MTANI TV
MTANI TV
  • Видео 215
  • Просмотров 409 173

Видео

KISA GAMONDI KUFUKUZWA YANGA, MASHABIKI WA SIMBA WAFANYA SHEREHE
Просмотров 2224 часа назад
#simba #congo #daressalaam #diamondplatnumz #ghana #kenya #malawi #mombasa #nairobi #tanzania
MCHAMBUZI WA TBC ALITABILI GAMONDI KUFUKUZWA YANGA, HATIMAE GAMONDI ALIWA KICHWA MCHANA HUU
Просмотров 1294 часа назад
MCHAMBUZI WA TBC ALITABILI GAMONDI KUFUKUZWA YANGA, HATIMAE GAMONDI ALIWA KICHWA MCHANA HUU
MO DEWJI AWATAKA FEISAL PACOME NA KINZUMBI, MESEJI ZA WHAT'S APP ZAVUJA
Просмотров 3347 часов назад
#simba #congo #daressalaam #diamondplatnumz #ghana #malawi #kenya #tanzania #mombasa #nairobi
"WAMEINGIA GETO WAMELIWA BILA KUPENDA" YANGA PRINCESS WAPIGWA CHA UCHUNGU KMC COMPLEX
Просмотров 1469 часов назад
#simba #congo #daressalaam #diamondplatnumz #ghana #malawi #kenya #tanzania #mombasa #nairobi
KOCHA KMC AWA MKURUGENZI WA UFUNDI YANGA, ASAINI MIAKA MITATU MSHAHARA 40ML
Просмотров 3669 часов назад
#simba #congo #diamondplatnumz #daressalaam #kenya #ghana #malawi #mombasa #nairobi #tanzania
YANGA KUTUMIA UWANJA WA JAMUHURI MOROGRO,BODI YA LIGI YAELEZA KILA KITU
Просмотров 5989 часов назад
#simba #congo #daressalaam #diamondplatnumz #ghana #kenya #malawi #mombasa #nairobi #tanzania
TFF WABARIKI YANGA KUTUMIA UWANJA WA KMC , ENG.HERSI AMWAGA MIPANGO YA UBINGWA
Просмотров 15412 часов назад
#simba #congo #daressalaam #diamondplatnumz #ghana #kenya #malawi #tanzania #mombasa #nairobi
GHOROFA LA ENG.HERSI WA YANGA KARIAKOO MANARA AMSHITAKI KWA BOSS G.S.M
Просмотров 28014 часов назад
#simba #congo #daressalaam #diamondplatnumz #ghana #kenya #malawi #mombasa #nairobi #tanzania
YANGA KUPELEKEWA MOTO NA SIMBA KMC COMPLEX, GAMONDI ANAWATESA WACHEZAJI WA YANGA AONDOKE TU.
Просмотров 13714 часов назад
#simba #congo #daressalaam #diamondplatnumz #malawi #ghana #mombasa #kenya #tanzania #nairobi
RASMI YANGA KUTUMIA UWANJA WA MEJA ISAMUYO, ENG.HERSI SAID AWEKA MAMBO WAZI
Просмотров 22 тыс.21 час назад
#simba #congo #daressalaam #diamondplatnumz #ghana #malawi #kenya #nairobi #tanzania #mombasa
ALI KAMWE ALAMBISHWA ASALI MBELE YA WAANDISHI WA HABARI, SEMAJI TABORA ATAMBA
Просмотров 431День назад
#simba #daressalaam #congo #diamondplatnumz #kenya #ghana #malawi #tanzania #mombasa #nairobi
MASHABIKI WA YANGA WAZIMIA UWANJANI , WAUKATAA UWANJA WA CHAMAZI
Просмотров 800День назад
#simba #congo #daressalaam #diamondplatnumz #malawi #ghana #nairobi #tanzania #kenya #mombasa
AHMED ALLY ATOKWA NA MACHOZI MBELE YA WAANDISHI WA HABARI, ATUPA DONDO KWA ALI KAMWE
Просмотров 382День назад
#simba #congo #daressalaam #diamondplatnumz #ghana #kenya #malawi #tanzania #mombasa #nairobi
MAVAMBO AMWAGIWA PESA KMC COMPLEX, SIMBA WAPAA KILELENI LIGI KUU
Просмотров 2,5 тыс.День назад
MAVAMBO AMWAGIWA PESA KMC COMPLEX, SIMBA WAPAA KILELENI LIGI KUU
