- Видео 611
- Просмотров 1 147 270
Waso TV
Кения
Добавлен 25 дек 2019
Informing and Entertaining-Till no. 9215703
WASO TV is Multi-Media online outlet focusing on Breaking News, Politics, Business, Sports, Documentaries and more.
To support this channel - Till no. 9215703
WASO TV is Multi-Media online outlet focusing on Breaking News, Politics, Business, Sports, Documentaries and more.
To support this channel - Till no. 9215703
MRADI WA KUPAMBANA NA NZIGE UMENUFAISHA WAKULIMA NA WAFUGAJI WA ISIOLO
Vikundi vya wakulima na wafugaji katika gatuzi la Isiolo waelezea jinsi wamenufaika na mradi wa kupambana na nzige.
Baada ya uvamizi wa nzige kushuhudiwa katika gatuzi la isiolo na kuleta athari kwa mimea na lishe ya mifugo , serikali ilianzisha mpango wa kukabiliana na Nzige wa Dharura (ELRP) mradi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia .
Mradi huo umetekelezwa na Wizara ya Kilimo, Mifugo na uvuvi umetekelezwa chini ya serikali ya gatuzi la isiolo, kati ya 2020 na 2023.
Akizungumza na Runinga ya waso , Hassan Boru ambaye ni mwenyekiti wa kikundi cha Basa disabled self-help group anasema kuwa walianzisha kikundi chao mwaka 2018 wakiwa na wanachama 12 walipewa mbuzi 30 ambao anasema imewapa faida s...
Baada ya uvamizi wa nzige kushuhudiwa katika gatuzi la isiolo na kuleta athari kwa mimea na lishe ya mifugo , serikali ilianzisha mpango wa kukabiliana na Nzige wa Dharura (ELRP) mradi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia .
Mradi huo umetekelezwa na Wizara ya Kilimo, Mifugo na uvuvi umetekelezwa chini ya serikali ya gatuzi la isiolo, kati ya 2020 na 2023.
Akizungumza na Runinga ya waso , Hassan Boru ambaye ni mwenyekiti wa kikundi cha Basa disabled self-help group anasema kuwa walianzisha kikundi chao mwaka 2018 wakiwa na wanachama 12 walipewa mbuzi 30 ambao anasema imewapa faida s...
Просмотров: 99
Видео
SHEREHE YA SIKUKUU YA MASHUJAA 2024 YAFANYIKA ISIOLO
Просмотров 259День назад
Sherehe ya sikukuu ya Mashujaa imefanyika na kuhudhuriwa na viongozi wa kisiasa, kidini na kijamii pamoja na wakaazi . Sherehe hiyo ilisheheni densi ya muziki kutoka kwa jamii mbali mbali . Kwenye sherehe hiyo , kamishna wa gatuzi la Isiolo Bwana Geoffrey Omoding ametoa wito kwa wakaazi kutokubali watu wachache kuvuruga amani na usalama katika gatuzi hili . Kuhusu suala la mihadarati , bwana Om...
WAHUDUMU 30 WA AFYA WATUMWA HOSPITALI YA RUFAA YA ISIOLO, GARBATULLA NA MERTI.
Просмотров 97714 дней назад
Serikali ya Kaunti ya Isiolo kwa ushirikiano na shirika la Rapco wazindua wahudumu thelathini wa afya watakaotumwa kutoa huduma za ziada katika vituo vya afya. Takriban wahudumu wa afya thelathini wakiwemo maafisa wa kliniki wamezinduliwa rasmi katika hospitali ya rufaa ya isiolo, kupitia juhudi za serikali ya gatuzi la isiolo kwa ushirikiano na shirika la Rapco Akizungumza baada ya uzinduzi hu...
