Sheikh Ali Bahero Baada ya Kupigwa na Vijana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Haya ni Mashairi ya ali bahero alipo pigwa na vijana walio taka kumuuwa kwa sababu hawaungi mkono kwa fikra zao

Комментарии • 201

  • @farwasamir3627
    @farwasamir3627 8 лет назад +13

    tupendane waislamu,tusitete jamanini....kwa mafunzo ya hashimu,tuisome sana dini...hapo tutaifahamu,ilmu inayo thamani...damu ya muislamu,tuweni nayo makini
    pole sana Sheikh bahero,Allah akuzidishie subra iwe njia yako ya peponi in shaa Allah

  • @maryammdoe4784
    @maryammdoe4784 4 года назад +4

    Pole sana sheikh bahero umepitia mitihan pole sana allah akupe mwingi umuri

  • @masembojuma99
    @masembojuma99 5 лет назад +3

    Subhaanallah pole saana sheikh wangu Allah ni mjuzi wayote atakulipa inshaa allah Allah awaongoze waliokufanyia hayo.maa aswaba mim muswibat illa bi idhnillah

  • @edge6016
    @edge6016 2 года назад +3

    Asalam Aleykum Sh Bahero Allah akujaliye pahali pema peponi na familia yako na akupe Amani hapa duniani na akhera

  • @Farjallah6
    @Farjallah6 Год назад

    Allah akuhifadhi shk bahero sana akupe subra ktka hii dunniya kwasababu watu hawana msingi ya dini kbsa.....Allah akuhifadhi shk bahero

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj Год назад

    Allah akuzidishie subra akupe utulivu wa nafsi mtihani uwoo Allah kakupitisha haya Nabii alipigwa

  • @Specialonejr
    @Specialonejr 6 лет назад +6

    Pole xana .Uislam hata tukikhitalifiana tunatakiwa tuheshimiane .Sote ni waislam hatutakiwi kufika huko.ALLAH akujaalie Pepo iwe makazi yako

  • @hamisimwagarashi9501
    @hamisimwagarashi9501 4 года назад +5

    Pole pole pole Sana Sheikh Bahero.
    Allah akupe afueni inshaAllah

  • @ahlamharoub1130
    @ahlamharoub1130 4 года назад +4

    Allah atakuhifadhi uzidi kuitumikia dini ya Allah atakulinda na kukuhifadhi na maadui

  • @BukuruShaabani-ql9xs
    @BukuruShaabani-ql9xs 10 месяцев назад +1

    Shairi lako limenikosha shekh yussuf Allah Azidi kukuhifadhi

  • @mansoorkhamis-qu4yq
    @mansoorkhamis-qu4yq Год назад

    Pole sana Mungu tujalie tuiendeleze dini yetu ya kiislam

  • @kulthumali5050
    @kulthumali5050 9 лет назад +8

    ALLAH atakulipia in sha ALLAH

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 Год назад

    ALLAH akulipe duniani na Akhera Aamina

  • @Abuumuhammad01
    @Abuumuhammad01 8 лет назад +5

    SubhanAllah Ndugu Zangu Tuchunge ndimi Zetu Wallahy Tutakuja Kuulizwa Kwa Tunayosema Bila Ushahidi Sheikh Bahero (Hafidhwahullah) Alikhtalifiana Na Sheikh Aboud Rogo (Rahimahullah) Lakini Hakufikia Haddi Yakumuua Au Kupenda Auwawe Na Wallahy Hata Sheikh Aboud Rogo (Rahimahullah) Angekua Hai Asinge Waamrisha Waje Kumpiga Sheik Bahero (Hafidhwahullah) Tuweni Na Adab! Twaalib ul Ilm Hua Na Heshma Na Masheikh. Assalam Alaikum.

