Nimejikutaa nacheka miye jamani 🙊😂😂😂😂😂😂😂😂hata sijui nacheka nn 🤦😂😂😂😂,, honestly l love this couple ❤️❤️❤️❤️,, it's doesn't matter,,, age is just a number
Jamali Mumsalie Mtume S.a,w hivi hapo hali hio ni futari au KULISHA! MPO ktk make up.vichwa wazi,nguo za hivyo...funga sio kukaa na njaa..MWENYE EZI MUNGU YUPO KILA PAHALA.
Yesu Wang mbona amekomaa hivo af mbona wasanii ukifika mwezi wa Ramadhan kila mtuu anajikuta mwislam siyo vibaya ila mi vizur kila mtu akasimama kwenye Imani yake umenyooka jamani duh kula bhana mwanamke ukikonda Sana unakuwa mbaya
Astaghfirullah. Mnafanya mchezo na dini. Hivi unategemea thawabu au nini. Kwa kweli hapo ni ziro kivazi,hizo habits eti mwanaume wangu! Hao waalikwa?? Acheni hizo
Toa neno uislam kweny mabano,..kujichubua hakuko n uislam upo,..eenh hpo kweny kula kila mtu anakula anachokipendaa,wee kula ugal wako mwingii mboga yako,..mbn nyie mnapenda guruwe na kiafya sio vzur n madaktar wanasema..
Hao wote hawakufunga nakama mulijifanya mumefunga basi funga zenu batili mumekaa na njaa tuu kwasababu unapo funga kwanza ujisitiri hata nywele yako isionekane
Mm naona apo hajafutarisha ni mualiko tu wa usiku,,,kwasababu futari ni kwa ajili watu waliofunga tu ndio unapata fungu kubwa kwa Allah(s w),,,maskini,mafukara,au watu wasiojiweza kwa chakula ilimradi kuwa wamefunga ndio tunatakiwa tuwafuturishe tena kuwachukua na ma tv kila mtu akaona umewafanyia jambo fulani iyo haitakiwi
Niye muogopeni allah mwezi wa ramadhani mnava nguo muili upo wazi unaonekana uwislam jina tu wema kifua chote kiko nje mikona kisha tunafutulisha jistilini kwanza hiyo nguo muili ote unaonekana 🙁🙁🙁
Mkikaaaa mnatafuta vya kumkera Allah! Umefuturisha au ulitaka kuongea na Waandishi wa habari? Unafuturisha, mevaaje? Ndo mfungaji anavaa hivyo? Au ushatoka kwenye Uislam? Au uliwamis shogazo ndo ukawakusanya hapo? Au mpaka Allah(S.W.) akupunguze kasi?
Dada wema mungu anashuka kwa kila mtu kwa muda sahihi. Mungu ni mkarimu sana dada wema. Na anamkarimu kila mmoja wetu.
Anamaanisha Kuna watu wachoyo tu hata mlango huwezi pisha ameandika kwa Mbwa mkali
@@HelenahSian-hl5ue 😂😂😂😂😂 ila wewe
Allah hkujalie kipenz ufkie ilo jambo mpenz lov u
I like this chic style she's humble.beautifull.
Nimependa hapo aliposema Hata ningekuwa me ni malkia elizabeth but lazima kwa mwanaume wangu nijishushe,Chibaba wangu nisimsingizie🥰
Mungu akubariki sana sister wema Na Aku tangulie kwa kazi ambayo umeamuwa kufunguwa sababu ya kusaidiya mabindi many more years to come 😍❤️
MashaAllah Anaftarisha makobe wenzie😂😂😂😂😂
😁
😂😂😂😂
Very true!
respect is very important when it comes to both of you 💯
Eee MUNGU huyu dada Sina cha kusema zaidi ya Mungu umbariki
👏👏Mungu akutunze daima akusaidie utimize hilo Jambo cute Wema.