KISUGU AMVAA PRINCE DUBE WA YANGA, AKIMALIZA NA GOLI KUMI NIPINGWE VIBOKO
Просмотров 49День назад
KISUGU AMVAA PRINCE DUBE WA YANGA, AKIMALIZA NA GOLI KUMI NIPINGWE VIBOKO
KISUGU AFUNGUKA KMC NI TAWI LA G.S.M WAMEPEWA PESA , MUKWALA ATAFUNGA TENA WAAAHHH
Просмотров 392День назад
KISUGU AFUNGUKA KMC NI TAWI LA G.S.M WAMEPEWA PESA , MUKWALA ATAFUNGA TENA WAAAHHH
REFA ALIPANDA NDEGE MOJA NA SIMBA KWENDA KIGOMA, ALILALA HETOL MOJA NA SIMBA KIGOMA.
Просмотров 2,4 тыс.День назад
REFA ALIPANDA NDEGE MOJA NA SIMBA KWENDA KIGOMA, ALILALA HETOL MOJA NA SIMBA KIGOMA.
AHMED ARAJIGA AFUNGIWA NA TFF, BACCA AFUTIWA CARD NYEKUNDU RUKSA KUCHEZA
Просмотров 186 тыс.День назад
AHMED ARAJIGA AFUNGIWA NA TFF, BACCA AFUTIWA CARD NYEKUNDU RUKSA KUCHEZA
SHETANI WA YANGA AMPA MAUA YAKE ENG HERSI , YANGA NI ZAIDI YA REAL MADRID
Просмотров 14714 дней назад
SHETANI WA YANGA AMPA MAUA YAKE ENG HERSI , YANGA NI ZAIDI YA REAL MADRID
AZIZ KI NA HAMISSA WAONDOKA KINYONGE BAADA YA KUFUNGWA NA AZAM FC
Просмотров 1,5 тыс.14 дней назад
AZIZ KI NA HAMISSA WAONDOKA KINYONGE BAADA YA KUFUNGWA NA AZAM FC
MASHABIKI WA YANGA WAMVAMIA ARAJIGA BAAADA YA KUPOTEZA DHIDI YA AZAM FC
Просмотров 42114 дней назад
MASHABIKI WA YANGA WAMVAMIA ARAJIGA BAAADA YA KUPOTEZA DHIDI YA AZAM FC
MASHABIKI WA SIMBA WAMVAMIA MUKWALA BAADA YA MECHI KIGOMA
Просмотров 36114 дней назад
MASHABIKI WA SIMBA WAMVAMIA MUKWALA BAADA YA MECHI KIGOMA
TFF YAMFUNGIA RAMADHANI KAYOKO, ARAJIGA KUCHEZESHA YANGA VS AZAM JUMAMOSI
Просмотров 6 тыс.14 дней назад
TFF YAMFUNGIA RAMADHANI KAYOKO, ARAJIGA KUCHEZESHA YANGA VS AZAM JUMAMOSI
PACOME HAJAGOMA KUONGEZA MKATABA BWANAAA, ASAINI MIAKA MITATU SIMBA WAPOTEANA
Просмотров 53214 дней назад
PACOME HAJAGOMA KUONGEZA MKATABA BWANAAA, ASAINI MIAKA MITATU SIMBA WAPOTEANA
PACOME ZOUZOUA AZUNGUMZA BAADA YA MECHI, ATUMA SALAMU KWA AZAM FC JUMAMOSI
Просмотров 2,4 тыс.14 дней назад
PACOME ZOUZOUA AZUNGUMZA BAADA YA MECHI, ATUMA SALAMU KWA AZAM FC JUMAMOSI
DAAAHH!!! BAADA YA MECHI SIMBA NA YANGA KAYOKO ASHUSHA MJENGO MKALI CHAMAZI
Просмотров 37914 дней назад
DAAAHH!!! BAADA YA MECHI SIMBA NA YANGA KAYOKO ASHUSHA MJENGO MKALI CHAMAZI
YANGA KUTAMBULISHA MCHEZAJI MPYA ZANZIBAR, NI ZAIDI YA MAX NZENGELI
Просмотров 1,2 тыс.14 дней назад
YANGA KUTAMBULISHA MCHEZAJI MPYA ZANZIBAR, NI ZAIDI YA MAX NZENGELI
KISUGU ASEMA MECHI YA SINGIDA BLACK STAR NA YANGA NI ZAIDI YA FUNGATE KESHO ZANZIBAR
Просмотров 1,7 тыс.14 дней назад
KISUGU ASEMA MECHI YA SINGIDA BLACK STAR NA YANGA NI ZAIDI YA FUNGATE KESHO ZANZIBAR
KISUGU ASEMA AJALI YA JKT TANZANIA IMETENGENEZWA, SIMBA SAWA NA KIFO HATUKIMBIWI
Просмотров 9 тыс.14 дней назад
KISUGU ASEMA AJALI YA JKT TANZANIA IMETENGENEZWA, SIMBA SAWA NA KIFO HATUKIMBIWI

Комментарии

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 2 дня назад

    Fanyeni sherehe tu , yanga wameshajichanganya tayari!

