Bi Msafwari Swala La Mavazi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии •

  • @e.crabtree4313
    @e.crabtree4313 4 года назад +3

    Amen, amen, amen. Kipindi bora zaidi. Funzo limejaa......wanao masikio listen.

  • @paulina.baynit7970
    @paulina.baynit7970 4 года назад

    Dini ni ile ile. Na nguo fupi hai fai kabisa kwenye nyumba za Ibada. Kila mavazi na mahali pake maana kabla hujafungua mdomo wako tayari mavazi yako yanakutambulisha wewe ni nani. Asanteni sana mada nzuri hiyo.🙏.

  • @havanablue4813
    @havanablue4813 4 года назад

    The lady in GREEN. Mamma Mia!!!!! Hata kama Kiswahili kinapiga kona, eiiish, umenena.

  • @abelgogomoka5473
    @abelgogomoka5473 4 года назад

    You are a 'model teacher' in this conflicting era of past, present & future traditions heritage.

  • @mariamibrahim9855
    @mariamibrahim9855 9 лет назад +2

    The mapacha's you always make your show comes to life! Bi mswafari Haendi popote people are always allergic of the truth bi mswafari is here to stay! Kanze na lulu you have supported your tough mom!

  • @alfonsendikumana847
    @alfonsendikumana847 9 лет назад +1

    mda ndio kidogo.. hongera citizen kwa kipindi.

  • @deograsiamgeni5716
    @deograsiamgeni5716 4 года назад

    Mzee wa Imani, Rose flower.

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 4 года назад

    Mama nakuunga mkono wanamke tunapashwa jieshimia Hata Mungu kutoka mwanzo wakati binadamu aliteta zambi kwene bustani ya edeni wakajiona uchi Mungu aliwatengenezea nguwo mu miti

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 4 года назад

    Hiyo ni kweli .Hata Mungu alisema hiyo kabsa kwani Mume ameumbwa kwanza kisha Mungu akamuumba Mike kutoka ubavuni kwa mme. Mwanaume hata akiwa wa aina gani ni kama mfalme akikukubalia

  • @ponctualitesuleim9417
    @ponctualitesuleim9417 4 года назад

    God bless you 🙏 🤝🤝🤝🙏

  • @aishaafricanas7519
    @aishaafricanas7519 4 года назад

    Ni kweli

  • @mariamibrahim9855
    @mariamibrahim9855 9 лет назад +3

    Tough mom you never favour never favour women ! Wanakuchukia for burning them with the truth! Kanze wanadada wanaenda patapata kupika ma boyfriends na Kuvua watafakari hayo! Kanze the show is always full of comedy courtesy of kanze

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 3 года назад +1

    I don't need a woman in my house period I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 4 года назад +2

    Lakini wanaume NAO wanafanya makosa .kwa mfano munatoka shambani/kazini , mnachoka wote mume anaketi kwene kitu mama anasumbuka mu mazi ya kunyumba mda kidogo mume anaanza kulaumu kwa kusema kama mke anacelewa kumpa cakula.

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 3 года назад +1

    I would rather alone period by Steve Irungu Jermaine

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 3 года назад +1

    Marriage is by choice period by Steve Irungu Jermaine

  • @nelsonmoreka6929
    @nelsonmoreka6929 4 года назад

    Wanawake dunia ya Sasa hawana dhamani Wala maana yoyote. Utawadia wakati wa kilio, watatamani kuitwa angalau kwa jina la mwanamume,maamuzi yao yatageuka maisha magumu kwao

  • @davidkims7286
    @davidkims7286 4 года назад

    Maman bi msafwari mimi nimwanamuke niko kwenye ndowa kuna mavazi zengine wa naume wetu ao wenyewe wame tununuliya sasa je?mbone Mwenyezi mungu ameseme tuwatii waume zetu?tuwe nazikataa?

  • @vivianjohn2430
    @vivianjohn2430 9 лет назад +4

    hahaha mkala that's a good idea love you all

  • @marthneno7944
    @marthneno7944 9 лет назад +1

    wau nice message

    • @jamaldinmandowa352
      @jamaldinmandowa352 4 года назад

      Pia Lipo tatizo la wanawake watumishi kufanya siri mshaala wao nauleta shida KWENYE uwazi KWENYE ndoa

  • @alvinsafi2733
    @alvinsafi2733 4 года назад +1

    Wanawake wengi hamjafundwa. .Hamjui maadili ya ndoa hawajui nini maana ya ndoa. .Bi mswafari waambie vijiwanawake vya sikuhizi vikisoma via diploma na kumiliki kagari ka kuongwa na boss wanajiona wapo juu

  • @DicksonKarithi
    @DicksonKarithi Месяц назад

    Cogra mama msafwari

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 3 года назад +1

    The family institution is a corrupt institution I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine

  • @isaiahkibandi5851
    @isaiahkibandi5851 7 лет назад +6

    waambie hio ni kweli kabisa,hakuna vile mke atawahi kua juu ya bwana.

