Hivi kocha wetu anawaangalia wachezaji kwa makini kwani naona kuna wachezaji ambao hawastahili kuwa kikosi cha kwanza. Ganacho ni mpotezaji wa nafasi za kufunga za wazi ambazo tunakosa ushindi mnono hastahili amepewa nafasi mara nyingi habadiliki pia Rashford atafutiwe timu