  • @binesiharuni2609
    @binesiharuni2609 8 лет назад +12

    subhana llah Allah yuko pamoja nawe ameen

  • @salwasalim8735
    @salwasalim8735 3 года назад +4

    May Allah forgive my daughter's and my family Amin yarab 😭.Allah knows what I'm through

  • @qawsscddttgyrf9250
    @qawsscddttgyrf9250 3 года назад

    Pole sana shekh bahero Allah yuko pamoja nawe atakupa shifaa yarab muepushe shekh wetu na kila la shari azid kutulingania

  • @hadyahaydar31
    @hadyahaydar31 8 лет назад +7

    😢😢 Allah atakuhidhi sheikh bahero ... Allah yuko na ww

  • @AskariKidume
    @AskariKidume 7 лет назад +6

    Innah Lilai wa innah Lilai raj un pole sana sheikh wangu, uku msumbiji imetugusa sana

  • @fadhiliosuta1719
    @fadhiliosuta1719 Год назад

    Subhanallah

  • @ayoobalqasmi3062
    @ayoobalqasmi3062 9 лет назад +3

    Subhana llah mungu yu pamoja nawe

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 6 лет назад +4

    Subhanallah tupe mwusho mwema 😭😭😭😭

  • @ahlamharoub1130
    @ahlamharoub1130 4 года назад +1

    Allah atakulipa kwa kusamehe na kusamehe kwa yalokufika na shukran sheikh yussuf kwa mashairi yenye mafunzo ndani yake kuna usemi wa Moto Una mafunzo ndani take Allah akulinde na kukuhifadhi uzidi kutuelimisha kwa mawaidha na mashairi ya Qasida Allah awalinde na kuwahifadhi wote wafanyayo kazi ya bwana mtume Sallawahu Allaihi wasalam kwa ujumla

  • @mamuhamidu8013
    @mamuhamidu8013 2 года назад

    Pole sana shekhe wetu.

  • @saidmacheni-bp4cp
    @saidmacheni-bp4cp Год назад

    Uoga huo na kuipenda Dunia. Na kwa kulipa kisasi Kuna kuishi kwenu. Sheikh anaepinga baadhi ya ibada za kidini unafananisha wewe na kifo Cha Othman bin affan radhi za mungu ziwe juu yake. Hivo ni vioja wallah.

  • @abassking8296
    @abassking8296 4 года назад +2

    Kenya Kuna ujinga wa ikhtlafu hoja hupingwa na hoja si kupigana na kumwagana mtume kasema kumtukana mtu ni ufasiq na kumwagadamu ya muislam ni ukafiri je hao waliotaka kumuuua tuwaitaje

  • @isarichard
    @isarichard 2 года назад +1

    😭 Subhanallah

  • @salwasalim8735
    @salwasalim8735 3 года назад +2

    Allah knows what I'm going through

  • @khamisothman1154
    @khamisothman1154 8 лет назад +10

    Kwa kweli nyie waislam wa Kenya mnabalaa khasa, serekali yawapiga nyie, makafiri wawapiga nyie na nyie kwa nyie mwapigana!!!!!
    Mashekhe wenu mwawapiga halafu mwawaita wanafiki, mafisadi,mashushushu na mwawasema hawana ELIMU!!!!!
    Allah awaongowe na awazinduwe mumjuwe aduwi yenu na muanze kuzinduka nae.

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 года назад +1

    Halijazau l,insani ilal insan malipo ya wema ni wema Allah akupe shifaa akupe sahal ila na ww ujifunze kutowa kauli nzury ktk dini ya uwiislam mheshimu yule ulohitilifiyan nae madhehebu yapo mengi ss waheshimu wanaokuheshimu ww hupo sawa na unamadhaifu hujakamilika

  • @chibudyside5617
    @chibudyside5617 7 лет назад

    mungu atawalipa hapahapa kutokana na kazi yao mshahara wao upo

  • @Alakhyasirabuammar
    @Alakhyasirabuammar 2 года назад

    pole sana sheikh

  • @bilahimwacharo8178
    @bilahimwacharo8178 6 лет назад

    alah akufanyie wepes sheikh wetu

  • @fatamiqw1298
    @fatamiqw1298 9 лет назад +8

    mungu akupe subira naemani insaallah

  • @Gulbyruh
    @Gulbyruh 4 года назад +2

    Hawa ndio walio sababisha logo cha Sheikh Allah atawalipeni moja baada ya mwengin

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 5 лет назад

    Allah atakulipia hapa hapa duniani,alokufanyia wao na vianzo vyao,vilivyowapelekea kufanya ubaya huu,wewe umewasamehe lakini Allah ndio atakaehukumu,hawajielewi ndio wakafanya haya,hili ni zao la chuki na ushetani,Sayyidna Othman alifanyiwa na wanafanana na hawa wanaojiita waislamu.