Nimejikutaa nacheka miye jamani 🙊😂😂😂😂😂😂😂😂hata sijui nacheka nn 🤦😂😂😂😂,, honestly l love this couple ❤️❤️❤️❤️,, it's doesn't matter,,, age is just a number
True love is love ❤️
Penda Wema. You are loved back by many. Loving is healthy. ❤
Mungu alitumize lile ambalo umeguswa kwa mkono wa M/Mungu likatimilike ,hongera kwa maono haya Wema Sepetu
Musiba wajami Allah tupe mwisho mwema kwakweri
Haya mambo ya Dini bwana, mtu akiwa na Mke hawajafunga ndoa haruusiwi kumpikia, Ila anafuturishwa na watu wanaoishi bila ndoa😂😂😂
Hao waliofuturishwa unawaona lakini jinsi hata walivovaa😁😁
Na Masheikh wsmeenda na madrasa kabisa Fufu kama lote. Innaa lillaahi wa innaa ilayhi rajiuun.
Hiyo ni futari au chakula Cha jion ,,??
She's jus sweetheart look how she's brushes
Jamali Mumsalie Mtume S.a,w hivi hapo hali hio ni futari au KULISHA! MPO ktk make up.vichwa wazi,nguo za hivyo...funga sio kukaa na njaa..MWENYE EZI MUNGU YUPO KILA PAHALA.
Nimeongea kumbe umeona
Mwenyezi mungu ni mkali wa kuwaadhibu wale wenye kudhurum saiv watu wanachukulia vitu Kama masihara
Dada wema rudisha ile bodi yko jmn.Ilikuwa inskupendeza htari.Huna kifua kikubwa huna ziwa bss bulu bulu umbo lile mashalaaa
Mashallah❤❤
Mashaallaah nakupenda sana wema
Subhanallah jamn
Umefunga umevaa wigi wapi na wapi?
Kqftarusha mbn yupo uchi
Mungu akubariki Wema
Wow!!
Yesu Wang mbona amekomaa hivo af mbona wasanii ukifika mwezi wa Ramadhan kila mtuu anajikuta mwislam siyo vibaya ila mi vizur kila mtu akasimama kwenye Imani yake umenyooka jamani duh kula bhana mwanamke ukikonda Sana unakuwa mbaya
Wivu ukizid unaumia sana mwache kila mtu aishi atakavyo siyo utakavyo hivyo tuache wivu
Barikiwa saana
Asallam maalequ maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala Il🥰VE Y🥰U S🥰 MUCH Wema Sepeto Allah hjelp you Ishaalla Allahamdulilai Amiin ❤❤❤❤
Maishala ndo nin sasa😜
Dunia hii sijui yaelekea wapi wallh maostadhi kabisa mwapiga dufu hapo 😢😢
Iftar na zikri tangazo pombe dini wanaifanya ya mchezo
Nihiyo cku ya hukumu ndio itafahamika mbona
Wema hajazeeka ni kwavile alipunguza mwili tu kwani mbona munamsema hivyo wivu utawauwa
Hajazeek umeuwon lkn uwo uso wke 😂😂😜
Kweli kabisaa ni vile alikuwa mnene sana
Pamoja nakupungua ila umri umeenda hebu fikilia mtoto alozaliwa enzizake Leo hii anamiaka 16 kwahiyo uso lazima ubadilike miaka imesonga
@@MwajumaOmar-sg1ob ndio umri haurudi nyuma daima unasonga mbele hata bibi zetu walikuwa vigori wa bichi.
Waoo
Aseee uyu dada ni mzuriii sanaaa
Yaaani hii dunia bhna duuuh
Wema alikua na points nzuri kwa hii event yake,,tatzo anajikanyaga mno anarudia rudia kitu kimoja,,sio wema tunayemjua
Umefunga
HAPO sio ajili RAMADHANI huo ni mwaliko wa mlo wa usiku...jamani TUJIFUNDISHENI,Wamarufu !