HISIA MSETO ZASHUHUDIWA ISIOLO KWA KUBANDULIWA KWA NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA
Просмотров 50714 дней назад
Wakaazi wa Isiolo wametoa kauli yao kuhusu kubanduliwa kwa Rigathi Gachagua kama naibu wa rais wa jamhuri ya Kenya. Join this channel to get access to perks: ruclips.net/channel/UCz56_Cq9paqU1WBdhkaVL8gjoin WASO TV - Informing and Entertaining
"SHERIA YA KIISLAMU IZINGATIWE KATIKA HARUSI", ASISITIZA KHADHI WA ISIOLO
Просмотров 756Месяц назад
Viongozi wa kiislamu wakutana kujadili mbinu ya kukabiliana na utovu wa nidhamu katika harusi, kukiuka sheria za kiislamu katika kufunga ndoa. Join this channel to get access to perks: ruclips.net/channel/UCz56_Cq9paqU1WBdhkaVL8gjoin WASO TV - Informing and Entertaining
ISIOLO YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA UFAHAMU WA WALEMAVU WA KUSIKIA
Просмотров 179Месяц назад
Wiki ya kimatifa ya ufahamu wa walemavu wa kusikia umeadhimisha hapa Isiolo ambayo imehudhuriwa na viongozi mbali mbali. Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo Nura Diba ambaye ni afisa wa idara ya vijana, jinsia na huduma za jamii amesema shilingi milioni 3 zimetengwa kwa ajili ya kununua mashine ya kuwasaidia walemavu wa kusikia na kuongeza kusema Gavana Abdi Ibrahim Guyo ameyapa kipaumbele m...
SHEREHE YA UTAMADUNI YAFANYIKA KATIKA SHULE YA LITTLE ANGELS ISIOLO
Просмотров 770Месяц назад
Wanafunzi wa shule ya Little Angels mjini Isiolo walionyesha umahiri wao kwa kuwatumbuiza wazazi na wageni kwa nyimbo za tamaduni za jamii ya Borana , Meru , Turkana , Agikuyu , Kamba na Somali katika za siku ya Utamaduni shuleni humo . Akizungumza na wanahabari, mwenyekiti mpya wa shule ya Little Angels, Salad Tutana amezungumzia umuhimu wa kuhifadhi na kudumisha tamaduni za kiafrika . Kwa upa...
JAMII YA TURBI YAWASILISHA STAKABADHI ZA ARDHI YAO ISAJILIWE KUWA YA JAMII
Просмотров 421Месяц назад
Jamii kutoka eneo la Turbi kaunti ya Marsabit wana kila sababu ya kutabasamu baada ya stakabadhi zao za kuomba ardhi yao isajiliwe iwe ya jamii kupokelewa katika afisi za ardhi Isiolo. Akizungumza na wanahabari , mwenyekiti wa jamii hiyo Mamo Wako amesema kwamba mchakato huo ulianza mwaka wa 2019 na hatimaye ndoto yao imetimia . Bwana Wako ameshukuru shirika la kivulini trust kwa kuwashika mkon...
WASO TV PARTING SHOT FROM THE SECURITY MEETING HELD IN ISIOLO COUNTY
Просмотров 205Месяц назад
WASO TV - Informing and Entertaining Join this channel to get access to perks: ruclips.net/channel/UCz56_Cq9paqU1WBdhkaVL8gjoin WASO TV - Informing and Entertaining
MKUTANO WA USALAMA WAFANYIKA ISIOLO, IKIHUDHURIWA NA WAKUU WA MIKOA YA MASHARIKI NA BONDE LA UFA
Просмотров 415Месяц назад
Mkutano wa kushughulikia matatizo ya usalama na wizi wa mifugo na visa vya uhalifu katika kanda za mashariki na bonde la ufa , umefanyika hapa mjini Isiolo. Akizungumza na wanahabari baada ya mkutano huo Paul Rotich ambaye ni mkuu wa mkoa wa mashariki amesema vyombo vya usalama viko ngangari kupambana na uhalifu wa wizi wa mifugo . Rotich ameongeza kusema waliwapa waakilishi wadi baadhi ya maju...
ZAIDI YA WAKAAZI 5000 KIWANJANI WANUFAIKA NA MRADI WA MAJI KWA HISANI YA DAVIS & SHIRTLIFF NA CRS
Просмотров 266Месяц назад
Mradi wa uwekaji paneli za sola katika kisima cha maji wazinduliwa katika kituo cha polisi eneo la Kiwanjani, Isiolo. Mradi wa uwekaji wa paneli za sola katika kisima cha maji kilichopo katika kituo cha polisi umezinduliwa leo, lengo kuu likiwa ni kutumia nishati ya jua kusukuma maji kuwafaidi wakaazi 5,000 wa eneo la kiwanjani . Akizungumza na wanahabari , meneja mtendaji wa kampuni ya usambaz...