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 6 лет назад +1

    Allah akupe shufaa ya harak san in shaa Allah 🙏🏾 🙏🏾 🙏🏾 akizidishie subila..

  • @allymugisha9883
    @allymugisha9883 8 лет назад +6

    pole sheghe allah atakulipa cha msing ni subra tu

  • @ShSh-my8cw
    @ShSh-my8cw 3 года назад

    Mungu ndie hakim

  • @fatumajuma867
    @fatumajuma867 6 лет назад +1

    allah akuhifadhi

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 6 лет назад +2

    Pole Alla atakuafu. lakini usilalamike sana hii nikazi yamikono yenu. Maulamaawetu muliwatukana mukawaita wazushi mukafarakanisha umma. Mashekhe wetu wakokimya maskini wanaangalia Alla anavowahukumia.

  • @arafarwazizma251
    @arafarwazizma251 5 лет назад +4

    Pole sana shekh mm ni tarika lkn walichokifanya Allah atawalipa

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 3 года назад

      Na baado tunafurahia kuwa dariqa?? Fear Allah akhui

  • @hamdansaid2493
    @hamdansaid2493 4 года назад +2

    Malipo dunian ya darunnadwa zenu kwa sheikh aboud rogo had mkamuulisha kwa dhulma tunamuomba mola aitakabali shahada yke

  • @zainathcuwimigishazchelsea2113

    😢😥😭 ASTAGHAFIRULLAH

  • @sombwanaabdulaziz5047
    @sombwanaabdulaziz5047 3 года назад

    Pole sana sheh

  • @aliamour4970
    @aliamour4970 2 года назад

    Pole bahero

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po 4 года назад

    Pole sana sheikh, Malipo n hapa hapa

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 4 года назад +1

    Subhaallah 😭 😭 😭

  • @saidirajab6698
    @saidirajab6698 2 года назад

    Alafu niambieni hao vijana waliofanya kitendo Kama hiki watakuwa na furaha gani katika maisha yao na kisasi Chao ?Allah ndiye anayejua Ila sisi hatuna haki ya. Kuhukumu

  • @sammymutinda8580
    @sammymutinda8580 9 лет назад +4

    Tujifunze kuhifadhi damu za wanadamu.

  • @masasionlinetv1825
    @masasionlinetv1825 5 лет назад +2

    Subhanallah hii sijawai kuona sheikh mkubwa kama ww anapigwa tatizo nini?

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 6 лет назад +1

    Maskin subhanalliah aallah akuhifadhi kaka allah atakulipiya ishalah uchungu 😭😭😭😭

  • @khadijakhassim4214
    @khadijakhassim4214 6 лет назад +2

    Yaa Allah kubali Shahad ya sheikh abdu rogo, tutazidi kumuombea Dua na maaduwizake roha zitawauma siku zote. Shuja ni sheikh abdu rogo

    • @shkjumaa5661
      @shkjumaa5661 5 лет назад

      khadija Assalam alaikum uko wap nicheki 0757191383 nipo Tanzania

    • @ramamtetu2327
      @ramamtetu2327 4 года назад +1

      Aboud Rogo Alikuwa Ni Mpotoshaji tu Asiyejua Mafunzo ya Uislaam
      Kawapotosha Wengi ktk Waislamu (hasa Vijana) wasio na Maarifa ya dini
      yao Alichokuwa anahubiri ni Tofauti kabisa na Kauli za Ulamaa wa haki
      Kama Sheikh Ibn Baaz
      Sheikh Albaan au Ibn Uthaimin na Wengineo ktk Masheikh wa Ahlu Sunna wal Jamaa waliopo Katika Mashaariki ya Ardhi na Magharibi yake.

    • @khadijahemed2815
      @khadijahemed2815 4 года назад

      @@ramamtetu2327 kafa shahidi lakin

    • @abassking8296
      @abassking8296 4 года назад

      Kumuhuku mtu ni kazi ya Allah lkn huyo sheikh wako alikuwa anaendana na Quran na suuna au mihemko tu

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 6 лет назад

    Amen yarab

  • @abdulhalimmohamed3643
    @abdulhalimmohamed3643 6 лет назад +1

    Duh yote haya ni sawa ısipokuwa qaswida za kumsifu mtume SAW ndo hazifayi? mashaAllah sauti nzuri shaikh Yusuf. Basi Tusomee Barzanji!