Nampendaaaaaaa
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Astaghfirullah. Mnafanya mchezo na dini. Hivi unategemea thawabu au nini. Kwa kweli hapo ni ziro kivazi,hizo habits eti mwanaume wangu! Hao waalikwa?? Acheni hizo
Wa2 awabu kuitaj swawabu wao wanaitaj sifa2
MashaALLAH wemaa qulluh kheir
Kafuturisha wasiofunga 🤣🤣
Hongera lkn siyo lazima uoneshe kwa media
Mashallah. Mdada. Umependezaaa
Hongera sana Whozu naona Wema karudia Usichana kabisa, uzee umetoka
Wema umechunda 😂 nakupenda always lakini hii sikubaliani na wewe inaonesha mama your begging for marriage or something 😢
Kijana mdogo anajitwisha bibi kizee huyo , Hivi hakuna waliomshauri Mimi nahisi wana secrete agenda ya ushetani
Yani wewe he
Bibi alimzalia mama yake
Alikuzalia mama yako
Bibi Mzee kwa whozu
Bora uzee kuliko uzembe. Mwanaume ni kisu haijalishi anachinja nini.
MashaAllah Mungu akutakabalie swaum yako
Nakupenda sana wema lkn hivyo ulivyovaa namwezi huu aijakuwasawa sisitunakujua kuwaunavaa dada ungejifinika
Futari bora ni ile unakula na wale wasiojiweza,,huyu kaita mashoga zake waje wapige umbeya tu
😂😂😂
Elewa kusudi lake ni nini kusudi lake ni kuchangisha pesa ya kusaidia wasichana wenye uitaji wa tauro
Mnasema uchawi haupo tebu angalia hii lizeeee kukulwa na kipiii na kimeacha mtoi imgn😢😢😢
Kwani ulitaka kipii ang'ang'anie penye hapendwi? Kama uko na mtoto wa kiume think twice before typing... Usishangae huyo wako kesho ataitwa KIPOOOP💩💩
Uchawi Tena ila wema ni mzuri jaman ispokuwa ukikonda unabadilika sana
Mashaallalla mungu akuongoze
Nakupenda bure
Umetoa ufafanuzi mzuri
Maradhani ftari kula mchana zina dunia hii
Hakika huu ni msiba jamani wema mbona unacheza na dini sasa umefuturisha au umealika rafiki zako waje kula Dina tu
Wivu wewe Huna hata hiyo shilingi
@@joycemfuru4752 mungu akusameh hujui ulisemalo au pia huenda ukawa ni dini tofauti kwaiyo hujui mashart ya ramadhan ndio maana mpenz
Hii sio futari tena
Mbona waswahili(wa islam) wanapenda kujichubuwa na kupenda kula chakula kina misosi mingi na mafuta mengi anawanenepesha kwa kiafia sio vizuri
Toa neno uislam kweny mabano,..kujichubua hakuko n uislam upo,..eenh hpo kweny kula kila mtu anakula anachokipendaa,wee kula ugal wako mwingii mboga yako,..mbn nyie mnapenda guruwe na kiafya sio vzur n madaktar wanasema..
Wanafiki hao
Hao wote hawakufunga nakama mulijifanya mumefunga basi funga zenu batili mumekaa na njaa tuu kwasababu unapo funga kwanza ujisitiri hata nywele yako isionekane
Tatizo.lenu hamujui nini maana ya neno kufuturu kuwa hilo ni tusi
Hahahahahah hizi futali mtatuua dini imeshaingiliwa kila mtu anafutula mfutulo anavojua yeye
Kinacho kuchekesha mwenyezi mungu anampa Kila mtu Kwa nafasi yake
Muda umeshaisha sasa wema tokea uanze kuwa star nimepata nini rudi kwa mola wako mlezi utubie ili upate mwisho mwema
Mm naona apo hajafutarisha ni mualiko tu wa usiku,,,kwasababu futari ni kwa ajili watu waliofunga tu ndio unapata fungu kubwa kwa Allah(s w),,,maskini,mafukara,au watu wasiojiweza kwa chakula ilimradi kuwa wamefunga ndio tunatakiwa tuwafuturishe tena kuwachukua na ma tv kila mtu akaona umewafanyia jambo fulani iyo haitakiwi
Vzr sana,si mwislam lakn najua hiyo
Yuko humble sana
Nilimiss kumuona anti wema ahsante kwa kumuleta anti
Wewe unatoa taalifa za ukweliii penda sanaa
Vzr
Kazeeka jaman Mweh 🙄
Kwani kazaliwa jana wema si wa mda
Kwani kuzeeka dhambi ?