WASICHANA ISIOLO WAFUZU NA TAALUMA YA USHONAJI NGUO KWA CHEREHANI
Просмотров 354Месяц назад
Wasichana ishirini kati ya themanini wafuzu na taaluma ya ushonaji kwa cherehani Takriban wasichana ishirini hapa isiolo wanakila sababu ya kutabasamu hii ni baada ya kufuzu na kozi ya ushonaji kwa cherehani kisha kukabidhiwa vyeti na cherehani. Ishirini hao ni Miongoni mwa wasichana themanini ambao walikuwa wakipokea mafunzo ya cherehani kwa kipindi cha miezi mitatu . kwa mujibu wa sheikh sala...
WANAFUNZI WATOA SHUKRANI KWA SHULE YAO
Просмотров 215Месяц назад
Wanafunzi waliohitimu shule ya upili ya wasichana ya st Mary's mwaka wa 2006 waandaa hafla ya kutoa shukrani kwa shule hiyo. Nyuso za bashasha na furaha zilidhihirika kwenye sherehe za kutoa shukrani zilizoandaliwa na wanafunzi waliosomea shule ya upili ya Mary's kati ya mwaka wa 2002 na 2006 . Akizungumza na meza ya runinga ya Waso, mwenyekiti wa wanafunzi hao wa zamani Esther Munye amesema ku...
MFUMO WA KUTATUA KESI NJE YA MAHAKAMA YAZINDULIWA KATIKA GATUZI LA ISIOLO
Просмотров 172Месяц назад
JAJI MKUU AZINDUA MAHAKAMA YA JUU KATIKA GATUZI LA ISIOLO Join this channel to get access to perks: ruclips.net/channel/UCz56_Cq9paqU1WBdhkaVL8gjoin WASO TV - Informing and Entertaining
COUNTY GOVERMENT WILL ALLOCATE LAND IN GARBATULLA AND MERTI TO JUDICIARY, EASEN ACCESS COURT SERVICE
Просмотров 70Месяц назад
GOVERNOR ABDI IBRAHIM HASSAN Join this channel to get access to perks: ruclips.net/channel/UCz56_Cq9paqU1WBdhkaVL8gjoin WASO TV - Informing and Entertaining
THE ARRIVAL OF THE PRESIDENT IN ISIOLO COUNTY
Просмотров 399Месяц назад
THE ARRIVAL OF THE PRESIDENT IN ISIOLO COUNTY
CS DADHE REPRESENTS GOVERNOR GUYO AT ISIOLO BODABODA EMPOWERMENT PROGRAM
Просмотров 186Месяц назад
CS DADHE REPRESENTS GOVERNOR GUYO AT ISIOLO BODABODA EMPOWERMENT PROGRAM
HUDUMA YABORESHWA ZAIDI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA ISIOLO
Просмотров 2202 месяца назад
HUDUMA YABORESHWA ZAIDI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA ISIOLO
WAKAAZI WA ATTAN WAELEZA JINSI WALIVYONUFAIKA NA MPANGO WA GAVANA GUYO WA KUINUA JAMII KIUCHUMI.
Просмотров 3362 месяца назад
WAKAAZI WA ATTAN WAELEZA JINSI WALIVYONUFAIKA NA MPANGO WA GAVANA GUYO WA KUINUA JAMII KIUCHUMI.
MAISHA YA JAMII YAZIDI KUIMARIKA NA GAVANA GUYO
Просмотров 2112 месяца назад
MAISHA YA JAMII YAZIDI KUIMARIKA NA GAVANA GUYO
VIBERENGE ISIOLO WADAI HAKI ZAO ZIMEKIUKWA
Просмотров 2082 месяца назад
VIBERENGE ISIOLO WADAI HAKI ZAO ZIMEKIUKWA
MANUFAA YA MRADI WA KUINUA VIJANA NA AKINA MAMA WAANZA KUSHUHUDIWA ISIOLO
Просмотров 1792 месяца назад
MANUFAA YA MRADI WA KUINUA VIJANA NA AKINA MAMA WAANZA KUSHUHUDIWA ISIOLO
WANACHAMA WA ODM ISIOLO WAMEMRAI KINARA RAILA ODINGA KUWAKUMBUKA KATIKA NAFASI ZA MAKATIBU WAKUU
Просмотров 1152 месяца назад
WANACHAMA WA ODM ISIOLO WAMEMRAI KINARA RAILA ODINGA KUWAKUMBUKA KATIKA NAFASI ZA MAKATIBU WAKUU
NATIONAL YOUTH WEEK CELEBRATION IN ISIOLO COUNTY - UPPER EASTERN EDITION 2024
Просмотров 2102 месяца назад
NATIONAL YOUTH WEEK CELEBRATION IN ISIOLO COUNTY - UPPER EASTERN EDITION 2024
MATIBABU YA BURE YANUFAISHA ZAIDI YA WAZEE 140 ISIOLO
Просмотров 2142 месяца назад
MATIBABU YA BURE YANUFAISHA ZAIDI YA WAZEE 140 ISIOLO
FRIDAY KHUTBAH "MFUMO WA MAISHA KATIKA UISLAMU" SHEIKH MUHAMMAD KATIKA MSIKITI WA JAMIA ISIOLO.