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 лет назад +5

    huyu ni miongoni mwa walewalio kuwa wakimpinga shekhe Aboad rogo,huyu nae ni mnafiki

    • @nassorabdallahomar1595
      @nassorabdallahomar1595 6 лет назад

      Shuweha Haruna Omari Ikwena kumbe alimpinga rogo

    • @nassorabdallahomar1595
      @nassorabdallahomar1595 6 лет назад

      Shuweha Haruna Omari Ikwena hu apigwa kisu kwanini

    • @swalahuomar5314
      @swalahuomar5314 3 года назад

      Laiti rogo angekuwa hair rahimatullah asingeamuru bahero kupigwa visu tuelewe maulllamaa hawatakiani mabaya sote n waislamu na kupingana ni katika kujulishana kila competition ikizidi ilmu inazidi

  • @mansoorsadiq5721
    @mansoorsadiq5721 7 лет назад +1

    Dalilizakiama tayari kilamtu ajiandana kujibu maswali mbeleyauanja wa allah

  • @mpwaniasili5957
    @mpwaniasili5957 10 лет назад

    shukran kwa apload

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 6 лет назад

    Allah akupe msimamo hvo hvo wape ukwel walokupiga Allah atawadhalilisha

  • @billionarebinadowzma9298
    @billionarebinadowzma9298 8 лет назад +5

    hawajui maskini lkn wao hufuata wakielekezwa

  • @timabwengo8052
    @timabwengo8052 6 лет назад +3

    Kama hivi ndivyo tutakavyotafautiana tunaelekea Wapi kama umma wakiislamu

  • @sawdasamsan4895
    @sawdasamsan4895 4 года назад

    Pole sheikh wetu😭😭😭

  • @hamisijuma5393
    @hamisijuma5393 4 года назад

    Waliompiga shekhe wetu Allah awaadhibu in shaa allah

  • @suleiphwaupendo1030
    @suleiphwaupendo1030 4 года назад

    Pole san ila elewa iyo nii neema kwan ata mtume sallawah alaih wa salam alipigwa kwa kuzungumza haki

  • @alialibablly7010
    @alialibablly7010 4 года назад

    Tumesamehe Mungu awasamehe na wao

  • @nabilamaashaallahmaashaall6977
    @nabilamaashaallahmaashaall6977 7 лет назад +2

    Assalam 3alaykum jamani haifai kuandika ugomvi msiseme maneno mabaya haifai mtu kapigwa muombeeni dua apowe msiwe na kauli chafu duniani tunapita tu jamani

  • @guyoz9885
    @guyoz9885 4 года назад

    Kama wanajiona ni kutetea dini kwann wasiende kwa hao makafiri wanaonyanyasa waislam

  • @zamzamismail2587
    @zamzamismail2587 6 лет назад +1

    Laa baasa tahuran insha allah

  • @fatumamkomwa92
    @fatumamkomwa92 9 лет назад +2

    shekh Yusuf abdi

  • @alsafiinahaf-maay4296
    @alsafiinahaf-maay4296 3 года назад

    Allah atunusuru

  • @abdallahsalum3879
    @abdallahsalum3879 5 лет назад

    hasbiyallahu waniima lliwakili

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 6 лет назад +1

    Kweli kabisa😭😭

  • @MultiBice
    @MultiBice 10 месяцев назад

    Maskini pole saana

  • @muhammadmjara6776
    @muhammadmjara6776 3 года назад

    Allah yup pamoj naa wanyonge

  • @hamzadaud3073
    @hamzadaud3073 9 лет назад +4

    ali bahero ndio chanzo cha kuuliwa shekhe abdulirogo vijana wamefanya safi sana kumpiga ali bahero bora wangemuuwa kabisa

  • @aishasuleimanaishasuleiman8817
    @aishasuleimanaishasuleiman8817 6 лет назад