Wakati unamuona akiwa miss Tz
Alikua anamiaka 14,
Kwa sasa anamiaka 30
Unacomment sana ndio hivyo keshapendwa.
Ramadhan mnavoifanya bora mngekula mchana t
Hahahaha
Mashaallah wema sepetu❤❤❤❤❤❤
Wema umekua mbaya
Kwakuwa umeemuumba wewe
🙄🙄🙄
@@Thebaddest255 limekuchoma
@@Thebaddest255 si kumumba me ila wema tulikua tunamkubali
Ila wadada sumu bwana😅
Niye muogopeni allah mwezi wa ramadhani mnava nguo muili upo wazi unaonekana uwislam jina tu wema kifua chote kiko nje mikona kisha tunafutulisha jistilini kwanza hiyo nguo muili ote unaonekana 🙁🙁🙁
Hujamwelewa wivu tu
Du wema yuleeeee
Eti kufuturisha.. Lol
Wema unazeeka,ungejiacha ulivyoumbwa.
Wowow
Wema❤
Yaani chibaba bwana
Wamalayz tu,hakuna thawabu umepata hapo,uko uchi ,Wenye umeita wkuja kukuongeeya thabi tu,hakuna ata sxawabuziko apo
Wema nakupenda sana
Unafitarisha wakati unaishi na zinaa dini haitaki mashara jaman
Amezeeka,amezeeka nyie hamjazeeka? na hamtazeeka.acheni maneno machafu hakuna mkamilifu chini ya jua. mtazeeka nanyiii
Mh huu ni mitihan eti anafturisha
Mbona Kawa kama bibi
Wakati unamuona akiwa miss Tz
Alikua na miaka 14,sasa unavyomuona anamiaka 30
@@sa3dasa3da87 we bwana huyu ni bibi
@@sa3dasa3da87 afu pia kapungua sana mwili alikuwa mmene sana mkumbuke ilo yani kakonda sanaa mtu akikonda sana anakuwa kama kazeeka.
Uyu alikuwa mnene sana apo kajikondesha sana that's why
@@sa3dasa3da87 alikuwa na miaka 14 ulikuwa na cheti chake Cha kuzaliwa
Unasema unafutulisha af unafutulisha watu wenye uwezo wa kufuturu wenyew af useme umefutulisha
Kamfuturisha nan hapo aliefunga😂😂😂😜manake kwnz ncheke...na kwn na yy anafung au??
Hapo wengine makobe
Uyo dada mwenye breach ni nani anavyokula anaonekana nimchafu sana nabora hilo somo apewe anakula chakula km uchafu
😂😂😂
Aunty_kapendeza
Open NGO
Yemeni waandishi wetu bwana
❤🇰🇪
Namuomba anti na familia yake apo najiuliza sasa na yeye ni muisilamu adi kula chakula cha wafugaji 😂
💗💖💖💖🤪
Wesema huyo niwako
Sees
Too much make up
mbona kama kazeeka?😂😂
We nawe una umbea, we mwenyewe hujazeeka lione mxiuuuu
Usifuturishe madanga ukahis utapata thawabu ruclips.net/video/K4fPbreFTwk/видео.html
Kafutarisha?Kwan kafunga?anaishi na mwanaume bila ya ndoa!kavaa manywele bandia halfu ati kafutarisha!nonsense
Ule mualiko nae apate kuonekana
Mkikaaaa mnatafuta vya kumkera Allah! Umefuturisha au ulitaka kuongea na Waandishi wa habari?
Unafuturisha, mevaaje? Ndo mfungaji anavaa hivyo? Au ushatoka kwenye Uislam?
Au uliwamis shogazo ndo ukawakusanya hapo?
Au mpaka Allah(S.W.) akupunguze kasi?
Kwakweli