  • @geoffmugo6228
    @geoffmugo6228 4 года назад

    Kweli Bi msafari.Hawa wanawake wajifanya wanaume eti tuwapikie,kisa tuwavulie nguo.Haiwezekani tutawatia adabu.Kwanza hio tabia yao ya kupigiapigia mwanauke mdomo ndiyo shinda kubwa!!

  • @winniethiongo8823
    @winniethiongo8823 8 лет назад +9

    Sema ukweli bi msafari.... Bi msafari in not out

  • @aliceatieno3422
    @aliceatieno3422 4 года назад

    I love that my mather

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 3 года назад +1

    Christians in Kenya are extremely ignorant so help me God in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine

  • @chance0709
    @chance0709 4 года назад

    Yatizo bibi MSAFARI anaongea kama iko kanisani hamalize tuna takasikia wengi wakichangia.
    Anapiga kelele sana

  • @neemamsigwa7010
    @neemamsigwa7010 4 года назад

    SWALALAMAVAZO

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 4 года назад

    Bi msafari in

  • @alvinsafi2733
    @alvinsafi2733 4 года назад

    Huyo mtangazaji mwenye green hajui kitu yeye kavaa hayo manywele ya bandia kisha anasema sikuhizi maisha yamebadirika! kivipi? Kuiga tamaduni za wazungu? Kusaporti ushetani mpk makanisani ? Mbona nons hawabadiriki kwani wa naishi maisha yepi? Tatizo uzungu mwingi watu wamemsahau mungu..biblia ya sema mwanamke asivae kama mwanaume na mwanaume kama mwanamke. .kesho majibu muwe nayo mbele ya Mungu

  • @mariamibrahim9855
    @mariamibrahim9855 9 лет назад +1

    Kanze always push bi mswafari so badly that she has to snap

  • @uwaniathman9711
    @uwaniathman9711 5 лет назад

    Huku arabuni mama anamuonyesha mtoto wake wa kiume nusu kifua... je ni sawa

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 года назад

      Zipo familia za waarabu zilizo haribika ila zipo nyingi tu wanaojistiri adi nyumbani mbele za watoto wao

    • @lilianmotanya6269
      @lilianmotanya6269 4 года назад

      @@kijanahodari2080 hnhu

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 лет назад

    Bi mswafari mavazi muhimu san ata huyo nuru ukimtazam amependeza mno

  • @havanablue4813
    @havanablue4813 4 года назад

    What is "Mkazamwana"?

    • @jamillahhajega8198
      @jamillahhajega8198 4 года назад +1

      Mkaza mwana is the lady married to your son ( daughter in-law)

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 года назад +1

      Mke(Bibi) wa mtoto wako ndio mkaza mwana,alafu acheni kupotoshwa na wazungu kizungu kingi wakati hao hawataki lugha zenu

    • @bancymunene9288
      @bancymunene9288 4 года назад

      Daughter -in-law

  • @mariamibrahim9855
    @mariamibrahim9855 9 лет назад +1

    The mapacha's sometimes they differ

  • @estheralbrechtsen8999
    @estheralbrechtsen8999 6 лет назад

    👏👏👏🙏

    • @camilorylan138
      @camilorylan138 3 года назад

      Sorry to be so off topic but does anybody know a way to log back into an instagram account..?
      I was stupid forgot the password. I appreciate any help you can offer me

    • @mariogunner2641
      @mariogunner2641 3 года назад

      @Camilo Rylan Instablaster :)

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 4 года назад

    Kwa Waislamu nadhani mke avae mavazi yale atayapenda mume lakini akiwa mbele za Watu ajistiri.
    Si vyema mwanamke atokeze amevaa tunguo tumembana au see through au ni fupi kisha mbele ya wanaume ili aonekane. Itakuwsje wakimuona?

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 года назад

      Mafundisho ya kiislamu na Qur'an haisemi hayo unayosema ww, kwa waislamu ni kujistiri na stara sio kuvaa wanayotaka

  • @abubatv8996
    @abubatv8996 7 лет назад +1

    bi msafari wewe ndo mpango

  • @johnkamau6192
    @johnkamau6192 9 лет назад

    i would go 4 th gal in a mini she looks wao ako fiti kuruka

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 года назад +1

      Wafuasi wa shetani wote wanapenda hizo nguo thts y there's no angel of God around that lady

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 3 года назад +1

    Marriage is by choice period by Steve Irungu Jermaine