  • @MussaJohn-zz8vf
    @MussaJohn-zz8vf 3 дня назад

    Dah

  • @RashidHamis-o6w
    @RashidHamis-o6w 4 дня назад

    Yani huyu kocha alikuwa sehemu nzuri Tu yakufundisha mpira sasa utashangaa ni kipi kilichomuondoa, Kwa sababu uwezo wake wakufundisha ni mdogo, ona sasa maajabu ya musa eti hawa yanga wanataka awe mkulugenzi wa ufundi kama sio utopinywo au utopolo kumbe nini 😅😊

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 4 дня назад

    Mpakaaa wasemeeeee

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 4 дня назад

    Achaneni na Pakome mzee tunataka vyuma vipya kutoka Morocco. Kinzumbi pia ni bora sana kuliko Pacome. Mambo ya kulipa visasi bila kuangalia mahitaji ya timu ni ushamba. Utopolo wanapata wakati mgumu kutokana na kusajili wastaafu kutoka Simba kwa mihemko. Tusijifananishe na wapumbavu.

  • @EdigaKasiwa
    @EdigaKasiwa 5 дней назад

    Alooooooh kwelii

  • @EmmanuelyMussahassan
    @EmmanuelyMussahassan 8 дней назад

    Ni kweli kaka

  • @ZachariaSandu
    @ZachariaSandu 8 дней назад

    Duuh

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 8 дней назад

    mbona makonda liwapa uwanja kigamboni upon wapi?

  • @himanmwalwala7569
    @himanmwalwala7569 9 дней назад

    YANGA WANAVUNA DHURUMA ZA KAYOKO

  • @rechardseleman1585
    @rechardseleman1585 9 дней назад

    Ukovizuri

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 9 дней назад

    Inaonekana timu kufungwa ni shida kama hutaki kushindwa toka kwenye ushindani god awa makongwinyo simbilis wasitutishe

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 9 дней назад

    Aziz ki . God Yanga siyo mtu wa kupiga Penati. Penati nyingi anapiga vile2. Hapana, lakini kumchezesha Denis Nkane na Kennedy Musonda mechi ile haikuwa sawa kabisa. Mbona wachezaji ni wengi wazuri.

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 9 дней назад

    Uyu dada wapembeni nimsenge eti umeloha god

  • @tzonespices9734
    @tzonespices9734 9 дней назад

    Usilie mwanamme halii wewe

  • @tzonespices9734
    @tzonespices9734 9 дней назад

    Unangea wa uchungu sana. Pole. Umezoea kuchka. Kweli umelows.

  • @tzonespices9734
    @tzonespices9734 9 дней назад

    Kikosi kipana maanayake nini. Usiwataje wasiocheza umefungwa mjifunze. Kubebwa kubaya. Hamtoboi safar hii mtateseka sana. Kwahiy banka ndio timu???

  • @tzonespices9734
    @tzonespices9734 9 дней назад

    Pole umia sana. Bora ujazimia. Timu yako bado ungezimia kama kayoko hajawabeba.

  • @LucianaSintufya
    @LucianaSintufya 9 дней назад

    Mnajua matokeo mbwa nyie mnafungwaje kwa wenzeni mbwa nyie nyokoo

  • @pendoshayo-bo4fp
    @pendoshayo-bo4fp 9 дней назад

    Azzk mshaulini penati zote anapiga upande moja wakushoto fatilien penati sake zote anazopga hata magolikipa washamjulia

  • @paulmabuye2366
    @paulmabuye2366 9 дней назад

    Nani anabebwa wewe Kolo.ongea mpira Sio ushabiki. amefunwa Man City itakuwa Yanga.ongea mpira

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 9 дней назад

    SWADAKTA HAYOOO NDO MANENO YAKUONGEA NANI mwenye hatimilki ya kushinda TU KILA wakti

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 9 дней назад

    Mkubali,mkiwa mnasubiri mbeleko ya refa mtafeli,kilichotokea amini bila kubebwa hamtoboi,,,

  • @benimasaka9169
    @benimasaka9169 9 дней назад

    Kwani Leo vp unaongea kama umetoka kwa piddy😂😂😂 ongea kama mtoto wa kiume🏃

  • @AmanaHassan-cy4fi
    @AmanaHassan-cy4fi 9 дней назад

    Silaagiii nna Kisukariii... God bhanaa... Katika football dakika 90 ziheshimiwe ilaa acha turudi black watasema Makollo... Oooh GSM aaah wanatumia madawa kulevyaaa... Cjui nn