    Mhm🤔

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 Год назад

    Hawa ndiyo maduaat waloileta sunnah. Sio hivi vimolo vijitavyo vijisalafi

  • @othmanally1230
    @othmanally1230 4 года назад

    Pole shekhe lkn kumbuka mlinganiaji sio wa kupigiwa makofi lkn ni wamitihani huo ni miongoni mwa mtihan

  • @shkjumaa7270
    @shkjumaa7270 4 года назад +1

    jikaze sasa kibingwa unalia nini

  • @salahnabhaan4083
    @salahnabhaan4083 4 года назад +1

    Hivi sasa wamekupiga na umevunjika mkono.sio wao waliokupiga Bali ni wewe ulio yataka.sasa ni mkono badae watakumaliza.wewe pingana na wenye maulidi usiya ingiliye yasio kuhusu.na nilazima wakulipize kwa sababu mume panga njama ya kumalizwa shekh aboud rogo.mungu amtakhabaliye shahada yake.na wewe hakuna budi lazma upite hio njia

  • @salehendoanjemautango116
    @salehendoanjemautango116 4 года назад

    Pole San aliy atakulipa

  • @abusalam7774
    @abusalam7774 2 года назад

    Na huyo abu qatada ati analia na yy ama amesahau kabadilisha msimamo wake alivokuwa akifanya

  • @kelvindzombo7430
    @kelvindzombo7430 6 лет назад

    I never saq this early..but am not happy with how muslims behave in their own docket.

  • @abdulhalimmohamed3643
    @abdulhalimmohamed3643 7 лет назад

    Pole sana shekhe lakini punguza tabia za kuudhi udhi watu . Na hasa usiitumiye mimbar ya Bakarani kkama stajı ya kushashif watu. pole ndugu yangu. hizi ziyana za sikuhidhi wankuwa wachukuchu sana. akili zao ni hamaki na kuleta vurumai. nawe yusuf Abdi ingekuwa vizuri uje mawlidini na mswifu mtume SAW . MashAllah sauti ndhuri sana. poleni Bahero.

  • @maynunahussein2390
    @maynunahussein2390 3 года назад

    😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲

  • @fadhiliosuta1719
    @fadhiliosuta1719 Год назад

    Ivi awavijana kwanini lakini

  • @hamadsuleimaan1204
    @hamadsuleimaan1204 7 лет назад +2

    bahero hatukusahau umemchonganisha simba abuud rogo ww NA wanafiki wenzio had I makafiri wakatuulia simba wetubadilika

    • @AhmedHassan-mh3sf
      @AhmedHassan-mh3sf 4 года назад

      Bwana Hamad Soma Dini ilmu ni Bahari muelewe Mtume wako na ALLAH

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 6 лет назад +2

    kupigwa amepigwa mtume SAW Allah akupe subra

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 6 лет назад

    Kweli😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @jailanirazack3074
    @jailanirazack3074 4 года назад +1

    Unaujaribu uislam kwa uwahab wako

  • @osmanabdinoor457
    @osmanabdinoor457 4 года назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @horufadhiproduction8729
    @horufadhiproduction8729 9 лет назад

    5.52

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 лет назад

    Waislam mnampiga shehe wenu du

  • @salumsaid2013
    @salumsaid2013 3 года назад

    Allah yupo pamoja na wewe

  • @shekhasaid9371
    @shekhasaid9371 5 лет назад

    Kwann walimpigaa

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar1271 4 года назад +1

    bora ulivyopigwa huna adabu

  • @ibrahimmussaali5179
    @ibrahimmussaali5179 4 года назад

    Mreshi si alikua akipinga rogo na bado mongo akuoneshe

  • @eliasamudiki9794
    @eliasamudiki9794 7 лет назад +3

    unapigwa kwa kejeli na maneno yako machafu Ali. wewe una kinywa kichafu sana.kuwakufurisha na kuwaita waislam wenzio hawana akili sio wazima.mazur hayo?
    rekebisha kauli zako
    sijui akili yako iko vipi.
    Ila all in all pole sana

  • @fatmamohamud2562
    @fatmamohamud2562 8 лет назад +3

    adabu yako mnafiq ww wendio ulim uza shekh abud rogo rahimahullah

  • @bintmhammad9557
    @bintmhammad9557 8 лет назад +3

    Sauti ya mshairi si ni shekh yusuf abdi ama,,,