Просмотров 1222 месяца назад
FRIDAY KHUTBAH "MFUMO WA MAISHA KATIKA UISLAMU" SHEIKH MUHAMMAD KATIKA MSIKITI WA JAMIA ISIOLO.
ISIOLO GIRLS PROMISE FULFILLED - MUMINA TAABO GOLLO
Просмотров 2843 месяца назад
ISIOLO GIRLS PROMISE FULFILLED - MUMINA TAABO GOLLO
SPIKA WA ISIOLO AUNGA KAULI YA RAIS WILLIAM RUTO KWA VIJANA WA GEN-Z KUSITISHA MAANDAMANO
Просмотров 1983 месяца назад
SPIKA WA ISIOLO AUNGA KAULI YA RAIS WILLIAM RUTO KWA VIJANA WA GEN-Z KUSITISHA MAANDAMANO
Too late kwanza senete after that ndio kukutana
Wapi kayole kkkkkkk
Congratulations Aba Sora , Abdifatah and 28 others
🎉
Je katika sheria ya mwizi, mzinifu, mlevi, mlawiti mwaipitishaje enyi maulamaa wetu???? ALLAH Kufahamishini muingie ktk uislamu waziwa wazima si kuoa kurithi na kuachana tu.
❤
guyo congratulatiopn 4 ur good job in our county 011 2027 Ishallah ondoa wasiwasi juu we still love u guyo may ALLLAH take care of us to 2027 to vote 4 Guyo
Good job Esther 🎉❤
This is really great Esther. Keep it up
It was great having you, and thank you for the support 🙏
It's true that lack of policy framework that accommodate all community members together to discuss their lasting solutions, good work we will join you ,
Handouts
The empowerment project targeted the Governor's voter rich blocks, leaving behind the most deserving youths and women from the minority communities.
Who is he ?
Thats my mam Raliya ali mohamed
💗💗💗💗💗💗💗tuendelee Mbele
Junet Issa and Abdifatah Issa❤❤❤ mashaAllah
Nasteha Issa❤❤❤❤mashaAllah
The should address issue on poor performance
Kayole insha'Allah 2027 tuko pmja
The true leadership
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 Rayan adan❤❤🎉hadith
Mashaala ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
governor ni mama , Dullo tosha
GENERAL ANAPIGA SALUTE GOVERNOR VERY HUMBLE MAN MAY GOD BLESS HIM
Great hmg ukona talanta murwa kabisa utafika mbali bro
GOD knows.
The good general..
Illiteracy=underdevelopment
Wapi likes za pilot Dr. Ipyana
Huyu ata hajui kitu anaongea...
Woria tene,kaa mbali na tupi.
Tuma full
hapa walibaki tu na some hrs to die 😢😢
This was 5 months ago
These are the stuff zilikuwa zinaudhi Zakayo. The General was in touch with the people
ruclips.net/user/shortsFeKFoD-o_Ms?si=uPHa2Eo94B0QGYnk
He was very courteous. Rest in Peace. Great loss.
Best general we have now
Military disciplined officers kudos
Was it the same aircraft that would later crash 😢😢
Nope. Hiyo ingine ilikuwa chopper. Hii ni ndege hii.
@@kevinzachariah6226😂😂😂
😭😭😭
😢😢
can see Brigadier Joel Arimi
He seems like was a superfit General, leading by example. Condolences to d Kenya Army and Country at large from another fellow soldier in RSA.
Humble General😢
Plus am still waiting
They couldnt imagine it was their only chance to meet general
This man was humble
Humility at it's best🎉