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk 9 дней назад

    God sisis Yanga tupo vizuuri Na Yanga yetu tutapambana inshallaj

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 9 дней назад

    Gody Yanga umeongea vizuri Sana kwa anayejua mpira amekuelewa Ila ambaye hajui ataendelea kupiga kelele tu

    • @GodwinNgosso
      @GodwinNgosso 9 дней назад

      Gody Yanga,mimi pia naitwa Gody mshabiki kindaki ndaki wa Yanga Africa,,yaliyotokea jana ni ishala kubwa kuwa ndani na nje ya CLUB yetu kuna kitu kinaendelea naomba lifanyieni kazi ..Gody kama ningefaulu kuongea nawewe kwa cm ningesema mengi..fanyien kazi ninyi wenzetu mlio karibu na viongozi.

  • @nyandabusiga5637
    @nyandabusiga5637 9 дней назад

    Umeongea mwanangu. Ninaimani na Stephen na timu iliyo cheza jana.

  • @taseleli9181
    @taseleli9181 10 дней назад

    Mmezoea kubebwa nyie utopolooooookwinyo

  • @JonasiKiputa
    @JonasiKiputa 10 дней назад

    Kafungwa tenaaaaaa

  • @drallan6879
    @drallan6879 12 дней назад

    mambo ya hovyo mno primitive ideas

  • @MacrinaKanyaruju
    @MacrinaKanyaruju 12 дней назад

    Ubaya ubwela huo umeanza kuwaingia wanautopolo😂😂😂😂

  • @KhamisAlawi-n1k
    @KhamisAlawi-n1k 13 дней назад

    Na uchawi je! Ni wakumi ngapi?

  • @KhamisAlawi-n1k
    @KhamisAlawi-n1k 13 дней назад

    Hili jamaa kweli pasua kichwa.

  • @deusdeditkullwah5586
    @deusdeditkullwah5586 13 дней назад

    Nakubaliana nawewe asulimia mia nikukumbushe kama Yanga slichezeshwa mechi Kila baada ya siku mbili Kwa nini Simba wasicheze kabla badala ya? Kama Kuna mechi ya wanawake wangecheza Simba hata Leo badala ya keshokutwa

  • @bonifacearon3643
    @bonifacearon3643 13 дней назад

    Hapo ndo umeongea utumbo kabisa si ukalime tuuu!

  • @hendricksjohn6201
    @hendricksjohn6201 13 дней назад

    Hawa yanga machizi kweli wao wamecheza dakika mia

  • @Carrensumaye
    @Carrensumaye 13 дней назад

    Kwel Huna hoja wee

  • @tituschavala1165
    @tituschavala1165 13 дней назад

    Wewe umetumwa mjinga tu

    • @halimalachpat1927
      @halimalachpat1927 13 дней назад

      Wewe ni mbayuwayu huna jipya

    • @SalumuChilumba
      @SalumuChilumba 12 дней назад

      Hiyo ndo maana ya ubaya ubwela, ukiroga tunaroga, ukihonga tunahonga, ukimiliki waziri tunamiliki mawaziri, huu ndo mwaka mwaka wa u baya ubwela

  • @tituschavala1165
    @tituschavala1165 13 дней назад

    We ni mjinga tu hujui chochote

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 13 дней назад

    Mpewa dk 100 lakini mmelowa Kwa Azam,Mnataka Simba asishinde😂😂😂😂

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 13 дней назад

    Viongizi ndio wamemnyanyuwa Mkwala ndio akafunga😂😂😂😂😂

  • @joelmichael9752
    @joelmichael9752 13 дней назад

    Kama alipanda ndege moja Simba wewe ulitaka apande Fisi kama wewe?

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 13 дней назад

    Haka kana hoja zakijinga hata kusikiliza hivyo kamejaa ushabiki wa utopolo

  • @kebwecelestine4017
    @kebwecelestine4017 13 дней назад

    Alitaka apelekwe kayoko

  • @kebwecelestine4017
    @kebwecelestine4017 13 дней назад

    Angempeleka yeye na baiskeli yake

  • @kebwecelestine4017
    @kebwecelestine4017 13 дней назад

    Jinga jinga

  • @kebwecelestine4017
    @kebwecelestine4017 13 дней назад

    Goli lao na simba

  • @kebwecelestine4017
    @kebwecelestine4017 13 дней назад

    Muulize goli lao na coastal

  • @kebwecelestine4017
    @kebwecelestine4017 13 дней назад

    Kichaa huyo achana nae